ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 39

1912

21 Januari - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964 28 Mei - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973 30 Agosti - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952 12 Julai - Kardinali ...

1913

7 Novemba - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957 10 Oktoba - Claude Simon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985 3 Juni - Jack Cope, mwandishi wa Afrika Kusini 10 Novemba - Karl Shapiro, mshairi kutoka Mareka ...

1914

28. Juni: Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria anauawa mjini Sarajevo. Oktoba: Milki ya Osmani inajiunga na vita upande wa Ujerumani. 28. Julai: Austria inatangaza hali ya vita dhidi ya Serbia. 3 Septemba - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV Agosti: vi ...

1915

19 Novemba - Earl Sutherland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971 16 Februari - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini 30 Novemba - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983 28 Februari - Peter Medawar, mshindi ...

1916

11 Julai - Aleksander Prokhorov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964 12 Januari - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini 8 Juni - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962 11 Mei - Camilo Jose ...

1917

25 Aprili - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz 8 Januari - Peter Taylor, mwandishi kutoka Marekani 26 Aprili - Ieoh Ming Pei, msanifu majengo kutoka China na Marekani 17 Julai - Phyllis Diller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani ...

1918

28 Mei - Nchi ya Armenia inatangazwa kuwa jamhuri. 9 Novemba - Mfalme Mkuu Wilhelm II wa Ujerumani anajiuzulu, na Ujerumani unatangazwa kuwa jamhuri. Novemba: Mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia

1919

28 Juni - - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kati ya Ujerumani na washindi 19 Agosti - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza. 31 Oktoba - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki.

1920

6 Aprili - Edmond Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992 29 Agosti - Charlie Parker, mwanamuziki kutoka Marekani 6 Desemba - Dave Brubeck, mwanamuziki wa Marekani 13 Novemba - Jack Elam, mwigizaji filamu kutoka Marekani 9 Januari ...

1921

3 Novemba - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani 15 Mei - Jack Steinberger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988 19 Julai - Rosalyn Yalow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977 15 Julai - Robert Merrifield, msh ...

1922

13 Juni - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini 9 Septemba - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989 19 Oktoba - Elsa Joubert, mwandishi wa Afrika Kusini 20 Machi - Carl Reiner, mwigizaji wa filamu kutoka Mareka ...

1923

21 Julai - Rudolph Marcus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1992 20 Novemba - Nadine Gordimer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1991 25 Januari - Arvid Carlsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000 15 Agosti - Ro ...

1924

10 Januari - Max Roach, mwanamuziki kutoka Marekani 12 Juni - George H. Bush, Rais wa Marekani 1989-93 19 Agosti - Willard Boyle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2009 1 Oktoba - Jimmy Carter, Rais wa Marekani 1977-81 28 Novemba - Den ...

1925

8 Mei - Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania 1985-1995 19 Mei - Malcolm X 11 Juni - William Styron, mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968 12 Machi - Leo Esaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973 1 ...

1926

6 Agosti - Gertrude Ederle ni mwanamke wa kwanza kuvuka mlangobahari kati ya Uingereza na Ufaransa kwa kuogelea. 15 Novemba - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926, mtangulizi wa ...

1927

14 Oktoba - Roger Moore, mwigizaji filamu kutoka Uingereza 13 Desemba - James Wright, mshairi kutoka Marekani 7 Aprili - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria 8 Oktoba - César Milstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984 29 ...

1928

9 Novemba - Anne Sexton, mshairi kutoka Marekani 30 Oktoba - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978 27 Agosti - Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa Kizulu na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini 12 Julai - Elias Corey, mshindi wa ...

1929

kuanzia Juni uchumi wa Marekani ulianza kuporomoka haraka na kusababisha Mdororo Mkuu katika uchumi za nchi zote duniani zilizofuata ubepari 11 Februari - Mkataba wa Lateran kati ya serikali ya Italia na Papa kuhusu mamlaka ya Mji wa Vatikani 29 ...

