ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 41

2015

8 Julai - James Tate, mshairi wa Marekani 12 Septemba - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani 28 Februari - John Damiano Komba, mwanasiasa kutoka Tanzania 14 Februari - Philip Levine, mshairi kutoka Marekani 23 Desemba - Alfred Gilman, mshin ...

Shirikisho la Amerika ya Kati

Shirikisho la Amerika ya Kati, pia: Maungano ya majimbo ya Amerika ya Kati ilikuwa maungano ya maeneo ya Amerika ya Kati tangu 1823 hadi 1838. Likajumlisha nchi tano za Guatemala, El Salvador, Honduras, Nikaragua na Costa Rica. Kabla ya 1821 nchi ...

Khorezmia

Khorezmia ni eneo la kihistoria upande wa kusini wa Ziwa Aral. Kiini chake ni oasisi kubwa kwenye delta ya mto Amu Darya unapoingia Ziwa Aral. Upande wa mashariki kuna jangwa la Kyzylkum na upande wa magharibi nyanda za juu za Ustyurt. Leo hii en ...

Umedi

Umedi ilikuwa nchi na milki ya kihistoria na sehemu kubwa ya eneo lake lilikuwa ndani ya Uajemi ya magharibi ya leo. Kiasili ni jina la kujumlisha makabila mbalimbali yaliyofika katika Iran ya leo mnmao mwaka 2500 KK. Mnamo mwaka 600 Wafalme wa U ...

Vietnam Kaskazini

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Vietnam au Vietnam Kaskazini ilikuwa jina la dola kaskazini mwa Vietnam ya leo kati ya miaka 1946 na 1976. Jamhuri hiyo ilitangazwa na Ho Chi Minh baada ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia tarehe 2 Septemba 1945 mjin ...

Vietnam Kusini

Vietnam Kusini au Jamhuri ya Vietnam ilikuwa nchi katika nusu ya kusini ya Vietnam ya leo kati ya 1954 na 1976. Mji mkuu ulikuwa Saigon.

Gallia

Gallia ilikuwa jina la kilatini kwa ajili maeneo yaliyokaliwa na "Wagallia". Hili ilikuwa namna jinsi Waroma wa Kale walivyowaita majirani wao Wakelti. Kijiografia eneo hili lilijumlisha Ufaransa, Uswisi, Ubelgiji na Italia ya Kaskazini ya leo. W ...

Roma ya Kale

Roma ya Kale ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji Roma, ulioanzishwa katika rasi ya Italia kabla ya karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili cha uhai wake, ustaarabu wa Roma ulibadilika toka kuwa dola-mji, kwanza ufalme halafu jamh ...

Serbia na Montenegro

Serbia na Montenegro ilikuwa nchi ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani kati ya 2003 hadi 2006. Ilikuwa aina ya shirikisho la madola ya Serbia na Montenegro. Shirikisho hili lilikuwa yote yaliyobaki ya Yugoslavia ya awali. Serbia na Montenegro ziliwahi ...

Yugoslavia

Ilianzishwa kwa jina la "Ufalme wa Waserbia, Wakroatia na Waslovenia" mwaka 1918 baada ya kuporomoka kwa Austria-Hungaria. Ufalme huu uliunganisha nchi za awali za Serbia na Montenegro pamoja na sehemu za Dola la Austria zilizokaliwa na Waslavoni ...

Tamazight

Tamazight ni jina la kundi la lugha zinazotajwa pia kama lugha za Kiberber na kuzungumzwa hasa Moroko na Algeria lakini pia kati ya wakazi wa jangwa kubwa la Sahara hadi eneo la Sahel. Ni lugha ya Waberberi wanaoishi kati ya wasemaji wa Kiarabu k ...

Kiarabu

Kiarabu ni lugha ya Kisemiti inayotumiwa na watu milioni 206 kama lugha ya kwanza na milioni 246 wa ziada kama lugha ya pili. Ilhali kuna lahaja nyingi, Kiarabu sanifu ni lugha rasmi ya nchi 22 za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya Mkutano wa Kilel ...

