ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 44

La Verna

La Verna, kwa Kilatini Alverna na kijiografia Monte Penna, ni mlima unaosimama peke yake hadi mita 1.283 katikati ya Apenini ya Toscana, juu ya bonde la Casentino, Italia ya Kati. Ni maarufu hasa kwa sababu inasemekana Fransisko wa Asizi, akiwa k ...

Mama yetu wa Coromoto

Mama yetu wa Coromoto ni picha takatifu ya Bikira Maria inayoheshimiwa wa Wakatoliki hasa wa Venezuela. Mwaka 1942, yeye ilitangazwa mlezi wa Venezuela.

Nadhiri ya nne

Nadhiri ya nne ni nadhiri ambayo inadaiwa na watawa wa mashirika kadhaa zaidi ya zile tatu za msingi kwa wote zinazohusu mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu. Ni nadhiri inayotokeza kwa namna ya pekee tabia na karama ya shir ...

Abidjan

Abidjan ndio mji mkubwa zaidi nchini Cote dIvoire pia ni bandari kuu ya nchi kwenye Ghuba ya Guinea ya bahari ya Atlantiki. Abidjan haiko baharini moja kwa moja lakini kwenye wangwa ya Ebrie inayotengwa na bahari kwa kanda nyembamba ya mchanga. I ...

Accra

Accra ilianzishwa na Waga katika karne ya 15 BK kama kituo cha biashara na Wareno. Wareno walijenga boma kwa ajili ya biashara hiyo na Waswidi, Waholanzi, Wafaransa, Waingereza na Wadenmark walifuata. Eneo la Accra ya leo liliendelea kuwa mji kat ...

Ait Benhaddou

Aït Benhaddou ni ksar au mji-ngome katika Moroko ya kusini. Zamani ilipitiwa na njia ya misafara baina ya maeneo ya jangwa la Sahara na mji wa Marrakesh. Ait Benhaddou iko takriban kilomita 100 upande wa kusini-magharibi wa Marrakesh kando ya mto ...

Angola

Angola ni nchi kubwa iliyopo upande wa kusini magharibi wa bara la Afrika ikipakana na Namibia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Zambia. Upande wa magharibi kuna pwani ndefu ya Bahari Atlantiki. Mkoa wa Kabinda umetenganika na sehemu nyingine ...

Antananarivo

Antanànarìvo, ni Mji Mkuu wa Madagaska, kwa Mkoa wa Antananarivo. Pia mji huu wajulikana kwa jina la Kifaransa kama Tananarive ama kwa kifupi ni Tana. Antanànarivo iko kati ya kisiwa kulingana na usabaa wa kisiwa, lakini ni maili 90 kutoka pwani ...

Ascension

Ascension ni kisiwa chenye asili ya volikano kilichoko kusini kidogo kwa ikweta, katika Bahari ya Atlantiki, kilomita 1.600 hivi kutoka Afrika na 2.300 hivi kutoka Amerika Kusini. Wakazi wote ni 806 tu sensa ya mwaka 2016. Kiutawala kiko chini ya ...

Atbara (mto)

Atbara ni tawimto la Nile linalopatikana kaskazini magharibi mwa Ethiopia na katika Sudan. Chanzo chake ni katika milima ya Simien Ethiopia takriban km 50 kaskazini kwa Ziwa Tana au km 30 magharibi kwa mji wa Gondar. Tawimto lake ni hasa mto Teke ...

Atlas (milima)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas Milima ya Atlas kwa Kiberber: Idurar n Watlas ; kwa Kiarabu: جبال الأطلس ‎, jibaal al-atlas ni safu ya milima kunjamano katika Afrika ya kaskazini-magharibi. Ina urefu wa takriban kilomita 2.400 kuan ...

Banjul

Banjul ni mji mkuu wa Gambia. Mji wenyewe una wakazi 34.828 pekee lakini pamoja na mitaa ya nje ni zaidi ya nusu milioni. Banjul iko kwenye kisiwa cha Mt. Mariamu au: Kisiwa cha Banjul mdomoni mwa mto Gambia unapoishia katika bahari ya Atlantiki.

