ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 42

Vipimo asilia vya Kiswahili

Vipimo asilia vya Kiswahili ni vipimo vya kihistoria vilivyotumiwa na Waswahili kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki katika karne kabla ya ukoloni na vinavyotumika hadi leo kutegemeana na mazingira. Kwa jumla nafasi yake mara nyingi imechukuliwa ...

Frasila

Frasila ni kipimo cha uzito wa takriban 16 kg. Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili si kipimo sanifu cha kisasa. Zamani za biashara ya misafara "frasila" ilikuwa kipimo cha kawaida cha kupima kiasi cha mzigo fulani. Mara nyingi frasila kilitajw ...

Kipimo cha mjao

Kipimo cha mjao ni namna ya kutaja mjao au kiasi cha kiowevu, gesi au vitu vya kumwaga kama unga au nafaka. Ni pia kipimo cha kutaja nafasi ndani ya chombo, jengo au gimba la kijiometria kwa jumla.

Morta

Morta ni kipimo cha urefu cha takriban cm 18 - 20. Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, ni umbali mkubwa kati ya kidole gumba na kidole cha shahada kwenye mkono mmoja. Inafanana na shibiri lakini ni fupi. Morta si kipimo sanifu, lakini katika ...

Ratili

Ratili ni kipimo cha kihistoria cha masi cha takriban nusu kilogramu au gramu 400-500. Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, si kipimo sanifu cha kisasa. Inalingana takriban na "pauni" pound ya Ulaya. Ratili ilipokewa kutoka vipimo vya Kiarabu: ...

Shibiri

Kwa mmea mwenye jina la karibu angalia hapa Mshubiri Shibiri kawaida zaidi: shubiri kutoka Kiarabu شبر, shibr; pia: futuri ni kipimo cha urefu wa takriban cm 20 - 25. Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, ni umbali mkubwa kati ya kidole gumba n ...

Le Canadien

Le Canadien lilikuwa gazeti katika lugha ya Kifaransa lililochapishwa katika eneo la Lower Kanada tangu 22 Novemba 1806 hadi 14 Machi 1810. Kaulimbiu yake ilikuwa: "Nos institutions, notre langue et nos droits". Lilichapishwa kila Jumamosi na mal ...

NRC Handelsblad

NRC Handelsblad, mara nyingi hufupishwa kuwa NRC, ni gazeti la kuchapishwa kila siku.Gazeti hili huchapishwa jioni katika nchi ya Uholanzi na Kampuni ya NRC Media. Gazeti hili liliumbwa mnamo 1 Oktoba 1970 kutokana na muungano wa jarida la Nieuwe ...

Malcolm Guthrie

Malcolm Guthrie alikuwa profesa wa Lugha za Bantu. Anajulikana kwa uchambuzi wa Lugha za Kibantu katika makala ya Guthirie 1971, ambayo yamebaki makala muhimu hadi leo ingawa yamezeeka.

Kijapani

Kijapani ni lugha rasmi nchini Japani. Kinatumiwa na Wajapani karibu wote isipokuwa kundi dogo la Waainu wana lugha yao.

Kihungaria

Kihungaria ni lugha ya Kiugori ya magharibi katika jamii ya lugha za Kifini-Kiugori. Huzungumzwa hasa katika nchi za Hungaria 10 mill., Romania 1.4 mill., Slovakia 520.000, Serbia 300.000, Austria 22.000, Australia 50.000 na Marekani 1.6 mill. - ...

Kigermanik

Lugha za Kigermanik ni kikundi cha lugha zenye asili ya Ulaya ya Kaskazini. Lugha za Kigermanik zenye wasemaji wengi ni Kiingereza milioni 380 na Kijerumani milioni 120. Lugha nyingine za Kigermanik ni lugha za Skandinavia, halafu Kiholanzi na Ki ...

