ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 40

1963

25 Mei - Umoja wa Muungano wa Afrika kwa Kiingereza: Organisation of African Union - OAU unaundwa mjini Addis Abeba, Ethiopia 12 Desemba - Nchi ya Kenya inapata uhuru kutoka Uingereza.

1964

26 Aprili - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 24 Oktoba - Nchi ya Zambia inapata uhuru kutoka Uingereza. 6 Julai - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza.

1965

8 Desemba - Mtaguso wa pili wa Vatikano unamalizika. 18 Februari - Nchi ya Gambia inapata uhuru kutoka Uingereza. 11 Novemba - Nchi ya Rhodesia inapata uhuru kutoka Uingereza. Aprili - 23 Septemba vita ya pili ya Kashmir kati ya Uhindi na Pakista ...

1966

22 Agosti - GZA, mwanamuziki kutoka Marekani 21 Machi - DJ Premier, mwanamuziki kutoka Marekani 6 Februari - Rick Astley 30 Juni - Mike Tyson, mpiga ngumi kutoka Marekani 22 Agosti - Paul Ereng, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya 15 Aprili - Sa ...

1967

3 Desemba - Cape Town: daktari Christiaan Barnard anafaulu kuhamisha moyo wa mtu kwa mtu mwingine mara ya kwanza katika dunia. 30 Mei - Emeka Ojukwu anatangazwa kuwa rais wa Biafra. Uganda: Rais Milton Obote anawaondoa madarakani watawala wa kija ...

1968

5 Agosti - Marine Le Pen, mwanasiasa wa Ufaransa 7 Juni - Carla Marins, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil 7 Mei - Traci Lords 1 Juni - Jason Donovan 15 Novemba - Ol Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani 3 Desemba - Montell Jordan, mwanamuzik ...

1969

20 Julai - Wanaanga Neil Armstrong na Buzz Aldrin ni watu wa kwanza kufika kwenye uso wa mwezi. 1 Septemba - Mapinduzi ya Libya; maafisa chini ya Muammar al-Gaddafi wanampindua mfalme Idris I na kutangaza jamhuri.

1970

12 Januari - Raekwon, mwanamuziki kutoka Marekani 14 Desemba - Anna Maria Jopek, mwimbaji kutoka Poland 3 Januari - Boay Akonay, mwanariadha wa Tanzania 27 Machi - Mariah Carey, mwanamuziki wa Marekani 4 Februari - Simon Pegg, mwigizaji wa filamu ...

1971

25 Oktoba - Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa unaamua kuwa Jamhuri ya Watu wa China ni mwakilishi halisi wa China kwenye UM, na hivyo Jamhuri ya China inafukuzwa. 26 Machi - Nchi ya Bangla Desh inatangaza uhuru wake kutoka Pakistan. 15 Agosti - Nc ...

1972

14 Novemba - Josh Duhamel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 13 Mei - Giovanni Tedesco, mchezaji mpira wa Italia 23 Septemba - Jermaine Dupri, mwanamuziki kutoka Marekani 7 Agosti - Karen Disher, msanii wa kuchora kwa filamu kutoka Marekani 25 ...

1973

24 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inatangaza kuwa huru kutoka Ureno. 23 Januari - Agano la Amani la kusitisha Vita ya Vietnam lilitiwa sahihi mjini Paris; hata hivyo mapigano yakaendelea hadi 1975

1974

10 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno. 12 Septemba - Kaisari Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa na wanajeshi wa DERG.

1975

25 Juni - Nchi ya Msumbiji inapata uhuru kutoka Ureno. 11 Novemba - Nchi ya Angola inapata uhuru kutoka Ureno. 5 Julai - Visiwa vya Cabo Verde vinapata uhuru kutoka Ureno. 6 Julai - Visiwa vya Komori vinapata uhuru kutoka Ufaransa. 25 Novemba - N ...

1976

29 Desemba - Danny McBride, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 19 Julai - Diether Ocampo, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino 7 Mei - Carrie Henn, mwigizaji kutoka Marekani 15 Novemba - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya 10 Juni - Maria ...

1977

22 Januari - Hidetoshi Nakata, mchezaji wa mpira kutoka Japani 16 Aprili - Alek Wek, mrembo kutoka Sudan 8 Juni - Kanye West, mwanamuziki kutoka Marekani 10 Novemba - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani 11 Julai - Edward Moss, ...

