ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 8

Homoni

Homoni ni kemikali zinazotolewa na tezi za mwili na kusafiri kupitia mfumo wa mzunguko wa damu hadi ogani za mwili. Humo zinasababisha mabadiliko katika kazi ya ogani. Kwa lugha nyingine zinapeleka ujumbe kwa ogani.

Astrosaiti

Astrosaiti ni seli zenye umbo la nyota katika ubongo na mithili ya kamba kwenye uti wa mgongo. Pia hizi seli zinajulikana kwa pamoja kama astroglia. Uwiano wa astrosaiti katika ubongo hutofautiana. Uchunguzi umegundua kuwa uwiano wa astrosaiti hu ...

Jasho

Jasho, ni uzalishaji wa maji yaliyotengwa na tezi za jasho kwenye ngozi za wanyama. Aina mbili za tezi hizo zinapatikana kwa wanadamu: tezi za eccrine na tezi za apocrine. Tezi za jasho za eccrine ziko juu ya mwili mzima. Kwa wanadamu, jasho ni h ...

Kapilari

Kapilari ni mishipa midogo zaidi kati ya mishipa ya damu ya mwili. Vipande vyao vya mwisho vya seli ni safu moja tu. Hizi kapilari hupimwa kuwa mikromita μm mduara 5 hadi 10, huunganisha ateri na vidole, na husaidia kuwezesha kubadilishana maji, ...

Kiunzi cha mifupa

Kiunzi cha mifupa ni jumla ya mifupa kwenye mwili wa mtu na wanyama. Mwanadamu ana kiunzi cha ndani na mifupa ni sehemu imara chini ya ngozi na nyama ya mtu na kusudi lake ni mwili ushikamane na kuwa thabiti lakini inaruhusu pia mwendo wa viungo ...

Kutoa taka za mwili

Kutoa taka za mwili ni mchakato ambao taka za umetaboli na vifaa vingine visivyofaa vinaondolewa kutoka kwa viumbehai. Kutoa taka mwili ni mchakato muhimu katika aina zote za uhai. Kwa mfano, katika mkojo wa wanyama hutolewa kwa njia ya urethra, ...

Mfumo wa homoni

Mfumo wa homoni ni jumla ya tezi za mwili zinazomwaga homoni kwenye mzunguko wa damu pamoja na ogani zilizo tayari kupokea homoni hizo. Mfumo kwa jumla unaendesha kazi ya ogani za mwili. Homoni ni kemikali yaani molekuli za pekee zinazowasilisha ...

Mfumo wa mzunguko wa damu

Mfumo wa mzunguko wa damu ni jumla ya mishipa ya damu mwilini pamoja na moyo. Ni sehemu muhimu ya uhai wa viumbe wengi.

Mfumo wa neva

Mfumo wa neva ni sehemu ya mwili wa wanyama ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali. Kwa mara ya kwanza tishu za neva zilitokea katika wadudu wa jamii ya minyoo Ediacara biota miaka mi ...

Mfupa

Mfupa ni tishu ngumu katika mwili mwa binadamu na wanyama wenye uti wa mgongo. Mifupa inahimili ogani nyingine mwilini na kuuwezesha kusimama. Mifupa ni pia kinga kwa sehemu muhimu sana kama vile mifupa ya fuvu inakinga ubongo na ubavu wa kifua u ...

Musuli

Misuli ni sehemu ya mwili wa wanyama na binadamu inayowezesha mwendo wa viungo vyake. misuli inaundwa na tishu ya pekee yenye uwezo wa kujinywea na kulegea. Wakati wa kujinywea huwa mifupi zaidi. Kwa njia hii misuli inayounganishwa na mifupa ya m ...

Mwili wa mwanadamu

Mwili wa mwanadamu ni muundo mzima wa mwanadamu upande wa mwili, bila kuzingatia roho inayoweza kuuhuisha. Unajumuisha aina mbalimbali za seli ambazo zinajumuika pamoja na tishu na mifumo ya viungo vingine, kama vile kichwa, shingo, kiwiliwili am ...

Neva

Neva, pia mishipa ya fahamu, ni kundi la seli za pekee mwilini zenye kazi ya kuwasilisha habari kati ya ubongo na sehemu za mwili.

