ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 51

California

California ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani ya Pasifiki ikipakana na Meksiko. Wakazi wamekadiriwa kuwa 39.512.223 mwaka 2019. California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama ...

Charlestown, Massachusetts

Charlestown ilikuwa mji ulioanzishwa mwaka 1628 huko Massachusetts, Marekani. Ilikuwa mji mkuu wa kwanza wa Massachusetts Bay Colony ya Uingereza. Tangu 1874 imekuwa sehemu ya mji wa Boston. Inapatikana kwenye rasi iliyopo kaskazini-mashariki mwa ...

Cincinnati, Ohio

Cincinnati ni mji wa Marekani katika jimbo la Ohio. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 147 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mto Colorado

Bibliography on Water Resources and International Law Peace Palace Library State of Utah site on uranium mine tailings. Where to Fish in Arizona Species Information Drought Watch Campaign - map of the Colorado River system showing the fill levels ...

Mto Columbia

BC Hydro Generation System Information Archived Aprili 23, 2006 at the Wayback Machine. Timeline of exploration of the Columbia Archived Februari 25, 2008 at the Wayback Machine., dating back to the 17th century. Columbia River Fishing Guides Ass ...

Delaware

Delaware ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani ya Atlantiki upande wa mashariki wa Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Maryland na kwa kilomita chache pia na New Jersey. Mji mkuu ni ...

Dover, Delaware

Dover ni mji mkuu na wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Delaware nchini Marekani. Mji upo katika eneo la Mto wa Mt. Jones katika pwani tupu ya Mto Delaware. Mji ulipewa jina na William Penn kwa ajili ya Dover huko Kent, Uingereza. Na kwa mwaka wa ...

Florida

Florida ni jimbo la Marekani la kujitawala katika kusini mashariki ya nchi. Umbo lake ni rasi inayoanza Marekani bara kuelekea Kuba. Upande wa magharibi ni maji ya ghuba ya Meksiko na upande wa mashariki maji ya Atlantiki. Upana wa rasi ni kati y ...

Fort Worth, Texas

Fort Worth ni mji wa tano kwa ukubwa katika Texas na ni mji wa 18 kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Marekani. Mjii huu umepata kuwa mkubwa kuliko hadi kutuhubutu hata kuuingilia mji mwingine mkubwa wa Dallas, Texas. Kwa kigezo hicho, mara nying ...

Frankfort, Kentucky

Frankfort ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kentucky nchini Marekani. Umepata kuwa mji mkuu tangu mnamo tar. 8 Desemba 1792. Mji huu upo ngambo ya Mto Kentucky. Hii ndiyo sababu iliyopelekea mji huu kuitwa jina hili, kwa sababu ardhi yake ilikuwa i ...

Gary, Indiana

Gary ni mji wa Marekani katika jimbo la Indiana. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 100.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 180 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Georgia (jimbo)

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Georgia Georgia ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini mashariki ya Marekani bara. Imepakana na Florida, Alabama, Tennessee, North Carolina na South Carolina ...

Guam

Guam kwa Kichamoru: Guåhan ni eneo la ngambo la Marekani U.S. Territory of Guam upande wa kusini wa funguvisiwa ya Mariana katika Bahari ya Pasifiki. Huhesabiwa kati ya visiwa vya Mikronesia. Eneo la kisiwa hicho ni kilometa mraba 543. Mji mkuu n ...

Harrisburg, Pennsylvania

Harrisburg ndiyo mji mkuu katika jimbo la Pennsylvania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 530.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 98 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Hartford, Connecticut

Hartford ndiyo mji mkuu katika jimbo la Connecticut. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Hawaii

Hawaii ni funguvisiwa la bahari ya Pasifiki ambalo ni jimbo la Marekani, pia ni jina la kisiwa chake kikubwa. Hawaii ilikuwa ufalme wa Wapolinesia, ikawa koloni la Marekani" katika karne ya 19 na imekuwa jimbo la Marekani tangu tarehe 21 Agosti 1 ...

Helena, Montana

Helena ni mji mkuu wa jimbo la Montana nchini Marekani. Idadi ya wakazi ni mnamo 25.780 na pamoja na maneneo jirani ni watu 67.636. Helena ilikuwa na majina mbalimbali katika historia yake. Mji uliundwa mwaka 1864 baada ya kugunduliwa kwa dhahabu ...

