ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 66

Bari

Bari kutoka kigiriki βαρύς: "nzito" ni elementi na metali ya udongo alikalini yenye namba atomia 56 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 137.327. Alama yake ni Ba.

Berili

Berili ni elementi na metali ya udongo alkalini yenye namba atomia 4 na uzani atomia 9.01218 kwenye mfumo radidia. Alama yake ni Be. Jina linatokana na neno la Kigiriki βηρυλλος berillos linalotaja aina ya vito ambamo elementi hii iligunduliwa ma ...

Berkeli

Berkeli ni elementi ya kikemia yenye alama Bk na namba atomia 97. Ni metali nururifu iliyopangwa katika kundi la aktinidi kwenye mfumo radidia. Berkeli haipatikani kiasili, ni elementi sintetiki. Ilitengenezwa mara ya kwanza kwenye mwaka 1949 na ...

Bismuthi

Bismuthi ni elementi nururifu yenye namba atomia ya 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 209.980. Jina latokana katika lugha ya Kijerumani lakini maana hayajulikani tena.

Boksiti

Boksiti au Bauxiti ni mtapo unaotumiwa kutengeneza alumini. Ni hasa hidroksidi ya alumini ikichanganywa na titani, chuma au silikoni. Jina la Bauxiti limetokana na kijiji cha "Les Baux de Provence" katika Ufaransa ambako mtapo umegunduliwa mara y ...

Boroni

Boroni ni nusumetali au metaloidi; ina valensi tatu. Elementi peke yake haipatikani katika mazingira asilia duniani ila tu katika kampaundi kama vile borasi Na 2 B 4 O 7 10H 2 O.

Cadimi

Cadimi pia: Kadimi - kupitia Kilatini "Cadmium" kutoka Kigiriki καδμεία kadmeia iliyotaja mitapo yenye cadimi kwa heshima ya mungu wa Kigiriki Κάδμος Kadmos ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Cd na n ...

Ceri

Seri ni elementi ya kimetali yenye alama ya Ce na namba atomia 58, maana yake kiini cha seri kina protoni 58 ndani yake. Uzani atomia ni 140.12. Ndani ya jedwali la elementi imepangwa kati ya lanthanidi.

Copernici

Copernici kwa Kilatini: Copernicum, zamani Ununubium ni elementi sintetiki yenye namba atomia 112 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 277. Alama yake mpya ni Cn zamani Uub. Si rahisi kutaja tabia zake kwa sababu imetengenezwa mara nne ...

Dhahabu

Dhahabu kutoka Kiarabu ذهب, dhahab ; pia: auri kutoka Kilatini aurum kama jina la kisayansi ni elementi yenye namba atomia 79 katika mfumo radidia na uzani atomia ni 196.966569. Alama yake ni Au. Ni metali adili nzito yenye rangi ya njano nyeupe ...

Disprosi

Disprosi Kigiriki dysprósitos "isiyopatikana" ni elementi na metali nzito na laini yenye namba atomia 66 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 162.50. Alama yake ni Dy.

Dubni

Dubni kwa Kiingereza: Dubnium ni elementi sintetiki yenye namba atomia 105 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 262. Alama yake ni Db. Baada ya kugunduliwa katika maabara iliitwa majina tofauti kama vile eka-tantalum, hahnium na unnilpe ...

Einsteini

Einsteini ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 99. Hiyo inamaanisha kuwa kiini cha atomu yake huwa na protoni 99 na elektroni 99. Ni elementi sintetiki, maana haitokei kiasili, bali inategenezwa katika maabara. Sababu ni unururifu wake pamoj ...

Elektrolaiti

Elektrolaiti ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme. Hutumika kwenye betri kufanya ioni zitiririke, na hivyo huzalisha mkondo wa umeme. Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye maji. Aghalabu vitu vinavyoyeyuka, kama chumvi, asidi n ...

Europi

Europi Europium ni elementi ya kikemia yenye alama Eu na namba atomia 63, maana yake kuna protoni 63 katika atomu. Europi imepangwa kwenye jedwali la elementi katika kundi la lanthanidi. Ni elementi inayotendana haraka sana na hewa au unyevu, hiv ...

Fueli

Fueli ni dutu inayowaka na kutoa nishati kwa njia inayoweza kutumiwa na binadamu. Mara nyingi fueli ni kitu kinachochomwa. Kwa lugha ya kawaida si kila mara kikiwaka ya kwamba kinastahili kuitwa vile: ubao ukitumiwa jikoni kama kuni ni fueli; uba ...

Gadolini

Gadolini ni elementi ya kikemia yenye alama Gd na namba atomia 64. Gadolini ni metali yenye rangi nyeupe-ya kifedha wakati haijaoksidika bado. Gadolini humenyuka na oksijeni ya hewani au unyevu polepole ikiunda mpako mweusi. Chini ya °C 20 ina ta ...

