ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 43

Jicho

Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali za wanyama. Macho ya kimsingi kwa viumbehai vidogo yanatambua tu kama mazingira yana mwanga au la. Hata kati ya viumbehai wenye seli moja kuna wenye protini zinazotofautisha giza na nuru. Ku ...

Amra (tunda)

Amra ni tunda, aina ya mimea ya maua katika familia ya Anacardiaceae. Ni asili ya Amerika ya kitropiki, ikiwa ni pamoja na Karibi. Mti umekuwa wa asili katika sehemu za Afrika, India, Bangladesh, Sri Lanka na Indonesia. Ni mara chache kulimwa isi ...

Bata mchovya

Mabata wachovya ni ndege wa majini wa nusufamilia Anatinae katika familia Anatidae. Spishi hizi hula mimea ya majini na huzamia kichwa chao tu; nyingine hutafuta chakula aghalabu ardhini. Miguu yao iko karibu zaidi ya katikati ya mwili kuliko mig ...

Chati (ndege)

Chati ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Muscicapidae. Siku hizi wataalamu wengi wanaainisha spishi za Thamnolaea katika Myrmecocichla. Chati hawana rangi kali isipokuwa spishi za Thamnolaea ambao wana tumbo jekundu. Wengine ni weusi, w ...

Chungwa

Chungwa ni tunda la mchungwa. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis Osbeck kwenye familia ya Rutaceae. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili kutofautisha na Citrus aurantiu ...

Chura

Kwa nyota angalia hapa Chura Vyura ni wanyama wa ngeli Amphibia wanaoanza maisha yao ndani ya maji na baada ya kupita metamofosi wanaendelea kuishi kwenye nchi kavu, isipokuwa vyura-kucha ambao huishi majini maisha yao yote.

Fundumaji

Fundumaji, fudumaji, bwanga, talali au vumba ni aina ya tunda linalotokana na mti mrefu unaoitwa mfundumaji k.m. Katika Afrika ya Mashariki mti huu hupatikana kutoka pwani mpaka Ziwa Viktoria na karibu na Kigoma, Wilaya ya Uvinza. Matunda haya ya ...

Jani

Umbo lake mara nyingi ni bapa na nyembamba. Ubapa unaisaidia kuwa na uso mkubwa kwa kupokea nuru nyingi iwezekanavyo, na wembamba unasaidia nuru kufikia seli ambako inatumiwa na vyembe vya viwiti kuendesha usanisinuru. Umbo tofauti ni kama sindan ...

Kenge

Jenasi: Heloderma Familia: Helodermatidae Familia ya juu: Varanoidea Jenasi: Lanthanotus Familia: Lanthanotidae Familia: Palaeovaranidae Jenasi: † Palaeovaranus – Kabla ya historia Jenasi: † Saniwa – Kabla ya historia Nusujenasi: Polydaedalus Nus ...

Kifaranga

Kifaranga ni kitoto cha kuku. Vifaranga wakati wanapototolewa wanatoka wa jinsia ya kiume na ya kike. Kifaranga huwa aina ya ndege hata kuku na jogoo. Kifaranga hutokea baada ya jogoo kumpanda kuku na kuku kutoa mayai na pia huyatamia na kutokea ...

Kiunzi nje

Ni hasa wanyama wa ngeli ya arthropodi kama vile wadudu, buibui na kaa wenye kiunzi nje imara ya chitini. Tofauti ni matumbawe ambao wanakaa pamoja kwa vikundi vikubwa ilhali kila mmoja anajijengea kihunzi nje kidogo na viunzi hivyo vinabaki baad ...

Kodata

Kodata ni kundi kubwa la wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni. Ugwe unaunganisha neva ambazo ni muhimu kwa mwili kwa jumla na neva za kila sehemu au kiungo zinatoka hapa. Ugwe wa neva unaenda sambamba na mhimili wa seli ambazo ni imara zaidi ama g ...

Komamanga

Komamanga au kudhumani ni tunda jekundu kwa nje na lenye mbegu ndogondogo nyekundu ndani. Mti wake unaitwa mkomamanga na asili yake ni Mashariki ya kati. Tunda hili huliwa na binadamu na hata ndege. Wengine hulidharau, lakini lina faida nyingi sa ...

Ladha

Ladha ni jumla ya hisi zinazopatikana kinywani wakati unapoonja kitu. Kwa mfano, unaweza kusikia utamu, uchungu, ukali wa chakula au kinywaji fulani ukapendezwa au kutopendenza nao. Kiungo kinachohusika zaidi ni ulimi.

Limau

Limau ni tunda la mlimau, mti mdogo ambao daima kijani, Citrus limon, asili yake ni Asia. Pamoja na chungwa, danzi, balungi na ndimu ni mojawapo kati ya matunda chungwa. Rangi ya tunda lililoiva ni njano hadi njano-kijani. Majimaji yake yana asid ...

Mamalia

Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto wao maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana damu moto na kupumua kwa mapafu. Kuna takriban spishi 5.400 za mamalia. Spishi 5 kati ya hizo wanataga mayai, lakini wengine wote wanazaa watoto hai. Ukubwa ...

Matamvua (samaki)

Matamvua ya samaki ni viungo kwenye mwili wa samaki na wanyama wengine wanaoishi kwenye maji vinavyowawezesha kupumua, yaani kupeleka oksijeni iliyomo mwenye maji kuingia katika damu. Yanatoa pia hewa iliyotumiwa ya dioksidi kabonia kutoka damu n ...

Mboji

Mboji ni mata ogania katika udongo. Inafanywa na vipande visivyo na uhai tena vya mimea na wanyama. Inatokea katika mchakato wa kuoza kwa mimea na pia wanyama. Ni sehemu muhimu ya udongo maana inaongeza rutuba yake. Tofauti na mchanga mtupu inawe ...

Mkoko

Mikoko ni aina za miti au vichaka vinavyokua katika maji ya chumvi kwenye fuko za bahari za kanda za tropiki. Miti hii inaainishwa katika jenasi tatu: Bruguiera, Ceriops na Rhizophora katika familia Rhizophoraceae. Pengine jina hili hutumika kwa ...

Mlamani

Walamani ni wanyama wanaokula mimea pekee au hasa. Maumbile yao yanalingana na chakula cha kimea na yanahusu hasa mdomo au viungo vya kukatakata chakula halafu matumbo yaani viungo vya kumeng’enya chakula. Viungo hivi ni tofauti baina ya walamani ...

Monokotiledoni

Monokotiledoni ni aina ya mimea ambayo mbegu zake hazijagawanyika mara mbili: mfano wa mimea hiyo ni mahindi, mtama, uwele na kadhalika. Monokotiledoni zina spishi kama 60.000 hivi. Mimea hii huwa na majani yenye vena zenye kunyooka zote upande m ...

Mti

Mti ni mmea mkubwa wa kudumu wenye shina la ubao. Miti huishi miaka mingi; miti yenye umri mkubwa imejulikana kuwepo kwa miaka 4.800 huko Kalifornia. Kuna dalili za mti mmoja uliopimwa huko Uswidi kuwa na miaka zaidi ya 9.000. Kwa jumla ugumu wa ...

Ndizi sukari

Ndizi sukari ni tunda lenye rangi ya njano ambalo huliwa na viumbe hai, kwa mfano watu, nyani, tembo na wengine wengi. Tunda hili linapendwa sana kwa sababu lina ladha tamu ya sukari iliyo ya asili na ambayo hujenga miili ya viumbe hai. Kwa watu ...

Ndubwi

Ndubwi ni ngazi ya kwanza katika metamofosi ya chura na amfibia wengine ni kama utoto wao. Vyura hutega mayai katika maji na ndubwi anatoka. Anapumua kwa matamvua na mwanzoni hana miguu bali mapezi kama samaki na mkia. Ndubwi wengi wakiwa kwenye ...

