ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 69

R U Still Down? (Remember Me)

R U Still Down? ilikuwa albamu ya 2Pac ambayo ilitolewa akiwa kafa mnamo mwaka wa 1997. Japokuwa ni albamu ya pili kutolewa baada ya kifo chake, hii ndiyo ya kwanza kumaliziwa bila kutia maujanja yake 2Pac. Ameacha kazi kubwa sana ya kumalizia, h ...

Refugee Camp - Bootleg Versions

Refugee Camp: Bootleg Versions ni albamu ya muziki ya mwaka wa 1996 ya kundi la muziki wa hip hop maarufu kama The Fugees. Albamu ilitolewa na Sony Music Entertainment, na imejumuisha nyimbo nane, mmoja kati ya hizo ni mpya kabisa. Nyimbo zilizop ...

Remember the Time

Remember the Time ni jina la wimbo ulioimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa rock, pop na R&B Michael Jackson mnamo mwezi wa Machi ya mwaka wa 1992. Ulitolewa ukiwa kama single ya pili ya Jackson kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, D ...

Rock with You

Rock with You ni wimbo uliotolewa kunako tar. 3 Novemba 1979, ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson, Off the Wall. Wimbo ulitungwa na mmoja kati ya wanachama wa bendi ya Heatwave Rod Tempe ...

Rockin Robin

Rockin Robin ni wimbo wa mwaka wa 1958 ulioimbwa na Bobby Day. Kwa kipindi hicho wimbo ulitamba sana, na kuwa Na. 2 katika chati za Billboard Hot 100. Wimbo ukaja kuimbwa tena na The Hollies kwenye albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1964 na pia uka ...

The Rose That Grew from Concrete

The Rose That Grew from Concrete ni albamu inayotokana na mashairi ya Tupac Shakur, ilitolewa mnamo 2000. Albamu imeshirikisha washiriki mashuhuri wengi wanaosoma na kuandika mashairi ya Shakur, hasa kwa matamshi ya maneno ya albamu kiroho.

Ruler (albamu)

Ruler ni albamu ya kwanza ya mwimbaji Dabby K, iliyotolewa na D.L.M Records na kusimamiwa na Lebo ya Dapstrem huko nchini Kenya tarehe 18 Januari 2018.

Sauti Sol

Sauti Sol ni kikundi cha muziki wa Afro-pop nchini Kenya kilichoundwa Nairobi na Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi mwaka 2005. Mwanzo ilikuwa kundi la akapela, Polycarp Otieno walijiunga kabla ya kujiita Sauti. Sauti Sol ilitoa al ...

Sauti ya Gharama

Sauti ya Gharama ni wimbo wa Dknob akimshirikisha Mez B. Wimbo unatoka katika albamu ya kwanza ya Dknob ya Elimu Mitaani.com, iliyotoka mnamo mwaka wa 2005. Wimbo ulitengenezwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki wa hip hop P Funk.

Saving All My Love for You

Saving All My Love for You ni kibao kikali cha pili cha mwimbaji mahili wa muziki wa pop na R&B Bi. Whitney Houston. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake yenye jina sawa na yeye, Whitney Houston. Kibao hiki chenye mandhari ya jazz na ballad ...

Sebene

Sebene ni aina ya mapigo au midundo/ngoma tupu hasa hupigwa kwa kutumia gitaa na lina chembechembe za Rumba la Kikongo. Uanzishwaji wa sebene katika muziki wa Kongo hasa huhesabiwa kwa Franco Luambo na mpigaji gitaa maarufu wa Kikongo Plamedi Fau ...

Shes Out of My Life

Shes Out of My Life ni wimbo uliotungwa na mwanamuziki Tom Bahler. Alitunga wimbo huu kuhusu Karen Carpenter, aliyeachana na Bahler baada ya kugundua kwamba amezaa mtoto na mwanamke mwingine. Wimbo huu umeimbwa tena na wasanii kibao. Wasanii hao ...

Show Me the Meaning of Being Lonely

Show Me the Meaning of Being Lonely ni single ya tatu ya kundi zima la muziki wa pop na R&B la Backstreet Boys. Single inatoka katika albamu yao ya mwaka wa 1999 ya Millennium. Hiki ni kibao chao madhubuti, cha pili baada ya kibao chao cha kw ...

Singeli

Singeli ni aina ya muziki maarufu sana katika maeneo yanayokaliwa na Waswahili au watu wa Pwani nchini Tanzania. Singeli huchukuliwa kama "mchiriku" au "mnanda" wa kisasa. Muziki huo ni kombinenga la muziki wa Taarab, Bongo Flava, mchiriku na Van ...

Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo)

Single ni wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya kundi la muziki la New Kids on the Block, The Block, ambao umeimbwa pamoja na Ne-Yo. Wimbo ulitolewa mnamo tar. 12 Agosti ya mwaka 2008, ukiwa kama wimbo wa kupakua mtandaoni. Kwa mujibu wa ...