Nywele

Nywele ni nyuzi za protini zinayokua kutoka kwa follicles iliyopatikana kwenye ngozi, au ngozi. Nywele ni moja ya sifa zinazoelezea za wanyama. Mwili wa binadamu, mbali na maeneo ya ngozi ya glabrous, hufunikwa kwa follicles ambayo hutoa terminal ...

Seli za damu

Seli za damu ni seli za pekee ambazo, pamoja na plasma ya damu, zinafanya damu ya wanyama wengi, hasa ya wanyama wenye uti wa mgongo. Katika vertebrata pamoja na binadamu kuna hasa aina tatu za selidamu: Seli nyeupe za damu lukosaiti au leukocyte ...

Tezi

Tezi ni ogani za mwili zinazotoa dutu za pekee ambazo ni muhimu kwa kazi ya mwili kwa jumla na hasa kwa ogani nyingine. Zinapatikana katika wanyama pamoja na wanadamu na pia katika mimea. Kimsingi kuna aina mbili za tezi: tezi endokrini zinazotoa ...

Upumuaji

Upumuaji ni kitendo cha kusukuma hewa ndani na nje ya mapafu ili kuweza kubadilishana gesi na mazingira ya ndani, hasa kwa kuleta oksijeni na kusafirisha kaboni dioksidi. Viumbehai wote wanahitaji oksijeni kwa ajili ya upumuaji wa seli, ambayo in ...

Upumuo

Upumuo ni kitendo cha kuvuta hewa ndani ya mapafu au oksijeni kupitia viungo vingine kama vile matamvua ya samaki, halafu kutoa gesi ya CO2 pamoja na hewa iliyotumiwa. Kuna pia upumuo wa ndani ambayo ni kazi ya seli za mwili kupokea oksijeni na k ...

Uti wa mgongo

Uti wa mgongo ni nguzo ya mifupa ambayo ni kiini cha kiunzi cha mifupa katika miili ya vetebrata kama binadamu, mamalia wote na pia wanyama wengine wengi kama samaki, reptilia na ndege.

Utumbo mpana

Utumbo mpana ni sehemu ya utumbo kati ya utumbo mwembamba na mkundu. Hivyo unapatikana karibu na mwisho wa mfumo wa mmengenyo wa chakula.

Utumbo mwembamba

Utumbo mwembamba ni sehemu ya mfumo wa mmengenyo wa chakula iliopo kati ya tumbo na utumbo mpana. Ni sehemu ndefu ya mfumo huu yenye urefu wa mita 4.5 - 9.6 kwa mtu mzima. Sehemu kubwa ya mmengenyo wa chakula inatokea hapa, yaani ni katika sehemu ...

Udhibiti wa saratani

Udhibiti wa saratani unamaanisha kutibu ugonjwa wa saratani au kansa. Saratani inaweza kutibiwa kwa kufanyia upasuaji, tibakemo, matibabu kwa njia ya eksirei, matibabu ya tibamaradhi, matibabu ya monokloni ya kingamwili au njia zingine. Uchaguzi ...

Carleton Gajdusek

Carleton Gajdusek alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine hasa alichunguza maradhi za neva. Mwaka wa 1976, pamoja na Baruch Blumberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1966, Carleton Gajdusek alipatikan ...

Vitamini

Vitamini ni kirutubishi kinachohitajika na mwili kwa kujenga afya yake. Kwa lugha nyingine kampaundi ogania zilizo lazima kwa shughuli za mwili lakini haziwezi kutengenezwa na mwili mwenyewe hivyo ni lazima kuzipata kupitia chakula. Vitamini inai ...

Vitamini C

Vitamini C ni vitamini inayopatikana hasa katika matunda na majani mabichi. Kikemia ni aina ya asidi askobini na binadamu ni kati ya spishi chache ambazo haziwezi kutengeneza asidi hii mwilini. Kwa hiyi watu hutegemea chakula chenye kiwango cha v ...

Anime

Anime ni istilahi ya kutaja "Animation" au katuni hai kwa lugha ya Kijapani. Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani. Lakini nchini Japani, anime huwa ...

Axis Powers Hetalia

Axis Power Hetalia ni katuni ya Kijapani. Himaruya awali aliumba Hetalia kama "webcomic" na sasa tankōbon viwili vimechapishwa na kampuni liitwalo Gentosha Comics, cha kwanza lilitozwa tarehe 28 Machi 2008 na cha pili tarehe 10 Desemba 2008. Baad ...

Charlottes Web (filamu ya 1973)

Charlottes Web ni filamu ya katuni-muziki iliyotolewa mwaka wa 1973. Filamu ilitayarishwa na Hanna–Barbera Productions na Sagittarius Productions, na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. 1 Machi 1973 wa Paramount Pictures. Hii filamu msingi juu ya ...

Coco (filamu ya 2017)

Coco ni filamu ya kufurahisha ya vibonzo iliyotengenezwa Marekani mnamo mwaka 2017 na kompyuta za Pixar Animation Studios na kusambazwa na Walt Disney Pictures. Filamu hii imeundwa kulingana na mawazo ya Lee Unkrich huku akiwa kama Mkurugenzi pam ...

Dragon Ball Z

Dragon Ball Z ni mfululizo wa vipindi vya televisheni vya katuni vya Japani ambavyo vinatayarishwa na Toei Animation. Ni kipindi maalumu kilichoandaliwa kwa uangalizi wa familia nzima ili kuwa kama kiburudisho kwa familia. Katuni hii yaeleza kuhu ...

Spiderman

Spider-Man ni jina la shujaa wa kubuni anayeonekana katika vitabu vya vibonzo vya Marekani vilivyochapishwa na Marvel Comics. Tangu 1977 ilianza mfululizo wa TV wa Speder-Man. Lakini tangu miaka ya 2000 kumekuwa na filamu zake nyingi tu zilizoche ...

Teen Titans Go!

Teen Titans Go! ni katuni inayohusu mashujaa watano ambao ni Robin,Beast Boy,Cyborg,Raven na Star Fire.Mashujaa hawa katika mji wao wanaoishi kama walinzi wa mji na huhakikisha usalama wa watu wanaoishi nao Nguvu zao: Robin - kama kiongozi wao - ...

The Knights

The Knights ni katuni inayohusu kijana mdogo aliyezaliwa na bahati ya kujiunga na kikundi cha the knigts ambao si binadamu wa kawaida bali ni kikundi cha mamilioni ya watu walio pande tofauti wanaojulikana kwa alama wanayokuwa nayo mkononi. Hawa ...

Ukaragushi

Ukaragushi ni njia ya kutengeneza filamu kutokana na picha nyingi za katuni hai. Picha hizo huwekwa pamoja moja kwa moja, na kisha hucheza kwa kasi ili kutoa udanganyifu wa miondoko. Ukaragushi ni aina mpya ya sanaa, na ingawa dhana ya kutembeza ...

Adili na Nduguze

Adili na nduguze ni riwaya ya Shaaban Robert inayozungumzia jinsi ambavyo Adili, kijana mwenye roho na tabia njema, alihusudiwa na ndugu zake, walimchukia na kumpatia mateso na kumweka katika hali ngumu katika nyakati tofauti. Hao walimtesa kiasi ...

Ahmad Basheikh Husein

Ahmad Basheikh Husein alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Aliandika vitabu vyake kwa sultani wa Mombasa. Alikuwa mwana wa Husein na Bibi wa Mwinyi Matano. Alikuwa mjomba wa msh ...

Ahmed Al-Mambasi

Ahmed Al-Mambasi alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Aliandika vitabu vyake kwa sultani wa Mombasa. Alijulikana kuandika mashairi mengi kama Bwana ukisha ondoka au Mwandani wan ...

Dinosaria wa Tendaguru

Dinosaria wa Tendaguru ni kitabu cha Kitanzania kwa wasomaji wadogo kuhusu historia ya awali na dinosauri ambao mifupa yao yalipatikana pale Tendaguru kwenye Mkoa wa Lindi, Tanzania. Iliandikwa kwa Kiswahili na waandishi Cassian Magori na Charles ...