1978

19 Juni - Zoe Saldana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 8 Mei - Baraka Makaba, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania 29 Desemba - Bonnah Kaluwa, mwanasiasa kutoka Tanzania 14 Oktoba - Usher Raymond, mwanamuziki kutoka Marekani 24 Januari - Kr ...

1979

1 Aprili - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu. 21 Septemba - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, inapinduliwa 11 Februari - Mapinduzi ya Uajemi

1980

22 Novemba - Carla Campbell, mwanamitindo kutoka Jamaika 24 Oktoba - Lucy Komba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania 25 Novemba - Aleen Bailey, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika 14 Septemba - Ayo, mwimbaji kutoka Ujerumani 29 Machi - Kim Tae ...

1981

31 Januari - Justin Timberlake, mwanamuziki kutoka Marekani 1 Aprili - Dan Mintz, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 30 Oktoba - Muna Lee, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani 8 Agosti - Roger Federer, mchezaji tenisi kutoka Uswisi 15 Mei - P ...

1982

5 Mei - Petr Čech, mchezaji wa mpira kutoka Ucheki 15 Aprili - Seth Rogen, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada 5 Desemba - Keri Hilson, mwanamuziki kutoka Marekani 21 Oktoba - Matt Dallas, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 5 Aprili - Lacey Duvall ...

1983

24 Juni - John Lloyd Cruz, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino 20 Agosti - Andrew Garfield, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 10 Machi - Lashinda Demus, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani 21 Septemba - Anna Favella, mwigizaji wa filamu kutok ...

1984

27 Julai - Neema Decoras, mwimbaji kutoka Tanzania 4 Aprili - Kristen Hager, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada 15 Aprili - Valery Nahayo, mchezaji mpira kutoka Burundi 14 Mei - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook 22 Februari - Shukuru ...

1985

29 Desemba - Kassim Bizimana, mchezaji mpira kutoka Burundi 9 Februari - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo 5 Februari - Cristiano Ronaldo, mchezaji wa mpira kutoka Ureno 14 Novemba - Thomas Vermaelen, mchezaji mpira wa Ubelgiji 22 ...

1986

26 Novemba - Ali Kiba, mwanamuziki kutoka Tanzania 10 Novemba - Samuel Wanjiru, mwanariadha kutoka Kenya 21 Agosti - Usain Bolt, mwanariadha kutoka Jamaika 13 Machi - Nina Sky, wanamuziki mapacha kutoka Marekani 26 Septemba - Brooke Allison, mwim ...

1987

18 Februari - Skin Diamond 9 Aprili - Blaise Matuidi, mchezaji mpira wa Ufaransa 17 Oktoba - Bea Alonzo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino 4 Aprili - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya 24 Juni - Lionel Messi, mchezaji wa mpira kutok ...

1988

9 Novemba - Cali Sweets, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 17 Desemba - David Rudisha, mwanariadha wa Kenya 20 Februari - Rihanna, mwimbaji kutoka Barbados 19 Desemba - Alexis Sanchez, mchezaji wa mpira kutoka Chile 2 Januari - Ruth Bosibori, m ...

1989

27 Julai - Savio Nsereko, mchezaji mpira kutoka Ujerumani 12 Desemba - Usama Mukwaya, mwigizaji wa filamu kutoka Uganda 7 Oktoba - Rose Ndauka, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania 4 Februari - Donald Ndombo Ngoma, mchezaji mpira nchini Tanzania 2 ...

1990

23 Agosti - Nchi ya Armenia inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti. 2 Februari - Rais F. W. de Klerk wa Afrika Kusini anatangaza ya kuwa ANC si marufuku tena. 11 Februari - Nelson Mandela anaachishwa gerezani baada ya kukaa miaka 27 jela.

1991

21 Septemba - Nchi ya Armenia inapata uhuru rasmi kutoka Umoja wa Kisovyeti. 8 Desemba - Mwisho wa Umoja wa Kisovyeti, kuundwa kwa Jumuiya ya nchi huria 21 Machi - Nchi ya Namibia inapata uhuru kutoka Afrika Kusini. 30 Agosti - Nchi ya Azerbaijan ...