Benin

Jamhuri ya Benin ni nchi huru katika Afrika ya Magharibi. Awali iliitwa Dahomey. Inapakana na Bahari ya Atlantiki upande wa Kusini, nchi ya Togo upande wa Magharibi, nchi ya Nigeria upande wa Mashariki na nchi za Burkina Faso na Niger upande wa K ...

Benue (mto)

Mto Benue ni tawimto kubwa la mto Niger. Chanzo chake ni katika nyanda za juu za Kamerun, hasa milima ya Adamawa. Katika sehemu ya kwanza ya mwendo wake unatelemka mita 600 kwa mwendo kali. Karibu na mji wa Garua unaungana na mto Mayo Kébi. Baada ...

Bujumbura

Bujumbura, ni mji mkuu wa Burundi unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300.000. Mji upo kaskazini mashariki mwa Ziwa Tanganyika, na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao un ...

Burkina Faso

Burkina Faso ni nchi ya Afrika ya Magharibi isiyo na pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na nchi zifuatazo: Mali upande wa kaskazini, Niger upande wa mashariki, Benin, Togo, Ghana na Côte dIvoire upande wa kusini.

Burundi

Jamhuri ya Burundi ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi. Burundi ni mwanachama wa ...

Cabo Verde

Eneo la visiwa vyake kwa jumla ni km² 4.033. Funguvisiwa vyake ina visiwa 15 katika vikundi viwili: Visiwa "chini ya upepo" Sotavento: Maio, Santiago, Fogo, Brava na visiwa bila watu vya Ilheus Secos ou do Rombo. Visiwa "juu ya upepo" Barlavento: ...

Chad (ziwa)

Ziwa Chad ni ziwa kubwa lisilo na njia ya kutoka lenye kina kidogo katika kanda la Sahel, kando ya jangwa kubwa la Sahara, kule ambako nchi za Chad, Kamerun, Niger na Nigeria zinapopakana, hivi kwamba eneo lake limegawanywa kati ya nchi hizo. Ziw ...

Chari

Chari ni mto mkubwa unaoishia katika Ziwa Chad. Unaanza katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ukielekea kaskazini na kuingia nchi ya Chad. Baada ya kupita mji mkuu NDjamena mto uunaunda mpaka na Kamerun halafu unaishia katika Ziwa Chad. Chari inatirir ...

Cyangugu

Cyangugu ni mji ulioko magharibi mwa Rwanda. Unaundwa na Cyangugu yenyewe na Kamembe. Ndiyo makao makuu ya wilaya ya Rusizi. Mto Ruzizi unatenganisha mji huo na mji wa Bukavu ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka 2015 uliku ...

Diego Garcia

Diego Garcia ni atolli ya Kiingereza katika Bahari Hindi, kati ya Tanzania na Indonesia. Ni sehemu ya funguvisiwa la Chagos na leo kisiwa pekee chenye wakazi ambao ni wanajeshi wa Marekani. Ni kituo kikubwa cha kijeshi cha Marekani katika Bahari ...

Eritrea

Eritrea ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Mashariki na Kusini-Mashariki Eritrea ina pwani ndefu katika Bahari ya Shamu. Upande wa Magharibi imepakana na Sudan, upande wa Kusini imepakana na Ethiopia, na Kusini-Mashariki kuna nchi ya Djibouti. Eneo ...

Futa Djalon

Fouta Djalon ni eneo la milima nchini Guinea. Huitwa pia "Guinea ya Kati". Makao makuu ya eneo hilo ni mji wa Labé. Sehemu kubwa ya nyanda hizi za juu ni nchi ya nyasi na misitu kwenye vilima vinavyofuatana kwa kimo cha wastani cha mita 900 UB. S ...

Gabon

Jamhuri ya Gabon kifupi Gabon, ni nchi huru ya Afrika magharibi ya kati. Imepakana na Guinea ya Ikweta, Kamerun, Jamhuri ya Kongo na Ghuba ya Guinea. Nchi hii ina umma mdogo, madini na mali kwa wingi, na wafanyabiashara kutoka nchi za kigeni wame ...