1930

24 Oktoba - Jack Angel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 23 Januari - Derek Walcott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1992 15 Machi - Martin Karplus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2013 24 Machi - Steve McQueen, mwigiz ...

1931

22 Machi - Burton Richter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976 19 Septemba - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani 15 Novemba - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya Septemba - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania 29 ...

1932

17 Agosti - Abebe Bikila, mwanariadha Mhabeshi) 17 Agosti - Vidiadhar Naipaul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001 18 Machi - John Updike, mwandishi kutoka Marekani 18 Juni - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwak ...

1933

23 Machi - mwisho wa maharamisho ya pombe nchini Marekani sheria ya kitaifa tangu 1920 30 Januari - Adolf Hitler aliteuliwa kuwa Chansella wa Ujerumani.

1934

25 Agosti - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil 21 Septemba - David James Thouless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2016 13 Julai - Wole Soyinka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1986 9 Machi - Yuri Gagari ...

1935

19 Novemba - Cosmas Desmond, mwandishi wa Afrika Kusini 2 Juni - Carol Shields, mwandishi kutoka Marekani 9 Juni - Pius Msekwa, mwanasiasa kutoka Tanzania 12 Julai - Satoshi Omura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015 29 Mei - André Bri ...

1936

5 Desemba - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini 14 Septemba - Ferid Murad, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998 8 Juni - Kenneth Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982 15 Mei - Paul Zindel, mwandishi ...

1937

26 Juni - Robert Richardson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996 20 Februari - Robert Huber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988 17 Desemba - John Kennedy Toole, mwandishi kutoka Marekani 1 Juni - Morgan Freeman, mwigiza ...

1938

8 Aprili - Kofi Annan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hadi 2006 4 Oktoba - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002 1 Februari - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 5 Januari - Ngugi wa Thiongo, mwandishi M ...

1939

7 Mei - Sidney Altman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989 29 Machi - Terence Hill, mwigizaji wa filamu kutoka Italia 18 Novemba - John OKeefe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014 17 Septemba - Carl Dennis, mshairi kutoka M ...

1940

8 Desemba - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki nchini Tanzania 13 Oktoba - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani 9 Februari - John Maxwell Coetzee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2003 7 Julai - Ringo Starr, mwanamu ...

1941

7 Januari - John Walker, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997 24 Mei - Bob Dylan, mwanamuziki wa Marekani 30 Januari - Dick Cheney, Kaimu Rais wa Marekani 26 Juni - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar 1 Januari - Evaristo Marc Ch ...

1942

21 Juni - Henry S. Taylor, mshairi kutoka Marekani 18 Juni - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini 29 Septemba - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza 27 Novemba - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani 23 Januari - Salim Ahmed Salim, ...

1943

15 Aprili - Robert Lefkowitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012 29 Agosti - Arthur B. McDonald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2015 27 Oktoba - George Cain, mwandishi wa Marekani 11 Desemba - John Kerry, mwanasiasa kut ...

1944

19 Oktoba - Peter Tosh, mwanamuziki wa rege 16 Februari - Richard Ford, mwandishi kutoka Marekani 21 Oktoba - Jean-Pierre Sauvage, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016 9 Februari - Alice Walker, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ...

1945

1945 ilikuwa mwaka wa mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Majaribio ya Ujerumani na Japani ya kutawala dunia yalishindwa na mataifa yalitafuta ushirikiano mpya. Ilikuwa pia chanzo cha vita baridi kati ya vikundi wa washindi wa vita kuu baada ya ...

1946

14 Juni - Donald Trump, mfanyabiashara na Rais wa Marekani 26 Juni - Anthony John Valentine Obinna, askofu Mkatoliki kutoka Nigeria 18 Desemba - Steven Spielberg, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani 22 Septemba - King Sunny Adé, mwanamuziki wa N ...

