ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 50

British Kolumbia

British Kolumbia ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Pasifiki lililopo kati ya Marekani bara na Alaska. Ni mmoja kati ya majimbo makubwa ya Kanada yenye kilomita za mraba zipatazo 944.735. Kunako mwaka wa 2001, idadi ya wakazi ilikuwa 3.907.738. ...

Erie (ziwa)

Ziwa Erie ni moja ya maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Pamoja na maziwa mengine ya Ziwa Superior, Ziwa Huron na Ziwa Ontario liko mpakani kati ya Marekani na Kanada na mpaka huu umepita ziwani. Ziwa limepakana na Kanada jimbo la Ontario upa ...

Kisiwa cha Baffin

Kisiwa cha Baffin kiko Kanada, katika eneo la Nunavut. Ndicho kisiwa kikubwa kuliko vyote vya nchi hiyo na cha tano duniani, ukiwa na km2 507.451. Wakazi ni 11.000 hivi 2007.

Montreal

Montreal ni mji katika nchi ya Kanada. Ni mji mkubwa wa mkoa wa Quebec na pia wa pili kwa ukubwa katika Kanada nzima. Kuna wakazi zaidi ya milioni nne wanaoishi katika rundiko la mji huo.

Mto Saint Lawrence

Mto Saint Lawrence ni mto mkubwa katika Amerika ya Kaskazini. Mwanzoni unafuata mpaka baina ya Kanada na Marekani halafu unapita katika jimbo la Quebec hadi kuishia katika Ghuba ya Saint Lawrence na Bahari Atlantiki. Chanzo chake kipo pale unapoo ...

New Brunswick

New Brunswick ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Atlantiki. Ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3. Fredericton ni mji mkuu na Saint John ni mji mkubwa. Una eneo la 72.908 km². Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 748.319. Imepak ...

Newfoundland and Labrador

Newfoundland and Labrador lænd ən ˈlæbrədɔr/; ufaransa: Terre-Neuve-et-Labrador) ni jimbo iliyoko Kanada. Imepakana na Quebec upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki. Hadi 1949 ilikuwa koloni ya Uingereza. Kijiografia jimbo hili ...

Northwest Territories

Northwest Territories ni eneo kubwa la Kanada upande wa kaskazini ya nchi. Yellowknife ni mji mkuu na mji mkubwa. Imepakana na Nunavut, Alberta, Saskatchewan, British Kolumbia na Yukon. Northwest Territories lina wakazi wapatao 42.940 2009 wanaok ...

Ottawa

Ottawa ni mji mkuu wa Kanada ikiwa ndani ya eneo la jimbo la Ontario. Mji uko kusini ya mto Ottawa. Mwaka 2004 ilikuwa na wakazi 800.000 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1.146.790. Ottawa ni mji mkubwa wa nne katika Kan ...

Quebec

Quebec ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Atlantiki kati ya mdomo wa mto Saint Lawrence hadi ghuba ya Hudson. Ina eneo la 1.542.056 km² ikiwa ni kubwa kati ya majimbo ya Kanada. Kuna wakazi milioni saba na nusu. Imepakana na Ontario, New Brunswi ...

Vancouver

Vancouver ni mji wa pwani uliopo kwenye bandari kuu ya kusini-magharibi mwa mji wa British Kolumbia, Kanada. Huu ni mji mkubwa kabisa katika British Kolumbia na pia mji wa tatu kwa ukubwa katika Kanada, wenye ongezeko la watu milioni 2.

Visiwa vya Malkia Elizabeth

Visiwa vya Malkia Elizabeth ndio kundi la visiwa kaskazini mwa Funguvisiwa la Aktiki ya Kanada. Kiutawala visiwa hivi vimegawanyika baina ya Nunavut na Northwest Territories za Kanada. Visiwa vya Malkia Elizabeth vimefunikwa kabisa kwa barafu ilh ...

Ziwa Great Bear

Ziwa Great Bear ni ziwa lililopo katika misitu ya Kanada ya Kaskazini. Ni ziwa kubwa kabisa ndani ya Kanada, isipokuwa Ziwa Superior na Ziwa Huron ambayo yanavuka mpaka wa Kanada na Marekani ni makubwa zaidi, ni ya nne kwa ukubwa Amerika Kaskazin ...

Ziwa Great Slave

Ziwa Great Slave ni ziwa la pili kwa ukubwa katika maeneo ya Northwest Territories ya Kanada. Ni ziwa lenye kina kirefu zaidi katika Amerika Kaskazini likifikia mita 614 na ziwa kubwa la tisa duniani. Urefu wake ni km 480 likiwa na upana wa km 19 ...

Ziwa Huron

Ziwa Huron ni moja kati ya maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Ziwa limepakana na Kanada upande wa mashariki halafu na Marekani upande wa magharibi. Ziwa Huron ni ziwa kubwa wa pili la bara hili. Pamoja na maziwa ya Ziwa Superior, Ziwa Erie n ...

Ziwa Superior

Ziwa Superior ni moja kati ya maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini. Ni ziwa kubwa zaidi la bara hili. Pamoja na maziwa ya Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario liko mpakani kati ya Marekani na Kanada na mpaka huo umepita ziwani. Ziwa limepakana na ...

Athi

Athi ni jina la mto katika kaunti ya Kitui, Kenya, Afrika Mashariki. Sehemu za mto hujulikana pia kwa majina ya Galana na Sabaki, kwa hiyo mto wote huitwa pia Athi-Galana-Sabaki. Ina urefu wa kilomita 390, na beseni lenye eneo la Km² 70.000. Mto ...

Athi River

Hii ni makala juu ya mji wa Athi River. Angalia pia Mto wa Athi-Galana-Sabaki Athi River ni mji nchini Kenya kando ya jiji la Nairobi. Mji huo ni makao ya Baraza la Mji wa Mavoko na ni mji mkuu wa divisheni ya Mavoko ambayo ni sehemu ya kaunti ya ...

Bungoma

Bungoma ni mji wa Kenya ya magharibi karibu na mpaka wa Uganda ambao ni makao makuu ya kaunti ya Bungoma. Wakazi walikuwa 81.151 wakati wa sensa ya mwaka 2009. Bungoma iko kwenye kimo cha mita 1.385 juu ya UB, mguuni pa Mlima Elgon. Wenyeji wa Bu ...

Dandora

Dandora ni mtaa ulio mashariki mwa Nairobi, Kenya. Ni sehemu ya Tarafa ya Embakasi. Dandora imegawanywa katika phase tano. Dandora ilianzishwa mwaka wa 1977, kwa mchango wa fedha kiasi kutoka kwa Benki ya Dunia ili kutoa makazi ya hali ya juu Hat ...

Eldama Ravine

Eldama Ravine ni mji wa Kenya, kaunti ya Baringo, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Wakazi walikuwa 45.799 wakati wa sensa ya mwaka 2009. Maeneo yenye watu wengi ni nyanda za juu kama maji mazuri, timboroa, torongo na viunga vya mji wenyew ...

Garissa

Garissa ni mji nchini Kenya ulio makao makuu ya kaunti ya Garissa. Wakazi walikuwa 119.696 wakati wa sensa ya mwaka 2009. Mto Tana hupitia eneo la manispaa. Wakazi walio wengi ni Wasomali kiutamaduni pamoja na raia wa Somalia waliohamia hapa kuto ...

Gatundu

Gatundu ni mji uliopo eneo la kati la Kenya katika Kaunti ya Kiambu. Mji huu una umaarufu kwa kuwa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta na mwana wake rais Uhuru Kenyatta, waliishi karibu na hapa. Unapatikana juu ya kilima kilichozingirwa na Mto ...

Hifadhi ya Taifa ya Amboseli

Hifadhi ya Taifa ya Amboseli, ambayo zamani ilikuwa inaitwa hifadhi ya wanyama ya Maasai Amboseli, iko katika Kaunti ya Kajiado, nchini Kenya. Mbuga hii ina ukubwa wa hekta 39.206 au eneo la km2 392. Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ni katika eneo li ...

Hifadhi ya Taifa ya Nairobi

Hifadhi ya Taifa ya Nairobi ilikuwa mbuga ya kwanza nchini Kenya ilipoanzishwa mwaka wa 1946. Iko takriban kilomita 7 kusini mwa katikati ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, na ni ndogo ikilinganishwa na mbuga nyingine za wanyama barani Afrika. Majumb ...

Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki

Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki ni moja ya hifadhi kubwa zaidi na kongwe nchini Kenya iliyotambaa eneo la kilomita za mraba 11.747. Ilifunguliwa mnamo Aprili 1948, na iko karibu na kijiji cha Voi katika Kaunti ya Taita-Taveta. Hifadhi hii ime ...

Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru

Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru ni mbuga ya wanyama nchini Kenya iliyoko kando ya Ziwa Nakuru, karibu na mji wa Nakuru. Umbali wa Nairobi ni km 140. Geti kuu liko kilomita 4 kutoka mji wa Nakuru. Eneo lake ni takriban km² 188. Inajulikana hasa kw ...

Jangwa la Chalbi

Jangwa la Chalbi ni jangwa dogo kaskazini mwa Kenya, kusini kwa mpaka wa Ethiopia. Liko mashariki kwa Ziwa Turkana ambalo ni ziwa kubwa kuliko yote duniani linalodumu ndani ya jangwa. Mji wa North Horr umo katika jangwa hili. Mji mkubwa wa karibu ...

Jimbo la Uchaguzi la Kisauni

Jimbo la Uchaguzi la Kisauni ni moja kati ya Majimbo 210 ya uchaguzi Nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, miongoni mwa majimbo manne katika kaunti hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Munisipal ...