Hood River, Oregon

Hood River ni mji wa Marekani katika jimbo la Oregon. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 6.500 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 49 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mto Hudson

Hudson River Watertrail Association Fishkill Creek Watershed Committee Archived Oktoba 16, 2009 at the Wayback Machine. HudsonWatch.net -- A Web site dealing with General Electric Companys Hudson River/PCB Cleanup and related matters. Hudson Rive ...

Iowa

Iowa ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi ya kati ya Marekani bara. Imepakana na Minnesota, Nebraska, South Dakota, Missouri na Illinois. Mto Missisippi ni mpaka wake upande wa mashariki kutaza ...

Manhattan

Maps of Building Heights Land Value, plus theoretical and zoning-based maps of underdevelopment, all from www.radicalcartography.net New York City Government with links to Manhattan specific agencies Interactive 3D map of Manhattan Detailed Map o ...

Maryland

Maryland ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, West Virginia, Delaware, Virginia na mkoa wa shirikisho la Washington DC. Iko kwenye pwani ya Atlantiki upande wa mashariki wa Mar ...

Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini

Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini ni jumla ya maziwa matano yanayopatikana mfululizo kwenye mpaka kati ya Marekani na Kanada. Ziwa Michigan pekee limo ndani ya Marekani tu. Kwa pamoja maziwa hayo ni gimba kubwa la maji matamu duniani. Eneo lake ...

Meyer–Womble Observatory

Meyer-Womble Observatory ni paoneaanga pa mlima Evans, Colorado, Marekani. Panamilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu cha Denver. Pako karibu na mlima Evans katika Msitu wa Kitaifa wa Arapaho takriban kilomita 60 magharibi mwa Denver, Colorado USA, ...

Milima ya Black Hills

Milima ya Black Hills ni safu ndogo ya milima inayopakana na tambarare kuu za Marekani kwenye jimbo la Dakota Kusini. Jina linatokana na muonekano wa milima hii kwa mbali kuwa myeusi kwa sababu ya misitu minene iliyoko. Wakazi asilia walikuwa Mai ...

Milwaukee, Wisconsin

Infobox Settlement |jina_rasmi = Milwaukee |picha_ya_satelite = Milwaukee Wisconsin 7952.jpg |pushpin_map = Marekani |pushpin_map_caption = Mahali pa Milwaukee katika Marekani |picha_ya_bendera = Flag of Milwaukee, Wisconsin.svg |ukubwa_wa_picha ...

Missouri

Missouri ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Jefferson City na Kansas City ni mji mkubwa. Imepakana na Iowa, Illinois, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Oklahoma, Kansas na Nebraska. Jimbo lina wakazi wap ...

Montana

Montana ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini ya nchi mpakani na Kanada ikipakana na majimbo ya North Dakota, South Dakota, Wyoming na Idaho. Mji mkuu ni Helena na mji mkubwa jimboni ni Billings ...

Mount Rushmore

Mount Rushmore ni mlima mashuhuri nchini Marekani uliopo kwenye safu la milima ya Black Hills katika jimbo la South Dakota. Mount Rushmore imekuwa mashuhuri kwa sababu pana sanamu za marais manne wa Marekani George Washington, Thomas Jefferson, T ...

Nebraska

Nebraska ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katikati ya Marekani bara ikipakana na majimbo ya South Dakota, Iowa, Missouri, Kansas, Colorado na Wyoming. Mji mkuu ni Lincoln na mji mkubwa jimboni ni Omaha. Jim ...

New England

New England ni jina la sehemu ya kaskazini-mashariki ya Marekani inayotazama pwani la Atlantiki. Katika eneo hili, kuna majimbo sita humu. Majimbo hayo ni pamoja na Maine, Vermont, New Hampshire, Massachusetts, Connecticut, na Rhode Island.

New Mexico

New Mexiko ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini ya Marekani bara. Imepakana na Texas, Oklahoma, Colorado, Arizona na nchi ya Meksiko. Mji mkuu wa jimbo ni Santa Fe. Mji mkubwa ni Albuquerque. Idad ...

New Orleans

New Orleans ni mji wa Marekani katika jimbo la Louisiana. Ni mji mkubwa wa Louisiana ukiwa karibu na mdomo wa mto Mississippi unapoishia katika Ghuba ya Meksiko. Mji uko kati ya mto na ziwa kubwa la Lake Pontchartrain. Hadi Julai 2005 ilikuwa na ...

Ohio

Ohio ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini mashariki ya Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Michigan, Indiana, Kentucky na West Virginia. Upande wa kazkazini ni mpaka wa kimatai ...

Ohio (mto)

Mto Ohio ni tawimto muhimu wa mto Mississippi katika mashariki ya Marekani. Urefu wake ni kilomita 1.579 kuanzia chanzo chake kwenye maungano ya mto Allegheny na mto Monongahela karibu na mji wa Pittsburgh hadi mdomo kwenye mto Mississippi. Njia ...

Olympia, Washington

Olympia ndiyo mji mkuu katika jimbo la Washington. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 43.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 29 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Pennsylvania

Pennsylvania ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Iko kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na majimbo ya Ohio, West Virginia, Maryland, Delaware, New Jersey na jimbo la New York. Kona ya kaskazini-magharibi yagusa ...

Portland, Oregon

Portland ni mji wa Marekani katika jimbo la Oregon. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Puerto Rico

Puerto Rico ni nchi katika Bahari ya Karibi ambayo ni eneo la kushirikishwa la Marekani katika visiwa vya Antili Kubwa. Iko upande wa mashariki wa Jamhuri ya Dominika na upande wa magharibi ya Visiwa vya Virgin. Jina la Puerto Rico kwa Kihispania ...

Rocky Mountains

Rocky Mountains, kifupi pia Rockies ni safu ndefu ya milima katika Amerika ya Kaskazini ambayo ni sehemu ya milima inayofuatana na pwani la Pasifiki kuanzia Alaska hadi Meksiko. Mara nyingi hutazamiwa kuanza katika jimbo la British Columbia upand ...

San Francisco

San Francisco ni mji wa Marekani uliopo kwenye mwambao wa Pasifiki katika jimbo la Kalifornia. Ni mji mkubwa wa nne wa Kalifornia ukiwa na wakazi 744.000. San Francisco iko kwenye rasi kati ya Pasifiki na hori ya San Francisco. Mlangobahari wa ku ...

Seattle, Washington

Seattle ni mji wa jimbo la Washington. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2018, mji una wakazi wapatao milioni 3.87 wanaoishi katika mji huu. Mji uko mita 0-158 juu ya usawa wa bahari. Seattle ni njia kuu ya biashara kati ya Marekani ...

South Carolina

South Carolina Karolina ya Kusini ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini-mashariki ya Marekani bara. Imepakana na North Carolina, Georgia na Bahari ya Atlantiki. Mji mkuu pia mji mkubwa wa jimbo ni ...

South Dakota

South Dakota ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi. Imepakana na North Dakota, Minnesota, Iowa, Nebraska, Wyoming na Montana. Jimbo lina wakazi wapatao 804.1974 2008 wanaokalia eneo la kilomita za mraba zipatazo 199.905. Mji mkuu ...

St. Petersburg, Florida

St. Petersburg ni jiji la pili kwa ukubwa katika eneo la Tampa Bay, baada ya Tampa. Pamoja na jimbo la Clearwater, majiji haya yanaunda jiji la Tampa–St. Petersburg–Clearwater Metropolitan, la pili kwa ukubwa katika Florida likiwa na idadi ya wat ...

Texas

Texas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 24.326.974 wanaokalia eneo la 696.241 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Upande wa mashariki ni maji ya ghuba ya Meksiko. Mji ...

The Bronx

The Bronx ni moja kati ya sehemu za New York City, Marekani. Jina linatokana na Broncks Farms, ambalo linamilikiwa na mlowezi mmoja aitwaye Jonas Bronck.

Topeka, Kansas

Topeka ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kansas nchini Marekani. Mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ilikadiriwa kuwa ni 122.647. Mji ulianzishwa mnamo tar. 5 Desemba 1854. Mji upo ft 945 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Virginia

Virginia ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika mashariki ya Marekani bara. Imepakana na West Virginia, Maryland na mkoa wa shirikisho la Washington D.C. upande wa kaskazini, North Carolina na Tennessee up ...

Visiwa vya Virgin vya Marekani

Visiwa vya Virgin vya Marekani ni visiwa katika Bahari ya Karibi ambavyo ni visiwa chini ya Marekani, wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa Rais wala wa bunge la Washington DC. Viko takriban 80 km upande wa mashariki ya ...