1947

29 Oktoba - Gazeti la Salom limeanzishwa mjini Istanbul. 14 Agosti - Pakistan inatangazwa kuwa nchi huru 15 Agosti - Uhindi inatangazwa kuwa nchi huru

1948

11 Machi - Franz Lambert, mwanamuziki wa Ujerumani 10 Oktoba - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania 14 Januari - Carl Weathers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 20 Machi - John de Lancie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 5 Nove ...

1949

Jumuiya ya Kibritania inabadilisha jina kuwa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani Kuundwa kwa madola mawili katika Ujerumani yaani 23 Mei - Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani mji mkuu Bonn na 7 Oktoba - Jamhuri ...

1950

1 Januari - Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania 5 Aprili - Agnetha Fältskog, mwanabendi wa ABBA na mwanamuziki kutoka Uswidi 27 Agosti - Charles Fleischer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 9 Septemba - Zubain Muhaji Mhita, mwanas ...

1951

27 Aprili - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina 29 Desemba - Philip Sangka Marmo, mwanasiasa wa Tanzania 23 Julai - Edie McClurg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 3 Februari - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso 30 Mei - Mathias Chikawe ...

1952

10 Aprili - Steven Seagal, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 9 Novemba - Jack Szostak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009 15 Machi - Willy Puchner, msanii kutoka Austria 11 Mei - Mary Nagu, mwanasiasa wa Tanzania 1 Februari - Roger ...

1953

18 Juni - Nchi ya Misri imetangazwa kuwa jamhuri. 29 Mei - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani.

1954

8 Mei - John Michael Talbot, mwimbaji Mkristo kutoka Marekani 17 Julai - Angela Merkel, chansela wa Ujerumani tangu 2005 13 Julai - Sezen Aksu, mwanamuziki kutoka Uturuki 2 Julai - Omar Shabani Kwaangw, mwanasiasa wa Tanzania 14 Agosti - Agapiti ...

1955

17 Julai - Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, mwanasiasa wa Tanzania 17 Aprili - Kristine Sutherland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 19 Machi - Bruce Willis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 12 Desemba - Alfred Leonhard Maluma, askofu Mkatoli ...

1956

28 Februari - Lloyd Sherr, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 25 Mei - Rajab Hamad Juma, mwanasiasa kutoka Tanzania 17 Mei - Annise Parker, mwanasiasa wa Marekani 10 Novemba - Sinbad, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 22 Aprili - Monica Ngenzi ...

1957

14 Septemba - François Asselineau, mwanasiasa kutoka Ufaransa 20 Machi - Chris Wedge, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 23 Mei - Esterina Julio Kilasi, mbunge wa kike wa Tanzania 13 Januari - Claudia Emerson, mshairi kutoka Marekani 3 Machi - W ...

1958

7 Juni - Prince, mwanamuziki kutoka Marekani 20 Julai - Billy Mays, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 18 Agosti - Madeleine Stowe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 17 Juni - Mohamed A. Abdulaziz, mwanasiasa wa Tanzania 6 Septemba - Jeff Foxw ...

1959

10 Juni - Carlo Ancelotti, mchezaji mpira na meneja kutoka Italia 29 Oktoba - John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania tangu 2015 3 Agosti - Koichi Tanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002 9 Machi - Takaaki Kajita, mshindi wa Tuzo y ...

1960

26 Juni - Somalia ya Kiingereza inapata uhuru kutoka Uingereza 17 Agosti - Gabon - inapata uhuru kutoka Ufaransa 27 Aprili - Togo inapata uhuru Ufaransa Januari - Hali ya dharura inakwisha katika koloni la Kenya - vita ya Mau inatangazwa imemaliz ...

1961

9 Desemba - Nchi ya Tanganyika inapata uhuru kutoka Uingereza. 12 Aprili - Yuri Gagarin, rubani Mrusi, anafika katika anga-nje na kuzunguka dunia yote. 27 Aprili - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza.