ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 31

Luka Banabakintu

Luka Banabakintu ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tar ...

Lusia wa Sirakusa

Lusia wa Sirakusa, maarufu kama Mtakatifu Lusia alikuwa msichana bikira na tajiri wa Sirakusa, Sicilia, Italia ambaye alitetea imani yake ya Kikristo hadi kuuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Anachorwa akishika mkononi sinia yenye mac ...

Kristofa Magallanes

Kristofa Magallanes alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na ...

Magdalena wa Nagasaki

Magdalena wa Nagasaki alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Nagasaki, Japani, ambaye alifia dini yake mjini huko tarehe 16 Oktoba 1634 akiwa na umri wa miaka 23. Wazazi wake walitangulia kufia dini mwaka 1620 hivi. Papa Yohane Paulo II alimtang ...

Majoriko

Majoriko alikuwa mtoto wa Dionisya. Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu kale ...

Makari wa Fayum

Makari wa Fayum alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Siku ...

Makroni wa Thoni

Makroni wa Thoni alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sik ...

Mapaliko na wenzake

Mapaliko na wenzake Baso, Fortunio, Paulo, Fortunata, Viktorino, Viktori, Eremio, Kredula, Ereda, Donato, Firmo, Venusto, Frukto, Julia, Marziale na Aristone walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini katika karne ya 3. Wakati wa dhuluma ya kaisari De ...

Maria wa Urusi

Maria wa Urusi alikuwa mtoto wa tatu wa kaisari Nikola II wa Urusi na wa Alexandra Fyodorovna of Hesse. Familia yao nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Marselino na Petro

Marselino na Petro ni Wakristo wa karne ya 3 waliouawa mwaka 304 kwa ajili ya imani yao mjini Roma. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Juni.

Marselo wa Tanja

Marselo wa Tanja alikuwa askari Mkristo huko Tanja aliyefia dini yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Diocletian mwanzoni mwa karne ya 4. Tarehe inayotajwa na mapokeo ni 3 Desemba 298. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waortho ...

Marsiano wa Tortona

Marsiano wa Tortona anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Tortona aliyefia imani katika dhuluma ya kaisari Adriani. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Machi.

Mashahidi wa Douai

Mashahidi wa Douai ni jina linalotumiwa na Kanisa Katoliki kujumlisha mapadri 160 hivi waliojiandaa huko Douai kwenda au kurudi Uingereza au Wales ili kufanya utume huko, bila kujali dhuluma kali ya serikali ya nchi hiyo dhidi ya Wakatoliki. Kwa ...

Masimo wa Vuchim

Masimo wa Vuchim alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sik ...

Massa Candida

Massa Candida ni jina la kundi la Wakristo 300 hivi wa karne ya 3 waliofia dini yao huko Utica kwa kuwa walikataa kutoa sadaka ya ubani kwa miungu ya Roma kama walivyoagizwa na gavana Galerius Maximus, mwakilishi wa serikali ya Dola la Roma. Jina ...

Matthew Ayariga

Matthew Ayariga alikuwa Mkristo kutoka Ghana ambaye, pamoja na Wakopti 20 kutoka Misri, alitekwa na Waislamu wenye itikadi kali wa Daish huko Sirte, Libya, alipokuwa anafanya kazi ya ujenzi mnamo 27 Desemba 2014 au Januari 2015. Hatimaye waliuawa ...

Mbaga Tuzinde

Mbaga Tuzinde ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tarehe ...

Mijin

Mijin anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika. Ni kati ya wafiadini wa Madauros karibu na MDaourouch, leo nchini Algeria, pamoja na Namfamo, Sanami na Luchíta. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, ...

Paulo Miki

Paulo Miki alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Japani. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 6 Februari.

Mitrofani Chi Sung

Mitrofani Chi Sung alikuwa padri wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la China kufia dini ya Ukristo. Alikuwa amekubali kwa shida kupewa upadrisho huko Tokyo, Japani mwaka 1880, akijiona hana sifa. Ndiye maarufu zaidi kati ya wafiadini wa China 22 ...

Morisi Mtakatifu

Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Maximiano wa Roma. Wengi wao walikuwa Wakristo. Huko Agaunum leo Saint-Maurice-en-Valais, karibu na ...

Moses wa Psammaniu

Moses wa Psammaniu alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

Mugagga Lubowa

Mugagga Lubowa ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tareh ...

Mukasa Kiriwawanvu

Mukasa Kiriwawanvu ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya t ...

Yosefu Mukasa Balikuddembe

Yosefu Mukasa Balikuddembe, ni mfiadini wa kwanza kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa ...

Matias Mulumba Kalemba

Matias Mulumba Kalemba ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ...

Namfamo

Namfamo anatajwa kama Mkristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika. Ni kati ya wafiadini wa Madauros karibu na MDaourouch, leo nchini Algeria, pamoja na Mijin, Sanami na Luchíta. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, Are ...

Nemesiani na wenzake

Nemesiani na wenzake Feliche, Lucho, Feliche, Liteo, Poliano, Vikta, Iader na Dativus walikuwa maaskofu ambao, pamoja na mapadri, mashemasi na waumini wengine wa Numidia, walipelekwa Sigum kufanya kazi ya shokoa katika migodi wakifia hivyo dini y ...