Gambia

Gambia jina rasmi: Republic of The Gambia ni nchi ndogo kabisa ya Afrika bara. Eneo lake lote linazungukwa na Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia hadi Bahari ya Atlantiki. Kimsingi nchi yote ni maeneo ya kandokando ya mto huo; urefu ni takri ...

Gisenyi

Gisenyi au Kisenyi ni mji ulioko magharibi mwa Rwanda na unapatikana katika wilaya ya Rubada. Mji unajumuisha na Goma na upo mpakani wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka, 2005 ulikuwa na wakazi 83.623. Pia umepitiwa na Ziwa Kivu a ...

Gran Canaria

Gran Canaria ni kisiwa cha Kihispania kwenye funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari katika Atlantiki mbele ya mwabao wa Afrika ya Magharibi. Mji mkuu pia mji mkubwa ni Las Palmas de Gran Canaria kwenye kaskazini ya kisiwa. Uchumi wa Gran Canaria kama f ...

Guinea

Guinea pia: Gine, Gini ni nchi katika Afrika ya Magharibi. Pengine inatajwa kama Guinea-Conakry ili kuitofautisha na nchi za Guinea-Bissau na Guinea ya Ikweta. Imepakana na Guinea-Bisau, Senegal na Mali upande wa kaskazini, Côte dIvoire, Liberia ...

Guinea Bisau

Guinea-Bisau pia: Ginebisau ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi. Iko mwambaoni kwa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.

Hifadhi ya Great Limpopo Transfrontier

Hifadhi ya Great Limpopo Transfrontier au Great Limpopo Transfrontier Park ni hifadhi ya mazingira inayoandaliwa kwa shabaha ya kuunganisha maeneo yaliyohifadhiwa katika Afrika Kusini, Msumbiji na Zimbabwe. Nchi hizo tatu zilipatana mwaka 2002 ku ...

Hifadhi ya Manovo-Gounda St. Floris

Hifadhi ya Manovo-Gounda St. Floris ni mbuga ya kitaifa iliyopo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, karibu na mpaka wa Chad. Ilipokewa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO mnamo 1988 kutokana na wingi wa bioanwai iliyomo ndani yake. Spishi zi ...

Jamhuri ya Afrika ya Kati

Jamhuri ya Afrika ya Kati ni nchi ya bara bila pwani katika Afrika ya Kati. Imepakana na Chadi upande wa kaskazini, Sudan na Sudan Kusini upande wa mashariki, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa kusini na Kamerun upande ...

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara ni jina rasmi la dola ambalo liko hasa nje ya eneo lake la Sahara ya Magharibi. Serikali yake inatawala kanda la mashariki ya nchi, nje ya ukuta wa Kimoroko na makambi ya wakimbizi 155.000 ndani ya Alg ...

Jamhuri ya Kongo

Jamhuri ya Kongo ni nchi ya Afrika ya Kati. Imejulikana pia kama Kongo-Brazzaville kwa kusudi la kutoichanganywa na nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jamhuri ya Kongo imepakana na Gabon, Kamerun, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ...

Jibuti

Jibuti ni nchi ndogo ya Afrika ya Mashariki kwenye Pembe la Afrika. Imepakana na Eritrea, Ethiopia na Somalia upande wa bara. Kuna pwani ya Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden. Ngambo ya bahari iko nchi ya Yemen katika umbali wa km 20 pekee. Jina la ...

Juba (mto)

Juba ni mto mkubwa wa Somalia wenye maji mwaka wote. Chanzo chake ni katika nyanda za juu za Ethiopia. Unaanzia karibu na mpaka wa Ethiopia, ambao Mto Dawa na mto Ganale Dorya inaungana, halafu unatiririkia kusini moja kwa moja hadi Bahari ya Hin ...

Kabinda

Kabinda ni mkoa wa Angola kwenye pwani ya Atlantiki. Eneo lake haligusani na maeneo mengine ya Angola bali limetengwa nayo kwa kanda la ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lenye upana wa kilomita 30. Sehemu ya wenyeji wamepinga kutawaliwa n ...

