ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 75

Quasi Blay Jr.

Quasi Blay Jr. ni mwigizaji kutoka nchi ya Ghana. Anajulikana sana kwa majukumu yake katika filamu ya "Adoma" na "Grilled". Ameonyeshwa katika sinema kumi na tano na safu nne za runinga.

Reine Swart

Reine Swart ni mwigizaji wa filamu na runinga wa Afrika Kusini. Alikuwa mwanamke anayeongoza katika filamu ya kwanza ya Kiafrika, Die Pro, na kykNet. Alionekana pamoja na Tye Sheridan, Bel Powley na Emory Cohen katika filamu ya Detour. Reine amet ...

Richard Bakalyan

Richard Bakalyan alikuwa mwigizaji filamu wa Marekani mwenye asili ya Armenia ambaye alianza kazi yake kwa kucheza kama kijana mhalifu.

Sambasa Nzeribe

Sambasa Nzeribe ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Nigeria. mzaliwa katika jimbo la Anambra nchini Nigeria, na ameshirikishwa katika filamu mbalimbali ambazo zilikuwa na mafanikio makubwa ikiwemo A Mile from Home" ya mwaka 2013, Out of Luc ...

Segun Arinze

Segun alizaliwa Onitsha, jimbo la Anambra na baba wa kabila la Yoruba na mama wa kabila la Igbo. Ni mzaliwa wa Badagry, jimbo la Lagos. Alihudhuria Victory College of Commerce huko Ilorin, kisha akaenda Taba Commercial College iliyopo jimbo la Ka ...

Sibongile Mlambo

Sibongile Mlambo ni mwigizaji wa Zimbabwe anayefanya shughuli zake nchini Marekani. Anafahamika kwa kuwa mhusika mkuu katika filamu za mwendelezo za tovuti ya Netflix ambazo ni Lost in Space, filamu ya mwendelezo ya the Starz historical adventure ...

Sidharth Malhotra

Sidharth Malhotra alizaliwa huko Delhi, India katika familia ya Wahindu wa Kipunjabi, na Sunil, nahodha wa zamani katika Jeshi la Wanamaji la Merchant, na Rimma Malhotra, ndiye baba yake, Alisomeshwa katika Shule ya Don Bosco ya Delhi na Birla Vi ...

Sikiru Adesina

Sikiru Adesina alikuwa muandaaji, muongozaji na muigizaji wa Nigeria alikuwa ni muigizaji bora akiigiza kama jambazi na mwizi katika filamu. Alifariki katika makazi yake katika mji wa Kaduna.

Snura Anton Mushi

Mwaka 1991 alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Yombo Vituka jijini Dar es Salaam. Alipomaliza darasa la saba hakuendelea kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.

Tamy Moyo

Thamsanqa Tamy Moyo ni mwigizaji wa kike na mwimbaji wa Zimbabwe. Anajulikana Sana kwa wimbo wake wa Ndibereke aliyeimba mwaka 2016, mwaka 2020 Alipata jukumu la kuigiza katika filamu ya Gonarezhou.

Tendaiishe Chitima

Chitima alijielezea kuwa alikulia nchini Zimbabwe, na hakufikiria kuigiza kama kazi yake. Alihudhuria Chuo Kikuu cha Cape Town, akisomea vyombo vya habari na uandishi wa habari. Chitima alichukua kozi ya kuigiza na kisha akaipenda, aliamua kuwa m ...

Tex Avery

Frederick Bean "Fred / Tex" Avery alikuwa mwigizaji, mchoraji, na mkurugenzi wa Marekani. Yeye ni maarufu kwa kutengeneza katuni za ukaragushi wakati wa Golden Age ya Hollywood. Alifanya kazi yake kuu zaidi kwa Warner Bros na studio ya Metro-Gold ...

The Miz

Michael Gregory Mizanin ni mchezaji wa mieleka, pia mwigizaji wa filamu, kutoka nchini Marekani, Amesainiwa na WWE, ambako anacheza chini ya brandi ya SmackDown.

Tony Stark

Anthony Edward Stark ni mhusika aliyeonyeshwa na Robert Downey Jr kwenye tasnifu ya filamu ya Marvel Cinematic Universe, kwa kuzingatia tabia ya Marvel Comics ya jina moja na inayojulikana kawaida na mshirika wake wa kawaida, Iron Man. Katika fil ...