Dunia Uwanja wa Fujo

Dunia Uwanja wa Fujo ni riwaya iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi mwaka wa 1975. Ni riwaya ambayo inasawili maisha ya wanadamu hususani waishio Afrika Mashariki, hasa katika nchi ya Tanzania. Dunia Uwanja wa Fujo” inaelezea jinsi maisha yaliyopo ...

Fumo Liyongo

Fumo Liyongo alikuwa askari na mwandishi wa mashairi katika pwani ya kaskazini ya Afrika Mashariki kati ya karne ya 9 na karne ya 13. Aliandika gungu mengi kama "Sifa la Uta" au "Wimbo wa Mapenzi". Katika mwaka wa 1913, mwandishi wa mashairi Muha ...

Hekaya za Abunuwasi

Hekaya za Abunuwasi ni mkusanyo wa hadithi fupi zinazosimulia habari za Abunuwas. Hadithi hizi hazina uhusiano halisi na Abu Nuwas, mshairi Mwarabu aliyeishi Baghdad mnamo mwaka 800 BK. Abunuwasi wa hekaya ni mjanja anayeshindana mara kwa mara na ...

Kaptula la Marx

Kaptula la Marx ni tamthiliya iliyotungwa mnamo mwaka 1978 na mwandishi Euphrase Kezilahabi kutoka nchini Tanzania. Ni kejeli kali kuhusu siasa ya Tanzania hasa ya Ujamaa na rais wa wakati ule Julius Nyerere. Kutokana na ukali wa ukosoaji wake, t ...

Kichomi (diwani)

Kichomi ni diwani au mkusanyiko wa mashairi ya mwandishi Euphrase Kezilahabi kutoka nchini Tanzania. Kitabu kilitolewa mwaka 1974. Diwani hii inaakisi mawazo ya kizazi kipya cha washairi wasomi waliofuzu kutoka kwenye vyuo vikuu miaka ya 1970. Ma ...

Kijiji Kisicho na Makaburi

Kijiji Kisicho na Makaburi ni riwaya ya Kiswahili iliyoandikwa na mtunzi wa riwaya Dickson Mtalaze. Inazungumzia mkasa katika kijiji kimoja katika mkoa wa Simiyu ambacho wananchi wake walikuwa wanaishi bila ya kuwa na makaburi, hali ambayo iliwas ...

Kilele Kiitwacho Uhuru

Kilele Kiitwacho Uhuru ni riwaya iliyoandikwa na Filipo GaoLubua, mwandishi wa riwaya na mashairi kutoka Tanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani. Riwaya hii ni moja ya riwaya mahiri zilizoandika hali ya siasa na jamii katika nchi za Afri ...

Mdhamini

Mdhamini ni riwaya ya kipepelezi iliyoandikwa na Japhet Nyangoro Sudi mwaka 2019 ikizungumzia kisa cha watoto watano waliopewa mafunzo mazito na kuhitimu kwa kiwango cha juu hadi kuiogopesha idara ya usalama wa taifa. Watoto hao pacha wanakusudiw ...

Mke Mmoja Waume Watatu

Mke Mmoja Waume Watatu ni riwaya iliyoandikwa na Muhammed Said Abdulla. Ni miongoni mwa riwaya zinazoonyesha ukinzani miongoni mwa mila na desturi dhidi ya dini ya Uislamu kwani wakati dini ikiamini ndoa ni chuo kinachomfunga mke dhidi ya maovu y ...

Muyaka bin Hajji

Muyaka bin Hajji alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Alijulikana kuandika mashairi mengi kama Ngome, Kwa heri mwana, Kitandi au Ghazali.

Mwalimu Sikujua

Mwalimu Sikujua alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Jina lake linaonyesha alikuwa Mwafrika, tena wa Kibantu. Alijulikana kuandika mashairi mengi kuhusu mwalimu yake Muyaka bin ...

Ngano (hadithi)

Kwa nafaka tazama makala ya ngano Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi ya burudani na pia mafundisho. Mara nyingi husimuliwa na wazazi au wazee kwa watoto. Kitaalamu hutazamiwa kuwa sehemu ya fasihi-simulizi ya jamii au utamaduni fulani ...