Mto Kagera

Mto Kagera ni kati ya mito inayounda mto Nile, pia ni mto mkubwa kabisa wa kuingia ziwa la Viktoria Nyanza. Unaanzia Burundi inapounganika mito ya Nyawarongo na Ruvuvu ikiendela km 400 hadi kuingia ziwa Viktoria. Mto Kagera ukielekea kaskazini ni ...

Kamerun (mlima)

Kamerun ni volkeno hai na mlima mkubwa nchini Kamerun wenye kimo cha m 4095 juu ya UB. Majina mengine ni Fako au Mongo ma Ndemi. Mlima uko karibu na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki na mji wa bandari Douala. Milipuko imeripotiwa katika miaka 1650, 18 ...

Kariba, Zimbabwe

Kariba ni mji wa mkoa wa Mashonaland Magharibi, Zimbabwe, ulioko karibu na Bwawa la Kariba katika eneo la mwisho wa Ziwa Kariba, karibu na mpaka wa Zambia. Kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka 2012, mji huu ulikuwa na idadi ya wakaazi 26.451. U ...

Kasai

Kasai ni tawimto refu la Kongo unaoanza kwenye Nyanda za Juu za Bie za Angola. Chanzo kiko kwenye 12° kus/19° kask. kaskazini ya mji wa Luena. Inaelekea magharibi km 400 inapogeukia kaskazini. Sasa iko mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kon ...

Kigali

Kigali ni mji mkuu wa Rwanda na pia mji mkubwa kuliko mingine yote nchini. Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha 1400 - 1600 m juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali. Kigali ina wakazi 600.000.

Komori

Komori ni nchi huru kwenye funguvisiwa katika Bahari Hindi upande wa Mashariki wa Afrika. Iko katika Kanali ya Msumbiji kaskazini kwa Madagaska na mashariki kwa Msumbiji. Jina limetokana na lugha ya Kiarabu ambapo Juzur al-Qamar جزر القمر linamaa ...

Kunene (mto)

Kunene ni mto wa Afrika ya kusini-magharibi. Chanzo chake kiko Angola katika Nyanda za Juu za Bie, unaelekea kusini hadi kufikia mpaka wa Namibia kwenye mji wa Ruacana. Kuanzia hapo mto ni mpaka kati ya Angola na Namibia hadi kufikia bahari ya At ...

Kusini kwa Sahara

Kusini kwa Sahara ni eneo lote la bara la Afrika ambalo liko upande wa kusini wa Jangwa la Sahara. Kulingana na Umoja wa Mataifa, eneo hili linajumuisha nchi zote za Afrika ambazo ziko kusini mwa Sahara. Eneo hili linatofautiana na Afrika Kaskazi ...

Kwando

Kwando ni mto wa Afrika ya Kusini na tawimto la Zambezi. Chanzo chake kiko nyanda za juu za Bié inapoelekea kusini-mashariki. Inakuwa mpaka kati ya Angola na Zambia kwa km 140, halafu inapita Kishoroba cha Caprivi na kuwa mpaka kati ya Namibia na ...

Libya

Libya ni nchi ya Afrika ya Kaskazini kwenye Bahari ya Mediteraneo, inayopakana na Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. Eneo kubwa la nchi 90% ni sehemu ya jangwa la Sahara. Chini yake kuna akiba kubwa ya petroli, ambayo ndiyo utajiri wa ...

Limpopo (mto)

Limpopo ni mto wa kusini mwa Afrika unaoishia katika Bahari Hindi. Chanzo kipo katika milima ya Witwatersrand, kati ya Pretoria na Johannesburg, nchini Afrika Kusini. Sehemu ya kwanza inaitwa "Krokodil" Kiafrikaans kwa mamba. Baada ya kupokea mto ...

Lobamba

Lobamba ni kati ya miji mikuu miwili ya Eswatini. Lobamba ni mji mkuu wa mfalme na pia makao ya bunge la nchi. Serikali inakaa Mbabane. Lobamba inaona sherehe kubwa ya kitaifa kila mwaka ni ngoma ya Umhlanga au ngoma ya mafunjo ambako wasichana w ...