Smooth Criminal

Smooth Criminal ni jina la single ya saba ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya Bad. Wimbo huu unasikika kwa kasi, yaani, biti yake ni ya kuchangamka kidogo huku ikiwa inamwelezea Jackson akitoa mashairi yake yenye kumlenga mwana ...

Sounds of the Season: The Taylor Swift Holiday Collection

Sounds of the Season: The Taylor Swift Holiday Collection ni EP ya promosheni iliyotolewa na msanii wa muziki wa country-pop Bi. Taylor Swift. Ilitolewa mnamo 14 Oktoba 2007, EP ilitolewa kwa ajili ya kununua kwa bei rahisi kwa watu wa Marekani.

Spiceworld

Spiceworld ni albamu ya pili ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mwaka wa 1997. Jina hili pia ni jina la filamu yao iitwayo Spiceworld The Movie. Albamu hii ilipata kuwa mashuhuri sana ulimwenguni, na kuthubutu ...

Still I Rise

Still I Rise ni albamu ya 2Pac na kundi lake la The Outlawz ukiondoa mwanachama Hussein Fatal. Fatal ameondoka kundini kwa sababu Outlawz wengine wameingia mkataba na Death Row baada ya Tupac kusema siyo lazima kuingia mkataba na Amaru Records; N ...

Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.

Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa West Coast 2Pac. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, 2Pacalypse Now, albamu ina nyimbo kibao za 2Pac zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iit ...

Studio albamu

Studio albamu au Albamu ya muziki ni mkusanyiko halisi wa nyimbo mpya za msanii wa rekodi za muziki. Hasa alizofanyia studioni. Kikawaida toleo hili huwa alijumlishi rekodi za kwenye maukumbi na/au maremix, na hata kama ikiwa nayo, basi nyimbo hi ...

They Dont Care About Us

They Dont Care About Us ni single ya nne kutoka katika albamu ya Michael Jackson, HIStory. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nongngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya n ...

Thriller (wimbo)

Thriller ni jina la kutaja kibao kilichotamba cha mwaka wa 1984 ambacho kiliimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Kibao hiki kilifanyiwa katika studio ya Epic. Nchini Marekani, kilishika nafasi ya nne kwenye chati za ...

Thug Life: Volume 1

Thug Life: Volume 1 ilikuwa albamu ya kwanza kutolewa na kundi la Thug Life, lililoanzishwa na rapa Tupac Shakur, na ilitolewa mnamo tar. 26 Septemba 1994. Awali albamu ilitolewa na studio ya Shakur ya Out Da Gutta Records. Kwa kufuatia upondaji ...

Todd Smith

Todd Smith ni albamu ya 11 ya rapa wa Kimarekani LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Aprili 2006. Inamjulisha ushirikiano wake na baadhi ya wasanii kama vile Jennifer Lopez, Pharrell, Juelz Santana, Teairra Mari, Ginuwine, Mary J. Blige, 11 ...

Tropical Teqniks

Tropical Teqniks ni jina la albamu ya pili kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 1996 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop. Nyimbo kali kutoka katika albamu n ...

Turnaround

Turnaround ni albamu ya nne ya bendi ya vijana ya Kiingereza, Westlife. Albamu ilitolewa mnamo tar. 24 Novemba 2003. Single ya kwanza kutoka kwenye albamu ilikuwa "Hey Whatever". Kimsingi wimbo umegezewa kutoka kwa kundi la muziki wa orck la Kier ...

Two in One

Two in One ni wimbo wa kwanza kutoka albamu ya Two in One ya kundi la muziki wa taarab la Jahazi Modern Taarab. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2007, ikiwa chini ya utunzi, uimbaji na utayarishaji wake Mzee Yusufu.

UK Singles Chart

UK Singles Chart ni chati inayotolewa na The Official UK Charts Company kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la Music Week, ...

Until the End of Time

Until the End of Time ni albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha rapa Tupac Shakur. Albamu imebeba maujanja ambayo awali hayakutolewa na maremixi kibao ya manyimbo kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati ameingia mkataba na Death ...

Wannabe

Wannabe ni wimbo wa kundi la muziki wa pop la Kiingereza la Spice Girls. Ulitolewa ukiwa kama single ya kwanza, na unafikirika kama ndiyo wimbo ambao ndiyo alama yao. Wimbo huu umetungwa na Spice Girls wenyewe, Richard Stannard na Matt Rowe kwa a ...

The Way You Make Me Feel

The Way You Make Me Feel ni wimbo uliotungwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani Michael Jackson. Wimbo huu aliutunga kwa ajili ya albamu yake ya saba ya Bad. Wimbo ulitayarishwa na Jackson na Quincy Jones, ilitolewa ikiwa kama single ya ...

WCB Wasafi

WCB Wasafi ina wafanyakazi 36 na hii ni pamoja na wasanii wote waliosainiwa chini ya lebo hiyo, producer Laizer, Tuddy Thoma, wapigapicha, wasimamizi wa wasanii, wacheza muziki na usimamizi mzima. Pamoja na Harmonize kuondoka lakini WCB inaendele ...