Uche Elendu

Uche Elendu ni mwigizaji na mwimbaji wa kike kutoka nchini Nigeria na pia ni mjasiriamali. Alifafanuliwa kama mmojawapo wa waigizaji wenye sura thabiti katika tasnia ya sinema ya Nigeria. KutokEa kwake kwa mara ya kwanza ni mnamo mwaka 2001. Mwak ...

Val Avery

Sebouh Der Abrahamian alikuwa mwigizaji wa Marekani aliyeonekana katika mamia ya filamu na maonyesho ya televisheni. Alifanya kazi kwa miaka takriban 50, Avery alionekana katika filamu zaidi ya 100 na alikuwa na maonyesho katika vipindi vya telev ...

Wilford Brimley

Anthony Wilford Brimley alikuwa mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Baada ya kutumikia majini na kuchukua kazi za aina isiyo ya kawaida, akazidi kuwa wa filamu za magharibi, na katika zaidi ya muongo mmoja alikuwa amejitambulisha kama muigizaji wa ...

Qin Shi Huang

Qin Shi Huang alikuwa Kaisari wa kwanza wa China. Alizaliwa mwaka 259 KK kama mtoto wa mfalme wa dola moja kati ya falme 7 zilizoshindana juu ya kipaumbele ndani ya China. Alirithi ufalme wa Qin mwaka 247 KK alipokuwa na umri wa miaka 13. Kwa nji ...

Abadiu wa Antinoe

Abadiu wa Antinoe alikuwa askofu wa mji huo wa Misri aliyefia dini yake katika dhuluma ya Waario dhidi ya walioshika imani sahihi ya Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadin ...

Abaidus

Abaidus ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Oktoba.

Guillermo Martín Abanto Guzmán

Guillermo Martín Abanto Guzmán ni askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru. Aliwekwa wakfu na Kardinali Cipriani Thorne mwaka wa 2009. Tangu mwaka huo ni askofu msaidizi wa Dayosisi ya Lima na askofu wa Dayosisi ya Pinhel.

Abdel Messih El-Makari

Abdel Messih El-Makari alikuwa mmonaki padri wa Kikopti. Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Abeluzius

Abeluzius ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.

Abili wa Aleksandria

Abili wa Aleksandria alikuwa askofu wa tatu wa mji huo wa Misri. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari.

Ablak

Ablak ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Mei.

Abnodi

Abnodi ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba.

Abrahamu Fukara

Abrahamu Fukara alikuwa mmonaki wa Misri katika karne ya 4 BK. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 27 Oktoba iliyo sikukuu yake.

Abrahamu wa Ethiopia

Abrahamu wa Ethiopia ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia, labda askofu katika karne ya 4 au ya 5. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei.

Abrahamu wa Faiyum

Abrahamu wa Faiyum alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Faiyum na Giza, maarufu kama Rafiki wa fukara. Mwaka 1964, Sinodi ya Kanisa la Kikopti ilimtangaza mtakatifu.

Abrahamu wa Farshut

Abrahamu wa Farshut ni kati ya Wakristo wamonaki maarufu wa Misri katika karne ya 5 au ya 6. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari.

Abrahamu wa Skete

Abrahamu wa Skete ni kati ya Wakristo wamonaki maarufu wa Misri. Mtoto wa kabaila, alijiunga na monasteri. Kabla hajafa aliteseka miaka 18 kwa ugonjwa wake. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhim ...

Achilas wa Aleksandria

Achilas wa Aleksandria au Achilas Mkuu alikuwa Patriarki wa 18 wa Aleksandria alipokuwa amezaliwa katika karne ya 3. Alipata umaarufu kwa ujuzi na maadili yake. Ndiyo sababu Theonas wa Aleksandria alimpa upadirisho na kumfanya mkuu wa Chuo cha Al ...

Achilas wa Skete

Achilas wa Skete ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao jangwani. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa ...

Adamu Abati

Adamu Abati, O.S.B. alikuwa mmonaki Mbenedikto wa Italia aliyefikia kuwa abati wa monasteri yake, halafu akaenda kuishi upwekeni. Alichangia juhudi za kuunganisha Italia Kusini chini ya Roger II wa Sicilia. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katol ...