Nerei mfiadini

Nerei ni Mkristo wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Achilei. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Mei.

Noe Mawaggali

Noe Mawaggali ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tarehe ...

Oto mfiadini

Oto alikuwa padri kutoka Italia ya kati, aliyefia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Berardo, Petro wa San Gemini, Akursius na Adiutus. Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa Asizi alish ...

Pafnusi wa Tentyra

Pafnusi wa Tentyra alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

Pantaleo mfiadini

Pantaleo alikuwa Mkristo wa Nikomedia huko Bitinia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya Kaisari Diocletian mwaka 305 BK. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu. Sikukuu yake ...

Paulo I wa Konstantinopoli

Paulo I wa Konstantinopoli, alikuwa askofu wa sita wa Konstantinopoli kuanzia mwaka 337. Paulo alijihusisha na mabishano kuhusu Uario yaliyoshughulikiwa na ndugu Makaisari Constans I Dola la Roma Magharibi na Constantius II Dola la Roma Mashariki ...

Perpetua Mtakatifu

Perpetua alikuwa mama kijana mjini Karthago wakati wa Dola la Roma alipouawa kama shahidi wa imani ya Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waanglikana, Walutheri na wengineo kati ya watakatifu wafiadini na sikukuu y ...

Petro wa Arbues

Petro wa Arbues, C.R.S.A. alikuwa padri kanoni aliyeuawa kanisani kutokana na kazi aliyoagizwa ya kuchunguza wazushi. Alitangazwa mwenye heri na Papa Aleksanda VII tarehe 20 Aprili 1664, halafu mtakatifu mfiadini na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 18 ...

Petro wa San Gemini

Pietro wa San Gemini alizaliwa katika kijiji hicho cha Italia ya kati, akafia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Berardo, Oto, Akursius na Adiutus. Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa ...

Plutarko, Potamiena na wenzao

Plutarko, Potamiena na wenzao Sereno, Eraklide, Erone, Sereno, Eraide na Marsela walikuwa Wakristo wa mji huo wanafunzi wa Origen walioteswa na hatimaye kuuawa kwa namna mbalimbali kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Sev ...

Polieuto wa Melitene

Polieuto wa Melitene alikuwa afisa wa jeshi la Dola la Roma aliyepata kuwa mfiadini wa Kikristo wa kwanza huko Melitene, chini ya kaisari Valerian. Alipochana hati ya kaisari Decius iliyoagiza wote waabudu miungu, na kuangusha chini sanamu zao 12 ...

Polikarpo Mtakatifu

Mtakatifu Polikarpo alikuwa askofu katika mkoa wa Asia. Tangu kale anatambuliwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 23 Februari.

Ponsyano Ngondwe

Ponsyano Ngondwe ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tar ...

Potamoni wa Herakleopoli

Potamoni wa Heracleopoli Magna alikuwa askofu wa mji huo wa wilaya ya Arkadia, nchini Misri. Aliteseka kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Masimino Daia 311; huyo, baada ya kumnyofoa jicho na kumlemaza mguu, alimpeleka kuf ...

Potinus wa Lyon

Potinus alikuwa askofu wa Lyon aliyeuawa mwaka 177 wakati wa dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dhidi ya Ukristo. Askofu Ireneo wa Lyon alimtaja kama mtangulizi wake katika barua ambayo anadhaniwa kuwa aliwaandikia Wakristo wa mkoa wake wa asili, ...

Preieto na Amarino

Preieto na Amarino walikuwa mmoja askofu wa 25 wa Alvernia, leo Clermont-Ferrand, nchini Ufaransa, na mwingine abati au mlei ambao waliuawa pamoja na matajiri wa mji huo. Tangu zamani wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wa ...

Priska wa Roma

Priska wa Roma alikuwa Mkristo wa jiji hilo anayeheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu mfiadini ingawa habari zake zinachanganya wanawake wa karne tofauti. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Januari.

Prokopi Mkuu

Prokopi Mkuu alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika mji huo kwa sababu ya imani yake mwanzoni mwa dhuluma ya kaisari Diokletian. Kabla ya hapo aliishi kwa uadilifu na wema, pamoja na kuwa mtaalamu wa falsafa na teolojia. Tangu kale a ...

Prosesi na Martiniani

Prosesi na Martiniani walikuwa Wakristo waliouawa Roma 67 hivi kwa ajili ya imani yao. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Julai au 11 Aprili.

Proto na Yasinto

Proto na Yasinto ni kati ya Wakristo wa Misri waliofia imani yao huko Roma, Italia, katika dhuluma ya kaisari Valerian. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadh ...

Reinilde, Grimoaldi na Gondolfi

Reinilde alikuwa mwanamke bikira wa ukoo wa kifalme, binti wa mtakatifu Amalberga wa Maubeuge. Baada ya kuhiji Yerusalemu alijitosa katika matendo ya huruma hadi alipokatwa kichwa na Wahunni pamoja na shemasi Grimoaldi na mtumishi wake Gondolfi. ...

Revocatus

Revocatus ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa tangu kale kati ya watakatifu wafiadini pamoja na wa ...