Lugha za Kibalti

Lugha za Kibalti ni kundi la lugha za Ulaya ambazo ni tawi la familia ya lugha za Kihindi-Ulaya. Wasemaji wao wanapatikana katika maeneo upande wa mashariki-kusini ya Bahari Baltiki. Leo hii kuna lugha 2 za Kibalti ambazo ni Kilithuania na Kilatv ...

Kitajiki

Kitajiki ni lugha rasmi nchini Tajikistan katika Asia ya Kati. Kuna pia wasemaji wa Kitajiki katika Urusi na katika Uzbekistan. Kitajiki kinatajwa mara nyingi kama lahaja ya Kiajemi. Wasemaji wa Kitajiki wanaelewana bila matatizo na wasemaji wa K ...

Kiyunani

Kiyunani ni jina la Kiswahili cha zamani kwa "Kigiriki", ambayo ni lugha ya nchi ya Ugiriki au kwa tabia za Wagiriki. Neno la Kiswahili cha zamani limetokana na lugha ya Kiarabu ambapo يونان yunan linataja kiasili Wagiriki wa eneo la Ionia au wa ...

Kifinisia

Kifinisia ilikuwa lugha ya Kisemiti iliyozungumzwa kati ya 1100 KK hadi takriban 600 BK katika maeneo ya pwani la Kanaani na Shamu ya magharibi ambako leo hii kuna nchi za Israeli, Lebanoni na Syria. Ilikuwa lugha ya Wafinisia ikaenea pamoja nao ...

Kiuzbeki

Kiuzbeki ni moja ya lugha za Kiturki za mashariki na lugha ya Kiturki yenye wasemaji wengi katika Asia ya Kati. Kwa lugha yenyewe kuna majina "Ozbek tili" kwa mwandiko wa Kilatini, "Ўзбек тили" uzbek tili kwa mwandiko wa kikirili; au "ئۇزبېك تىلى ...

Kizaza

Kizaza au Kidimli ni lugha ya kitaifa ya Uzaza. Ni kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi za lugha za Kihindi-kiulaya. Inatumiwa hasa katika nchi zifuatazo: Kırmancki Dımılki Zazaki Turuki Kuna wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 3, na takriban wasemaj ...

Encyclopedia Britannica

Encyclopædia Britannica ni kamusi elezo kubwa na moja kati ya kamusi elezo iliyo-maarufu zaidi. Inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Kamusi elezo hii huchapishwa na kampuni binafsi ya Encyclopaedia Britannica, Inc. Awali ilikuwa ikichapishwa kweny ...

The Man-Eaters of Tsavo

The Man-eaters of Tsavo ni kitabu kilichoandikwa na John Henry Patterson mnamo mwaka wa 1907 na inaelezea maisha yake wakati alikuwa anajenga reli ya Uganda kupitia Kenya, kwa wengi inayojulikana sana kwa kurekodi hadithi ya jozi ya simba ambao a ...

Samurai Girl

Samurai Girl ni mfululizo wa sita kwa mwandishi wa riwaya Carrie Asai. Kitabu hii inaelezea hadithi ya Heaven Kogo, ambaye kama mtoto, alikuwa nusura wa kipekee katika ajali ya ndege na alilelewa na familia tajiri ya Kogo. Alipohitimu umri wa mia ...

Herufi

Herufi ni alama katika mwandiko unaofuata alfabeti. Kila herufi ni alama ya sauti au fonimu fulani kama vile A - B - C. Kifinisia na Kigiriki zilikuwa lugha za kwanza zinazojulikana zilitumia mtindo huu. Miandiko iliyotangulia muundo huu ilikuwa ...

Alfa

Alfa ni herufi ya kwanza ya Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Α au α. Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama namba "1". Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za Kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na ...

Beta

Beta ni herufi ya pili katika alfabeti ya Kigiriki. Ilikuwa pia na maana ya alama kwa namba 2. Inaandikwa Β au β. Katika Kigiriki cha kale ilitaja sauti ya "B". Katika Kigiriki cha kisasa imekuwa alama ya sauti "V". Jinsi ilivyo kawaida na herufi ...