Gali

Gali ni elementi. Namba atomia yake ni 31 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 69.723. Ni metali haba na laini yenye rangi ya kifedha-buluu. Kwa halijoto ya duni ni mango kechu lakini huyeyuka tayari ikifikia kiwango cha 29 °C hivyo itayeyuka ...

Hafni

Hafni ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 72 katika mfumo radidia. Jina latokana na "Hafnia" jina la Kilatini la mji wa Kopenhagen ilipogunduliwa mara ya kwanza.

Hidrojeni

Hidrojeni ing. hydrogen ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 1 na uzani wa atomi 1.00794. Alama yake ni H. Ni atomi nyepesi kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya kwanza katika mfumo radidia Hidrojeni ni elementi inayopatikana kwa wingi k ...

Hidrokaboni

Hidrokaboni ni aina mbalimbali za kampaundi ogania za kikemia zinazojengwa kwa atomi za hidrojeni na kaboni pekee. Kwa asili zinapatikana hasa katika mafuta ya petroliamu iliyotokana na mchakato wa kuoza kwa mimea na mata ogania yenye kaboni na h ...

Indi

Indi ni elementi. Namba atomia yake ni 49 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 114.818. Jina limepatikana kutoka kwa rangi ya indigo au buluu ya Kihindi katika taswirangi yake. Ni metali haba na laini yenye rangi ya kifedha-nyeupe. Hupatikana ...

Iridi

Iridi ni elementi haba na metali adimu yenye namba atomia 77 katika jedwali la elementi. Alama yake ni Ir. Inahesabiwa katika kundi la Platini. Kati ya metali zote inaathiriwa kidogo kabisa na mmenyuko wa kikemia. Iridi ilitambuliwa na Smithson T ...

Kaboni

Kaboni kutoka Kilatini carbo, kwa kupitia Kiingereza carbon ni elementi yenye namba atomia 6 na uzani atomia 12 kwenye mfumo radidia. Alama yake ni C. Inapatikana peke yake kwa maumbo mbalimbali, kama vile makaa au almasi, lakini mara nyingi zaid ...

Kali

Kali pia: potasiamu, ing. potassium ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 19 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 39.098. Alama yake ni K.

Kalisi

Kalisi ni elementi na metali ya udongo alkalini yenye namba atomia 20 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 40.078. Alama yake ni Ca. Jina linahusiana na neno la Kilatini calx mawe ya chokaa.

Kationi

Kationi kutoka neno la Kigiriki κάτω, likimaanisha "chini") ni ioni iliyo na elektroni chache kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji chanya. Katika chombo cha elektrolisisi huvutiwa kwenye kathodi.

Ketoni

Ketone ni kampaundi ogania yenye atomu ya kaboni iliyo na muungo maradufu na atomi ya oksijeni. Atomu hii ya kaboni lazima pia iwe na muungo mosi na atomi nyingine mbili za kaboni. Ketone inaweza kuzalishwa kwa oksidishaji ya alkoholi upili. Mfan ...

Klorini

Klorini ni elementi yenye namba atomia 17 katika mfumo radidia maana yake kiini atomia chake kina protoni 17. Uzani atomia ni 35.453 na alama yake Cl. Ni elementi ya pili katika safu ya halojeni. Katika hali sanifu ni gesi yenye rangi njanokijani ...

Kobalti

Kobalti kutoka Kiingereza cobalt inayotoka Kijerumani kobalt ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi mpito yenye kifupi cha Co na namba atomia 27 katika mfumo radidia yenye uzani atomia 58.933. Kobalti hupatikana mara chache kama ...

Kriptoni

Kriptoni kut. kigiriki κρυπτός kriptos kwa sababu haikuwa rahisi kuitambua ni elementi yenye namba atomia 36 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 83.79. Alama yake ni Kr. Ni elementi haba sana yapatikana kwa kiasi kidogo katika angahewa kama ge ...

Lanthani

Lanthani ni elementi ya kikemia yenye alama ya La. Namba atomia ni 57. Ni sehemu ya kundi la elementi za Lanthanidi ikihesabiwa kati ya ardhi adimu. Rangi yake ni kidhahabu - nyeupe, lakini hewani inapata haraka ganda la oksidi lenye rangi ya kij ...

Lithi

Lithi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 3 na uzani atomia 6.941 kwenye mfumo radidia. Alama yake ni Li. Jina linatokana na Kigiriki λίθος líthos "mwamba, jiwe" kwa sababu iligunduliwa mara ya kwanza ndani ya miamba. Lithi ni elemen ...

Luteti

Luteti lutetium ni elementi ya kimetali yenye alama Lu na namba atomia 71. Rangi yake ni nyeupe-kifedha. Katika orodha ya elementi imepangwa katika kundi la metali za mpito na kati ya lanthanidi. Tabia zake hulingana na lanthanidi kwa jumla. Ilig ...

