ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 6

Addison Road

Addison Road ni bendi la kuimba nyimbo za Kikristo ya aina ya pop ama rock.Bendi hili lilipiga saini mkataba na INO Records hapo mwaka wa 2007 na likatoa albamu yao ya kwanza, Addison Road.Albamu hii ilitolewa mnamo Mechi 18.2008. Nyimbo zao "All ...

Akwid

Akwid ni kundi la hip hop kutoka Jiquilpan, Michoacán, Mexiko. Ni kundi la Kimexiko linalochanganya mtindo wa hip hop na muziki wa kikanda Mexiko. Katika mwanzo wake, kikundi kilijulikana kama Watoto wa Sinema. Rappers Francisco "AK" Gómez na Ser ...

Anna Maria Jopek

Nie przychodzisz mi do głowy 1997 I pozostanie tajemnicą 2002 Gdy mówią mi 2005 co tyle milczenia 2002 Chwilozofia 32-bitowa 1996 Skłamałabym 2007 Upojenie 2001 Cisza na skronie, na powieki słońce 2008 Niebo 2006 Na całej połaci śnieg + Jeremi Pr ...

Article One

Article One Article One ni bendi ya Kikristo kutoka Kanada hasa London,Ontario. Bendi lenyewe linahusu: Nathan Pichemwimbaji,mchezaji gitaa Dave DeSmitmchezaji ngoma Nolan Vernermchezaji gitaa Matt Pichemwimbaji

Athuman Kabongo

Athuman Kabongo ni msanii wa muziki wa hip hop na bongo flava kutoka nchini Tanzania. Msanii huyu anatoka katika kundi la Chemba Squard au waweza sema ndiyo mwasisi wa kundi zima la Chemba Squared kutoka huko East Zoo - Dodoma, Tanzania. Dark Mas ...

Backstreet Boys

Kina Backstreet Boys ni kundi la uimbaji lililoanzishwa huko mjini Orlando, Florida nchini Marekani mnamo mwaka wa 1993. Kundi hili awali lilikuwa likiunganisha mwimbaji kama vile A. J. McLean, Howie Dorough, Brian Littrell, Nick Carter na Kevin ...

Big Daddy Weave

Big Daddy Weave ni bendi la nyimbo zakisasa za Kikristo linalojumuisha Mike Weaver, Jay Weaver, Jeremy Redmon, Jeff Jones na Joe Shirk. Nyimbo zao maarufu ni: Everytime Time I Breathe, Audience of One,In Christ,Fields of Grace,Without You na What ...

Big Pun

Christopher Rios alikuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Big Punisher au Big Pun. Huyu alikuwa Mpuerto Rico-Mwamerika na alianza kupata umaarufu mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1990 ...

Black Sheep

Black Sheep ni kundi la hip hop linalounganishwa na wasanii wawili kutoka mjini Queens, New York. Ndani yake anakuja Andres "Dres" Titus na William "Mista Lawnge" McLean. Wawili hawa wanatokea mjini New York, lakini walikutana wakati wakiwa vijan ...

By The Tree

By The Tree ilianzishwa katika Weatherford, Texas katika mwaka wa 1997 na Chuck Dennie na Bala Boyd. Kama makundi mengi ya muziki, By The Tree walipata kuanza kazi yao kwa kuimba katika matukio madogomadogo - hasa katika makanisa - kote kusini na ...

Candies

Candies inajulikana kama bendi maarufu Kijapani tangu 1973. Mwaka 1977, licha ya umaarufu nguvu, Candies ghafla alitangaza kustaafu kwake. Tamasha ya mwisho ilikuwa habari kubwa katika Japan. Tamasha la mwisho iliwasilishwa kwenye televisheni.

Captain Beefheart

Don Van Vliet alikuwa mwimbaji na mchoraji wa Marekani. Bendi yake alikuwa Captain Beefheart & the Magic Band.

Cartel de Santa

Cartel de Santa ni kundi la hip hop kutoka Santa Catarina, Nuevo León, Mexiko. Kundi hilo lilianza shughuli zake mwaka wa 1996 chini ya majina na wajumbe tofauti kabla ya kuchukua jina lake la mwisho na usawa. Kikundi kinajumuisha mjumbe mkuu Edu ...

Johnny Cash

Johnny Cash alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Huyu anatazamiwa kama miongoni wa wanamuziki wenye athira kubwa katika medani ya muziki kwa muda wote. Hasa alifanya muziki wa country, nyimbo zake zikipigwa husika kuchanganya ...

Cherish

Cherish ni kundi la muziki wa R&B, pop, na hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi linakusanya ndugu wanne wa kike ambao ni Farrah King, Neosha King, na wengine mapacha ni Felisha na Fallon King. Ndugu hawa wanne wote kiasili wanatokea mjini Il ...

Ornette Coleman

Randolph Denard Ornette Coleman alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Mwaka wa 2007 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa wimbo wake Sound Grammar.

Cuban Marimba Band

Cuban Marimba Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Morogoro, Tanzania. Bendi ilianzishwa na Salum Abdallah Yazidu mnamo 1948 ikiwa na jina la Kihispania maarufu kama La Paloma.

DCC Mlimani Park Orchestra

DCC Mlimani Park Orchestra ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi Ilianzishwa mnamo mwaka wa 1978. Mwanzilishi wa bendi hiyo ni Bw. Muhiddin Maalim Gurumo, Abdallah gama na Abel Balthazar. Hassan Bichuka na Suleiman Mwa ...

De La Soul

De La Soul ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip hop linalounganishwa na wasanii kutoka mjini Long Island, New York, Marekani. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1987. Kundi linafahamika sana kwa mtindo wao wa kuchukua sampuli za nyimbo nyingin ...

Nate Dogg

Nathaniel Dwayne Hale alikuwa rapa na mwimbaji wa muziki wa hip hop na R&B kutoka nchini Marekani. Alifahamika sana kwa uanachama wake katika kundi la rap lililokuwa na wasanii watatu la 213 na kazi zake za kujitegemea ambapo amepata kushirik ...

E-Sir

Issah Mmari alikuwa msanii wa muziki wa hip hop na kapuka kutoka jijini Nairobi huko nchini Kenya. Alikuwa akifanyia shughuli zake katika studio ya Ogopa DJs ambaye alikuwa maarufu kwa uwezo wake wa kuimba na amri ya lugha ya Kiswahili. Bado yeye ...

Echoing Angels

Echoing Angels ni kundi la kuimba nyimbo za Kikristo kutoka Atlanta,Georgia. Historia Bendi,hapo awali, liliundwa na Yos Armour na mpigaji ngoma John Poole chini ya jina Two Bare Feet katika mwaka wa 1999.

Guru (rapa)

Guru, mjini Roxbury, alikuwa rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi na mwandishi mkuu wa kundi la hip hop la Gang Starr, akiwa pamoja na DJ Premier. Kwa kufuatia mfululizo wake wa albamu ya Jazzmatazz, ...

EPMD

EPMD ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Brentwood, New York huko nchini Marekani. Jina la kundi ni vifupisho vya majina ya wanachama wake ambapo "E" na "PMD" au kwa kirefu chake cha Erick na Parrish Making Dollars ", inataja wanachama wak ...

Everyday Sunday

Everyday Sunday ni bendi Columbus, Ohio lililohusu Trey Pearson mwanachama mwanzilishi, Kevin Cramblet, Tyler Craft, na Nick Spencer. Bendi ya zamani ilitoa albamu mbili na Flicker Records zikiwa Stand Up na Anthems for the Imperfect Wake Up! Wak ...

Ella Fitzgerald

Ella Fitzgerald alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz. Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini. Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Apr ...

Aretha Franklin

Aretha Louise Franklin alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji piano kutoka Marekani, ambaye mara nyingi huitwa "Malkia wa Soul". Ingawa alitamba sana kwa rekodi za muziki wa soul, Franklin pia alikuwepo kwenye jazz, rock, blues, pop, R&am ...

Freddy Kasheba

Freddy Ndala Kasheba alikuwa mwanamuziki maarufu katika miondoko ya muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo-Tanzania. Pia alifahamika sana kwa wimbo wake "Kesi ya Khanga".

The Fugees

The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi liliamza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/m ...

G-Unit

G-Unit ni kundi la muziki wa hip hop nchini Marekani lenye asili yake kamili kutoka mjini New York City. G-Unit walianza kuiteka eneo la New York ni baada ya kutoa tepu zap kadhaa mchanganyiko. Jina hili la kikundi ni kifupi cha kutaja neno Gueri ...

Gang Starr

Gang Starr lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Kundi linaunganisha watu wawili, ambao ni MC Guru na DJ/mtayarishaji DJ Premier. Kundi hilo lilijulikana sana kwa staili ya aina yao, ambayo inajumlisha baad ...

Grandmaster Flash and the Furious Five

Grandmaster Flash and the Furious Five ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Grandmaster Flash, Melle Mel, Kidd Creole, Robert Keith "Cowboy" Wiggins, E ...

Michael Jackson

Michael Joseph Jackson alikuwa mwimbaji, dansa na mburudishaji kutoka nchini Marekani. Hufahamika zaidi kwa jina la kiheshima-utani kama Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburud ...

Jahazi Modern Taarab

Jahazi Modern Taarab ni bendi ya muziki wa taarab kutoka nchini Tanzania. Bendi ilianzishwa mwishoni mwa mwaka wa 2006, jijini Dar es Salaam. Jahazi Modern Taarab, ndiyo kundi linaloongoza kwa sasa katika miondoko ya taarab kwa nchi ya Tanzania, ...

Jamhuri Jazz Band

Bendi hii ilianza kwenye miaka ya 50 ikiwa ikijulikana kama Yanga Nyamwezi Band, Kiukweli ilikuwa ni Young Nyamwezi Band, bendi iliyokuwa imetengenezwa kwa ajili ya Vijana toka Tabora waliokuja kukata mkonge katika mashamba ya mkonge yaliyokuweko ...

Jay Ghartey

Jay Ghartey, ni mwimbaji wa mwanamuziki wa Ghana na New York, Marekani. Yeye imeanzisha "GH Brothers" katika New York na ndugu yake Joe Ghartey.

Jimi Hendrix

Jimi Hendrix, amezaliwa kama James Marshall Hendrix alikuwa mpiga gitaa maarufu kutoka nchini Marekani. Hendrix hufikiriwa kama mwanamuziki wa kuigwa katika historia ya muziki wa rock and roll. Baada ya mafanikio yake nchini Uingereza, akaja kuwa ...

Quincy Jones

Quincy Delight Jones, Jr. ni mwelekezi wa muziki, mtayarishaji wa rekodi, mpangaji muziki, mtunzi wa vibwagizo vya filamu, na mpiga talumbeta kutoka nchini Marekani. Katika kipindi cha makumi yake matatu ya shughuli za kiburudani, Jones amepata k ...

K-rupt

Carlton Williams Bongo Juma alikuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini Nairobi huko nchini Kenya. Alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama K-rupt. Alikuwa akifanyia shughuli zake katika studio ya Ogopa Deejays. K-rupt aliuawa na jela ...

Kassim Mapili

Mzee Mapili alizaliwa katika kijiji cha Lipuyu, Tarafa ya Lionya, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi mwaka 1937. Hivyo mauti ilimkuta Mzee Mapili akiwa na umri wa miaka 79. Alipata elimu ya msingi huko kwao Lipuyu, sambamba na kupata elimu ya dini ...

Kikosi Cha Mizinga

Kikosi Cha Mizinga ni kundi la Rap na Hip Hop ya Bongo linalotokea wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ni kundi linaloundwa na wasanii mahiri katika fani hii ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania. Kinara wa kundi hilo ni rapa Karam ...

Kinto Sol

Kinto Sol ni kundi la hip hop kutoka Iramuco, Guanajuato, Mexiko. Wao ni muhimu zaidi katika historia ya Rap Mexicano na Chicano na wana mada kama ubaguzi wa rangi, malinchismo, umaskini na barabara.

Lameck Ditto

Dotto Bernad Bwakeya ni mwimbaji wa muziki wa Bongo Flava aliyeibuliwa na rapa mkongwe Afande Sele mwaka 2003 katika tamasha la kuibua vijana wadogo wenye vipaji lilioandaliwa na kituo cha Redio Ukweli kilichokuwa na makao yake Morogoro nchini Ta ...

Lordi

Lordi ni bendi ya muziki wa hard rock/heavy metal kutoka mjini Helsinki, Finland. Wazo la kubuni jina la Lordi lilitolewa hapo mnamo mwaka wa 1992, ingawa, bendi ikawa haijaanzishwa hadi hapo ilipokuja kuanzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996 na Tomi ...

Lords of the Underground

Kina Lords of the Underground ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Newark, New Jersey nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na ma-MC watatu ambao ni Mr. Funke na DoItAll Dupré ambaye alikutana na DJ Lord Jazz wote watatu walikutana wakati w ...

Luniz

The Luniz ni kundi la wasanii wawili waliouza-platinamu kadhaa kwa ajili ya rap kutoka mjini Oakland, California. Kundi lilianzishwa na marapa wawili ambao ni Yukmouth na Numskull. Wamepata kutoa kibao chao chenyewe mafanikio makubwa hapo mnamo m ...

Marijani Rajab

Historia ya gwiji huyu ilianzia siku alipozaliw,a tarehe 23 Machi mwaka 1955, katika eneo la Kariakoo. Mama yake alikuwa mama wa nyumbani wakati baba yake alikuwa anafanya shughuli za uchapishaji. Maisha yake ya utoto yalikuwa ya kawaida ila alik ...

Mark Feehily

Mark Michael Patrick Feehily ni msanii wa muziki wa pop kutoka nchini Ireland. Kijana huyu anajulikana zaidi kama Mark Feehily moja kati ya vijana ambao kwa pamoja huunda kundi la Westlife. Mark ana wadogo zake wawili, Barry aliyezaliwa mwaka 199 ...

Motorhead

Motörhead ni kundi la muziki wa rock kutoka nchini Uingereza. Kundi linaunganishwa na watu kama Ian "Lemmy" Kilmister, Phil Campbell na Mikkey Dee. Walivuma sana miaka ya 1970 na 1980.

Msondo Ngoma

Msondo Ngoma Music Band ni bendi kongwe na maarufu ya muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Bendi ilianzishwa mnamo mwaka wa 1964. Wanamuziki mashuhuri wa OTTU Jazz Band ni Joseph Lusungu, Mnenge Ramadhani Muhiddin Maalim, Hassani Bitchuka, Sai ...