Addai

Addai, kwa Kiaramu ܐܕܝ, ni mtakatifu anayeheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo, hasa wa Mashariki, ingawa hakuna makubaliano ya wanahistoria kuhusu maisha yake.

Adelaide wa Vilich

Adelaide wa Vilich, O.S.B., binti Megingoz des Brunharingen, mtawala wa Guelders, na Gerberga wa Metzgau, wa ukoo wa kaisari Karolo Mkuu, alikuwa abesi wa monasteri mbili nchini Ujerumani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kam ...

Adiuto wa Cava

Adiuto wa Cava alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kusini lakini alikuwa mzaliwa wa Afrika Kaskazini. Baada ya kuteswa na Wavandali Waario kwa sababu ya imani yake, alifukuzwa akiwa na wenzake 12, wakiachwa baharini katika meli mbovu isiyoweza ku ...

Agabi wa Novara

Agabi wa Novara anakumbukwa kama askofu wa pili wa Novara. Mfuasi wa Gaudensi wa Novara, alichaguliwa naye kuwa askofu baada yake, akapewa daraja takatifu hiyo mwaka 417. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya ...

Agatho wa Aleksandria (patriarki)

Agatho wa Aleksandria alikuwa patriarki wa 39 wa Kanisa la Kikopti kati ya miaka 661/662 na 677/680. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Agrikola wa Chalon

Agrikola wa Chalon alikuwa askofu bora wa mji huo kwa miaka 48 kuanzia mwaka 532. Alishiriki mitaguso kadhaa. Gregori wa Tours alimsifu kwa maadili na utendaji wake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu. Sikuku ...

Agripini wa Napoli

Agripini wa Napoli anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba.

Agrisi wa Trier

Agrisi wa Trier alikuwa askofu wa kwanza kujulikana kwa hakika wa mji huo kwa kuwa alishiriki Mtaguso wa Arles mwaka 314. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Jan ...

Aikardi wa Jumieges

Aikardi wa Jumieges tangu ujanani alikuwa mmonaki akaongoza kwa miaka 30 jumuia aliyoianzisha. Mwaka 684 aliachiwa na Filiberti wa Tournus monasteri yake iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani, akaiongoza kama abati hadi kifo chake. Tangu kale anahes ...

Ajeriki

Ajeriki alikuwa askofu wa mji huo. Alisifiwa na rafiki yake askofu Gregori wa Tours. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.

Akwilino wa Evreux

Akwilino wa Evreux alikuwa askofu wa mji huo maarufu kwa maadili yake. Kabla ya hapo alikuwa askari, akaoa, ila baadaye alikubaliana na mke wake kuishi kitawa na kusaidia maskini. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya wata ...

Margareta Maria Alacoque

Margareta Maria Alacoque alikuwa mwanamke mtawa aliyepata umaarufu kama mwanasala mwenye njozi. Kufuatana nazo alieneza sana ibada kwa Moyo mtakatifu wa Yesu. Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1864, halafu Papa Bened ...

Albano Roe

Albano Roe, O.S.B. alikuwa Mkristo wa Kanisa la Anglikana kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki pamoja na ndugu yake James. Baada ya kuhamia Ufaransa, aliingia seminari 1607 kwa kengo la kurudi kwao kufanya uchungaji usioruhusiwa na serikali, lakin ...

Alberti wa Louvain

Alberti wa Louvain alikuwa kwa miezi michache askofu wa Liège na kardinali hadi alipouawa bado kijana kwa kutetea uhuru wa Kanisa dhidi ya serikali. Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 9 Agosti 1613. Sikukuu yake huadhimish ...

Alberto wa Pontida

Alberto wa Pontida, O.S.B., alikuwa abati huko Lombardia, Italia. Alberto alikuwa kati ya wamonaki waliojitahidi zaidi kueneza urekebisho wa Cluny katika mkoa huo. Hata hivyo, alikuwa upande wa kaisari Henri IV katika mashindano yake na Papa Greg ...

Albino wa Lyon

Albino wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa 14 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 10 hivi baada ya Yusto wa Lyon kungatuka. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba.