ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 73

Upton Sinclair

Upton Beall Sinclair Jr. alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Dragons Teeth.

W. D. Snodgrass

William De Witt Snodgrass alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1960 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Snorri Sturluson

Snorri Sturluson alikuwa mshairi, mwandishi wa historia na kiongozi wa kisiasa nchini Iceland. Anajulikana hasa kama mtungaji wa kitabu cha Edda kinachokusanya habari za utamaduni na dini ya Iceland ya kale kabla ya kufika kwa Ukristo pamoja na k ...

Leonora Speyer

Leonora Speyer alikuwa mpiga violini na mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Jean Stafford

Jean Stafford alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1970, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa mkusanyiko wa hadithi fupi zake The Collected Stories of Jean Stafford.

Stan Lee

Stan Lee anajulikana kama mwandishi na mchapishaji wa vitabu vya hadithi vya huko nchini Marekani. Alifanya kazi na kampuni ya kutengeneza filamu katika nchi hiyo ijulikanayo kama Marvel Comics kwa miongo miwili na kuitoa katika kampuni ndogo ya ...

Henry Morton Stanley

Sir Henry Morton Stanley alikuwa mwandishi wa habari kutoka Welisi. Jina lake la kuzaliwa ni John Rowlands. Mwaka wa 1859 alihamia Marekani. Hasa anajulikana kwa safari zake kwenda Afrika, baadhi yao moja kwa ajili ya kumtafuta na kumgundua David ...

Wallace Stegner

Wallace Earl Stegner alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1972, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Angle of Repose.

Bram Stoker

Abraham "Bram" Stoker alikuwa mtunzi wa riwaya na hadithi fupifupi kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi leo hii kwa kutunga riwaya ya kutisha ya Dracula kunako miaka ya 1897.

Sven Stolpe

Livsdyrkare: studier i modern primitivism, 1931 Diktens frihet, 1935 Låt mig berätta, 1970 Tal till vänner, 1990 Det svenska geniet och andra studier, 1935 Kvinnor i fångenskap 1943 tamthilia I smältdegeln: Inlägg och skisser, 1941 Stefan George ...

Thomas Sigismund Stribling

Thomas Sigismund" T.S.” Stribling alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1933 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Store.

William Styron

William Styron alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya yake kuhusu Nat Turner.

Booth Tarkington

Newton Booth Tarkington alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi mara mbili: mwaka wa 1919 kwa riwaya yake The Magnificent Ambersons, na mwaka wa 1922 kwa riwaya yake Alice Adams.

Peter Taylor (mwandishi)

Peter Matthew Hillsman Taylor alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1987, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Summons to Memphis.

Robert Lewis Taylor

Robert Lewis Taylor alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1959, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Travels of Jaimie McPheeters.

Sara Teasdale

Sara Teasdale alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sarah Trevor Teasdale ; baada ya kufunga ndoa mwaka wa 1914 akatumia jina lake kama Sara Teasdale Filsinger. Mwaka wa 1918 alipokea tuzo maalumu ya Puli ...

Thukidides

Thukydides alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanahistoria wa Ugiriki ya Kale kutoka Athini anayekumbukwa hasa kwa maandishi yake kuhusu Vita ya Peloponesi kati ya Athini na Sparta. Alikuwa mtoto wa Olorus. Aliitwa "baba wa historia ya kitaalamu" kw ...

J.R.R. Tolkien

John Ronald Reuel Tolkien alikuwa mtaalamu na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Ingawa Tolkien alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Oxford na kutafiti fasihi ya Kiingereza cha kale, anajulikana hasa kwa kuandika vitabu vya bunilizi ya kinjozi ...

John Kennedy Toole

John Kennedy Toole alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Wakati wa maisha yake, riwaya zake hazijapokelewa hadharani. Kwa hiyo, na pamoja na kupatwa na unyogovu, Toole akajiua akiwa na umri wa miaka 31 tu. Kumbe, mwaka wa 1981, alipokea Tuzo ...

Amos Tutuola

Amos Tutuola ni mwandishi kutoka nchi ya Nigeria. Hata hivyo ameandika hasa kwa Kiingereza. Maandiko mashuhuri yake ni The Palm-Wind Drinkard: And His Dead Palm-Wine Tapster in the Deads Town na My Life in the Bush of Ghosts.

Tuzo ya Pulitzer

Tuzo ya Pulitzer ni tuzo iliyoanzishwa na Joseph Pulitzer katika hati ya wasia yake. Tangu mwaka wa 1917 imetolewa kila mwaka na Chuo Kikuu cha Columbia katika mji wa New York kwa ajili ya maandishi hodari yanayoendeleza uandikaji habari na fasih ...

John Updike

John Hoyer Updike alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi mara mbili, mwaka wa 1982 kwa riwaya yake Rabbit is Rich, na 1991 kwa Rabbit at Rest.

Mark Van Doren

Mark Van Doren alikuwa mshairi, mwandishi na profesa wa Kiingereza kutoka nchi ya Marekani. Yeye ni mdogo wa Carl Van Doren. Mwaka wa 1940 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Peter Viereck

Peter Robert Edwin Viereck alikuwa mshairi na profesa wa historia kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

María Elena Walsh

Cancionero contra el Mal de Ojo 1976 Juguemos en el mundo 1971 Apenas Viaje 1948 Los Poemas 1982 Fantasmas en el Parque 2008 Desventuras en el País-Jardín-de-Infantes 1993 Casi Milagro 1958 La Sirena y el Capitán - 1974 Otoño imperdonable 1947 Ho ...

Eudora Welty

Eudora Alice Welty alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1973, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Optimists Daughter.