Kigeez

Kigeez ni lugha ya kale ya Ethiopia iliyozungumzwa zamani za ufalme wa Aksum. Baadaye ilikuwa lugha ya kimaandishi nchini Ethiopia hadi karne ya 19 na hadi leo ni lugha ya liturgia katika kanisa la orthodoksi la Ethiopia. Huhesabiwa kati ya lugha ...

Kihispania

Kihispania ni lugha ya kimataifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 493; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 568 duniani wanaosema vizuri Kihispania.

Kifaransa

Kifaransa ni lugha ya Ufaransa, Ubelgiji ya Kusini, Uswisi ya Magharibi, Luxemburg na Kanada. Inazungumzwa pia katika nchi nyingi za Afrika kama vile Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Senegal, Mali, Shelisheli, Chad, n.k., Asia ya Kusini na Ameri ...

Kibukusu

Kibukusu ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wabukusu. Ni moja kati ya lugha zinazohusiana na Waluhya. Pia, inahusiana na lugha za Gisu na Masaaba za Uganda Mashariki: lugha hizo zote zinaweza kuelewana. Mwaka wa 2009 idadi ya wase ...

Kigusii

Kigusii ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wakisii. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kigusii imehesabiwa kuwa watu 2.205.000. Pia kuna wasemaji 300 tu nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthr ...

Kikuyu (lugha)

Kikikuyu ni lugha ya Kibantu inayojadiliwa na Wagikuyu ambao watu milioni 5.5 nchini Kenya ni lugha yenye wasemaji wengi katika nchi hii. Kama lugha ya Kibantu ni sehemu ya lugha za Niger-Kongo. Wasemaji wanaishi kiasili kwenye nyanda za juu za K ...

Kiteso

Kiteso ni lugha ya Nilo-Sahara, inayozungumzwa na kabila ya Wateso nchini Uganda na Kenya. Ni mmojawapo wa nguzo ya lugha za Kiteso-Kiturkana. Katika sensa ya watu ya mwaka wa 1991 idadi ya watu karibu 999.537 ilikuwa inazungumza lugha ya Kiteso ...

Kijerumani

Kijerumani deutsche Sprache) ni lugha ya Kigermanik ya magharibi katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Huzungumzwa hasa katika nchi za Ujerumani, Austria, Uswisi, Liechtenstein na Luxemburg. Kuna pia wasemaji asilia katika nchi jirani za Ujer ...

Kiajemi

Kiajemi au Farsi ni lugha ya taifa ya Uajemi. Ni kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi, ambazo tena ni kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Inaandikwa kwa herufi za Kiarabu ambamo herufi nne za ziadi zimeongezwa kwa kutaja sauti zizizoweza kuonyeshwa kwa ...

Kikazakhi

Kikazakhi ni moja ya lugha za Kiturki za magharibi nchini Kazakhstan, Uchina, Uajemi, Mongolia, Uturuki na Uzbekistan inayozungumzwa na Wakazakh. Kwa lugha yenyewe kuna majina "Қазақ Тілі kasak tili, Қазақша kazaksha kwa mwandiko wa kikirili; Qaz ...

Kiindonesia

Kiindonesia ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na watu milioni 23 hasa nchini Indonesia. Idadi ya wasemaji wa lugha za Kiindonesia ni takriban milioni 240.

Kihindustani

Kihindustani ni lugha ya pamoja katika kaskazini ya Uhindi na Pakistan. Inapatikana kwa umbo sanifu tofauti katika nchi hizo: Kiurdu katika Pakistan na Kihindi katika India. Kinahesabiwa kuwa kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi ndani ya lugha za Kih ...

Assia Djebar

Assia Djebar ni jina la kuandika la Fatima-Zohra Imalayen, yeye ni mwandishi wa riwaya, mtafsirishaji na mtengenezeji wa filamu. Kazi zake nyingine uhusu vikwazo vinavyowakumba wanawake, na anafahamika kwa mtazamo wake wa kuunga mkono wanawake. D ...

