ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 48

Bahari ya Chumvi

Bahari ya Chumvi ni ziwa lililoko kati ya nchi za Israel, Palestina na Yordani. Ziwa liko ndani ya bonde la mto Yordani ambalo ni sehemu ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki. Eneo lake ni takriban km² 600. Mwambao wa ziwa ni mahali pa chini kab ...

Bahari ya Kiarabu

Bahari ya Kiarabu ni sehemu ya kaskazini ya Bahari Hindi iliyopo baina ya Bara Arabu na Bara Hindi. Eneo lake ni takribani kilomita za mraba 4.82.000 ilhali kina kirefu ni mita 4.652. Upande wa kaskazini inapakana na Pakistan na Iran, upande wa m ...

Bahari ya Maluku

Bahari ya Maluku ni sehemu ya Bahari ya Pasifiki, ndani ya nchi ya Indonesia. Ni eneo lenye miamba tumbawe mingi na nafasi nzuri ya kupiga mbizi. Bahari ya Maluku inapakana na Bahari ya Banda upande wa kusini na Bahari ya Celebes upande wa kaskaz ...

Bahari ya Mashariki ya China

Bahari ya Mashariki ya China ni bahari ya pembeni iliyopo kando ya mashariki mwa nchi ya China, pamoja na Bahari ya Njano na Bahari ya Kusini ya China. Bahari hiyo ni sehemu ya Bahari Pasifiki ina eneo la kilomita za mraba zipatazo 1.249.000. Nch ...

Bahrain

Bahrain kwa Kiarabu: مملكة البحرين Mamlakat al-Bahrayn, Ufalme wa Bahrain ni nchi ya visiwa na ufalme mdogo katika Ghuba ya Uajemi karibu na pwani ya Saudi Arabia. Nchi ni tajiri kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.

Bangkok

Bangkok ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Uthai katika Asia Kusini-Magharibi. Kuna wakazi milioni saba walioandikishwa lakini imekadiriwa ya kwamba jumla ya wakazi inafikia hadi milioni 14-15. Mji uko kwa 13°45′N 100°31′E kando la mto Chao Phraya ...

Bara Hindi

Bara Hindi ni eneo kubwa la Asia kusini kwa milima ya Himalaya lenye kilomita za mraba milioni 4.5. Inaingia ndani ya bahari Hindi kama rasi kubwa sana lenye umbo la pembetatu.

Beirut

Beirut ni mji mkuu wa Lebanon, pia mji mkubwa na bandari kuu ya nchi hiyo. Iko mwambaoni pa Bahari ya Kati. Imekadiriwa kuwa idadi ya wakazi ni kati ya milioni moja na mbili. Mahali pa mji ni kanda kati ya bahari na milima inayofuatana sambamba n ...

Bishkek

Mji ulianzishwa kama kituo cha misafara kwenye barabara ya hariri kati ya China na Mashariki ya Kati. Khan wa Kokand alitengeneza hapa boma lililotwaliwa na jeshi la Urusi 1862 wakati wa uenezaji wa Urusi katika Asia ya Kati. 1878 Warusi walijeng ...

Borneo

Borneo ni kisiwa kikubwa cha pili cha Asia ya kusini-mashariki. Eneo lake ni 740.000 km². Duniani visiwa vya Greenland na Guinea Mpya pekee ni vikubwa zaidi. Borneo hutawaliwa na nchi tatu: Kaskazini ni eneo la Malaysia ya Mashariki au majimbo ya ...

Chittagong

Chittagong ni bandari kubwa na mji mkubwa wa pili wa Bangladesh. Iko kando ya mto Karnaphuli. Mji wa biashara tangu karne ya 9, Chittagong ina urithi wa utamaduni wa Kiislamu, Wahindu na Wabuddha. Maendeleo ya kisasa ya utawala wa Uingereza ni ka ...

Dhaka

Dhaka ni mji mkuu wa Bangladesh pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 12.560.000 mwaka 2005. Iko kando la mto Dhaleswari inayoendelea kuleta mafurko mara kwa mara wakati wa mvua za monsuni. Miji ilipatikana katika eneo la Dhaka tangu karne ya 7 BK ...