1992

22 Julai - Selena Gomez, mwigizaji filamu kutoka Marekani 7 Januari - Mbwana Samatta, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania 1 Januari - Jack Wilshere, mchezaji mpira kutoka Uingereza 11 Februari - Taylor Lautner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 2 ...

1993

22 Septemba - Carlos Knight, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 2 Oktoba - Simon Msuva, mcheza mpira wa Tanzania 14 Juni - Thomas Ulimwengu, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania bila tarehe Phiona Mutesi, mchezaji wa sataranji kutoka Uganda

1994

7 Oktoba - Niels Jerne, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984 30 Septemba - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965 19 Agosti - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na wa Tuzo ya Nobel ya A ...

1995

20 Machi - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani 14 Mei - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972 21 Agosti - Subrahmanyan Chandrasekhar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983 16 Novemba - Charles Gor ...

1996

28 Januari - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987 26 Agosti - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi 9 Agosti - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua 13 Septemba - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutok ...

1997

2 Mei - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963 10 Januari - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957 24 Desemba - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani 12 Aprili - George Wald, mshindi wa T ...

1998

20 Desemba - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963 29 Mei - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani 27 Februari - George Hitchings, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988 16 Machi - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ...

1999

26 Julai – Jackson Bate, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1964 3 Machi - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971 22 Mei - Abdallah Rashid Sembe, mwanasiasa wa Tanzania 17 Desemba – Comer Van ...

2000

7 Februari - Big Pun, mwanamuziki kutoka Marekani 17 Novemba - Louis Neel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970 10 Februari - Jim Varney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 3 Desemba – Gwendolyn Brooks, mwandishi wa Marekani na mshi ...

2001

1 Julai - Nikolai Basov mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964 7 Februari - King Moody, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 31 Machi - Clifford Shull, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994 23 Julai - Eudora Welty, mwandishi ...

2002

22 Februari - Jonas Savimbi, mwanasiasa wa Angola 31 Agosti - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967 28 Julai - A.J.P. Martin mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952 17 Januari - Camilo Jose Cela mshindi wa Tuzo ya ...

2003

13 Oktoba - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994 30 Juni - Buddy Hackett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 6 Aprili - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria 27 Machi - Paul Zindel, mwandishi kutoka Mare ...

2004

13 Novemba - Ol Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani 12 Agosti - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979 14 Agosti - Czeslaw Milosz mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1980 29 Desemba - Julius Axelrod, ms ...

2005

2 Oktoba - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani 28 Juni - Geoffrey William Griffin, mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe, Kenya 2 Aprili - Mtakatifu Papa Yohane Paulo II 1978-2005, Papa wa kwanza kutoka Poland 20 Ju ...

2006

30 Desemba - Saddam Hussein, rais wa Iraki hadi mwaka 2003, ananyongwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa makosa ya jinai dhidi ya binadamu 20 Machi - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar 31 Mei - Raymond Davis, mshindi wa Tuzo y ...

2007

27 Machi - Paul Lauterbur, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003 18 Oktoba - Lucky Dube, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini 27 Desemba - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan aliuawa 17 Januari - Alice Lakwena wa Uganda 30 Julai - Ing ...

2008

1 Januari - Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya 29 Novemba - Jorn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark 15 Juni - Stan Winston, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani 11 Januari - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand na mtu wa kwanza kufika ki ...

2009

25 Juni - Michael Jackson, mwimbaji kutoka Marekani 26 Desemba - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini 30 Desemba - George Miok, mwanajeshi wa Kanada 18 Agosti - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini 1998-2003 14 Septemba - Patrick Swayze, m ...

2010

5 Januari - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 19 Aprili - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani 5 Septemba - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini 23 Oktoba - George Cain, mwandishi wa Marekani 18 Juni - Jose Sarama ...

2012

20 Oktoba - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1990 20 Agosti - Meles Zenawi, Waziri mkuu wa Ethiopia 1995-2012 3 Septemba - Michael Clarke Duncan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 21 Oktoba - G ...

2013

10 Aprili - Robert G. Edwards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2010 12 Oktoba - Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani 7 Februari - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania 20 Oktoba - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio ...