ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 34

Daily Nation

Daily Nation ni gazeti la kila siku nchini Kenya inayotolewa mjini Nairobi kwa lugha ya Kiingereza. Inauza takriban nakala 205.000 kila siku hivyo ni gazeti lenye wasomaji wengi katika Afrika ya Mashariki. Gazeti hili ni sehemu ya kampuni ya hisa ...

Majira (gazeti)

Majira - Gazeti huru la kila siku ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Business Times Limited inayotoa pia magazeti ya Dar Leo au Spoti Starehe.

Mtanzania (gazeti)

Mtanzania ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania. Gazeti hili ni mali ya kampuni ya hisa ya New Habari L ...

Mwanaspoti

Mwanaspoti ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. inayotoa pia magazeti ya Mwananchi. Kampuni yake ni sehemu ya kampuni kubwa ya Nation Media Group ...

Spoti Starehe

Spoti Starehe ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Business Times Limited inayotoa pia magazeti ya Dar Leo au Majira.

Tanzania Daima

Tanzania Daima ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Free Media Limited inayotoa pia gazeti la FreeMedia.

Rolling Stone

Kwa makala ya bendi ya muziki, tazama The Rolling Stones." Rolling Stone ni gazeti la habari za tamaduni mashuhuri kutoka nchini Marekani. Inajishuhulisha sana na makala kuhusu muziki, na vilevile michezo, filamu, na watu maarufu. Pia inajishughu ...

Star Tribune

Star Tribune ni gazeti kubwa zaidi katika jimbo la Minnesota,Marekani na huchapishwa kila siku ya wiki kama toleo la eneo la Minneapolis-Saint Paul. Toleo la Jimbo lote linaweza kupatikana Minnesota, sehemu za Wisconsin, Iowa, Dakota Kusini na Da ...

Msimbo pau

Msimbo pau ni ruwaza ya kijiometri, kwa kawaida ni mistari iliyo wima, ambayo hutumiwa kukagua na kufuatilia mali au bidhaa. Ni njia ya kutaja namba inayoruhusu kusomewa kwa namba hizi kwa mashine. Awali msimbo pau ulitumia ufuatano wa mistari au ...

Posta

Posta ni mfumo wa kusafirisha barua na vifurushi kwa wapokeaji. Kuna mapatano ya kimataifa ya Umoja wa Posta Duniani yanayounda kanuni za ukubwa na uzito wa barua na vifurushi vinavyopokelewa.

Postikadi

Postikadi ni aina ya barua isiyo na bahasha. Kwa kawaida ni kipande cha kistatili cha karatasi chenye ujumbe mfupi unaotumwa kwa posta. Mara nyingi postikadi huwa na picha upande mmoja halafu anwani, stempu na ujumbe mfupi upande wa kinyume. Ghar ...

Sanduku la posta

Sanduku la posta ni sanduku linalofungwa kwa kitasa linalopatikana katika jengo la posta. Linakodiwa na mteja anayepokea ufunguo wa sanduku. Kila sanduku huwa na namba yake na namba hiyo ni anwani yake akituma au kupokea barua au vifurushi. Wakat ...

Deutsche Welle

Redio Deutsche Welle DW, au Sauti ya Ujerumani ni kituo cha Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kwa ajili ya matangazo ya nje. Kituo kimeanzishwa mw. 1953 kilitoa matangazo ya Kijerumani kwa ajili ya Wajerumani kote duniani kwa njia ya SW. Leo 200 ...

Radio France Internationale

Radio France Internationale RFI; Redio ya Dunia ya Ufaransa imeasisiwa kwa jina hili na serikali ya Ufaransa katika 1975 kama sehemu ya Radio France. Ilikuwa imefanya kazi tangu 1931 kwa majina mbalimbali. Katika 1986 Ubunge wa Ufaransa ulibadili ...

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Tehran

Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni huduma ya matangazo ya "Islamic Republic of Iran Broadcasting" ambayo ni redio ya kitaifa ya Iran kwa lugha ya Kiswahili. IRIB inarusha matangazo kwa lugha mbalimbali pamoja na Kirusi, Ki ...

Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini, 2011

Kura ya maoni ilichukua nafasi Kusini mwa Sudan kuanzia tarehe 9 hadi 15 Januari 2011, katika hali ya aidha kanda ya kusini ibaki kuwa sehemu ya Sudan au iwe huru. Kura hii ya maoni ni moja kati ya tokeo la 2005 la Mkataba wa Naivasha baina ya Kh ...

Manikongo

Manikongo ilikuwa cheom cha mtawala wa Ufalme wa Kongo kati ya karne za 14 hadi 18 katika maeneo ambayo leo ni sehemu za Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mji mkuu wa Manikongo ulikuwa Mbanza-Kongo iliitwa baadaye Sao Salvador kati ya 1 ...

Milima ya Mwezi

Milima ya Mwezi ni jina la kihistoria kwa ajili ya safu ya milima ya Afrika ya Kati ambayo ni asili ya mto Nile. Milima hii ya mwezi ilitajwa katika maandiko ya Eratosthenes na Claudius Ptolemayo. Kufuatana na "jiografia" ya Ptolemayo milima hii ...

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa ...

Periplus ya Bahari ya Eritrea

Periplus ya Bahari ya Eritrea ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mnamo mwaka 70 BK. "Periplus" ni neno la Kigiriki linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa merikebu; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya B ...

Punt

kwa eneo la kujitawala katika kaskazini ya Somalia angalia Puntland Punt iliitwa pia Pwenet au Pwene na Wamisri wa Kale ilikuwa milki katiika Zama za Kale. Habari zake zinajulikana kutokana na taarifa za Wamisri wa Kale waliofanya biashara nayo. ...

Qanbalu

Qanbalu ni jina la kihistoria kwenye pwani ya Afrika Mashariki linalotajwa katika maandiko ya waandishi Waarabu wa karne za kati. Mara nyingi hutazamwa kama jina la zamani la Kisiwa cha Pemba Tanzania au hasa kwa mji ambao maghofu yake hupatikana ...

Rhapta

Rhapta ni jina la soko na mji wa kale katika pwani la Afrika ya Mashariki. Habari zake zilipatikana tangu karne ya kwanza katika mwongozo wa kigiriki kwa ajili ya mabaharia. Jina la Rhapta lilitajwa tena katika vitabu vingine hadi karne ya 6 BK l ...

Usultani wa Adal

Adal Sultanate ulikuwa ni ufalme wa iliyo sasa Kaskazini-Magharibi ya Somalia, Kusini mwa Djibouti, Somali, Oromia, na Afar iliyo mikoa ya Ethiopia. Katika kipindi cha juu cha uongozi wake, Sultani huyu aliweza kuongoza sehemu kubwa ya eneo la Et ...

Amerika

Amerika ni jina la mabara mawili makubwa upande wa magharibi wa Afrika na Ulaya. Amerika iko kati ya Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Pasifiki kwa urefu wa kilomita 15.000 kutoka kaskazini rasi Columbia hadi kusini rasi Hoorn. Eneo lote ni km² 42 ...

Granada mpya

Granada mpya ilikuwa eneo la kikoloni la Hispania katika kaskazini ya Amerika Kusini kati ya 1717 na 1822. Leo hii nchi za Venezuela, Kolombia, Panama na Ekuador zimechukua nafasi yake. Jina la Granada limetokana na mji wa Granada katika Hispania ...

Wahunni

Kuhusu watu wakorofi wasio na maadili mema, angalia Wahuni Wahunni walikuwa watu wa makabila mbalimbali kutoka Asia ya Kati walioanza kuelekea magharibi wakati wa karne ya 4 na ya 5 BK na kuvamia Ulaya, Uajemi na Uhindi.

