ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 45

Visiwa vya Madeira

Visiwa vya Madeira ni funguvisiwa la Ureno katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika. Iko takriban km 1000 kusini kwa Lisbon na 600 magharibi kwa Moroko. Jina la Madeira lamaanisha "ubao" kwa Kireno. Kisiwa kikubwa kinaitwa Madeira vile ...

Maghrib

Maghrib ni sehemu ya kaskazini-magharibi ya Afrika. Siku hizi jina linataja nchi za Moroko, Algeria na Tunisia, wakati mwingine pia Mauretania na Sahara Magharibi. Zamani lilimaanisha tu maeneo kati ya pwani ya Bahari Mediteranea na vilele vya Mi ...

Mayumba

Mayumba ni mji wenye watu wapatao 2.500 kwenye pwani ya Bahari ya Atlantiki huko nchini Gabon, mwishoni kabisa mwa N6 road, katika kando ya rasi iliyotengana na bara kwa Banio Lagoon. Panajulikana sana kwa ufukwe wake mrefu wa mchanga na kobe zak ...

Mbabane

Mbabane ni mji mkuu wa Eswatini ikiwa na wakazi 70.000. Ofisi za serikali ziko huko lakini bunge na jumba la mfalme yako mjini Lobamba. Mji uko kwenye milima ya Mdimba kwenye kimo cha mita 1200 juu ya UB.

Milima ya Ufa Mashariki

Milima ya Ufa Mashariki au Milima ya Afrika Mashariki ni safu mbili za milima ya eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, katika nchi za Kenya, Uganda, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Burundi. Inaitwa hivyo kutokana na uhusiano wak ...

Misri

Misri ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia pia. Ni nchi yenye wakazi milioni 100 na mji mkuu Kairo ni kati ya miji mikubwa zaidi duniani zaidi ya milioni 9. Ni kati ya nchi za dunia zenye his ...

Moroko

Moroko pia Maroko, kwa Kiarabu المغرب, au kirefu Ufalme wa Moroko المملكة المغربية al-mamlaka al-maghribiya yaani "ufalme wa magharibi" ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Magharibi. Imepakana na bahari za Atlantiki na Mediteranea; upande wa bara imep ...

Mto Donga

Mto Donga ni mto uliopo katika nchi ya Nigeria na Kameruni. Mto huo chanzo chake kinapatikana katika Mambilla Plateau huko Nigeria Mashariki, ndiyo sehemu ya mpaka wa kimataifa kati ya nchi ya Nigeria na Kameruni, na unapita kaskazini magharibi, ...

Mto Gongola

Mto Gongola ni mto unaopatikana nchini Nigeria. Chanzo chake Huanzia kwenye mteremko wa Jos na kuangukia kwenye bonde la Gongola. Mkondo wake ni mita za ujazo 1420. Mto huu unapita katika miji ya Numan na Gombe.

Mto Goulbi de Maradi

Mto Goulbi de Maradi ni mto unaopatikana kusini ya kati ya Niger na kaskazini ya kati ya Nigeria. Chanzo chake huanzia karibu na Katsina nchini Nigeria na kuishia kwenye mto Rima. Mto huo umbali wake hauzidi kilomita 48 kutoka Niger hadi kwenye m ...

Mto Kalambo

Majiranukta kwenye ramani: 8°24′S 31°18′E Mto Kalambo ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania upande wa kusini magharibi, mkoa wa Rukwa na ya Zambia upande wa kaskazini, ukiwa mpaka kati ya nchi hizo mbili kwa sehemu fulani. Ni maarufu kwa maporomo ...

Mto Mara

Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara Mto Mara ni mto wa Kenya na Tanzania. Beseni lake ni la km 2 13.504, ambazo 65% ziko Kenya na 35% Tanzania. Hatimaye unaishia katika Ziwa Viktoria upande wa Tanzania Mkoa wa Mara.

Mto Ruvyironza

Mto Ruvyironza una mwendo wa km 110 na ni tawimto la mto Ruvuvu ambao tena ni tawimto la Mto Kagera. Kwa kuwa mto huo unaishia nchini Tanzania katika Ziwa Viktoria ambalo linatokwa na mto Naili, baadhi ya wataalamu wanahesabu urefu wa Naili kuanz ...

Mto Ruzizi

Mto Ruzizi ni mto, wenye urefu wa kilomita 117, unaotiririka kutoka Ziwa Kivu hadi Ziwa Tanganyika katika Afrika ya Kati, ukishuka kutoka takriban mita 1.500 juu ya UB hadi karibu mita 770 juu ya usawa wa bahari. Mto huo unapita katika Ziwa Tanga ...

Mto Tekeze

Mto Tekezé, ni mto muhimu wa Ethiopia mpakani mwa Eritrea hadi Sudan. Una urefu wa 608 kilometers 378 mi hadi kuungana na mto Atbarah. Umejichimbia bonde linalozidi mita 2.000 futi 6.562 kwenda chini, hivyo ni refu kuliko yote barani Afrika na ka ...

Nchi za Maziwa Makuu

Nchi za Maziwa Makuu ni nchi zinazopakana na maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki ambazo ni Tanzania, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya na Uganda. Kati ya maziwa makubwa yaliyoko katika eneo hili kuna Ziwa Mwitanzige Alber ...

Ngazija

Ngazija au Grande Comore ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa ya Komori ambayo ni nchi ya visiwani katika Bahari Hindi. Ngazija ni jimbo la kujitawala lenye rais na serikali yake katika shirikisho la Komori. Eneo la kisiwa ni 1012.9 km². Umbali wake ...

Niger

Kwa maana nyingine ya neno "Niger" tazama Niger Niger pia Nijeri ni nchi kubwa zaidi ya Afrika ya Magharibi kwa eneo, lakini 80% ni katika jangwa la Sahara. Imepakana na Algeria na Libya upande wa kaskazini, Mali na Burkina Faso upande wa maghari ...

Nile

Mto Nile ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazonas. Kutoka Ziwa la Viktoria Nyanza hadi mdomo wake kwenye Bahari ya Mediteranea Nile inavuka nchi za Uganda, ...

Nile ya buluu

Nile ya buluu ni tawimto kubwa la mto Nile. Inaanza katika Ziwa Tana kwenye nyanda za juu za Ethiopia na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake uko mjini Khartum inapounganika na Nile nyeupe na kuunda mto wa Nile wenyewe. Kwa jumla Nile ya bluu inabeba ...

Nyanda za Juu za Adamawa

Nyanda za juu za Adamawa ni eneo la Afrika ya Kati linalopatikana kuanzia kusini-mashariki mwa Nigeria kupitia kaskazini mwa Kamerun hadi Jamhuri ya Afrika ya Kati. Jina la nyanda za juu hizo lilitolewa kwa kumbukumbu ya kiongozi Mwislamu wa Wafu ...

Nyasa (ziwa)

Ziwa Nyasa ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki likiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza na Ziwa Tanganyika. Lina urefu wa km 560 na upana wa km 50-80. Vilindi vyake vinaelekea hadi mita 704 chini ya uwiano wa maji yake. Ziwa ...

Okavango

Okavango ni mto wa Afrika ya kusini-magharibi. Unaanza nchini Angola katika milima ya Bié inapojulikana kwa jina la Kubango. Mwendo wake wa km 1600 ni kusini tu hadi jangwa la Kalahari unapoishia kwenye delta ya barani. Katika kusini ya Angola ni ...

Oranje (mto)

Oranje ni mto mrefu wa Afrika Kusini. Chanzo chake ni katika milima ya Maloti Drakensberg nchini Lesotho. Mdomo uko Atlantiki mpakani kati ya Afrika Kusini na Namibia. Pale inapokaribia mpaka wa Nambibia Oranje imechimba mfereji mrefu katika miam ...

Pembe ya Afrika

Pembe ya Afrika ni jina la sehemu ya mashariki kabisa ya bara la Afrika yenye umbo la pembetatu; ni kama rasi iliyoko kati ya Ghuba ya Aden na Bahari Hindi yenyewe. Eneo hili linajumuisha nchi za leo za Somalia na Jibuti pamoja na sehemu ya masha ...