Mon copain de New-York City

Mon copain de New-York City ni kitabu kilichoandikwa na Amini Cishugi. Kitabu hiki ni cha pili katika mfululizo wa maandishi "Hadithi ya Anna Beckinsales Marie".

Baharia Sindbad

Baharia Sindbad ni jina la baharia na mshujaa wa hadithi kadhaa katika mkusanyiko wa fasihi ya Kiarabu unaopatikana katika kitabu cha Alfu Lela U Lela. Katika hadithi hizi Sindbad ni mtu wa mji wa Basra wakati wa Ukhalifa wa Waabbasi na hasa khal ...

Taa ya Alladin

Taa ya Aladin ni kisa kimoja kati ya hadithi ya mkusanyiko wa fasihi wa Alfu Lela U Lela. Aladdin ni kijana anayeambiwa na mchawi fulani kumchukulia taa ya mafuta kutoka pango moja. Mchawi anajaribu kumdangaya Aladdin kwa hiyo Aladdin hampi taa a ...

Ilias

Ilias au Iliadi ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa fasihi andishi ya utamaduni wa Ugiriki ya Kale. Ilitungwa kama utenzi wa fasihi simulizi na kuandikwa mnamo karne ya 8 KK ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24. Utenzi huu unasimulia matukio ya ...

Odisei

Odisei ni utenzi wa kale unaosimulia safari ya ajabu ya mfalme Odiseo wa kisiwa cha Ithaka wakati wa kurudi kutoka vita ya Troia. Ni kati ya mifano ya kale zadi ya fasihi ya Ugiriki ya Kale ikiaminiwa iliyotungwa na mshairi mashuhuri Homeri takri ...

Bwana wa Mapete

Bwana wa Mapete ni kichwa cha kitabu cha bunilizi ya kinjozi kilichoandikwa na J.R.R. Tolkien. Kwa asili, Tolkien alikiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha Mhobiti kilichokuwa kimetolewa mwaka 1937. Ila Bwana wa Mapete ikaendelea kuwa riwaya ...

Hadithi ya Anna Beckinsales Marie

Hadithi ya Anna Beckinsales Marie ni mfululizo wa riwaya za maigizo ya drama iliyoandikwa na mwandishi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Amini Cishugi. Riwaya zinaeleza maisha ya msichana Anna Beckinsales Marie, na jamaa yake kama vile wazazi n ...

Mambo Huangamia

Mambo Huangamia ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Kitabu hicho alichokiandika mwishoni mwa miaka ya 1950 kilitolewa mwaka wa 1958 na kumpatia jina kubwa duniani. Hicho, kinaaminika ndicho kitabu chake bora zaidi, ni kitabu kilichosomwa kwa ...

Pleasure of the Spirit and Eyes

Pleasure of the Spirit and Eyes ni riwaya iliyoandikwa na Amini Cishugi, iliyochapishwa kwa Kiingereza kwanza kwenye Wattpad mnamo Januari 2017. Hadithi hii inahusu mtoto yatima ambaye alipitishwa katika familia ya kigeni ambapo anakua hadi umri ...

William Shakespeare

William Shakespeare alikuwa mwandishi mashuhuri nchini Uingereza. Waingereza mara nyingi humtazama kuwa mwandishi mkuu wa lugha yao. Aliandika hasa maigizo na tamthiliya. Alifanya pia kazi ya uigizaji. Mwandishi huyo akiwa mdogo alikuwa anapenda ...

Majiji yasiyoonekana

Majiji yasiyoonekana ni kitabu cha hadithi kilichoandikwa na mwandishi toka Italia, Italo Calvino. Kitabu hiki kinaelezea mazungumzo kati ya msafiri Marco Polo kutoka mji wa Venice, Italia, na mfalme wa Mongolia, Kublai Khan. Kitabu kimeandikwa k ...

Hekaya ya Genji

Hekaya ya Genji ni kati ya riwaya za kwanza za fasihi ya Japani. Hadithi hii ya mwanamfalme Genji inasomwa na kuheshimiwa hadi leo katika utamaduni wa Japani. Iliandikwa na mwandishi wa kike Murasaki Shikibu mnamo mwanzo wa karne ya 11 BK.

