ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 79

Piamun

Piamun alikuwa bikira wa huko Misri aliyeshika maisha ya kitawa bila kuhama nyumba ya mama yake. Alifunga kila siku hadi usiku akapewa karama ya unabii. Kwa sala zake alipatanisha vijiji viwili. Habari zake ziliandikwa na Palladius. Tangu kale an ...

Yosefu Pignatelli

Yosefu Maria Pignatelli, S.J. alikuwa padri wa Shirika la Yesu aliyeandaa wanashirika kulianzisha upya baada ya kufutwa na serikali. Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Mei 1933, halafu Papa Pius XII akamtangaza mtakatifu tarehe 12 Mei ...

Piniani

Piniani alikuwa Mkristo wa mmojawapo kati ya koo maarufu zaidi za mji huo. Alimuoa mapema Melania Kijana akazaa watoto wawili na walipofiwa nao, walikubaliana kuishi kama watawa na baada ya kurithi mali ya wazazi waliofariki, waliitoa kwa Kanisa ...

Piran Mtakatifu

Piran mtakatifu, alifariki 480 hivi, labda Perranzabuloe, Cornwall alikuwa abati wa karne ya 5 huko Cornwall, ingawa anadhaniwa kuwa na asili ya Ireland. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu. Sikukuu y ...

Pishoi

Pishoi alikuwa mmonaki wa Misri. Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Juni na 15 Julai.

Polidori Plasden

Polidori Plasden alikuwa Mkristo wa Kanisa la Anglikana kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki. Baada ya kuhamia Ulaya bara, aliingia seminari kwa lengo la kurudi kwao kufanya uchungaji usioruhusiwa na serikali, akapewa daraja ya upadri huko Roma 15 ...

Pompei wa Pavia

Pompei wa Pavia alikuwa askofu wa pili wa mji huo baada ya Siro wa Pavia. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni 14 Desemba.

Poponi abati

Poponi abati, O.S.B. alikuwa abati huko Stavelot, Ubelgiji aliyejitahidi kueneza urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ulioanza Cluny. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 25 Januari.

Porsiani abati

Porsiani abati alikuwa mtumwa ambaye alikimbilia uhuru wake monasterini mwa Wabenedikto akawa padri na hatimaye abati maarufu kwa miujiza. Gregori wa Tours aliandika juu yake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. ...

Bonaventura Porta

Bonaventura Porta alikuwa askofu Mkatoliki nchini Italia. Alipata upadrisho tarehe 22 Machi 1890. Tangu 1917 hadi 1952 alikuwa askofu wa Jimbo la Pesaro hadi kifo chake.

Pragmasi wa Autun

Pragmasi wa Autun alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, baada ya Flaviani wa Autun. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba.

Prinsipi wa Soissons

Prinsipi wa Soissons alikuwa askofu wa mji huo, labda kuanzia mwaka 474. Alikuwa baba mzazi? wa Lupus wa Soissons na ndugu wa askofu Remi aliyechangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Wa ...

Probo wa Ravenna

Probo wa Ravenna alikuwa askofu wa sita wa mji huo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Novemba.

Probo wa Rieti

Probo wa Rieti alikuwa askofu wa mji huo wa Italia ya Kati. Papa Gregori I alimsifu na kusimulia kifo chake cha ajabu katika hotuba. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.

Prospa wa Reggio

Prospa wa Reggio, alikuwa askofu wa mji huo, inasemekana kwa miaka 22. Hakuna habari nyingi za maisha yake isipokuwa kwamba alikuwa amejaa upendo. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni.

Protasi wa Milano

Protasi wa Milano alikuwa Askofu wa 8 wa mji huo, Italia Kaskazini ka miaka 15 hivi katikati ya karne ya 4. Atanasi wa Aleksandria anasimulia Protasi alivyomtetea kwa kulinda imani sahihi dhidi ya Waario. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na ...

Proteri

Proteri alikuwa Patriarki wa Aleksandria tangu mwaka 451 hadi alipouawa na Wakristo waliokataa maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia. Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini ...

Rafaeli Guizar

Rafaeli Guizar alikuwa askofu mkuu wa Veracruz-Jalapa kuanzia mwaka 1919. Kwa kuwa alijihusisha na vita vya Cristeros aliondolewa jimboni mwake ikambidi aishi mafichoni jijini Mji wa Meksiko hadi kifo chake. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mweny ...