Jimbo la Uchaguzi la Mvita

Mvita ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni mojawapo ya Majimbo manne katika Kaunti ya Mombasa. Eneo lote la Jimbo hili iko chini ya Baraza la munisipali ya Mombasa.

Juja

Juja ni mji upatikanao katika kaunti ya Kiambu, kati ya nchi ya Kenya. Mji huu uko katika umbali wa kilometa 36 Kaskazini Mashariki mwa Jiji la Nairobi. Mji una wakazi 40.446 sensa ya mwaka 2009.

Kajiado

Jina la Kajiado linatokana na neno "Orkejuado" ambalo linamaanisha "mto mrefu" katika lugha ya Kimasai. Mto huu upo magharibi mwa mji huu. Jina halisi wa mji huu ni "Olopurupurana", ambalo lina maana ya "kilima cha mviringo".

Kamwangi

Kamwangi ni mji mdogo katika barabara ya Thika - Naivasha. Inapatikana magharibi ya mji wa Thika. Vilevile, kuna barabara inayounganisha mji huu na Gatundu kupitia Kangoo. Shughuli kuu inayofanyika hapa ni biashara. Kuna soko kubwa la Jumanne na ...

Kaunti ya Busia

Kaunti ya Busia ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Busia. Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na nchi jirani ya Uganda, pamoja na mji wa Busia kituo cha mpakan ...

Kaunti ya Embu

Kaunti ya Embu inapakana na kaunti za Tharaka Nithi kaskazini, Machakos kusini, Kitui mashariki na Kirinyaga magharibi. Sehemu ya Mbeere hujumlisha 74% ya kaunti na ni kavu kuliko sehemu zingine. Sehemu nyingi za kaunti hupata mvua ya kiwango cha ...

Kaunti ya Kajiado

Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Kajiado. Wilaya hii imegawanywa kwenye taarafa saba za utawala. Tarafa mpya ya Isinya haijajumuishwa kwenye ...

Kaunti ya Kiambu

Kuhusu mji, soma Kiambu Kaunti ya Kiambu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Ilikuwa mojawapo ya wilaya za Kenya katika Mkoa wa Kati baada ya nchi kupata uhuru. Makao makuu ya ka ...

Kaunti ya Kirinyaga

Kaunti ya Kirinyaga ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Kerugoya/Kutus.

Kaunti ya Kitui

Kwa makao makuu, soma Kitui Kaunti ya Kitui ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Kitui.

Kaunti ya Machakos

Ili kusoma kuhusu mji, soma Machakos Kaunti ya Machakos ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Machakos. Inatarajiwa kuwa na mji wa Konza ambao ndio mji wa kwanza w ...

Kaunti ya Makueni

Kaunti ya Makueni imepakana na Machakos kaskazini, Kitui mashariki, Taita Taveta kusini na Kajiado magaribi. Ni kaunti nusu kavu. Tabianchi hii huiwezesha Makueni kuzalisha maembe kwa muda mrefu kwa mwaka. Mto Athi hupitia katika mpaka wa mashari ...

Kaunti ya Mandera

Kaunti ya Mandera ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Imepakana na Kaunti ya Wajir, na nchi za Somalia na Uhabeshi. Makao makuu yako Mandera.

Kaunti ya Marsabit

Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Marsabit. Mji mkubwa zaidi ni Moyale ulio katika mpaka wa Kenya na Uhabeshi.

Kaunti ya Meru

Kuhusu makao makuu, tazama Meru Kaunti ya Meru ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Jina lake limetokana na Wameru ambao ndio jamii kubwa zaidi katika kaunti hii. Sehemu kubwa ya ...

Kaunti ya Muranga

Kuhusu mji, soma Muranga Kaunti ya Muranga ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Muranga.

Kaunti ya Nyandarua

Kaunti ya Nyandarua ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu ya Kanti ya Nyandarua yako kwenye mji wa Ol Kalou.

Kaunti ya Nyeri

Kuhusu mji, tazama Nyeri Kaunti ya Nyeri ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Nyeri.

Kaunti ya Taita-Taveta

Kaunti ya Taita-Taveta ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Imepakana na Kaunti za Kwale, Kitui, Kilifi, Tana River, Kajiado na Makueni. Pia, imepakana na Jamhuri ya Muungano wa T ...

Kaunti ya Tharaka-Nithi

Kaunti ya Tharaka-Nithi ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Serikali huketi Chuka, ingawa makao makuu rasmi ni Kathwana.

Kaunti ya Turkana

Kaunti ya Turkana ndio kaunti kubwa zaidi ikiwa na 71.597.8 km 2 27.644.1 sq mi. Imepakana na Uhabeshi, Sudani Kusini kaskazini, Uganda magharibi, Pokot Magharibi, Baringo, Samburu kusini na Marsabit mashariki. Turkana ina safu za milima: Milima ...