Arthur Cornwallis Madan

Arthur Cornwallis Madan alikuwa mwanaisimu na mmisionari Mwanglikana anayejulikana hasa kwa utafiti wake wa lugha za Kiafrika na hasa kamusi za Kiswahili.

Charles Sacleux

Charles Joseph Sacleux alikuwa padre na misionari kutoka Ufaransa aliyekaa miaka mingi Afrika ya Mashariki hasa Bagamoyo. Anakumbukwa kwa utaalamu wake wa lugha na pia utafiti wake juu ya mimea ya Afrika. Sacleux alikuwa padre wa shirika ya Roho ...

English-Swahili Dictionary (TUKI)

KKK/ESD ni kifupi cha Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mara ya kwanza 1996. Toleo la pili lililoongezeka na kuwa na masahihisho likatolewa mwaka 2000. Toleo la tat ...

Kamusi Hai ya Kiswahili Mtandaoni

Kamusi Hai ya Kiswahili Mtandaoni ilikuwa kamusi ya Kiswahili kwenye intaneti. Tangu kuhamishwa kwa mradi mnamo mwaka 2014 haipatikani tena kwa lugha ya Kiswahili ikionyesha lugha nyingine. Ilijulikana kwa Kiingereza kama "Kamusi Global Online Li ...

Standard English-Swahili Dictionary

Madan-Johnsons Standard English-Swahili Dictionary iliandaliwa na wataalamu wa "Inter-territorial Language committee to the East African Dependencies" baada ya Vita Kuu ya Kwanza kwa ajili ya maeneo chini ya utawala wa Uingereza katika Afrika ya ...

Standard Swahili-English Dictionary

Madan-Johnsons Standard Swahili-English Dictionary iliandaliwa na wataalamu wa "Inter-territorial Language committee to the East African Dependencies" baada ya Vita Kuu ya Kwanza kwa ajili ya maeneo chini ya utawala wa Uingereza katika Afrika ya ...

Carl Velten

Carl Velten alikuwa mtaalamu wa lugha katika Ujerumani aliyekusanya hadithi na desturi nyingi za Waswahili na kutunga Kamusi ya Kiswahili-Kijerumani kabla ya vita kuu ya kwanza ya dunia wakati wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Velten alizaliw ...

Gulf Daily News

Gulf Daily News ni gazeti lililichapishwa kwa lugha ya Kiingereza katika Ufalme wa Bahrain na Kundi la Al Hilal. Linasambazwa katika mitaa ya Bahrain. Inamilikiwa na Kundi la Al Hilal ambalo huchapisha magazeti mengine 13 kama lile la Kiarabu la ...

Gulf News

Gulf News ni gazeti la kila siku ya lugha ya Kiingereza inayochapishwa kutoka Dubai, katika Falme za Kiarabu lililo na wasomaji zaidi ya 115.000 kulingana na takwimu zilizokusanywa na BPA mwaka 2008. Archived Oktoba 4, 2009 at the Wayback Machine ...

The Nation (gazeti)

The Nation ni gazeti la lugha ya Kiingereza nchini Pakistan. Ina chapishwa na Majid Nizami na mwisho na kuhaririwa na Shireen M. Mazari. Mazari alibadilisha Arif Nizami tarehe 7 Septemba, mwaka 2009 ambaye alivutwa kazi na mjomba wake na mhariri ...

Auspisi wa Toul

Auspisi wa Toul alikuwa askofu wa tano wa mji huo kuanzia mwaka 478 hivi, tena mshairi wa Kilatini. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadimishwa tarehe 8 Julai.

Oriensi

Oriensi alikuwa askofu wa mji huo na mshairi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei.

Thoma wa Celano

Thoma wa Celano alikuwa mfuasi wa Fransisko wa Asizi katika utawa wa Ndugu Wadogo, mshairi, na mwandishi wa vitabu vitatu rasmi juu ya mwanzilishi huyo.