Everest (mlima)

Majiranukta kwenye ramani: 27°59′17″N 86°55′31″E Mlima Everest ni mlima mkubwa kabisa duniani, wenye kimo cha m 8.848 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya. Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na China Tibet. Watu wa ...

Falme za Kiarabu

Falme za Kiarabu kwa Kiarabu: الإمارات العربيّة المتّحدة; kwa Kiingereza United Arab Emirates ni shirikisho la emirati au falme ndogo 7 katika kaskazini-mashariki ya Rasi ya Uarabuni kwenye mwambao wa ghuba ya Uajemi. Shirikisho limepakana na Sau ...

Frati

Mto Frati ni mto mkubwa uliopo Asia ya magharibi. Frati ina urefu wa takriban 2.781 km. Baada ya kutoka katika nyanda za juu za Uturuki unaingia katika tambarare ya jangwa la Shamu na kuendelea katika Iraq unapopita kwenye maghofu ya Babeli. Pamo ...

Fujairah

Fujairah ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Oman. Peke yake inaundwa na milima kwa kiasi kikubwa. Mtawala wake ni Sheikh Hamad bin Mohammed Al Sharqi. Utemi una wakazi 225.360 2016 ka ...

Funguvisiwa la Malay

Funguvisiwa la Malay ni funguvisiwa lililoko kati ya Indochina na Australia. Jumla ya visiwa ni zaidi ya 25.000. Nchi zifuatazo zina maeneo katika funguvisiwa hili: Indonesia Timor ya Mashariki Ufilipino Malaysia majimbo ya Sabah, Sarawak na Labu ...

Georgia

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Georgia Georgia kwa Kigeorgia: საქართველო "Sakartvelo" ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi. Imepakana na Urusi, Uturuki, Armenia na Azerbaijan. Mji mkuu ni Tbilisi.

Guinea Mpya

Guinea Mpya ni kisiwa kikubwa katika Pasifiki upande wa kaskazini wa Australia. Ni kisiwa kikubwa cha pili duniani baada ya Greenland. Eneo la kisiwa limegawiwa kati ya mataifa mawili: upande wa mashariki ni nchi huru ya Papua Guinea Mpya upande ...

Hanoi

Hanoi ni mji mkuu wa Vietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 3. Mji uko kando ya Mto Mwekundu katika delta ya mto huu takriban km 60 kabla ya mdomo wake.

Himalaya

Himalaya ni safu ya milima kunjamano katika Asia, upande wa kaskazini wa Uhindi. Ngambo ya pili ni nyanda za juu za Tibet. Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mirefu kabisa ya dunia iko Himalaya. Milima yote iliyofika mita elfu nane ju ...

Indonesia

Indonesia ni nchi ya visiwa katika Asia ya Kusini-Mashariki. Iko upande wa Kusini-Mashariki kati ya Bahari ya Uhindi na Pasifiki. Visiwa vyake ni sehemu ya Funguvisiwa la Malay, ingawa Guinea Mpya kwa kawaida haihesabiwi katika fungu hilo. Indone ...

Indus (mto)

Mto Indus {Kiurdu: سندھ Sindh; Kipunjabi Sindhu; Kihindi na Sanskrit: सिन्धु Sindhu; Kifarsi: حندو Hindu; Kigiriki: Ινδός Indos} ni mto mrefu wa Bara Hindi na mto mkubwa nchini Pakistan. Chanzo chake kipo katika China Tibet ikiendelea kupitia Uhi ...

Isfahan

Isfahan au Esfahān ni jiji katika nchi ya Iran. Iko takriban km 340 upande wa kusini wa Tehran. Idadi ya wakazi wa mji wenyewe ni mnamo milioni 2, pamoja na mapambizo ni takriban milioni 4, hivyo ni mji mkubwa wa tatu nchini baada ya Tehran na Ma ...

Islamabad

Islamabad ni mji mkuu wa Pakistan. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi mguuni wa milima ya Himalaya na kijiografia sehemu ya Punjab ingawa kisiasa eneo lake limetengwa kutoka jimbo la Punjab kwa ajili ya mji mkuu. Islamabad ni mji mpya. Azimio ...

