ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 78

Makrina Mkubwa

Makrina Mkubwa alikuwa mwanamke mlei mwenye imani ya Kikristo katika eneo la katikati ya Uturuki wa leo. Ni maarufu hasa kama mama wa Basili Mzee, na bibi wa Basili Mkuu, Gregori wa Nisa, Petro wa Sebaste na Makrina Mdogo. Anaheshimiwa kama mtaka ...

Mansueti wa Urusi

Mansueti wa Urusi alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Urusi. Alifariki pamoja na askofu Papiniani wa Vita kwa kuchomwa mwili mzima kwa vyuma vya moto katika dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali. Habari zake zimeandikwa na askofu ...

Mansueti, Severi, Apiani, Donati na Honori

Mansueti, Severi, Apiani, Donati na Honori ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani sahihi katika mabishano na Wamonofisiti. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu k ...

Emmanuel Mapunda

Emmanuel Mapunda alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1987. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Mbinga hadi mwaka 2011 alipostaafu.

Marana na Sira

Marana na Sira walikuwa bikira wa Berea, leo Aleppo, Syria, walioishi maisha magumu sana na kimya cha karibu mfululizo. Theodoreto wa Kuro aliandika juu yao sura XXIX ya kitabu chake "Religiosa Historia" walipokuwa bado hai. Tangu kale wanaheshim ...

Yasinta Marescotti

Yasinta Marescotti, T.O.R., alikuwa mwanamke mmonaki wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko maarufu kwa vipaji vyake nchini Italia. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira. Kwanza alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XIII mwaka 1726 ...

Margaret Ward

Margaret Ward alikuwa mwanamke wa Uingereza aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma za serikali ya nchi hiyo dhidi ya Kanisa Katoliki. Dhuluma hiyo ilianzishwa na Malkia Elizabeti I 1533-1603 na kuendelezwa na waandamizi wake kwa ukali ...

Margareta wa Hungaria

Margareta wa Hungaria, O.P. alikuwa binti wa mwisho wa mfalme Bela IV wa Hungaria, kaka wa Elizabeti wa Hungaria. Kama shangazi yao huyo, yeye na dada yake Kinga pia wanaheshimiwa kama mtakatifu, mbali ya dada mwingine, Yolanda, anayeheshimiwa ka ...

Margerita wa Cortona

Margerita wa Cortona alikuwa mwanamke wa Italia aliyefanya toba kali katika Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko baada ya kuishi na mwanamume bila ya ndoa kwa muda wa miaka kumi. Papa Benedikto XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Mei 1728. Sikukuu yak ...

Maria Ana wa Yesu

Maria Ana wa Yesu alizaliwa Quito tarehe 31 Oktoba 1618 akafariki huko tarehe 26 Mei 1645. Bikira huyo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 4 Juni 1950, alipotangazwa na Papa Pius XII. Kabl ...

Maria Maajabu wa Yesu

Maria Maajabu wa Yesu, O.C.D. alikuwa mmonaki bikira anayeheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 10 Mei 1998 akamtangaza mtakatifu tarehe 4 Mei 2003. Sikukuu yake inaadhimishwa kila ...

Maria wa Misri

Maria wa Misri alikuwa mwanamke aliyeishi peke yake jangwani miaka 47 baada ya kutubu maisha yake ya dhambi. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki. Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 1 ...

Maria wa Purisima

Maria wa Purisima alikuwa sista aliyeongoza shirika la Masista wa Msalaba ambalo lilianzishwa na Anjela wa Msalaba ndani ya Kanisa Katoliki ili kuhudumia fukara na wagonjwa waliosahaulika kabisa. Alijulikana kwa kutetea mafundisho ya Mapapa. Papa ...

Mariam Baouardy

Mariam Baouardy alikuwa mmonaki wa Kanisa Katoliki la Kimelkiti katika shirika la Wakarmeli Peku. Baada ya kufiwa wazazi alihamia Aleksandria, Misri, alipoteswa na ndugu ya baba yake kwa kukataa kuolewa akachanwa koo na Mwislamu fulani kwa kukata ...

Mariano wa Bourges

Mariano wa Bourges alikuwa mkaapweke aliyeshika maisha magumu sana kwa miaka 44, akila tu matunda ya porini na asali aliyoiona bila kufuga nyuki. Kabla ya hapo aliwahi kuoa, halafu kuishi monasterini miaka sita. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatol ...

Marko Krisini na wenzake

Marko Krisini na wenzake Stefano Pongracz na Melkiori Grodziecki walikuwa mapadri, wa kwanza mwanajimbo, wengine wawili wa shirika la Yesu. Walifia imani ya Kikatoliki kwa amri ya mfalme Mprotestanti Gabor Bethlen. Wanaheshimiwa na Kanisa Katolik ...

Marko mkaapweke (Libya)

Marko mkaapweke ni kati ya Wakristo wa Libya walioishi vizuri imani yao kwa kutawa. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa ...

Marko wa Yerusalemu

Marko wa Yerusalemu alikuwa askofu wa kwanza wa Yerusalemu ambaye kwa asili hakuwa Myahudi kuanzia mwaka 134, wakati ambapo mji huo ulijengwa upya na Waroma baada ya Vita ya tatu ya Kiyahudi kama mji wa Kipagani, hadi kifo chake. Tangu kale anahe ...

Marsela wa Roma

Marsela wa Roma alikuwa mwanamke Mkristo wa mmojawapo kati ya koo maarufu zaidi za mji huo. Baada ya kufiwa mumewe alijitosa katika mambo ya dini na kuishi kama kitawa sawa na Paula wa Roma na wanawake wengine kadhaa kwa kuzingatia sala, malipizi ...

Marselino wa Ancona

Marselino wa Ancona alikuwa askofu wa mji huo wa Italia ya Kati. Papa Gregori I aliandika askofu huyo alivyookoa mji wake katika hatari ya moto kuuteketeza. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhi ...

Marselino wa Karthago

Marselino wa Karthago alikuwa Mkristo kutoka Toledo aliyefikia cheo cha katibu mkuu wa Dola la Roma Magharibi. Alikuwa rafiki wa Augustino wa Hippo na Jeromu. Augustino aliandika vitabu kadhaa kwa ajili yake. Aliuawa kwa kusingiziwa na wafuasi wa ...

Marselo wa Die

Marselo wa Die alikuwa askofu wa mji huo, ambaye aliutetea na alipelekwa uhamishoni kwa kupinga Uario. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 17 Januari.

Marselo wa Paris

Marselo wa Paris alikuwa askofu wa tisa wa mji huo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba.

Marsiano wa Siracusa

Marsiano wa Siracusa alikuwa askofu wa mji huo ambaye anahesabiwa kuwa wa kwanza. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, pengine mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Oktoba au 9 Februari.

Martiniani wa Milano

Martiniani wa Milano alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 423 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba.

Martiniani, Saturiani na wenzao

Martiniani, Saturiani na wenzao wawili walikuwa wote ndugu; ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Wote waliongokea Ukristo kwa njia ...

Martiniano wa Kaisarea

Martiniano wa Kaisarea alikuwa Mkristo wa Palestina ambaye aliishi kama mkaapweke karibu na Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadimishwa tarehe 13 Februari.

Martino wa Mondragone

Martino wa Mondragone alikuwa mmonaki aliyeishi kama mkaapweke tangu ujanani hadi kifo chake. Ndiye aliyemuachia Benedikto wa Nursia Monte Cassino 529. Papa Gregori I alitangaza sifa zake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huad ...

Martiri na Marsiano

Martiri na Marsiano walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya kaisari Konstanti II kwa kukataa mafundisho ya Ario. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Oktoba.

Masensi wa Poitiers

Masensi wa Poitier alikuwa abati nchini Ufaransa. Habari zake zimesimuliwa na Gregori wa Tours. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 26 Juni.

Masima bikira

Masima bikira ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliodhulumiwa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Akiwa mtumwa, aliwavutia katika Ukristo watumwa wenzake wanne, wote ndugu: ...

Masimiani wa Bagai

Masimiani wa Bagai alikuwa askofu wa mji huo hadi mwanzoni mwa karne ya 5. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba.

Masimiano wa Ravenna

Masimiano wa Ravenna alikuwa askofu wa 28 wa mji huo wa Italia Kaskazini akawa askofu mkuu wake wa kwanza kwa miaka kumi hadi kifo chake. Alidumisha umoja wa Kanisa kwa kupinga Uario. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorth ...

Masimo na Domasi

Masimo na Domasi walikuwa watoto wa gavana Valentiniani aliyewalea Kikristo. Baada ya kwenda Nisea leo nchini Uturuki walihamia Siria kama wamonaki na hatimaye jangwani Misri karibu na Makari Mkuu. Walikuwa wa kwanza kufariki huko Skete na Makari ...

Masimo wa Nola

Masimo wa Nola alikuwa askofu wa Kanisa huko Nola, karibu na Napoli, Italia katika karne ya 3. Alijitahidi kuokoa waumini wake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius, alivyosimulia mwandamizi wake Paulino wa Nola. Tangu kale ametambuliwa na Kanisa K ...

Masimo wa Padova

Masimo wa Padova anakumbukwa kama askofu wa pili wa Padova kuanzia mwaka 141 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Agosti.

Masimo wa Pavia

Masimo wa Pavia alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini. Alishiriki mitaguso iliyofanyika Roma chini ya Papa Simako. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari.

Masimo wa Riez

Masimo wa Riez alikuwa mfuasi wa Honorati wa Arles, mwanzilishi wa monasteri maarufu katika kisiwa cha Lerins. Alimpokea kama abati, halafu yeye pia akawa askofu ingawa kwanza alikimbia. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama ...

Maskula

Maskula alikuwa Mkristo Mkatoliki wa ukoo bora ambaye alikatwa kichwa na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu ...

Materno wa Koln

Materno wa Cologne alikuwa askofu wa kwanza wa Cologne, Ujerumani aliyeinjilisha eneo hilo na la Tongeren akitokea Trier alipokuwa askofu wa tatu. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Septemba.

Mathayo wa Bascio

Mathayo wa Bascio, O.F.M. alikuwa padri wa Utawa wa Ndugu Wadogo kutoka Dola la Papa, leo nchini Italia, ambaye ni maarufu kama asili ya tawi la Wakapuchini. Mara alipopata upadrisho mwaka 1525 alijisikia hamu ya kuishi kikamilifu zaidi kadiri ya ...

Matia wa Yerusalemu

Matia wa Yerusalemu kwa asili alikuwa Myahudi akawa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 113 hivi hadi kifo chake. Alishika nafasi ya Tobia. Ilimbidi akabiliane na magumu mengi, kutokana na dhuluma ya Dola la Roma na ile ya Wayahudi dhidi ya Wakris ...

Maurili

Maurili alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 423, akijitahidi kufuta Upagani kama alivyoelekezwa na Martino wa Tours. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba.

Maurus Gervase Komba

Maurus Gervase Komba alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Alipewa daraja ya upadri mnamo 1954, akateuliwa kama askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania mnamo 1970 akajiuzulu mnamo 1988.

Anthony Petro Mayalla

Anthony Petro Mayalla alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Tanzania. Alisimikwa rasmi tangu Februari 28, 1988, akaendelea hadi kifo chake mnamo 2009. Mayalla alikuwa mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Saint Augustine cha Tanzania SAUT ...

Cuthbert Mayne

Cuthbert Mayne alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki na kupewa daraja takatifu ya upadri. Hii ilimsababisha kuuawa chini ya sheria ya malkia Elizabeth I. Mwaka 1970 alitangazwa na Papa Paulo ...

Meinradi

Meinradi alikuwa mmonaki padri wa utawa wa Wabenedikto ambaye alikwenda kuishi kama mkaapweke akifuata mifano ya Mababu wa jangwani. Umaarufu wake ulipomvutia umati wa watu, alijitafutia mahali pa upweke mkubwa zaidi. Hatimaye aliuawa na majambaz ...

Melani wa Rennes

Melani wa Rennes alikuwa askofu wa Rennes miaka 505 - 530. Alishiriki mtaguso wa Orleans 511 na kuanzisha monasteri. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba.

Melas

Melas alikuwa askofu wa mji na monasteri ya Rhinoclusa. Wakati wa utawala wa kaisari Valens 364-378, aliyekuwa mfuasi wa Ario, ilitolewa hati ya kuwafukuza maaskofu wote Wakatoliki. Yeye naye alifungwa na kuteswa kwa ajili ya imani. Tangu kale an ...

Melesyo wa Antiokia

Melesyo wa Antiokia alikuwa askofu wa Sebaste, halafu akawa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 360 hadi kifo chake ingawa alifukuzwa mara tatu kwa kupinga Uario. Alifariki akiwa anasimamia mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli. Tangu kale anahes ...