Were Almost There

Were Almost There ni wimbo wa mwaka wa 1975 uliotolewa kama single na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu unatoka katika albamu yake ya mwisho kutolewa na studio ya Motown, Forever, Michael. Wimbo huu umekuja tofauti na zile ya awa ...

Who Is It

Who Is It ni wombo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu, upo kama nyimbo zingine maarufu za Jackson, kuhusu fununu. Wimbo kumeshika nafasi ya #6 kwenye chati za U.S. R&B, na #14 kwenye chati za B ...

Will You Be There

Will You Be There ni wimbo wa Michael Jackson ambao ulitolewa kama single mnamo mwaka wa 1993. Kibao hiki kimetolewa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous na pia umeonekana kama kibwagizo kwenye filamu ya Free Willy.

You Rock My World

You Rock My World ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki wa pop kutoka nchini Marekani, Michael Jackson. Hii ilikuwa single yake ya kwanza kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 2001, Invincible. Wimbo umeshika #10 kwenye chati za Billboard na Hot ...

Zap Mama

Zap Mama ni kundi la muziki la Ubelgiji lililoanzishwa na kuongozwa na mwanamke Marie Daulne. Daulne alisema mpango wake ni kuwa daraja baina ya watu wa Ulaya na Afrika na kuzileta tamaduni zote mbili pamoja kwa kutumia muziki wake. "Kitu nilicho ...

Istiklal Marsı

Istiklal Marsı ni wimbo wa taifa wa Uturuki ambao ulipitishwa rasmi tarehe 12 Machi 1921 - miaka miwili na nusu kabla ya tarehe 29 Oktoba 1923 kuanzishwa kwa taifa - yote kama sakata ya kichocheo cha muziki kwa wanajeshi wanaopigania Vita vya Uhu ...

Waarusha

Waarusha ni kabila la watu linalopatikana kaskazini mwa Tanzania katika eneo la mlima Meru, Mkoa wa Arusha. Lugha yao ni Kiarusha inayohesabiwa kama lahaja ya Kimaasai. Wakati wa kuja kwa wakoloni hao walikuwa wakazi wa eneo la mji wa Arusha wa leo.

Wadatoga

Wadatooga ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida. Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87.978. Lugha yao ni Kidatooga, ingawa lahaja zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano ku ...

Wadoe

Wadoe ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo. Lugha yao ni Kidoe. Kuhusu historia yao inasemekana kwamba Wadoe ni zao la Wanyamwezi, walitokana na vita viliyopigwa kati ya Wakamba na Wamasenga huko pwani. ...

Wafipa

Wafipa ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa. Hapo awali, miaka ya 1880, waliongozwa na Mtemi Kapufi wa Nkansi.

Wagogo

Wagogo ni kabila kubwa la Tanzania ya kati, wenyeji wa mikoa ya Dodoma na Singida. Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 1.500.000. Lugha yao ni Cigogo kwa Kiswahili hutamkika Kigogo. Dini ya wengi wao ni Ukristo, hasa wa madhehebu ya Anglikana, halafu wa K ...

Wagorowa

Wagorowa ni kabila dogo la watu wa Tanzania ambao wanaishi katika Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Kondoa, na Mkoa wa Manyara karibu na mji wa Babati. Lugha yao ni Kigorowa, moja kati ya lugha za Kikushi. Ndiyo sababu wengine wanawajumlisha na Wairaqw.

Wahacha

Wahacha ni kabila dogo sana la watu wanaotumia lugha ya Kihacha, lugha inayozungumzwa nchini Tanzania mkoa wa Mara, hasa katika Wilaya ya Rorya. Wahacha ni jamii yenye umoja sana. Asili yao ni kutokea maeneo ya Kenya. Wahacha wanaendana sana na W ...

Wahangaza

Wahangaza ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kagera, hasa kwenye wilaya za Ngara na Biharamulo. Nje na wilaya hizo wanaishi pia sehemu za Kigoma na Karagwe. Lugha yao ni Kihangaza. Kwa sehemu kubwa Wahangaza ni wafugaji na wak ...

Wahaya

Wahaya ni kabila la watu linalopatikana katika Mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, kandokando ya Ziwa Victoria hadi mpakani kwa Uganda. Lugha yao ni Kihaya. Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani y ...

Wahehe

Wahehe ni watu wa kabila la Tanzania ambalo kiasili linaishi katika wilaya za Mkoa wa Iringa, yaani Iringa mjini, Iringa vijijini, Kilolo na Mafinga, lakini pia sehemu nyingine, hasa wilaya ya Mpwapwa katika mkoa wa Dodoma.

Waikizu

Waikizu ni watu wa kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kiikizu: lugha hiyo inafanana sana na lugha ya Wazanaki na Wakurya na asili ya lugha hizi tatu ni moja, ila kuna tofauti ndogo za lahaja. Kabila hilo linapatikana h ...