ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 63

Castries

Castries ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Saint Lucia katika Bahari ya Karibi. Mji uliundwa na Wafaransa mnamo 1650 na jina limetokana na tarafa ya Castries huko Ufaransa. Lugha zinazogumzwa mjini ni hasa aina ya Kifaransa pamoja na Kiingereza ...

Cayman

Visiwa vya Cayman ni funguvisiwa la Karibi na eneo la ngambo la Uingereza katika Bahari ya Karibi upande wa kusini wa Kuba na upande wa magharibi wa Jamaika. Eneo lake ni visiwa vitatu vya Grand Cayman, Little Cayman na Cayman Brac, jumla km² 260 ...

Cayos Siete Hermanos

Cayos Siete Hermanos ni funguvisiwa la bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominika. Visiwa vyote ni 7 na ndiyo maana ya jina "Ndugu Saba".

Charlotte Amalie

Charlotte Amalie ni mji mwenye wakazi 19.000 kwenye kisiwa cha Saint Thomas na mji mkuu wa Visiwa vya Virgin vya Marekani. Hii ni funguvisiwa ambayo ni sehemu ya Antili Ndogo katika Bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico. Mji ulipewa jina lake ku ...

Guadeloupe

Guadeloupe ni eneo la ngambo na mkoa wa Ufaransa katika Bahari ya Karibi lenye visiwa tisa vidogo. Hivyo ni sehemu ya Umoja wa Ulaya. Makao makuu ni Basse-Terre, ingawa mji mkubwa ni Pointe-à-Pitre. Wakazi asilia walikuwa Waindio. Utamaduni wao u ...

Guantanamo Bay

Guantanamo Bay au Hori ya Guantanamo ni hori ya Bahari ya Karibi inayoingia kusini mwa kisiwa cha Kuba yenye upana wa km 20 na urefu wa km 8.

Haiti

Haiti ni nchi kwenye kisiwa cha Karibi cha Hispaniola. Eneo la Haiti ni takriban theluthi moja ya Hispaniola yote. Sehemu kubwa ya kisiwa ni nchi jirani ya Jamhuri ya Dominika. Mji mkuu ni Port-au-Prince. Haiti ni nchi ya kwanza duniani ambako wa ...

Hispaniola

Hispaniola ni kisiwa kikubwa cha pili katika Karibi kikiwa na eneo la km² 74.700. Iko kati ya Kuba upande wa magharibi na Puerto Rico upande wa mashariki. Hispaniola huhesabiwa kati ya visiwa vya Antili Kubwa. Ni kile chenye watu wengi zaidi kati ...

Jamhuri ya Dominika

Jamhuri ya Dominika ni nchi kwenye kisiwa cha Bahari ya Karibi cha Hispaniola inayopakana na Haiti. Hispaniola ni kisiwa kikubwa cha pili cha Antili Kubwa baada ya Kuba na iko upande wa magharibi wa Puerto Rico, karibu na Kuba na Jamaica. Wenyeji ...

Kisiwa cha Saint Martin

Kisiwa cha Saint Martin kinapatikana katika Karibi. Kina eneo la kilometa mraba 87. Tangu tarehe 23 Machi 1648 kimegawanyika pande mbiliː kaskazini ni sehemu ya Ufaransa, kusini ni sehemu ya Ufalme wa Nchi za Chini. Hata hivyo, lugha inayotawala ...

Korsou

Korsou au Curaçao ni nchi ya visiwani karibu na pwani ya Venezuela. Tangu mwaka 1634 ilikuwa koloni la Uholanzi; sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine mbili za Karibi ...

Martinique

Martinique ni kisiwa cha Antili Ndogo katika Bahari ya Karibi. Ni eneo la ngambo la Ufaransa na mkoa wa Ufaransa. Hivyo ni sehemu ya Umoja wa Ulaya. Eneo lake ni km² 1.128. Makao makuu ni Fort-de-France. Miji mingine ni pamoja na Sainte-Anne na S ...

Montserrat

Montserrat ni eneo la ngambo la Ufalme wa Muungano lililopo katika Karibi. Ni kisiwa chenye urefu wa kilometa 16 na upana wa kilometa 11, kikiwa na kilometa 40 hivi za pwani. Kwa jumla ni kilometa mraba 102 wanakoendelea kuishi watu 4.900 baada y ...

Nassau (Bahamas)

Nassau ni mji mkuu wa Bahamas ambayo ni nchi ya visiwani katika Atlantiki mbele ya mwambao wa Kuba na Florida. Nassau ina wakazi 210.832 ni pia mji mkubwa wa nchi hii ndogo. Iko kwenye kisiwa cha New Providence.

Navassa

Navassa ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti ambacho kinadaiwa na nchi hiyo tangu mwaka 1801 kuwa ni chake lakini kinatawaliwa na Marekani tangu mwaka 1857. Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 5.4 lakini hakina wakazi wa kudumu.

Nueva Esparta

Nueva Esparta ni mojawapo kati ya majimbo 23 yanayounda Venezuela; peke yake ni la visiwani. Liko katika bahari ya Karibi, katika visiwa vya Margarita, Coche na Cubagua. Jumla ni kilometa mraba 1.150. Wakazi ni 491.610, wengi wakiongea Kihispania ...

Port-au-Prince

Port-au-Prince ni mji mkuu wa Haiti mwenye wakazi milioni 2. Iko upande wa magharibi wa kisiwa cha Hispaniola katika hori ya Gonave. Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1749. Tangu 1770 ulikuwa mji mkuu wa koloni ya Ufaransa kiswani badala ya Cap- ...

Road Town

Road Town ni mji mwenye wakazi 2.500 kwenye kisiwa cha Tortola na mji mkuu wa Visiwa vya Virgin vya Uingereza katika Bahari ya Karibi. Mji upo kando la hori ya bahari ya Road Harbour kenye pwani la kusini ya kisiwa. Road Town ni kitovu kimojawapo ...

Roseau

Roseau ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Dominica katika Karibi. Ni mji mdogo mwenye wakazi 14.000. Iko upande wa magharibi wa kisiwa kwenye 15°18N - 61°23W. Mji ulianzishwa na Ufaransa wakati wa karne ya 18 una majengo ya zamani za Wafaransa na ...

Saba (kisiwa)

Saba ni kisiwa cha bahari ya Karibi. Kwa kiasi kikubwa kinaundwa na volkeno inayoweza bado kulipuka. Urefu wake ni mita 887. Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi. Eneo lake, pamoja na kisiwa kidogo cha jirani Green Islet, ni kilometa mraba 13 tu. Wakaz ...

Saint-Barth

Saint-Barth ni eneo la ngambo la Ufaransa. Jina la awali lilikuwa Ouanalao, halafu likapewa jina la Mtume Bartholomayo. St. Barth ni kisiwa chenye asili ya volkeno ambacho kipo kati ya Saint Martin na St. Kitts. Ukubwa wake ni kilometa mraba 25. ...

Saint Martin

Saint Martin ni eneo la ngambo la Ufaransa linalopatikana kaskazini mwa kisiwa chenye jina hilo, ambacho thuluthi ya kusini ni mwanachama wa Ufalme wa Nchi za Chini, mbali ya visiwa vingine vidogo. Ukubwa wa eneo ni kilometa mraba 53.2. Makao mak ...

Saint Thomas (Visiwa vya Virgin vya Marekani)

Saint Thomas ni kisiwa kikubwa cha Visiwa vya Virgin vya Marekani katika bahari ya Karibi. Kuna wakazi 51.181 na eneo la kisiwa ni 80.9 km². Mji mkuu pia makao makuu ya utawala wa Kimarekani wa eneo hili ni mji wa Charlotte Amalie. St. Thomas ili ...

San Andrés, Providencia na Santa Catalina

San Andrés, Providencia na Santa Catalina ni fungivisiwa na wilaya ya Kolombia. Jumla yake ni kilometa mraba 52.5. Kisiwa kikubwa zaidi kinaitwa San Andrés sana na mji mkuu wake. Wakazi ni 75.167 mwaka 2013, wengi wao wakitokea Kolombia bara, wak ...

San Juan, Puerto Rico

San Juan ni mji mkuu na mji mkubwa wa Puerto Rico ambayo ni eneo maalum la Marekani kwenye kisiwa cha Karibi. Idadi ya wakazi ni 433.733. Ni mji wa 42 kwa ukubwa katika Marekani. Leo, San Juan ni bandari muhimu zaidi ya kisiwa cha Puerto Rico.

Santo Domingo

Santo Domingo ni mji mkuu wa Jamhuri ya Dominika. Ni kati ya miji ya kale kabisa ya Karibi ilikuwa mji wa kwanza ulioanzishwa na Wahispania katika Amerika. Kuna hapa majengo ya kwanza ya historia ya kikoloni katika Amerika yote yaani kanisa la kw ...

Sint Eustatius

Sint Eustatius ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Saint Kitts. Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi. Eneo lake ni kilometa mraba 21 tu. Baada ya kuonekana na Kristofa Columbus mwaka 1493, umiliki wa kisiwa ulibadilikabadilika mara 22. Wakazi wa k ...

Sint Maarten

Sint Maarten ni nchi ya visiwani katika bahari ya Karibi. Iko kwenye sehemu ya kusini ya kisiwa cha Saint Martin kilichogawiwa baina ya Ufaransa na Uholanzi. Sint Maarten ilikuwa koloni la Uholanzi; sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa ...

St. Johns (Antigua na Barbuda)

St Johns ni mji mkuu wa Antigua na Barbuda katika Antili Ndogo za Bahari ya Karibi. Mji uko kwenye kisiwa cha Antigua. Kuna wakazi 24.226 hivyo ni pia mji mkubwa kabisa wa nchi ndogo.

Visiwa vidogo vya Venezuela

Visiwa vidogo vya Venezuela katika bahari ya Karibi viko chini ya meya wa Caracas, mji mkuu wa nchi. Ni vyote, isipokuwa vile vyenye wakazi wengi vinavyounda jimbo la Nueva Esparta. Ni hivyo vifuatavyo: La Orchila kisiwa Los Monjes funguvisiwa Lo ...

Visiwa vya Karibi

Visiwa vya Karibi ni eneo la Amerika ambalo linajumuisha maelfu ya visiwa vikubwa na vidogo katika Bahari ya Karibi, lakini pia maeneo ya kaskazini mwa Amerika Kusini na mashariki mwa Amerika ya Kati. Jina la Karibi linatokana na Carib, watu wa a ...

Visiwa vya Turks na Caicos

Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa la Karibi ambalo ni eneo la ngambo la Uingereza. Visiwa hivyo viko karibu na Bahamas. Uvuvi ni msingi wa uchumi.

Visiwa vya Virgin

Visiwa vya Virgin ni kundi la visiwa vidogo katika Bahari ya Karibi ambavyo ni sehemu za Antili ndogo karibu na Puerto Rico. Jina lamaanisha "Visiwa vya bikira". Lilitolewa kwa visiwa hivi na Kristoforo Kolumbus kwa heshima ya Mtakatifu Ursula na ...

Visiwa vya Virgin vya Uingereza

Visiwa vya Virgin vya Uingereza ni funguvisiwa katika Bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico ambavyo ni eneo la ngambo la Uingereza. Wakazi ni raia wa Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini lakini hawashiriki katika uchaguzi wa bunge ...

Acaponeta, Nayarit

Acaponeta ni mji mkuu na pia manispaa upande wa kaskazi ya jimbo la Nayarit. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 34.665 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 1.667.7 km². Mji ulianzishwa na Nuño de Guzmán ...

Acapulco, Guerrero

Acapulco ni mji mkubwa katika jimbo la Guerrero mwenye wakazi 717.766. Ni pia bandari kuu ya nchi. Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii. Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1530.

Aguascalientes (jimbo)

Aguascalientes ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa Mexiko ya kati ya nchi. Ni jimbo dogo lenye eneo la 5.471 km² na wakazi 1.065.416 pekee. Mji mkuu na mji mkubwa ni Aguascalientes. Imepakana na Zacatecas na Jalisco. Imekuwa jimbo ya M ...

Aguascalientes, Aguascalientes

Aguascalientes ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Aguascalientes. Jina ni ya Kihispania, maana yake ni maji moto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 663.671 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 3 ...

Apizaco, Tlaxcala

Apizaco ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Tlaxcala. Mwaka 2005 idadi ya wakazi ilikuwa 49.459. Eneo lake ni 21.94 km². Mji upo m 2406 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji ulianzishwa mwaka 1866.

Baja California (jimbo)

Baja California ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-magharibi ya nchi. Jimbo lina wakazi wapatao 2.844.469 wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 69.921. Mji mkuu ni Mexicali na mji mkubwa ni Tijuana. Iko kwenye ...

Baja California Sur

Baja California Sur ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa magharibi ya nchi. Baja California na Baja California Sur ni rasi kubwa katika Mexiko. Upande wa mashariki ni Ghuba ya California na upande wa magharibi ni maji ya Pasifiki. Imepa ...

Campeche (jimbo)

Campeche ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini - mashariki ya nchi na magharibi ya rasi ya Yucatán. Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko. Imepakana na Yucatán, Quintana Roo, Tabasco na nchi ya Guatemala na Belize. Jimbo ...

Cancún, Quintana Roo

Cancún ni mji wa Mexico katika jimbo la Quintana Roo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 530.000. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Chetumal, Quintana Roo

Chetumal ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Quintana Roo. Mwaka 2005 idadi ya wakazi ilikuwa 136.825. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari. Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii. Mji ulinazishwa mwaka 1898.

Chiapas

Chiapas ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko. Ni jimbo kwenye ncha ya kusini ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Tuxtla Gutiérrez. Imepakana na Oaxaca, Tabasco, Veracruz na nchi ya Guatemala. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 4.293.459 ...

Chihuahua (jimbo)

Chihuahua ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini ya nchi. Mji mkuu ni Chihuahua na mji mkubwa ni Ciudad Juárez. Imepakana na Marekani New Mexico na Texas, Coahuila, Durango, Sonora na Sinaloa. Jimbo lina wakazi wapatao 3.241.444 ...

Chihuahua, Chihuahua

Chihuahua ni mji mkuu katika jimbo la Chihuahua. Kuna wakazi 748.551 2005, na pamoja na rundika la mji ni 800.000. Mji upo m 1460 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 8.372 km². Mji ulianzishwa na Antonio Deza y Ulloa mwaka 1709.

Chilpancingo, Guerrero

Chilpancingo udiyo mji mkuu na mji mkubwa wa pili wa Guerrero ukiwa na wakazi 166.796. Mwaka 2009 mji uliathiriwa na tetemeko la ardhi.

Ciudad Acuña

Ciudad Acuña ndiyo mji mkuu wa pili katiko jimbo la Coahuila. Iko kusini kabisa ya mji wa Del Rio. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 209.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 280 kutoka juu ya usawa wa ...

Ciudad del Carmen, Campeche

Ciudad del Carmen Kiswahili: mji wa Karmen ndiyo mji mkubwa katika jimbo la Campeche nchini Mexiko. Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 178.452 wanaoishi ka ...