ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 32

Rufina na Sekunda

Rufina na Sekunda walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Valeriani. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai.

Sabiniani wa Troyes

Sabiniani wa Troyes alikuwa Mkristo aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya kaisari Aurelian. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Januari.

Sanami

Sanami anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika. Ni kati ya wafiadini wa Madauros karibu na MDaourouch, leo nchini Algeria, pamoja na Namfamo, Mijin na Luchíta. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, ...

Saturninus

Saturninus ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa tangu kale kati ya watakatifu wafiadini pamoja na w ...

Saturus wa Karthago

Saturus wa Karthago ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa tangu kale kati ya watakatifu wafiadini pa ...

Sebastiani mfiadini

Sebastiani mfiadini alikuwa Mkristo aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian dhidi ya imani hiyo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Wa kwanza wanaadhimisha sikukuu yake tarehe 20 Januari, wa p ...

Sekondinus

Sekondinus ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa tangu kale kati ya watakatifu wafiadini pamoja na w ...

Sekundo wa Thebe

Sekundo wa Thebe alikuwa kati ya askari wa jeshi la Roma ya Kale walioongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari ...

Senuthi wa Buasti

Senuthi wa Buasti alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Si ...

Serapioni wa Aleksandria (mfiadini)

Serapioni wa Aleksandria alikuwa Mkristo wa Misri aliyechomwa moto kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mw ...

Shamul wa Taraphia

Shamul wa Taraphia alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

Simeoni wa Thou

Simeoni wa Thou alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Siku ...

Simoni wa Tapcho

Simoni wa Tapcho alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sik ...

Simproniani na wenzake

Simproniani na wenzake Klaudio, Nikostrati, Kastori na Simplisi walikuwa wachongamawe waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma kwa sababu walikataa kuchonga sanamu ya mungu Eskulapi. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama wat ...

Sinforosa na wenzake

Sinforosa na wenzake walikuwa mama na watoto saba Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Adrian. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao ni tarehe 18 Julai.

Sisini wa Tantatho

Sisini wa Tantatho alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

Dionisi Ssebuggwawo

Dionisi Ssebugwawo ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Wafiadini hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya Kabaka Mwanga II 1884 - 1903 wa Buganda ambao waliuawa ...

Edith Stein

Edith Stein alikuwa mwanamke mwanafalsafa wa Ujerumani mwenye asili ya Kiyahudi, lakini baadaye akabatizwa akawa mtawa wa ndani wa shirika la Wakarmeli. Jina lake la utawani lilikuwa Teresa Benedikta wa Msalaba. Aliuawa na wafuasi wa Unazi katika ...

Tatiana Li

Tatiana Li alikuwa Mkristo wa China, mke wa Mitrofani Chi Sung, padri wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la China kufia dini ya Ukristo ambaye ndiye maarufu zaidi kati ya wafiadini wa China 222 wa Kanisa hilo waliotangazwa watakatifu mwaka 2000, ...

Taurini wa Evreux

Taurini wa Evreux alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 25 hivi hadi alipouawa kwa kupinga Upagani wa wenyeji. Inasemekana alizaliwa Roma, Italia. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhim ...

Tekla wa Ikonio

Tekla wa Ikonio alikuwa mwanamke wa mji huo wa Likaonia katika karne ya 1 BK. Inasemekana alipata kuwa mfuasi wa Mtume Paulo, inavyosimuliwa na kitabu cha karne ya 2 Matendo ya Paulo na Tekla 180 hivi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waort ...

Terensiani wa Todi

Terensiani wa Todi anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo hadi kifodini chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake

Teresa Kim

Teresa Kim, alikuwa mjane Mkristo wa Kanisa Katoliki aliyefia dini yake kwa kuchinjwa baada ya mateso mengi kuanzia alipokamatwa mwishoni mwa mwaka 1839. Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1925, halafu tarehe 6 Mei 1984 Papa Yohane Paulo ...

Tersyo wa Byzacena

Tersyo wa Byzacena alikuwa mmonaki wa karne ya 5. Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu kale wanah ...

Theodori wa Shotep

Theodori wa Shotep alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

Theodoro wa Amasea

Theodoro wa Amasea alikuwa askari Mkristo aliyefia dini yake kwa kuchomwa moto katika mji huo wa Uturuki wa leo mwanzoni mwa karne ya 4. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tare ...

Theofredi wa Thebe

Theofredi wa Thebe alikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulay ...

Thoma wa Tanphot

Thoma wa Tanphot alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sik ...

Tipasi

Tipasi alikuwa askari kutoka Tigava. Baada ya kuingia Ukristo na kuacha maisha ya jeshi, alipoitwa na kaisari Maksimiani kusaidia katika vita dhidi ya wenyeji Quinquegentiani waliotaka kupinga mamlaka ya Dola la Roma, Tipasi alikataa. Baadaye ali ...

Tirso na wenzake

Tirso na wenzake Leukio na Kaliniko na wengineo walikuwa Wakristo waliofia dini yao hiyo wakati wa dhuluma ya kaisari Decius. Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishw ...

Tolemayo bin Eparki

Tolemayo bin Eparki alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. ...

Toribio Romo

Toribio Romo alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzak ...

Urso wa Thebe

Urso wa Thebe pamoja na mwenzake Vikta walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na ...

Valentinus

Valentinus alikuwa askofu wa Terni. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini katika Kanisa Katoliki, lakini pia na Waorthodoksi, Waanglikana na Walutheri kadhaa. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Februari ya kila mwaka. Valentinus anakum ...

Valeri wa Zaragoza

Valeri wa Zaragoza alikuwa askofu wa jimbo la Zaragoza, Hispania kuanzia mwaka 290 hadi kifodini chake. Inasemekana alikuwa na shida katika kusema, hivyo alimtumia shemasi wake Vinsent kutoa ujumbe wake. Wakati wa dhuluma ya Kaisari Dioklesian, V ...

Valeriani wa Tournus

Valeriani wa Tournus ni mmojawapo kati ya Wakristo wanaoheshimiwa tangu kale kama watakatifu wafiadini. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba.

Varo na wenzake

Varo na wenzake walikuwa Wakristo wa Misri. Varo alikuwa askari. Alipokwenda gerezani kutembelea wakaapweke 6 waliofungwa, alijiunga nao. Hatimaye wote waliteswa na kuuawa kwa ajili ya imani yao. Majina ya wenzake hayajulikani. Tangu kale wanahes ...

Vikta wa Marseille

Vikta wa Marseille alikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale aliyekuwa chini ya Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi chake kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Max ...

Vikta wa Solothurn

Vikta wa Solothurn pamoja na mwenzake Urso walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini ...

Vikta wa Thebe

Vikta wa Thebe pamoja na wenzake Esuperi na Kandidi walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ...

Viktoria wa Culusi

Viktoria alikuwa mwanamke Mkatoliki aliyeuawa huko Culusi katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme wa Wavandali Huneriki aliyekuwa Mwario. Viktoria aliangikwa juu ya moto. Mume wake alimsihi akane imani yake kwa kuwafikiria watoto wao, laki ...

Viktoriani, Frumenti na wenzao

Viktoriani, Frumenti na wenzao ni Wakristo waliofia imani ya Kanisa Katoliki huko Hadrumetum tarehe 23 Machi 484 kwa agizo la mfalme wa Wavandali Huneriki aliyekuwa Mwario. Alianza kudhulumu mapadri na watawa mwaka 480, ila kufikia mwaka 484 alie ...

Vinsenti wa Dax

Vinsenti wa Dax alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba.

Vitus Mtakatifu

Vitus Mtakatifu alikuwa mtoto Mkristo wa Sicilia (kisiwa kikubwa cha Italia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma za makaisari wa Dola la Roma Diocletian na Maximian mwaka 303, akiwa na umri wa miaka 13 hivi. Kwa sababu hiyo tangu kale Vitus, pamo ...

Ampelius wa Abitina

Ampelius wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Diokle ...

Benignus wa Abitina

Benignus wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Diokle ...

Berectina wa Abitina

Berectina wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Diokl ...

Caecilia wa Abitina

Caecilia wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Diokle ...

Caecilianus wa Abitina

Caecilianus wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Dio ...

Cassianus wa Abitina

Cassianus wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae, mji wa Afrika Kaskazini. Tarehe 24 Februari mwaka 303, Diokl ...