Madini

Madini ni dutu mango inayopatikana duniani kiasili. Madini huwa na tabia maalumu ya kikemia, si mata ogania na mara nyingi huwa na muundo wa fuwele. Kwa lugha nyingine: Madini ni elementi au kampaundi ya kikemia inayoonyesha umbo la fuwele na amb ...

Magnesi

Magnesi ni elementi na metali ya udongo alkalini yenye namba atomia 12 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 24.3050. Alama yake ni Mg. Jina linahusiana na neno la Kigiriki μαγνησιη magnesia - sumaku hata kama Mg haina tabia za kisumaku. Elementi ...

Manganisi

Manganisi ni elementi na metali yenye namba atomia 25 na alama Mn katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali kechu yenye rangi kifedha-nyeupe inayopatikana katika madini hasa pamoja na chuma na kampaundi mbalimbali. Hutumiwa sana katika aloi za ...

Meitneri

Meitneri meitnerium ni elementi ya kikemia yenye alama ya Mt na namba atomia 109. Ni elementi sintetiki nururifu ambayo haipatikani kiasili lakini inaweza kuundwa katika maabara. Isotopi yake thabiti zaidi ni meitneri-278 iliyo na nusumaisha ya s ...

Metali adimu

Metali adimu ni metali zenye tabia ya kutomenyuka kwa urahisi. Haziguswi na maji au oksijeni ya hewa, tofauti na metali nyingi. Mara nyingi hutazamwa kuwa metali za thamani kwa sababu zinadumu na kuwa haba. Mifano yake ni dhahabu auri, fedha ajen ...

Molibdeni

Molibdeni kutoka kigiriki molybdos metali ya risasi ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha. Ni metali imara na ngumu na kiwango cha kuyeyuka ni juu ...

Moskovi

Moskovi ni elementi sintetiki yenye alama Mc na namba atomia 115. Hali halisi haiko duniani isipokuwa kwa muda mfupi ikitengenezwa katika maabara. Iliundwa kwa mara ya kwanza mnamo 2003 na kundi la wanasayansi wa Urusi na Marekani waliofanya kazi ...

Mzingo elektroni

Mzingo elektroni ni maeneo ya atomi ambayo kikemia elektroni hukadiriwa kupatikana humo, maeneo haya huchukua maumbo ya duara yakikizunguka kiini cha atomi ndani ya elementi. Duara hizi hudhaniwa kuwa kama obiti. Kila obiti au mzingo huwa na idad ...

Natiri

Natiri pia: sodiamu ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 11 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 22.98976928. Alama yake ni Na. Jina latokana na chumvi asilia ya natroni alimotambuliwa. Natiri inapatikana duniani ndani ya chumvi cha k ...

Neodimi

Neodimi Neodymium ni elementi na metali ya udongo adimu yenye namba atomia 60 kwenye jedwali la elementi maana yake kuna protoni 60 katika kiini cha atomu yake. Ina uzani atomia 144.242. Alama yake ni Nd.

Nihoni

Nihoni ni elementi ya kikemia yenye alama Nh na namba atomia 113. Iliitwa pia eka-thallium. Haitokei kiasili maana ni elementi sintetiki inayoweza kutengenezwa katika maabara kutokana na mbunguo wa Moskovi. Elementi hii ilitambuliwa mwaka 2004. V ...

Nikeli

Nikeli ni dutu sahili ya metali na elementi. Namba atomia yake ni 28 katika mfumo radidia, uzani atomia ni 58.6934. Katika mazingira ya kawaida ni metali ngumu yenye rangi nyeupe. Alama yake ni Ni. Nikeli huyeyuka kwa 1728 K 1455 °C na kuchemka k ...

Nili

Nili ni rangi ya buluu iliyoiva yaani kati ya buluu na dhambarau. Katikalugha za magharibi huitwa indigo kwa sababu asili yake iko Uhindini. Rangi hiyo hutumika hasa kwa kutia rangi nguo. Inatoka kwa mimea fulani kiasili hasa kwenye mnili Indigof ...

Niobi

Niobi ni metali laini yenye rangi ya kijivu. Tabia zake zafanana sana na Tantali. Niobi tupu inayokaa hewani inapata ganda la oksidi lenye rangi ya kijivu-buluu.

Nitrojeni

Nitrojeni ni elementi yenye namba atomia 7 katika mfumo radidia na uzani atomia 14.0067. Alama yake ni N. Ina elektroni 5 katika ganda la nje. Duniani haipatikani kama atomi za pekee lakini kama molekuli ya N 2 inayounganisha atomi mbili za N. Ka ...

Oksidi

Oksidi ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja ya elementi nyingine. Mifano ya oksidi ni pamoja na: Kutu oksidi ya chuma Fe 2 O 3 Oksidi ya alumini Al 2 O 3 Maji oksidi ya hidrojeni H 2 O Dioksidi ka ...