ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 38

1848

1 Mei - James Ford Rhodes, mwanahistoria kutoka Marekani 28 Mei - Mtakatifu Maria Bernarda Buetler, bikira Mfransisko mmisionari kutoka Uswisi 16 Februari - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa

1850

16 Desemba - Hans Buchner daktari Mjerumani 25 Agosti - Charles Richet mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1913 15 Julai - Mtakatifu Frances Cabrini, bikira kutoka Italia na mmisionari nchini Marekani

1852

11 Mei - Charles Fairbanks, Kaimu Rais wa Marekani 28 Septemba - Henri Moissan mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906 26 Januari - Pierre Brazza 19 Desemba - Albert Abraham Michelson mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1907 2 Ok ...

1856

9 Juni - Wamormoni 500 wanatoka mji wa Iowa City katika jimbo la Iowa na kuelekea magharibi kwenda mji wa Salt Lake City katika jimbo la Utah wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.

1857

2 Juni - Karl Gjellerup mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917 27 Novemba - Charles Sherrington mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932 13 Mei - Sir Ronald Ross mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902 31 Mei - Papa Pius ...

1858

23 Aprili - Max Planck mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918 23 Machi - Ludwig Quidde 4 Oktoba – Michael Pupin mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1924 11 Agosti - Christiaan Eijkman mshindi wa Tuzo ya N ...

1860

25 Januari - Charles Curtis, Kaimu Rais wa Marekani 23 Novemba - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921 13 Septemba - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani 6 Septemba - Jane Addams mshindi ...

1861

19 Juni - José Rizal, mwandishi mzalendo kutoka Ufilipino 20 Juni - Frederick Hopkins mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929 7 Mei - Rabindranath Tagore mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913 14 Novemba - Frederick Jackson Tur ...

1862

4 Septemba - Carl Velten mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili 2 Julai - William Henry Bragg mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915 5 Juni - Allvar Gullstrand mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911 29 Agosti - Maurice Maeterlinck ...

1865

27 Agosti - Charles Dawes mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925 25 Mei - John Mott mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946 2 Novemba - Warren G. Harding, Rais wa Marekani 1921-23 1 Aprili - Richard Zsigm ...

1866

11 Machi - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa 25 Septemba - Thomas Hunt Morgan mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1933 21 Septemba - Charles Nicolle mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928 12 Agosti - Jacinto Benavente mshind ...

1867

23 Aprili - Johannes Fibiger mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926 18 Januari - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua 14 Agosti - John Galsworthy mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932 8 Januari - Emily Balch mshindi wa Tuzo ...

1868

9 Desemba - Fritz Haber mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918 22 Novemba - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani 31 Januari - Theodore William Richards mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914 22 Machi - Robert Millikan mshindi wa ...

1869

14 Februari - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927 2 Oktoba - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi 22 Novemba - Andre Gide mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947 30 ...

1870

30 Septemba - Jean Perrin mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926 22 Aprili - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti hadi 1924 13 Juni - Jules Bordet mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919 22 Oktoba - Ivan Bunin mshindi ...

1871

17 Agosti - Jesse Lynch Williams, mwandishi kutoka Marekani 2 Oktoba - Cordell Hull mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1945 23 Agosti - Jack Butler Yeats mchoraji kutoka Ireland 10 Julai - Marcel Proust, mwandishi ...

1873

26 Desemba - Norman Angell 20 Januari - Johannes Vilhelm Jensen mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1944 13 Agosti - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini 7 Desemba - Willa Cather, mwandishi kutoka Marekani 1 Aprili - Sergei R ...

1874

27 Agosti - Carl Bosch mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931 9 Februari - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani 15 Novemba - August Krogh mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920 30 Novemba - Winston Churchill Waziri Mkuu wa Uinger ...

1875

14 Januari - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952 26 Julai - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi 9 Juni - Henry Dale mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba m ...

1876

25 Desemba - Adolf Windaus mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928 6 Septemba - John Macleod mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923 1 Julai – Susan Glaspell mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1931 23 ...

1877

2 Septemba - Frederick Soddy mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921 7 Juni - Charles Glover Barkla mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917 24 Novemba - Alben Barkley, Kaimu Rais wa Marekani 4 Juni - Heinrich Otto Wieland mshind ...

1879

8 Machi - Otto Hahn mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944 1 Julai - Leon Jouhaux 2 Oktoba - Wallace Stevens, mshairi kutoka Marekani 31 Agosti - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani 5 Oktoba - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba m ...

1881

31 Januari - Irving Langmuir mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932 17 Machi - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949 25 Oktoba - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania 22 Oktoba - Clinton Davisson mshindi wa Tuzo y ...

1882

17 Juni - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi 11 Desemba - Max Born mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954 2 Februari - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire 30 Januari - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani 1933-45 26 Agos ...

1883

8 Oktoba - Otto Warburg mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931 2 Novemba - Martin Flavin, mwandishi kutoka Marekani 24 Juni - Victor Hess mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936 3 Julai - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kut ...

1885

Uhindi: Kuundwa kwa INC Indian National Congress kama chama cha kwanza cha kisasa cha kupigania uhuru wa Uhindi. 27 Februari - Hati ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani kwa ajili ya mikataba ya Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ni chanzo cha ko ...

1886

30 Oktoba - Zoe Akins, mwandishi kutoka Marekani 26 Septemba - Archibald Vivian Hill mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922 20 Novemba - Karl von Frisch mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973 8 Machi - Edward Kendall mshindi wa T ...

1887

31 Mei - Saint-John Perse mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960 4 Februari - Iyasu V wa Uhabeshi 22 Julai - Gustav Hertz mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925 12 Agosti - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizik ...

1888

16 Septemba - Frans Eemil Sillanpää mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939 5 Julai - Herbert Spencer Gasser mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944 7 Novemba - Chandrasekhara Raman mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 19 ...

1889

16 Aprili - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria 5 Agosti - Conrad Aiken, mwandishi kutoka Marekani 16 Aprili - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza 30 Novemba - Edgar Adrian mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 19 ...

1890

13 Oktoba – Conrad Michael Richter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1951 15 Mei - Katherine Anne Porter, mwandishi kutoka Marekani 31 Machi - Lawrence Bragg mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915 21 Desemb ...

1891

12 Oktoba - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani 14 Novemba - Frederick Banting mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923 5 Julai - John Howard Northrop mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946 20 Oktoba - Samuel Flagg Bemis, mw ...

1892

6 Septemba - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947 3 Januari - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete 22 Februari - Edna St. Vincent Millay, mshairi wa kike kutoka Marekani 18 Machi - R ...

1893

10 Novemba - John P. Marquand, mwandishi kutoka Marekani 13 Novemba - Edward Doisy mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943 12 Februari - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani 16 Septemba - Albert Szent-Györgyi mshindi wa Tuzo ...

1895

8 Julai - Igor Tamm mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958 15 Januari - Artturi Ilmari Virtanen mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945 3 Juni - Robert Hillyer, mshairi kutoka Marekani 1 Mei - Leo Sowerby 28 Februari - Marcel P ...

1896

7 Juni - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966 28 Februari - Philip Hench mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950 8 Agosti – Marjorie Rawlings mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939 2 ...

1897

16 Juni - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979 4 Februari - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani 1963-1966 15 Agosti - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929 9 Novemba - Ronald Norrish, m ...

1898

kati ya Machi na Mei - Hastings Kamuzu Banda, rais wa Malawi 1966-1994 29 Julai - Isidor Rabi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1944 24 Agosti - Albert Claude mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974 22 Julai - Stephen Vincent ...

1899

13 Novemba - Huang Xianfan, mwanahistoria kutoka China 13 Machi - John Van Vleck mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977 13 Agosti - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza 10 Aprili - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urus ...

1900

25 Aprili - Wolfgang Pauli mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945 16 Februari - Albert Hackett, mwandishi kutoka Marekani 17 Mei - Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979 30 Oktoba - Ragnar Granit, ...

1901

4 Agosti - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz) 27 Desemba - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani 18 Mei - Vincent du Vigneaud, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1955) 23 Septemba - Jaroslav Seifert, ms ...

1902

16 Juni - Barbara McClintock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1983 17 Novemba - Eugene Wigner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963 24 Septemba - Ruhollah Khomeini, kiongozi wa dini na wa serikali nchini Uajemi 1979-1989 8 ...

1903

7 Novemba - Konrad Lorenz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973 6 Oktoba - Ernest Walton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951 22 Oktoba - George Beadle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958 26 Agosti - Caroline ...

1904

22 Novemba - Louis Neel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970 16 Agosti - Wendell Stanley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946 2 Machi - Theodor Seuss Geisel anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto ...

1905

14 Machi - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa 24 Septemba - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959 24 Agosti - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi 29 Julai - Stanley Kunitz, mshairi kutoka Marekani 25 Julai - Elias Can ...

1906

6 Septemba - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970 11 Juni - Nicolaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini 28 Juni - Maria Goeppert-Mayer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963 2 Julai - Hans Bethe, mshindi wa Tuzo ...

1907

6 Julai - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko 25 Juni - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963 21 Februari - W. H. Auden, mshairi kutoka Uingereza na Marekani 23 Januari - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya ...

1908

6 Agosti - Will Lee, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 25 Mei – Theodore Roethke, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954 8 Julai - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani 13 Novemba – Comer Vann Woodward, mwanahi ...

1909

1 Januari - Shaaban Robert, mshairi maarufu wa Tanzania 30 Mei - Benny Goodman, mwanamuziki kutoka Marekani 21 Septemba - Kwame Nkrumah Rais wa kwanza wa Ghana 18 Februari – Wallace Stegner, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, m ...

1910

23 Machi - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani 12 Juni - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria 12 Mei - Dorothy Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964 19 Oktoba - Subrahmanyan Chandrasekhar, mshindi wa Tuzo ya Nobe ...