Ranieri wa Forcona

Ranieri wa Forcona anakumbukwa kama askofu wa Forcona aliyepongezwa na Papa Aleksanda II kwa utendaji wake. Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba.

Ranieri wa Pisa

Ranieri Scacceri alikuwa mmonaki na mhubiri huko Pisa, Italia, anapoheshimiwa kama msimamizi wa mji. Alitangazwa na Papa Aleksanda III kuwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Juni.

Petro Regalado

Petro Regalado alikuwa mtawa na padri aliyechangia urekebisho wa shirika lake la Kifransisko. Alitangazwa mwenye heri na Papa Inosenti XI tarehe 11 Machi 1684, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XIV tarehe 29 Juni 1746. Sikukuu yake inaadhimishwa ...

Remigius wa Rouen

Remigius au Remedius wa Rouen alikuwa mwanaharamu wa Karolo Nyundo, waziri mkuu wa Wafaranki akawa askofu mkuu wa Rouen miaka 755-762. Alichangia sana kueneza liturujia ya Roma badala ya ile asili ya Galia. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katol ...

Dasyo wa Milano

Dasyo wa Milano alikuwa mmonaki, halafu askofu wa mji huo kuanzia mwaka 530 hadi kifo chake. Alitetea imani sahihi pamoja na Papa Vijili dhidi ya kaisari Justiniani I hadi Konstantinopoli. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huad ...

Renato wa Sorrento

Renato wa Sorrento alikuwa askofu wa kwanza au wa pili wa mji huo kwenye pwani ya Mediteranea nchini Italia kuanzia mwaka 424 hadi kifo chake, ingawa wengine walisema alikuwa mkaapweke tu. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki na W ...

Yohane wa Ribera

Yohane wa Ribera alikuwa mtu maarufu kwa kushika vyeo mbalimbali katika serikali na Kanisa. Alitangazwa na Papa Pius VI kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1796, halafu Papa Yohane XXIII alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Juni 1960. Sikukuu yake hua ...

Rikardo wa Lucca

Rikardo wa Lucca alikuwa Mkristo wa Uingereza ambaye alifuata sana dini yake na hatimaye alifariki wakati wa hija yake kwenda Roma. Kati ya watoto wake, watatu wanaheshimiwa kama watakatifu, sawa na naye mwenyewe Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ...

Rita wa Cascia

Rita wa Cascia alikuwa mjane wa Italia aliyejiunga na shirika la wamonaki Waaugustino baada ya kufiwa mume na watoto. Papa Urban VIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1626, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 24 Mei 1900 kwa jina la "M ...

Rodolfo wa Gubbio

Rodolfo wa Gubbio, O.S.B. alikuwa mmonaki wa shirika la Wabenedikto na hatimaye askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1059. Alijitahidi sana kuhubiri na kusaidia maskini bila kuacha kamwe maisha magumu ya toba aliyojifunza kwa Petro Damiani. Hivyo alif ...

Alfonso Rodriguez

Alfonso Rodríguez, S.J. alikuwa Mkristo wa Hispania aliyejiunga na Wajesuiti kama bradha, Alitangazwa mwenye heri mwaka 1825, na mtakatifu tarehe 15 Januari 1888. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake

Rogasyani wa Karthago

Rogasyani wa Karthago alikuwa padri wa Karthago ambaye aliachiwa na askofu Sipriani mfiadini jukumu la kusimamia jimbo wakati wa dhuluma ya kaisari Decius. Baadaye aliteswa na kufungwa kwa imani yake pamoja na Felichisimi. Tangu kale anaheshimiwa ...

Roko wa Montpellier

Roko wa Montpellier alikuwa Mkristo maarufu kwa kuishi miaka mingi bila makao maalumu. Ndiyo maana kwa kawaida anachorwa amevaa nguo za hija. Katika mizunguko yake sehemu mbalimbali alihudumia kishujaa waliopatwa na tauni na kuwaponya wengi kwa m ...

Romano wa Auxerre

Romano wa Auxerre alikuwa askofu wa 16 wa mji huo kwa miaka mitatu hadi alipouawa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 6 Oktoba.

