ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 30

Yohane Mbatizaji Garcia

Yohane Mbatizaji Garcia alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani. Alijitahidi kufanya urekebisho wa shirika hilo kwa ...

Yohane wa Mungu

Yohane wa Mungu alikuwa mtawa wa Ureno alitoa huduma zake nchini Hispania. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 8 Machi.

Yosefu Calasanz

Yosefu Calasanz, Sch.P. alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Waskolopi kwa ajili ya elimu ya watoto maskini. Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 7 Agosti 1748, halafu Papa Klementi XII ...

Yosefu Maria Robles

Yosefu Maria Robles alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa kwa kutundikwa mtini bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Kwa miaka 14 alikuwa amehudumia kwa upendo mkubwa waamini wake, pamoja na kuandika vitabu vya Kikrist ...

Margerita wa Youville

Margerita wa Youville alikuwa mwanamke Mkristo wa Kanada ambaye, baada ya kufiwa mumewe, alianzisha shirika la kitawa la Masista wa Upendo wa Montreal. Papa Yohane XXIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1959, na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe ...

Kalivari

Kalivari au Golgotha ni mahali mjini Yerusalemu panaposadikiwa Yesu alisulubiwa na kuzikwa. majina hayo mawili yana maana moja: mahali pa fuvu la kichwa, ambapo paliitwa hivyo kutokana na sura ya mwinuko wake. Jina la pili ni jina la Kiaramu lili ...

Kana

Kana ya Galilaya ni kijiji kinachotajwa mara kadhaa na Injili ya Yohane. Humo tunasoma juu ya miujiza miwili ya Yesu: wa kwanza alipogeuza maji kuwa divai kwenye arusi ya Kana 2:1-11. wa pili alipomponya mtoto wa diwani kutoka Kafarnaumu 4:46 n.k ...

Neno (Biblia)

Neno ni jina ambalo katika Agano Jipya Mtume Yohane anamwita hivyo Yesu Kristo ili kueleza asili yake ya Kimungu kabla ya kuzaliwa binadamu kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kutokana na Bikira Maria.

Pasaka ya Kiyahudi

Pasaka ya Kiyahudi ni kati ya sikukuu muhimu zaidi za dini ya Uyahudi. Sikukuu hiyo inakumbuka Wanaisraeli walivyotoka katika utumwa walimokuwemo huko Misri. Pasaka ya Kiyahudi imekuwa na athira kubwa juu ya sherehe ya Pasaka ya Kikristo kuhusu t ...

Abadir, Iraya na wenzao

Abadir, Iraya na wenzao 3686 walikuwa kaka na dada Wakristo waliofia imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Kati ya umati huo kulikuwa na mapadri: Shamul wa Taraphia Tolemayo bin Eparki. Senuthi wa Buasti Isaka wa Tiphre Makroni wa Thon ...

Abda na Ebediesi

Abda na Ebediesi walikuwa maaskofu waliouawa kwa kukatwa kichwa pamoja na wenzao 38 kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Shapur II. Wenzao walikuwa mapadri 16, mashemasi 9, wamonaki 6 na mabikira 7. Mapadri waliitwa: Han Abda Ebedjesu Abda ...

Abrahamu wa Arbela

Abrahamu wa Arbela alikuwa askofu wa mji huo kwa mwaka mmoja hivi hadi alipokatwa kichwa katika dhuluma ya mfalme wa Persia Shapur II. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini. Sikuk ...

Achile Kiwanuka

Achile Kiwanuka ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tare ...

Achilei mfiadini

Achilei ni Mkristo wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Nerei. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Mei.

Adiutus

Adiutus alizaliwa Italia ya kati, akafia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Berardo, Petro wa San Gemini, Oto na Akursius. Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa Asizi alishangilia, "Sas ...

Afesi na wenzake

Afesi na wenzake Aleksanda, Amfamoni, Apoloni, Arioni, Dionusi, Dioskoro, Elafa, Eunuko, Fabiani, Felisi, Fisosi, Gurdino, Hinus, Kapitolini, Kapitulini, Kresenti, Melei, Nika, Nisia, Panus, Panubri, Plebri, Pleosi, Theoma, Tuboni na Venusti ni k ...

Agapio wa Kaisarea

Agapio wa Kaisarea alikuwa Mkristo ambaye baada ya kufungwa na kuteswa miaka miwili, alitupwa katika uwanja wa michezo aliwe na dubu mbele ya kaisari Masimino kwa sababu ya imani yake na kesho yake alitupwa baharini akiwa amefungiwa mawe miguuni ...

Agata Yi

Agata Yi, alikuwa msichana Mkristo wa Kanisa Katoliki aliyefia dini yake kwa kuchinjwa baada ya mateso mengi kuanzia alipokamatwa mwishoni mwa mwaka 1839. Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1925, halafu tarehe 6 Mei 1984 Papa Yohane Paulo ...

Agatha mfiadini

Agatha alikuwa bikira wa Catania, Italia, aliyefia dini ya Ukristo. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 5 Februari ambayo ndiyo sikukuu yake.

Agnes wa Roma

Agnes wa Roma alikuwa bikira mwenye umri wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kutokana na imani yake ya Kikristo. Kwa sababu hiyo aliteswa akauawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati ...

Akursius

Akursius alizaliwa Italia ya kati, akafia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Berardo, Petro wa San Gemini, Oto na Adiutus. Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa Asizi alishangilia, "Sas ...

Anastasia wa Sirmio

Anastasia wa Sirmio alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Ndiyo maana anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu ...

Anatoli Kiriggwajjo

Anatoli Kiriggwajjo ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya ...

Andrea Kim Taegon

Andrea Kim Taegon, alikuwa padri wa kwanza wa Kanisa Katoliki mzaliwa wa Korea na ndiye msimamizi wa nchi. Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1925, halafu tarehe 6 Mei 1984 Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wafiadini we ...

Antidi wa Besancon

Antidi wa Besancon alikuwa askofu wa 15 wa mji huo. Aliuawa na Wagerumanik. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Juni.

Antonio Primaldo

Antonio Pezzulla maarufu kama Il Primaldo alikuwa mshonaji wa Otranto ambaye amepata umaarufu kama kiongozi wa Wafiadini wa Otranto waliouawa na Waturuki tarehe 14 Agosti 1480 kwa sababu walikataa kusilimu baada ya mji wao kutekwa na Waturuki chi ...

Apolinari wa Ravenna

Apolinari wa Ravenna, mzaliwa wa Antiokia, alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia hadi alipouawa huko kwa ajili ya imani yake) Kwa hiyo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tare ...

Arkadi, Paskasi na wenzao

Arkadi, Paskasi na wenzao Probo, Eutikiani na Paulilo ni kati ya waumini wa Kanisa Katoliki walioteswa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Wazaliwa wa Hispania, walikuwa askari wa ...

Artilai na wenzake

Artilai na wenzake Antoni, Asklipi, Asteksi, Basili, Bosimi, Donata, Emeriti, Emeteri, Eutiko, Felisi, Fortunati, Fosyo, Frunumi, Gajola, Georgi, Gorgoni, Hemeteri, Isiko, Janula, Julius, Karisimi, Kasti, Klaudiani, Lusiola, Marcha, Marinus, Mete ...

Atanasi Bazzekuketta

Atanasi Bazzekuketta ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya ...

Aurelia wa Aleksandria

Aurelia wa Aleksandria alikuwa msichana wa mji huo wa Misri, ambaye pamoja na mama yake Martana alihamia Roma walipokuwa wamefia dini binamu zake Adria na Paulina pamoja na watoto wao Neone na Maria. Miezi michache baada ya kuolewa huko, na kumfa ...

Babila na wenzake

Babila na wenzake Urbani, Prilidiani na Epoloni alikuwa askofu wa 12 wa Antiokia, leo nchini Uturuki, na watoto watatu aliowafundisha imani ya Kikristo, bila kujali dhuluma ya kaisari Decius. Tangu zamani wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodok ...

Balbina wa Roma

Balbina wa Roma alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mwenye sifa za bikira na mfiadini. Baba yake pia, askari Kwirino wa Roma, alifia dini na anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 25 Mac ...

Basiano na wenzake

Basiano na wenzake ni kundi la Wakristo wa karne ya 3 waliofia dini yao kwa namna mbalimbali huko Aleksandria. Kati yao kuna: padri Sirioni, halafu Agatoni na Mose waliochomwa moto, Dionisi na Amoni waliouawa kwa upanga, Tonioni, Proto, na Lusio ...

Berardo mfiadini

Berardo alizaliwa Carbio, Umbria, Italia akafia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Petro wa San Gemini, Oto, Akursius na Adiutus. Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa Asizi alishangili ...

Bessus

Bessus ni kati ya askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati ...

Blasi

Blasi alikuwa mganga na askofu wa Sebastea katika Armenia Ndogo. Aliuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo mwaka 316. Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa na Ukristo wa magharibi tarehe ...

Bonifasi wa Sicilibba

Bonifasi wa Sicilibba alikuwa askofu wa mji huo wa Afrika Kaskazini katika karne ya 5. Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na ...

Boris na Gleb

Boris na Gleb walikuwa watoto wa Vladimir Mkuu, mtemi wa Kiev na wa Novgorod kuanzia mwaka 980 hadi kifo chake. Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini kwa kuwa walikataa kutumia silaha kujihami dhidi ya k ...

Bruno Sserunkuma

Bruno Sserunkuma ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tar ...

Paulo Chong Hasang

Paulo Chong Hasang alikuwa mmojawao Wafiadini wa Korea. Katekista huyo na wafiadini wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984. Sikukuu ya Wafiadini wa Korea inaadhimishwan kila tarehe 20 Septemba, ila ya k ...

Cosmas Mtakatifu

Cosmas Mtakatifu alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo. Pia alikuwa kaka ya Damian Mtakatifu. Inasemekana walitokea Uarabuni. Hali ya maisha na kifodini chake haijulikani kwa uhakika. Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba. Takriban ...

Damian Mtakatifu

Mtakatifu Damiano alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo. Pia alikuwa mdogo wa Cosmas Mtakatifu. Inasemekana walitokea Uarabuni. Hali ya maisha na kifodini chake haijulikani kwa uhakika. Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba. Takriba ...

Dativa

Dativa wa Vita ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu kale wanaheshimiwa kama wa ...

Defendente

Defendente alikuwa askari wa kikosi cha Thebe katika jeshi la Roma ya Kale aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Maksimiani dhidi ya Wakristo. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Januari.

Dimfna

Dimfna alikuwa msichana Mkristo wa Ireland ambaye baba yake mpagani, mfalme Damon wa Oriel, alimkata kichwa kwa sababu alikataa kuolewa naye. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa ...

Dionisya wa Vita na wenzake

Dionisya wa Vita na wenzake ni wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu kale wanaheshimiwa ka ...

Flavia Domitila

Flavia Domitila alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme huko Roma katika karne ya 1, binti wa Domitila Mdogo akaolewa na binamu yake konsuli Titus Flavius Clemens. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu ...

Dorotea na Theofili

Dorotea na Theofili waliuawa kwa imani ya Kikristo katika dhuluma ya Dola la Roma. Dorotea alikuwa bikira na Theofili mwalimu. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Feb ...

Andrea Dung-Lac

Andrea Dũng-Lac, kwa Kivietnam Anrê Trần An Dũng Lac, alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Vietnam hadi alipokatwa kichwa chini ya utawala wa Minh Mang. Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1900, halafu na Papa Yohan ...