Delta (herufi)

Delta ni herufi ya nne ya Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Δ au δ. Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama namba "4". Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za Kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na f ...

Dzeta

Dzeta ni herufi ya sita katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ζ au Ζ. Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 7. Asili ya dzeta ni herufi ya Kifinisia ya zayin tazama makala ya herufi Z. Matamshi yake yalikuw ...

Eta

Eta ni herufi ya saba katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama η au Η. Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 8. Asili ya Eta ni herufi ya Kifinisia ya kheta tazama makala ya H. Matamshi yake ya awali yalikuwa ...

Gamma

Gamma ni herufi ya tatu katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Γ au γ. Zamani ilikuwa pia alama kwa namba 3. Asili ya gamma ni herufi ya Kifinisia ya gimel tazama makala ya G. Matamshi yake ni kama G ya Kiswahili. Jinsi ilivyo kawaida na herufi ...

Iota

Iota ni herufi ya tisa katika Alfabeti ya Kigiriki. Umbo la iota kubwa na ndogo limeendelea vilevile katika alfabeti ya Kilatini na hivyo hutumiwa vile hadi leo katika lugha zote zinazotumia mwandiko huo kama vile Kiswahili, Kiingereza na kadhali ...

Ipsilon

Ipsilon ni herufi ya ishirini katika alfabeti ya Kigiriki, ikawa baadaye herufi ya ishirini na tano katika alfabeti ya Kilatini. Asili yake ilikuwa "Waw" ya Kifinisia. Iliandikwa kama Y ya Kiswahili lakini ilikuwa vokali, si konsonanti. Ipsilon y ...

Kappa

Kappa ni herufi ya kumi katika Alfabeti ya Kigiriki. Umbo la kappa kubwa na ndogo limeendelea vilevile katika alfabeti ya Kilatini na hivyo hutumiwa vile hadi leo katika lugha zote zinazotumia mwandiko huo kama vile Kiswahili, Kiingereza na kadha ...

Khi

Khi ni herufi ya ishirini na mbili katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama χ au Χ. Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 600. Matamshi yake yalikuwa "kh". Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipoke ...

Ksi

Ksi ni herufi ya 14 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ξ au Ξ. Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu ikiwa alama ya namba 60. Asili ya ksi ni herufi ya Kifinisia "samekh". Herufi zilizotokana nayo katika alfabeti zilizofuata ...

Lambda

Lambda ni herufi ya kumi na moja katika Alfabeti ya Kigiriki. Lambda kubwa Λ ina umbo la pembe yenye ncha juu, ni tofauti na lambda ndogo λ. Kwa matumizi ya tarakimu inamaanisha namba 30. Matamshi yake ni sawa na "L" kwa Kiswahili.

Omega

Omega, yaani "o kubwa" ni herufi ya ishirini na nne pia ya mwisho katika alfabeti ya Kigiriki. Jina la Kigiriki lamaanisha "O kubwa" kwa kuitofautisha na Omikron au "O ndogo". Maana matamshi ya omega ilikuwa "oo" o ndefu. Alama yake ilikuwa pia n ...

Omikron

Omikron, yaani "o ndogo" ni herufi ya 15 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ο au Ο. Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu ikiwa alama ya namba 70. Asili ya omikron ni herufi ya Kifinisia "ayin". Herufi zilizotokana nayo katik ...

Theta

Theta ni herufi ya nane katika Alfabeti ya Kigiriki. Theta kubwa Θ ina umbo la "O" yenye mstari wa katikati. Theta ndogo θ ina umbo la duaradufu nyembamba pamoja na mstari lala wa katikati lakini kuna pia umbo lisilofungwa kama ϑ. Kwa matumizi ya ...