Ghuba ya Uajemi

Ghuba ya Uajemi ni ghuba kubwa la Bahari Hindi kati ya Uajemi na rasi ya Uarabuni. Inaanza kwenye Mlango wa Hormuz na kuendelea hadi mwisho wake upande wa Kuwait na mdomo wa Shatt al Arab. Ni kawaida ya kuiita ghuba ya Uajemi lakini katika fitina ...

Uhindi ya Kiingereza

Uhindi ya Kiingereza ni kipindi cha historia ambapo nchi za Bara Hindi ama zilitawaliwa na Uingereza moja kwa moja ama zilikuwa chini ya usimamizi wa Uingereza kama nchi lindwa. Utawala huo ulienea juu ya nchi za leo za Uhindi, Pakistan, Banglade ...

Wafinisia

Wafinisia walikuwa wakazi wa Finisia ambao zamani za Nyakati za Kale waliishi kwenye mwambao wa mashariki wa Bahari ya Mediteranea. Miji-dola yao ilikaa katika eneo la nchi za kisasa za Lebanoni na Syria. Wafinisia walizungumza Kifinisia kilichok ...

Austria-Hungaria

Austria-Hungaria ilikuwa milki kubwa katika Ulaya ya Kati na Mashariki kuanzia mwaka 1867 hadi 1918. Iliendeleza Milki ya Austria ya awali ikijengwa juu ya ushirikiano wa nchi za Austria na Hungaria zilizotawaliwa na mfalme yeye yule. Nchi hizo m ...

Hanse

Hanse ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na hasa ushirikiano wa wafanyabiashara wa miji hii.

Basutoland

Basutoland ilikuwa jina la kikoloni la nchi ya Lesotho katika Afrika ya Kusini. Eneo lililokaliwa kiasili na Wasan likaingiliwa na Wabantu tangu karne ya 16. Kuanzia miaka ya 1820 chifu Moshweshwe alikusanya watu mbalimbali waliowahi kukimbilia h ...

Cecil Rhodes

Cecil John Rhodes alikuwa mfanyabiashara na mwanasiasa Mwingereza aliyetajirikia kutokana na malighafi za Afrika Kusini na kujenga himaya yake ya binafsi kati Afrika ya Kusini. Alianzisha koloni za Rhodesia ya Kaskazini na Rhodesia ya Kusini zili ...

Dola Huru la Oranje

Dola Huru la Oranje lilikuwa jamhuri ya makaburu katika Afrika Kusini wakati wa nusu ya pili ya karne ya 19 iliyoundwa na mavoortrekker. Baadaye ilikuwa koloni ya Uingereza na jimbo la Afrika Kusini, tangu 1995 kwa jina "Free State Province". Jin ...

Jimbo la Rasi

Jimbo la Rasi lilikuwa kubwa kati ya majimbo manne ya Afrika Kusini kabla ya 1994. Lilianzishwa mwaka 1910 wakati Koloni ya Rasi ilipoingia katika Muungano ya Afrika Kusini pamoja na majimbo ya Natal, Transvaal na Dola Huru la Oranje. Mji mkuu wa ...

KwaZulu

KwaZulu ilikuwa bantustan katika Afrika Kusini wakati wa siasa ya apartheid. Iliundwa na serikali ya Afrika Kusini kama eneo kwa ajili ya Wazulu. Mji mkuu ulikuwa mwanzoni Nongoma na tangu 1980 Ulundi. Kiongozi wa KwaZulu hadi kufutwa kwa eneo mw ...

Makaburu

Makaburu ni jina la walowezi Wazungu wa Afrika Kusini na Namibia wanaotumia lugha ya Kiafrikaans. Wenyewe wanajiita mara nyingi Afrikaner yaani "Waafrika". Wako takriban theluthi mbili ya Wazungu wa Afrika Kusini au milioni 1.5. Karibu wote ni Wa ...

Mfecane

Kipindi hiki kilikuwa na mvurugo mkubwa kutokana na vita nyingi zilizosababisha uhamisho wa makabila yaliyolazimishwa kuondoka kwao au kutafuta mahali mapya yakiendelea kuhamahama hadi Tanzania, Malawi na Zambia.