Nguruwe Mweusi

Nguruwe Mweusi au Nguruwe wa Iberia ni uzao wa jadi wa nguruwe-kaya ambayo ni asili ya Peninsula ya Iberia. Nguruwe wa Iberia ni nguruwe ambayo asili yake inaweza kuwa nyuma ya Neolithic, wakati ufugaji wa wanyama ulipoanza. Kwa sasa hupatikana s ...

Parachichi

Parachichi au embe mafuta ni tunda lenye kokwa kubwa ndani na nyama ya kijani. Linatokana na mparachichi. Asili ya tunda hili iko Amerika ya Kati na Wahispania walilipeleka kwa sehemu nyingine za Dunia. Tunda lina ngozi gumu kiasi yenye rangi ya ...

Parare

Parare ni wadudu wakubwa wa jamii ya panzi wenye miiba mikubwa kwenye miguu ya nyuma. Kisayansi ni wana wa nusufamilia Cyrtacanthacridinae katika familia Acrididae. Panzi hao ni miongo mwa wakubwa kabisa wa panzi wote. Wakiruka juu hufanana na nd ...

Peasi

Peasi au pea ni tunda la mpea lenye nyama nyeupe yenye majimaji na ladha inayofanana na ile ya tufaa, lakini tamu zaidi.

Pesheni

Pesheni "; kwa Kiswahili piaː karakara) ni tunda la mkarakara, mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea juisi. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.

Pezi

Mapezi ni sifa bainifu sana za mwili wa samaki. Hushirikishwa kwa miiba au tindi za mfupa zinazotokeza katika mwili na kufunikwa na kuunganishwa pamoja na ngozi, ama katika mtindo wa utando, kama inavyoonekana katika samaki wengi wenye mifupa, au ...

Pweza

Pweza ni wanyama wa bahari wenye minyiri minane inayobeba vikombe vya kumungunyia na inayotumika kwa kukamata wanyama wadogo. Wana domo linalofanana na lile la kasuku ili kuseta gegereka na kome. Spishi nyingi huingiza sumu inayopooza mawino. Pwe ...

Rutuba

Rutuba ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji ulio thabiti na endelevu ulio na ubora wa hali ya juu. Ni uwezo wa ugavi wa virutubisho muhimu vya ...

Samadi

Farmyard Ni samadi ambayo hutokana na takataka za wanyama wanaofugwa na binadamu. Mboji Ni samadi ambayo hutokana na uozo wa takakataka zitokanazo na mabaki ya wanyama na mimea. Greenyard Ni samadi ambayo hutengenezwa kwa kuzika mimea ya rangi ya ...

Shayiri

Shayiri ni mmea wa familia ya nyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za shayiri ni nafaka. Kihistoria ilikuwa chakula muhimu cha watu, lakini siku hizi hulimwa zaidi kama chakula cha wanyama. Hata hivyo inaungwa katika mkate na ni s ...

Sikio

Sikio ni sehemu ya mwili inayowezesha kusikia sauti. Wanadamu na wanyama mamalia wana masikio mawili kichwani. Wanyama wengine husikia sauti kupitia viungo vingine kama vile buibui kupitia nywele za miguu au samaki kupitia neva ndefu iliyopo chin ...

Stafeli

Stafeli ni tunda la mstafeli lenye rangi ya kijani nje, nyama nyeupe, laini na tamu na mbegu nyeusi.

Stomata

Stomata ni matundu yanayopatikana katika majani. Stomata hufanya kazi ya hupitisha hewa ili iweze kuingia katika mmea. Matundu hayo ni mipaka na jozi ya seli maalumu za parenchyma zinazojulikana kama seli za ulinzi ambazo zinahusika na udhibiti w ...