Israel

Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika Biblia tazama Israeli Israel kwa Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisrael ; kwa Kiarabu: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrāīl ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea. Ime ...

Issyk Kul

Issyk Kul ni ziwa kubwa zaidi la nchi ya Kirgizia katika Asia ya Kati. Ziwa hilo liko katika milima ya Tian Shan na uso wake upo mita 1.607 juu ya usawa wa bahari. Eneo la maji ni km2 6236 na hivyo ni ziwa la mlimani kubwa la pili duniani baada y ...

Jamhuri ya China

Makala hii yaeleza habari za Jamhuri ya China iliyoko hasa Taiwan. Habari za Jamhuri ya Watu wa China au China bara tazama hapa Jamhuri ya China pia: Taiwan ni nchi ya visiwani katika Asia ya Mashariki upande wa kusini-mashariki wa China bara. Nc ...

Kamboja

Kamboja au Kampuchia ni ufalme katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki, katika rasi ya Indochina. Inapakana na nchi za Thailand, Laos na Vietnam.

Karakoram

Karakoram ni eneo la milima mirefu inayopakana na Himalaya upande wa mashariki na Hindu Kush upande wa kusini; eneo hili lipo mpakani mwa Pakistan, Uhindi na China likienea hadi Afghanistan na Tajikistan. Safu za Karakoram zinaenea kwa kilomita 4 ...

Labuan

Labuan ni kisiwa kikuu cha funguvisiwa lenye jina hilohilo ambalo tangu mwaka 1984 limekuwa eneo la shirikisho katika nchi ya Malaysia. Inapatikana kaskazini kwa kisiwa cha Borneo ambacho ni cha tatu duniani kwa ukubwa. Wakazi ni 86.908 2010; kat ...

Lahore

Lahore ni mji mkubwa wa pili nchini Pakistan na mji mkuu wa mkoa wa Punjab. Inajulikana pia kama "Jiji la bustani" kwa sababu ya bustani zake nyingi. Mji huo unajulikana kwa utajiri wa utamaduni wake. Ni kitovu cha tasnia ya filamu ya Pakistan na ...

Laos

Wakazi wengi 55% ni Walao, 11% ni Wakhmu, 8% Wahmong n.k. Lugha rasmi ni Kilao pamoja na Kifaransa. Upande wa dini, 67% ni Wabuddha wa madhehebu ya Theravada. 30.7% wanafuata dini za jadi Satsana Phi na 1.5% ni Wakristo, wakiwemo kwanza Waprotest ...

Lebanoni

Lebanoni kwa Kiarabu: لبنان ni nchi ndogo ya Mashariki ya Kati katika Asia ya Magharibi kando ya Bahari ya Mediteranea. Imepakana na Syria na Israel.

Mesopotamia

Mesopotamia ni jina la kihistoria kwa mabonde ya mito Frati na Hidekeli yanayogawiwa leo kati ya nchi za Uturuki, Syria na Irak. Neno limetoka katika lugha ya Kigiriki "Μεσοποταμία" kutokana na maneno asilia ya μεσο meso kati ya na ποταμός potamo ...

Milima ya Lebanoni

Milima ya Lebanoni ni safu ya milima katika nchi ya Lebanoni inayoanza katika Syria. Inaelekea sambamba na pwani ya Mediteranea na milima ya Lebanoni ndogo. Mwelekeo wa safu ni kutoka kaskazini kwenda kusini kwa urefu wa kilomita 240. Kati yake, ...

Milima ya Sayan

Milima ya Sayan ni safu ya milima kusini mwa Siberia, Urusi, hasa kwenye Jamhuri ya Tuva, na kaskazini mwa Mongolia. Hapo zamani milima ilikuwa mpaka kati ya Mongolia na Urusi. Vilele vya Milima ya Sayan na maziwa baridi kati yake ni chanzo cha m ...

Mlango wa Korea

Mlango wa Korea ni mlango wa bahari baina ya Korea Kusini na nchi ya Japani. Mlango huu unaunganisha Bahari ya Uchina ya Mashariki na Bahari ya Japani kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Mlango umegawanyika na Kisiwa cha Tsu ...

