ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 36

Uendo wa historia ya Tanzania

Uendo wa historia ya Tanzania unaeleza mfululizo wa matukio makubwa yanayohusu wananchi wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na Zanzibar, na eneo la zamani la Tanganyika na maeneo yanayoizunguka Tanzania kabla ya ukoloni wa Kizungu. Ushahidi wa kiakioloj ...

Hermann von Wissmann

Hermann von Wissmann ; † 15 Juni 1905 katika Austria) alikuwa Mjerumani aliyejulikana kama mpelelezi wa Afrika, mwanajeshi na gavana wa pili wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani kati ya 26 Aprili 1895 hadi 3 Desemba 1896. Aliongoza jeshi la Kijer ...

Karthago

Karthago zaidi ya miaka 2000 iliyopita ulikuwa mji mkubwa katika Afrika ya Kaskazini karibu na Tunis ya leo nchini Tunisia. Maghofu yake yameorodheshwa na UNESCO kama urithi wa dunia.

Versailles

Versailles ni mji wa Ufaransa karibu na mji mkuu wa Paris mwenye wakazi 86.000. Ni maarufu kutokana na jumba la kifalme lililojengwa hapa na mfalme Louis XIV wa Ufaransa alipopeleka mji mkuu hapa kutoka Paris. Jumba hili lilikuwa baadaye kielelez ...

Kabaka

Kabaka ni cheo cha mfalme wa Buganda ambayo ni ufalme ndani ya jamhuri ya Uganda. Cheo kingine pamoja na Kabaka ni Ssebataka. Tangu mwisho wa karne ya 19 Makabaka wamekuwa Wakristo Waanglikana wakipokea taji katika kanisa kuu la Kianglikana la Ka ...

Alice Lakwena

Alice Lakwena alikuwa kiongozi wa kiroho kati ya Waacholi wa Uganda aliyeanzisha kundi la "Harakati ya Roho Mtakatifu" na kuendesha vita vya msituni dhidi ya serikali ya rais Yoweri Museveni kuanzia Agosti 1986 hadi Novemba 1987.

Ufalme wa Bunyoro

Ufalme wa Bunyoro linapatikana mashariki mwa Uganda na linaongozwa na mfalme, kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara. Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi i ...

Guinea Mpya ya Kiholanzi

Guinea Mpya ya Kiholanzi ilikuwa koloni la Uholanzi kwenye sehemu ya magharibi ya kisiwa cha Guinea Mpya kutoka mwaka 1949 hadi 1962. Leo hii ni sehemu ya Indonesia ikiwa ni majimbo ya Papua na Papua Magharibi. Ilikaliwa tangu milenia kadhaa na W ...

William Wallace

William Wallace alikuwa askari wa Uskoti ambaye alipigana na Mfalme wa Uingereza Edward I kwenye Karne za kati. Alizaliwa mnamo 1272, akanyongwa na Waingereza tarehe 23 Agosti 1305. Scotland ilikuwa inadaiwa na Edward, ambapo Wallace akakataa kum ...

Prussia Mashariki

Prussia Mashariki ilikuwa jimbo la kihistoria katika dola la Prussia katika Ujerumani hadi mwaka 1945. Leo hii eneo lake limegawiwa kati ya mkoa wa Kaliningrad wa Urusi na mkoa wa Warmia i Mazury katika Poland. Prussia Mashariki ilikuwa chanzo ch ...

Dola la Tatu

Dola la Tatu ilikuwa jina la kutaja Ujerumani wakati wa utawala wa Adolf Hitler na chama chake cha NSDAP kati ya 1933 na 1945. Haikuwa jina rasmi lakini likatumiwa na Hitler mwenyewe na wenzake. Hitler alichukua utawala juu ya Dola la Ujerumani a ...

Dola la Ujerumani

Dola la Ujerumani lilikuwa jina la Ujerumani kati ya 18 Januari 1871 hadi 1949. Dola hili lilikuwa na vipindi vitatu:

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani ilikuwa jina la dola katika mashariki ya Ujerumani kati ya 1949 - 1990. Iliundwa 7 Oktoba 1949 katika eneo la ukanda wa utawala wa Kirusi kama nchi mshindi wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Dola hili lilijulikana ...

Jamhuri ya Weimar

Mapinduzi ya Kijerumani ya Novemba 1918 yalimaliza utawala wa Kaisari katika Dola la Ujerumani baada ya kushindwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Ujerumani ikawa jamhuri, lakini bado iliitwa "Deutsches Reich" Dola la Ujerumani. Kipindi kilichofuata ...

Mein Kampf

Mein Kampf ni kitabu kilichoandikwa na Adolf Hitler kabla ya kushika utawala wa Ujerumani. Alieleza humo mawazo yake juu ya siasa, historia na dunia kwa jumla. Hitler aliandika kitabu cha kwanza cha Mein Kampf gerezani alipofungwa baada ya jaribi ...

Prussia

Prussia ni jina muhimu katika historia ya Ujerumani pia ya Poland na Ulaya wote. Katika karne ya 19 hadi 1933 sehemu kubwa ya Ujerumani ilikuwa chini ya dola la Prussia lililokuwa awali nchi ya pekee na baadaye jimbo kubwa la Ujerumani.

Prussia ya Magharibi

Prussia ya Magharibi ilikuwa jimbo la kihistoria kwenye dola la Prussia katika Ujerumani kuanzia mwaka 1772 hadi mwaka 1945. Leo hii eneo lake ni sehemu ya mkoa wa Pomerania katika Poland. Hadi mwaka 1772 maeneo ya Prussia ya Magharibi yalikuwa c ...

Sachsen-Weimar

Sachsen-Weimar ilikuwa moja kati ya maeneo ya watemi wadogo wa Ujerumani ndani ya Dola Takatifu la Kiroma. Ilikuwepo ndani ya eneo la Thuringia ya leo. Utemi huu ulitokana na kugawiwa kwa urithi wa mtemi Ernest wa Saksonia mwaka 1572. Mji mkuu ul ...

Shirikisho la Ujerumani

Shirikisho la Ujerumani ilikuwa ushirikiano wa nchi za Ulaya ya Kati hasa za shemu za Ujerumani baada ya Mkutano wa Vienna 1815 hadi vita ya Prussia na Austria ya 1866. Nchi hizi ziliwahi kuwa sehemu za Dola Takatifu la Kiroma hadi 1806 iliyokwis ...

Sturmabteilung

Sturmabteilung ilikuwa kitengo cha wanamigambo wa chama cha NSDAP cha Adolf Hitler katika Ujerumani kuanzia 1921 hadi 1945.

Ujerumani ya Magharibi

Kati ya 1949 na 1990 ilikuwa jina la dola katika magharibi na kusini ya Ujerumani. Iliundwa katika maeneo ya kanda za utawala wa nchi washindi wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Marekani, Uingereza na Ufaransa. Dola hili lilijulikana pia kama Ujerumani ...

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine ilikuwa kati ya jamhuri wanachama 15 za Umoja wa Kisovyeti hadi mwaka 1991. Jina lake liliandikwa kwa alfabeti ya Kikirili katika lugha ya Kiukraine: "Українська Радянська Соціалістична Республіка, УРС ...

Nikon wa Urusi

Nikon alikuwa Patriarki wa saba wa Moscow na Urusi wote wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, akihudumu rasmi kutoka 1652 hadi 1666. Alisifika kuwa na uwezo wa kuhubiri, nguvu yake ya kufuatilia shabaha, uchaji Mungu na uhusiano wake wa karibu na T ...

Wickiana

Wickiana ni mkusanyiko wa kurasa moja iliyoandikwa na Johann Jakob Wick ambayo yamewekwa katika juzuu 24 kati ya 1560 na 1587. Ni chanzo muhimu kwa kipindi cha Matengenezo ya kiprotestanti katika Uswisi. Wick aliishi Zurich iliyoongozwa na Heinri ...

Aydın

Aidın ni mji mkuu wa Mkoa wa Aydın wa nchini Uturuki. Aidın ni kitovu cha mabonde madogo ya Mto Meander kuelekea chini ya Bahari ya Aegean. Mji unafahamika toka zama za kale kwa kuwa na rutuba na mazao mengi. Leo hii zao kubwa lifahamikalo kwa hu ...

Kilikia

Kilikia ni eneo la kusini mashariki mwa rasi ya Anatolia. Kadiri ya Agano Jipya, Mtume Paulo alizaliwa huko, katika mji mkuu, Tarso.

Likaonia

Likaonia kwa Kigiriki: Λυκαονία, Lykaonia ilikuwa eneo la rasi ya Anatolia leo nchini Uturuki kaskazini kwa Milima ya Taurus. Ilipakana na Kapadokia, Galatia, Frigia, Pisidia na Kilikia. Ilibaki huru hadi mwaka 200 KK hivi. Mtume Paulo pamoja na ...

Pisidia

Pisidia kwa Kigiriki: Πισιδία, Pisidía ilikuwa eneo la rasi ya Anatolia leo nchini Uturuki kaskazini kwa Lycia. Kadiri ya Matendo ya Mitume, Mtume Paulo pamoja na Barnaba walifanya umisionari huko.

Sivas

Sivas ni jina la mji uliopo nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Sivas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi ilihesabiwa kufikia 296.402. Mji upo mita 1.285 juu ya usawa wa bahari.

Miaka ya 1960 Nchini Zimbabwe

’’Matukio ya miaka ya 1960 nchini Zimbabwe’’’ yanaanza wakati Zimbabwe bado haijapata uhuru. Mnamo 9 Mei,1960 mchezaji wa criketi wa Zimbabwe Iain Peter Butchart, alizaliwa katika mji wa Bulawayo. Matangazo ya Televisheni yalianzoshwa mnamo Nvemb ...

Lobengula

Lobengula Khumalo alikuwa mfalme wa pili na wa mwisho wa Wandebele Jina "Lobengula" linamaanisha "Aliyekuwa mgonjwa".

776 KK

Ugiriki: Michezo ya Olimpiki ya kwanza ambayo kumbukumbu yao imeandikwa. Michezo hii huaminiwa kuwa na historia ndefu zaidi lakini hakuna kumbukumbu ya mapema. Mwanzo wa hesabu ya kwanza ya miaka katika kalenda ya kigiriki kufuatana na vipindi vy ...

331 KK

Januari: Mji wa Aleksandria unaundwa na Aleksander Mkuu 1 Oktoba - Alexander Mkuu ashinda jeshi la Uajemi kwenye mapigano ya Gaugamela; mfalme mkuu Dareios III apaswa kutoroka, Aleksander aingia Babeli

332 KK

Aleksander Mkuu anavamia Shamu, Palestina na Misri. Wayahudi wanamkubali kama mtawala mkuu na makuhani wa Misri wanampokea kama Mungu aliye hai. Mfalme wa Uajemi Dareios III ni tayari kushirikiana utawala wake na Aleksander asiyekubali.

333 KK

Publius Cornelius Rufinus anachaguliwa kuwa dikteta wa jamhuri ya Roma.

40

Dola la Roma: Kaisari Claudius aingiza Afrika ya kaskazini-mashariki katika milki kwa kuunda majimbo ya Mauretania Tingitana leo:Moroko na Mauretania Caesariensis leo: Algeria

97

Halmashauri ya sanhedrini ya Jamnia pamoja na cheo cha Nasi yatambuliwa na Kaisari Nerva kama mwakilishi wa Wayahudi katika Dola la Roma. 28 Oktoba - Kaisari Nerva wa Roma amteua Traiano kama mfuasi wake kwa kusudi la kuzuia uasi wa kijeshi. Kolo ...

1066

Ulaya - Uingereza: 25 Desemba - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza. 14 Oktoba - Mapigano ya Hastings; jeshi lililochoka la Uingereza linashindwa na Wanormandy chini ya William Mshindi. Uingereza unatekwa na Wanorman ...

1492

31 Julai - Wahayudi wanafukuzwa Hispania 12 Oktoba - Kristoforo Kolumbus anafika kwenye visiwa vya Karibi akiamini ya kwamba amefika Uhindini. Sultani Bayazid II wa Dola la Uturuki anatuma meli zake kwa shabaha ya kupokea Wayahudi wanaofukuzwa Hi ...

1509

2 Februari – Mapigano ya Diu: Wareno wanaushinda muungano wa Wahindi, Waislamu na Waitalia. 21 Aprili – Henry VIII anakuwa Mfalme wa Uingereza kwa miaka 38 kwa kutokana na kifo cha baba yake, Henry VII. 27 Aprili – Papa Julius II anaiwekea Venice ...

1556

23 Januari - tetemeko la ardhi katika eneo la Shaanxi nchini Uchina wakati wa utawala wa Jiajing; asilimia 60 za wakaazi wa Shaanxi walifariki; jumla ya waliopoteza maisha ni watu takriban 830.000

1616

27 Machi - Beata Maria de Jesus Ruano, mwandishi wa kikristo kutoka Hispania Desemba - Bartolomé Esteban Murillo, mchoraji kutoka Hispania bila tarehe Antonio de Bellis, mchoraji kutoka Italia

1640

1 Desemba - João IV Yohane IV amekuwa mfalme wa Ureno akimaliza kipindi cha maungano ya kifalme wa Ureno na Hispania; ni siku ya Ureno kuwa nchi huru tena.

1695

Kuanzishwa kwa Ufalme wa Ashanti. Kufuatana na mapokeo ya Waashanti mfalme wa Kumasi au:Kumasihene Osei Kofi Tutu I alipokea "kikalio cha dhahabu" kama alama ya kuteuliwa na mbinguni lakini hali halisi kiti kilitengenezwa na kuhani Okomfo Anokye. ...

1752

Makala hii inahusu mwaka 1752 BK. 1752 MDCCLII ulikuwa mwaka mrefu kuanzia Jumamosi ya kalenda ya Gregori na mwaka mrefu kuanzia Jumatano ya kalenda ya Julian, mwaka wa 1752 wa hesabu baada ya Kristo. Katika Milki ya Uingereza, ulikuwa mwaka peke ...

1800

25 Oktoba - Jacques Paul Migne, padre Mkatoliki kutoka Ufaransa 27 Oktoba - Benjamin Wade 22 Septemba - George Bentham 2 Oktoba - Nat Turner 19 Julai - Juan Jose Flores 9 Oktoba - Mtakatifu Justino de Jacobis, askofu Katoliki nchini Ethiopia 7 Ja ...

1811

Amerika ya Kusini: mapinduzi katika nchi mbalimbali dhidi ya utawala wa Hispania 15 Mei: Paraguay inajipatia uhuru kutoka Hispania. 18 Mei wanamigambo wa Uruguay chini ya José Gervasio Artigas wanashinda jeshi la Hispania. 5 Julai: Venezuela na B ...

1817

Shaka Zulu anawashinda Wandandwe kwenye mapigano ya kilima cha Gqokli eneo la Afrika Kusini akitumia mbinu za kijeshi alizozijifunza alipokuwa chini ya Dingiswayo.

1821

27 Septemba - Hispania inatambua uhuru wa Mexiko katika mkataba wa Cordoba 28 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar. 15 Septemba - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka kwa ...

1830

Marekani: Kitabu cha Mormoni chatolewa na Joseph Smith, Mdogo anayedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa mabamba ya dhahabu aliyopewa na malaika wa Mungu. Omani/Zanzibar: Sultani Sayyid Said anahamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja Zanzibar. An ...