Moshweshwe I

Moshweshwe I alikuwa chifu na mfalme wa Basotho katika karne ya 19 tangu 1820 hadi kifo chake mwaka 1870. Moshweshwe aliunganisha vikundi mbalimbali katika eneo la Lesotho zamani: Basutoland akaanzisha taifa la Basotho. Watu wengi wlikuwa walikim ...

Muungano wa Afrika Kusini

Muungano wa Afrika Kusini lilikuwa jina la Afrika Kusini kuanzia 1910 hadi 1961. Kwa lugha rasmi za nchi jina lilikuwa "Union of South Africa" na "Unie van Zuid-Afrika". Ilianzishwa kama muungano wa koloni 4 za Kiingereza zilizokuwa Koloni ya Ras ...

Natal

Natal ilikuwa koloni ya Uingereza katika Afrika ya Kuini-Mashariki tangu 1856. 1910 ikaingia kama jimbo la Natal katika Muungano wa Afrika Kusini pamoja na koloni nyingine za Rasi, Transvaal na Dola Huru. 1994 jimbo la Natal liliunganishwa na ban ...

Ugonjwa wa corona Afrika Kusini 2020

Ugonjwa wa corona Afrika Kusini 2020 ni sehemu ya janga linaloendelea la ugonjwa wa Coronavirus 2019 unaosababishwa na ugonjwa mkali wa kupumua coronavirus 2. Mnamo Machi 5, 2020, Waziri wa Afya Zweli Mkhize alithibitisha kuenea kwa virusi hivyo ...

Numidia

Numidia ni eneo la kihistoria katika Afrika ya Kaskazini. Leo hii ni sehemu ya nchi za Tunisia na Aljeria. Ilijulikana katika karne za KK kama eneo la Wanumidia waliokuwa tawi la Waberberi. Baada ya kufika kwa Wafinisia waliounda makoloni kama Ka ...

Habsburg

Nyumba ya Habsburg ilikuwa nasaba ya watawala wa Austria tangu mwaka 1278 hadi 1918. Kuanzia 1438 hadi 1806 makaisari wa Dola Takatifu la Kiroma walikuwa Wahabsburg isipokuwa katika kipindi cha Kaisari Karolo VII. Kiasili familia ya Habsburg wali ...

Panonia

Panonia ilikuwa jimbo la Dola la Roma kuanzia mwaka 9 KK hadi 433. Eneo lake lilipakana na milima ya Alpi upande wa magharibi na mto Danubi upande wa kaskazini na mashariki. Leo hii eneo lake lakaliwa na Hungaria ya magharibi, Burgenland ya Austr ...

Dahomey

Dahomey ilianzishwa na Waaja baada ya uhamisho wao kutoka Togo kuja Benin ya leo. Jina la Dahomey linasemekana kuwa limetokana na neno la Kifon la "dan" lenye maana ya "nyoka" - dokezo la ibada ya nyoka kusini mwa nchi. Jina la mfalme wa kwanza n ...

Thrakia

Thrakia ni eneo la kijiografia na kihistoria katika Ulaya ya Kusini-Mashariki, ambalo limegawanyika sasa kati ya Bulgaria, Ugiriki, na Uturuki. Imepakana na Milima ya Balkani upande wa kaskazini, Bahari ya Aegean upande wa kusini, na Bahari Nyeus ...

Urundi

Urundi ni jina la kihistoria kwa nchi ya Burundi. Wajerumani waliita nchi "Urundi" walipoanza kueneza utawala wao juu ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia eneo hili lilivamiwa na jeshi la Ubelgiji kutoka kol ...

Manchuria

Manchuria ni jina la kihistoria kwa eneo katika kaskazini-mashariki ya China. Leo hii limegawiwa katika majimbo ya Heilongjiang, Jilin na Liaoning. Kabla ya 1858 maeneo ya Siberia ya kusini-mashariki ngambo ya mto Amur yalihesabiwa pia kuwa sehem ...