Mlango wa Tsushima

Mlango wa Tsushima pia unajulikana kama Mlango wa Tsu Shima au Mlango wa Tsu-Shima }} ni sehemu ya mashariki ya Mlango wa Korea, ambao upo baina Korea na Japani, na hasa sehemu kati ya kisiwa cha Tsushima na Japani penyewe. Jina la Tsushima limku ...

Mongolia

Mongolia kwa Kimongolia: Монгол Улс, mongol uls ni nchi ya bara la Asia. Imepakana na nchi za Urusi na Uchina. Ni nchi kubwa ya 19 duniani lakini kuna wakazi wachache tuː jumla milioni 2.6 hivyo msongamano wa watu ni mdogo sana. Sehemu za kusini ...

Mto Salawin

Mto Salawin ni mto mkubwa katika Asia ya Kusini-Mashariki. Chanzo chake kipo Tibet halafu unapita Myanmar na Uthai kwenye mwendo wake wa takriban kilomita 2.400. Majina yake hutofautiana kadiri ya nchi ambako unapita: Watibet huuita Nag Qu, pale ...

Mumbai

Mumbai ni mji mkuu wa jimbo la Maharashtra kwenye pwani la magharibi la Uhindi. Mumbai ni mji mkubwa wa India mwenye wakazi milioni 12.

Muskat

Maskat ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Omani. Mji una takriban wakazi 650.000. Maskat ina historia ndefu. Tangu karne ya pili ulijulikana kama bandari ya biashara ya kimataifa hasa ya uvumba. 1507 ilivamiwa na Wareno waliokaa hadi kufukuzwa mwaka 1 ...

Myanmar

Myanmar pia: Myama; Myamari ni nchi ya Asia ya Kusini-Mashariki inayojulikana pia kwa jina la Burma au Bama. Imepakana na China upande wa kaskazini, Laos upande wa mashariki, Uthai kusini-mashariki, Bangladesh na Uhindi magharibi. Kuna pwani kwen ...

Najd

Eneo hilo lina km² milioni 1.1. Limepakana upande wa magharibi na Hijaz, upande wa kaskazini na jangwa la Nefud, upande wa mashariki na Al-Hasaah, na upande wa kusini na jangwa la Rub al-Khali. Tabianchi ni yabisi sana hivyo eneo lote ni jangwa. ...

Negev

Negev ni eneo la kusini mwa Israeli. Ni jangwa ambalo linafunika karibu 60% ya ardhi yote ya Israeli katika mipaka yake ya mwaka 1949, takriban kilomita za mraba 13.000. Ni sehemu kubwa ya Mkoa wa Kusini wa Israel. Asilimia 10 za wakazi wote wa I ...

Nepal

Nepal ni nchi ya Asia ya Kusini iliyoko kwenye milima ya Himalaya na inayopakana na Uhindi na China. Jina rasmi ni jamhuri ya kidemokrasia ya shirikisho la Nepal. Mlima Everest ambao ni mlima mrefu kuliko yote duniani uko Nepal. Mji mkuu ni Kathm ...

New Delhi

New Delhi ni mji mkuu wa Uhindi na kitovu cha jiji kubwa la Delhi. Pamoja na Delhi yote kuna wakazi zaidi ya milioni kumi.

Nyanda za chini za Turan

Nyanda za chini za Turan ni eneo tambarare la km² milioni 1.9 lililopo duni kuliko mazingira yake katika Asia ya Kati. Linaenea katika Turkmenistan kupitia Uzbekistan hadi Kazakhstan, tariban baina ya Bahari ya Kaspi na Ziwa Aral. Asilimia 80 ni ...

Nyanda za Juu za Mongolia

Nyanda za Juu za Mongolia ni sehemu za Nyanda za Juu za Asia ya Kati zinazoenea katika Mongolia na kaskazini mwa China kwa takriban kilomita za mraba 3.200.000. Inapakana na Milima ya Hinggan Kubwa upande wa mashariki, Milima ya Yin upande wa kus ...