Edith Wharton

Edith Wharton alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Edith Newbold Jones. Mwaka wa 1921, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Age of Innocence.

Margaret Widdemer

Margaret Widdemer alikuwa mwandishi wa riwaya na mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1919 alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer kwa ajili ya mashairi yake.

C. K. Williams

Charles Kenneth" C. K.” Williams alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2000 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Jesse Lynch Williams

Jesse Lynch Williams alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1918, alikuwa mtu wa kwanza kupokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Why Marry?.

Tennessee Williams

Thomas Lannier" Tennessee” Williams III alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili: 1948 kwa tamthiliya yake A Streetcar Named Desire, na 1983 kwa Cat on a Hot Tin Roof.

August Wilson

August Wilson alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Frederick August Kittel Jr. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili: 1987 kwa tamthiliya yake Fences, na 1990 kwa The Piano Lesson.

Margaret Wilson (mwandishi)

Margaret Wilson alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Able McLaughlins.

Herman Wouk

Herman Wouk ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya zake zinazoeleza hali ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Caine Mutiny.

Franz Wright

Franz Wright alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani akiwa mwana wa James Wright. Kama babake mwaka wa 1973, Franz Wright alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 2004.

Wu Chengen

Wu Chengen aliyeitwa pia Ruzhong alikuwa mwandishi wa Kichina na mshairi wakati wa nasaba ya Ming. Alizaliwa Huaian kwenye jimbo la Jiangsu. Alipata elimu kwenye chuo kikuu cha Nanjing kwa muda wa miaka 10. Riwaya yake mashuhuri zaidi ni Safari k ...

Audrey Wurdemann

Audrey Wurdemann alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Aliolewa na mwandishi Joseph Auslander mwaka wa 1932. Mwaka wa 1935 Wurdemann alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Lu Xun

Lu Xun alikuwa mwandishi mashuhuri nchini China. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Zhou Zhangshou. Baadhi ya tamthiliya yake ni: Hadithi kweli ya Ah O The tue story of Ah Q Shajara ya kichaa Diary of a mad man

Marya Zaturenska

Marya Zaturenska alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1938 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Paul Zindel

Paul Zindel alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1971, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Effect of Gamma Rays on Man-in-the-Moon Marigolds.

Norbert Zongo

Norbert Zongo alikuwa mhariri na mchapishaji wa gazeti la lIndépendant la nchini Burkina Faso. Zongo aliuawa baada ya gazeti lake kuanza kufanya uchunguzi juu ya mauaji ya dereva aliyekuwa anafanya kazi kwa ndugu wa rais Blaise Compaoré. Mnamo ta ...

Mfalme Amoni

Mfalme Amoni alikuwa mfalme wa Ufalme wa Yuda. Alikuwa mwana wa mfalme Manase na mkewe Meshulemet akafuata uovu wa baba yake. Alipata kuwa mfalme akiwa na umri wa miaka 22 akatawala kwa miaka 2 tu kwa kuwa aliuawa na watumishi wake 2 Wafalme 21:1 ...

Mfalme Manase

Mfalme Manase alikuwa mfalme wa Ufalme wa Yuda. Alikuwa mwana pekee wa Hezekia na mkewe Hefzibah. Alipata kuwa mfalme akiwa na umri wa miaka 12 akatawala kwa miaka 55 2 Wafalme 21:1; 2 Mambo ya Nyakati 33:1. Edwin Thiele amesema kuwa Manase alian ...

Aidan Gallagher

Aidan Gallagher ni muigizaji wa Marekani ambaye anaigiza kwenye kampuni ya Nickelodeon ambaye kabla ya kuwa muigizaji wa nickelodeon alishawahi kuigiza movie inayoitwa "you and me" movie hiyo haikuwa maarufu sana wala kuangaliwa na watu wengi hiv ...

Aisha Kyomuhangi

Aisha Kyomuhangi ni mwigizaji, mwimbaji na muandaji wa filamu kutoka Uganda. Aliandaa filamu ijulikanayo kama Kigenya Agenya. Pia ni mwanachama wa Bakayimbira Dramactors, majo ya kikundi cha maigizo.

Akira Kurosawa

Akira Kurosawa alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kijapani. Filamu nyingi za Kurosawa zilikuwa maarufu sana katika Ujapani. Na zilikuwa zikipendwa na watu wengi tu duniani.

Alphonse Menyo

Alizaliwa Accra, Ghana. Baba yake, Bernard Menyo, alitokea Afrika Mashariki na aliwahi kuwa mwanafunzi wa National Film and Television Institute NAFTI. Bernard alishinda tuzo kwenye Panafrican Film and Television Festival of Ouagadougou FESPACO k ...

Anel Alexander

Katika shule ya upili, Anel alishinda mwigizaji bora anayeunga mkono katika mashindano ATKV ya vijana. Baada ya kucheza Liezl katika 7de Laan, pia aliigiza katika vichekesho vichache vya kimapenzi, ambavyo ni "Semi-Soet" na "Klein Karoo". Mnamo 2 ...

Ingmar Bergman

Ernst Ingmar Bergman alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi. Yasemekana kwamba Bergman ndiye mwanzilishi na mjuzi zaidi wa kutengeneza filamu za kisasa. Watengenezaji wengi wa filamu duniani wamekiri kwamba kazi zao zimeathiriwa na ...

Sarah Bernhardt

Sarah Bernhardt alikuwa mwigizaji tamthilia wa Kifaransa, na mara nyingi hufikiriwa kama miongoni mwa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya uigizaji tamthilia duniani. Mwanzoni mwa karne ya 20, aliigiza pia katika filamu za kwanza. Bernhardt ...