Port Said

Port Said ni mji wa nchi ya Misri, karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500.000 waishio katika mji huo. Mji wa Port Said, unasemekana kuwa na samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na ...

Rasi Delgado

Rasi Delgado ni rasi mwambaoni mwa Bahari Hindi iliyoko kaskazini kabisa mwa pwani ya Msumbiji. Rasi Delgado iko takriban km 40 kusini kwa mji wa Mtwara, Tanzania. Mji mdogo wa Quionga umo rasini.

Ruvuma (mto)

Ruvuma ni mto mrefu wa Tanzania na Msumbiji. Mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji unafuata mwendo wake kwa km 730. Chanzo chake kiko mashariki kwa mji wa Songea katika milima ya Matagoro upande wa mashariki wa Ziwa la Nyasa. Unaelekea magharibi kat ...

Réunion

Réunion ni kisiwa cha Afrika na mkoa wa ngambo wa Ufaransa katika Bahari Hindi. Kisheria hali yake ni sawa na mikoa mingine ya Ufaransa hivyo ni pia sehemu ya Umoja wa Ulaya.

Safu ya Ruwenzori

Safu ya Ruwenzori ni eneo la milima katika Afrika ya Kati kwenye mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mlima wa juu ni Pic Marguerite Mlima Stanley wenye kimo cha mita 5.109 juu ya UB. Mingine ni mlima Speke m 4.890, mlima Baker m ...

Sahara ya Magharibi

Sahara ya Magharibi ni eneo la Afrika ya Kaskazini-Magharibi kwenye mwambao wa Bahari Atlantiki upande wa magharibi. Imepakana na Moroko upande wa kaskazini, Algeria upande wa mashariki na Mauretania upande wa kusini. Ilitangazwa nchi huru mwaka ...

Sao Tome

Sao Tome ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Sao Tome na Principe, karibu na Afrika ya Magharibi. Jina limetokana na lile la Kireno la Mtakatifu Thoma. Mji ulianzishwa na Ureno mwaka 1485 kwenye pwani ya kaskazini-mashariki ya kisiwa chenye jina lil ...

Sao Tome (kisiwa)

Sao Tome ni kisiwa cha bahari ya Atlantiki karibu na pwani ya Afrika Magharibi. Kimeundwa na kilele cha mlima wa safu za volkeno zilizokua kuanzia sakafu ya bahari hadi kufikia usoni pake. Volkeno hizi ni zimwe, si hai tena. Ndicho kisiwa kikubwa ...

Sao Tome na Principe

Jamhuri ya Kidemokrasia ya São Tomé na Príncipe kifupi Sao Tome na Principe ni nchi ndogo inayoundwa na visiwa katika Bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika ya Magharibi katika Ghuba ya Guinea. Ilikuwa koloni la Ureno hadi mwaka 1975. Eneo ...

Senegal

Senegal pia Senegali ni nchi ya Afrika ya Magharibi iliyopo upande wa kusini wa mto Senegal. Imepakana na Mauritania upande wa kaskazini, Mali upande wa mashariki, Guinea na Guinea-Bisau kusini na Bahari Atlantiki upande wa magharibi. Nchi ya Gam ...

Senegal (mto)

Mto wa Senegal ni kati ya mito mirefu ya Afrika ukiwa na urefu wa kilometa 2272 pamoja na tawimto mrefu la Bafing. Mto Senegal wenyewe unaanza karibu na mji wa Bafoulabe Mali kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na Bakoye ambayo yote ina chan ...

Shebeli

Shebeli ni tawimto la mto Juba linalobeba maji yake kutoka nyanda za juu za Ethiopia kuelekea Bahari ya Uhindi ingawa mara nyingi inakauka katika jangwa la Somalia kabla ya kufikia mdomo wake. Chanzo cha Shebeli kiko katika milima ya Batu Ethiopi ...