Tikitimaji

Tikitimaji au tikiti-maji ni tunda la mtikiti-maji lenye maji na nyama ambalo huchangia kutoa ngazi ya juu ya vitamini, madini n.k. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hii inapatikana katika kundi li ...

Tunicate kunyatia

Tunicate kunyatia ni aina ya tunicate ambaye anaishi kwa kujishikiza katika kuta za korongo kwenye kina cha bahari na sakafu ya bahari, akisubiri wanyama wadogo kuelea au kuogelea katika kinywa chake chenye umbo la kofia. Anaonekana kama mchangan ...

Uoto asilia

Uoto asilia ni mimea yote inayoota kiasili, tofauti na ile inayooteshwa na binadamu. Kwa hali hiyo uoto wa asili huhusiana moja kwa moja na tabia ya nchi, kwa mfano nyasi, msitu, vichaka na mbuga. Msitu ni mkusanyiko wa miti mirefu na mikubwa amb ...

Uoto wa Asili (Tanzania)

Uoto wa Asili ni mimea yote inayoota kiasili, tofauti na ile inayooteshwa na binadamu. Kwa hali hiyo uoto wa asili huhusiana moja kwa moja na tabia ya nchi. Kwa nchi ya Tanzania, tazama Tabia ya Nchi Tanzania. Uoto wa asili ni matokeo ya athari z ...

Utomvu

Utomvu ni kiowevu kinachopitishwa katika seli za mimea. Unasafirisha maji na lishe ndani ya mmea. Kutokana na aina mbili tofauti za seli za mimea, yaani zilemu na floemu, kuna aina mbili za utomvu wa zilemu na utomvu wa floemu.

Utunzi wa wanyama wa nyumbani

Wanyama wa nyumbani hutunzwa kwa umakini mwingi haswa kwa jamii ya Wazungu. Wao hufanya wanyama hawa wawe kama marafiki zao ambao wanawalinda, kuwalisha na kuwaangalia vizuri. Si ajabu kuona mnyama kama mbwa au paka akipewa malazi mema, chakula k ...

Wadudu

Wadudu wa kweli ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insecta. Wadudu wanashirikiana kuwa na muundo wa mwili chenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na fumbatio nyuma, h ...

Walanyama

Walanyama ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama wa ngeli ya mamalia. Ukubwa wao unaanzia kwa vicheche wadogo kama Mustela nivalis, mwenye gramu 25 na sentimeta 11, hadi dubu barafu Ursus maritimus, ambaye anaweza ...

Wanyamapori

Wanyamapori ni wanyama wanaoishi porini na huwa hawafugwi na binadamu kama baadhi ya wanyama wengine. Wanyama hao ni kama vile Tembo wa Afrika, Simba, Twiga, Pundamilia, Chui, Kongoni, Sitatunga, Fisi na wanyama wengine. Wanyamapori wanaweza kuwe ...

Mrimbo

Mlimbo, mrimbo na mlimbolimbo ni majina yanayotumika kwa miti, vichaka na mitambaa inayotoa utomvu unaonata na unaoweza kutumiwa ili kuzalisha aina ya mpira. Kwa sababu ya hii spishi kadhaa huitwa mpira pia. Hapo awali jina mlimbo lilitumika kwa ...

Mmea

Mimea ni moja kati ya makundi ya viumbe hai duniani likijumuisha miti, maua, mitishamba na kadhalika. Kuna zaidi ya aina 300.000 ya mimea. Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ambayo ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi m ...

Sukulenti

Sukulenti au Mimea yenye utomvu mwingi ni mimea iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira yabisi. Mimea hii ya familia na jenasi tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya majani au mashina yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kut ...

Waridi

Waridi ni maua mazuri sana na walio wengi huvutiwa nayo sana kwa sababu ya rangi yake au hata harufu yake tu. Bila shaka uzuri wa mwonekano wa maua haya huwafanya walio wengi kusahau kutazama namna ulivyo mmea wake. Ni ajabu sana ukiutazama mmea ...