Koma

Koma au mkato ni alama ya uakifishaji. Inakaa kwenye mstari wa kuandika ikiwa na umbo la nukta yenye mkia wa kupinda unaelekea chini au alama ya 9 ndogo ambako nafasi imejazwa, wakati mwingine pia kama mstari mfupi inayonama. Wakati wa kusoma ina ...

Kibulgaria

Kibulgaria ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria. Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina la ...

Kisilesia

Kisilesia ni lugha izungumzwayo na watu wa mkowa wa Upper Silesia nchini Poland, lakini pia kinazungumzwa katika nchi ya Ucheki na Ujerumani. Mnamo mwaka wa 2011, imetangazwa kuwa takriban 509.000 Kisilesia kuwa kama lugha yao fasaha. Kisilesia k ...

Abu Nuwas

Abu Nuwas alikuwa mshairi Mwarabu aliyeishi 760-815. Katika utamaduni wa Kiswahili ni jina la mhusika katika hadithi za" Hekaya za Abunuwasi”.

Pleteleti za damu

Pleteleti za damu au thrombositi pia seli sahani ni sehemu ya damu. Ni vipande vya seli visivyo na kiini. Zina umbo la kisahani chenye kipenyo cha µm 1.5 hadi µm 3.0. Kazi yake ni kuziba vidonda vidogo. Kama seli za ndani ya mshipa wa damu zinavu ...

Vena

Vena ni mishipa inayopeleka damu kutoka ogani na sehemu zote za mwili wa binadamu na wanyama mbalimbali kwenda kwenye moyo ili iendelee na mzunguko ikiwa na oksijeni.

Biomasi

Biomasi ni dhana muhimu katika ekolojia na ni namna ya kuangalia upande wa kimwili wa uhai duniani ni pia dhana muhimu katika maswali ya uzalishaji wa nishati hasa nishati mbadala.

Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi

Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi ni mapatano yaliyokubaliwa mwaka 2015 mjini Paris kufuatana na Kongamano la Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Hadi Mei 2017 nchi 197 zilitia sahihi ambazo ni sawa na wanachama wote wa UM isipokuwa Syri ...

Mkutano wa mawaziri wa Afrika kuhusu mazingira

Mkutano wa mawaziri wa Afrika kuhusu mazingira ni ushirikiano wa mawaziri husika wa nchi za Afrika. Mawaziri hao walikutana mara ya kwanza mwaka 1985 mjini Kairo, Misri. Baadaye mkutano ulianzishwa kama taasisi ya kudumu mwenye shabaha ya kuungan ...

Msitu wa Amazon

Majiranukta kwenye ramani: 3°09′36″S 60°01′48″W Msitu wa Amazon ni msitu mkubwa uliopo katika bonde la tropiki la Mto Amazon. Una eneo la takribani kilomita za mraba milioni saba, ambazo kati yake tano na nusu zimefunikwa na msitu wa mvua. Msitu ...

Sahel

Sahel ni kanda nyembamba ya ardhi kavu barani Afrika kutoka Bahari ya Atlantiki hadi Bahari ya Shamu. Ni kilometa 5.400 kwa 450-1.000 hivi kusini kwa jangwa la Sahara na kaskazini kwa eneo la misitu, ikienea kwa kiasi tofauti katika nchi zifuataz ...

Kuvu

Kuvu ni kiumbehai ambacho si mmea wala mnyama. Uainishaji wa kisayansi unavipanga katika himaya ya pekee ndani ya Eukaryota. Kati ya kuvu kuna viumbe vikubwa kama uyoga na pia vidubini yaani vidogo vyenye seli moja tu kama hamira au maungano ya s ...

Metarhizium

Metarhizium ni jenasi ya kuvu entomopathojeni katika familia Clavicipitaceae. Tangu kuwadia kwa mihtasari ya jenetiki imewezekana kuweka kuvu hizi kwenye taksoni zao za kufaa. Nyingi sana zimetokea kuwa jinsi za kuvu za Ascomycota ambazo sina jinsia.