Shire (mto)

Shire ni mto unaotoka katika Ziwa Nyasa ikipeleka maji yake katika Mto Zambezi. Kiasi chake cha maji kinategemea kiwango cha maji ziwani. Katika miaka ya 1930 iliwahi kukauka kwa muda; tangu siku zile ilikuwa na maji siku zote. Shire inatoka kwen ...

Somaliland

Somaliland kwa Kisomalia: Somaliland ni eneo la kujitawala kaskazini mwa Somalia. Hali halisi ni nchi huru tangu mwaka 1991 lakini haijatambuliwa na umma wa kimataifa, wala nchi nyingine yoyote. Eneo lake ni karibu sawa na koloni la zamani la Som ...

Tana (ziwa)

Ziwa la Tana ni ziwa kubwa la Ethiopia na asili ya Nile ya Buluu. Beseni yake iko taktiban 370 km kaskazini-magharbibi ya Addis Ababa katika nyanda za juu za Ethiopia. Umbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na mashapo. Kamusi y ...

Tanganyika (ziwa)

Ziwa Tanganyika ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika ya Kati likienea mpakani mwa Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia. Ni ziwa kubwa la pili duniani kwa wingi wa maji matamu baada ya Ziwa Baikal Siberia kwa kuzingatia kia ...

Tenerife

Tenerife ni kisiwa cha Kihispania kwenye funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari katika Atlantiki mbele ya mwabao wa Afrika ya Magharibi. Mji mkuu pia mji mkubwa ni Santa Cruz de Tenerife kwenye kaskazini ya kisiwa. Uchumi wa Tenerife kama funguvisiwa y ...

Togo

Togo ni nchi ya Afrika ya Magharibi inayofikia kwenye mwambao wa Ghuba ya Guinea bahari ya Atlantiki ikipakana na Benin upande wa mashariki, Burkina Faso kaskazini na Ghana mashariki. Idadi ya wakazi ilikuwa zaidi ya milioni 7 u nusu mwaka 2015. ...

Tripoli (Libya)

Kwa miji mingine inayoitwa "Tripoli" tazama makala ya maana Tripoli Tripoli ni mji mkuu wa Libya. Jina la Kiarabu ni طرابلس tarāblus au طرابلس الغربية tarābulus al-gharbiyya - Tripoli ya Magharibi kwa sababu ya Tripoli ya mashariki huko Lebanon l ...

Tunis

Tunis ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 728.463 ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 1.6. Mji uko ufukoni mwa Mediteranea, karibu na Karthago ya Kale.

Tunisia

Tunisia ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria. Mji mkuu ni Tunis wakazi 728 453 ulioko mahali pa Karthago ya kale.

Turkana (ziwa)

Majiranukta kwenye ramani: 3°35′N 36°7′E Ziwa Turkana ni ziwa kubwa lililopo katika kaskazini yabisi ya Kenya. Halina mto unaotoka, hivyo maji yanayoingia yanapotea kwa njia ya uvukizaji. Kwa jumla ni ziwa la Kenya lakini ncha ya kaskazini iko nd ...

Jimbo la Nile ya Juu, Sudan

Makala hii inahusu jimbo la Sudan. Kuhusiana na mto, tazama Nile Majiranukta kwenye ramani: 29°32′N 32°40′E Nile ya Juu Kiing.: Upper Nile, Kar. أعالي النيل aala an-nil ni moja ya majimbo wilayat 10 ya Sudan Kusini. Malakal ndio mji mkuu wa jimbo ...

Victoria Falls

Victoria Falls au Maporomoko ya Viktoria ni maporomoko ya mto Zambezi mpakani mwa Zambia na Zimbabwe. Mto Zambezi wenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika mfereji ...

Volta (ziwa)

Ziwa la Volta ni bwawa kubwa kwenye mto Volta nchini Ghana iliyopatikana tangu kufungwa kwa mwendo wa mto Volta kwa lambo la Akosombo kuanzia mwaka 1965. Ziwa Volta ni ziwa kubwa kabisa duniani lililoundwa na watu. Urefu wake ni zaidi ya kilomita ...