Romano wa Blaye

Romano wa Blaye alikuwa padri ambaye Gregori wa Tours aliandika juu yake kuwa alizikwa na askofu Martino wa Tours. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba.

Romedius Mtakatifu

Romedius alikuwa mtoto wa mtemi wa Thaur katika bonde la mto Inn karibu na Innsbruck. Hata hivyo, akiwa bado kijana, alijitenga kwenda kutafakari katika pango. Alipofiwa wazazi wake, aliacha mali yake yote akaenda kuishi katika Val di Non leo kat ...

Rosa wa Lima

Rosa wa Lima ni jina lililoenea la Isabel Flores y de Oliva, binti wa Wahispania waliohamia Lima, Peru. Alipata umaarufu kwa juhudi zake katika maisha ya kiroho na kwa huduma zake za huruma kwa maskini wa mji wake huo. Mlei wa Utawa wa Tatu wa Mt ...

Rosa wa Viterbo

Rosa wa Viterbo alikuwa msichana maarufu kwa imani yake katika Ukristo aliyejiunga mapema sana na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko. Baada ya kuishi kama mkaapweke kuanzia umri wa miaka 7, alianza kuhubiri toba na upatanisho hata alipofukuzwa mjini ...

Rosalia Bikira

Rosalia alikuwa bikira wa ukoo maarufu wa Palermo, mji mkuu wa kisiwa cha Sicilia, leo mkoa wa Italia. Alikwenda kuishi kama mkaapweke katika pango juu ya Mlima Pellegrino hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huad ...

Yohane Mbatizaji wa Rossi

Yohane Mbatizaji wa Rossi alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia. Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 13 Mei 1860, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 8 Desemba 1881. Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo c ...

Andrei Rublev

Andrei Rublev alikuwa mchoraji bora wa picha takatifu kutoka Urusi. Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 29 Januari au 4 Julai kila mwaka.

Rufino wa Asizi

Rufino wa Asizi anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Assisi. Inasemekana alitokea Amasya, leo nchini Uturuki. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti.

Rufo wa Misri

Rufo wa Misri alikuwa mkaapweke wa Misri Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na madhehebu mengine mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Oktoba.

Rustiko wa Clermont

Rustiko wa Clermont alikuwa askofu wa 8 wa mji huo kuanzia mwaka 430 kama si 423. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba.

Rustiko wa Narbonne

Rustiko wa Narbonne alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 427 au 430. Alifanya hivyo ingawa alipenda zaidi maisha ya ndani ya monasteri. Kama askofu alishiriki Mtaguso wa Efeso 431. Baada ya mji huo kutekwa na Wagothi waliomtawaza askofu wa mad ...

Sabino wa Canosa

Sabino wa Canosa alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 514. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Februari.

Sabino wa Piacenza

Sabino wa Piacenza alikuwa askofu wa mji huo kwa miaka karibu hamsini akivuta umati kwa Kristo na kupinga uzushi, hasa wa Ario. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Desemba.

Salaberga

Salaberga alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa mara mbili na kuzaa watoto watano, alikubaliana na mume kutawa, naye alianzisha monasteri dabo akawa abesi wake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, sawa na mumewe wa pili ...

Salusi

Salusi ni kati ya mapadri wa Ethiopia walioishi vizuri imani yao. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Septemba.

Salutari wa Karthago

Salutari wa Karthago ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao. Kwa kuwa alikataa Uario, alipelekwa na Wavandali uhamishoni katika jangwa karibu na Tripoli Libya pamoja na Murita wa Karthago. Kwa kuwa hayajulikani m ...

Salvatore wa Horta

Salvatore wa Horta ni jina la kitawa la Salvador Pladevall i Bien, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati anayejulikana kwa kufanya miujiza mingi ajabu. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Machi.

Salvio wa Albi

Salvio wa Albi alikuwa kwanza mwanasheria, halafu mmonaki aliyelazimishwa kuwa askofu wa mji huo. Baada ya kupewa daraja takatifu hiyo mwaka 574 hakuacha kundi lake hata baada ya njaa na tauni kulipata. Ugonjwa huo ndio uliomuua. Ndugu yake wa mb ...