ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 84

ABBA

ABBA lilikuwa kundi la muziki wa aina ya pop kutoka nchini Uswidi, ambao waliwika sana kunako miaka ya 1970 na 1980. Jina la "ABBA" lilitokana na kila herufi ya kwanza ya jina la mwanakundi: B enny Andersson, na A gnetha Fältskog A nni-Frid Lyngs ...

Aisha Madinda

Aisha Madinda alikuwa mnenguaji na mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Enzi za uhai wake, alichezea bendi ya African Stars Twanga Pepeta na Extra Bongo. Alijiunga na Twanga Pepeta mnamo mwaka 2001 na kudumu humo hadi hapo ...

Akwilina Akwilini

Akwilina Akwilini Bafta alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha usafirishaji Dar es Salaam ambaye alifariki baada ya kupigwa risasi ya kichwa kimakosa na afisa wa polisi aliyekuwa anajaribu kutuliza ghasia za waandamanaji wa kisiasa wa CHADEMA mnamo ...

Bi. Shakila

Bi Shakila alikuwa mzaliwa wa peke yake kwa baba na mama yake, alizaliwa tarehe 14 June 1947, tarehe moja na mwanamuziki mwingine mkongwe Mabruk Khamis wa Kilimanjaro Band anayejulikana kwa jina la Babu Njenje. Mama yake Babu Njenje alikuwa na ta ...

Boyz II Men

Boyz II Men ni kundi la muziki wa R&B kutoka mjini Philadelphia, Pennsylvania, Marekani. Wanafahamika zaidi kwa ukali wao wa kuimba sauti tupu na hamoni. Kwa sasa wapo watatu tu, Nathan Morris, Wanya Morris na Shawn Stockman. Wakati wa miaka ...

Capone-N-Noreaga

Capone-N-Noreaga ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip linaloendeshwa na watu wawili kutoka mjini Queens, New York City, New York. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1995. Wawili hawa wanaunganishwa na marapa kutoka East Coast hip hop, Capone n ...

Dom Down Click

Jina la DDC limebuniwa na Lucas Malali, maarufu kama LC. Kundi linatokana na makutano ya kila siku maskani kwao huko Dodoma, hatimaye likaja wazo la kuanzisha harakati za kughani kurap. Ili kuunda kundi, ilikuwa ni lazima akutane na marafiki ili ...

Down Low

Down Low ni kundi la rap lilianzishwa mjini Kaiserslautern, huko Ujerumani, mnamo mwaka wa 1995. Kundi linaongozwa na marapa wa Kimarekani ambao ni Joe Thompson na Darren Tucker. Kundi linafahamika zaidi kwa kibao chao cha "Johnny B." Down Low hu ...

Eazy-E

Eric Lynn Wright alikuwa rapa na mtayarishaji wa muziki kutoka mjini Compton, California, Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Eazy-E. Wakati Eazy E bado yungali bwana mdogo alikuwa akijishughulisha na maswala ya uuzaji wa da ...

Roger Ebert

Roger Joseph Ebert alikuwa mwandishi wa habari, mtunzi wa filamu, na mtahakiki kutoka nchini Marekani. Alipata kuchapisha vitabu zaidi ya 20 na madazeni ya mikusanyiko ya tahakiki.

Eternal

Eternal lilikuwa kundi la wasichana wa Kiingereza wanaoimba muziki wa R&B. Kundi limeanzishwa mwaka 1992 likiwa na ndugu kina Easther na Vernie Bennett, Kéllé Bryan na Louise Nurding. Kundi limepata mafanikio kimataifa, kwa kuuza nakala milio ...

G.W.M

Gangstas With Matatizo lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini huko nchini Tanzania. Kundi linaundwa na KR na D-Chief na Easy Dope kaka mkubwa wa D Chief. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1997. Hata hivy ...

Fadi Ghandour

Fadi Ali Ghandour ni mjasiriamali mwenye asili ya Kijordania, ambaye anafahamika zaidi kama mwanzalishi na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya usafirishaji ya Aramex, ambayo hujihusisha na maswala ya usafirishiji wa mizigo mbalimbali duniani. Ghand ...

Idir

Idir Concert in Festival Twiza, tanger Idir Discography Archived Februari 17, 2011 at the Wayback Machine. Idir Ssendu Idir’s Rainbow Nation: Album of rap and R&B duets New Album Idir Rif Cultural day ni ifrane, By Agraw Idir – Interview & Co ...

Jodi Balfour

Jodi Balfour ni mwigizaji wa filamu na televisheni wa Afrika Kusini, anayejulikana kwa jukumu lake kama Gladys Witham katika safu ya maigizo ya runinga ya Canada ’Bomb Girls’’. Alishinda tuzo ya ’Canadian Screen Award’’ kama mwigizaji bora kiongo ...

Pepe Kallé

Pepe Kallé alikuwa mwimbaji wa soukous, mwanamuziki na kiongozi wa bendi kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Pepe Kallé alipozaliwa alipewa jina Kabasele Yampanya katika mji mkuu wa Kinshasa, lakini baadaye aliamua kulichukua jina la ...

Kris Kross

Kris Kross lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililoundwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, likiongozwa na James Christopher "Mac Daddy" Kelly na Christopher "Daddy Mac" Smith. Kundi linatoka nchini Marekani. Kundi lilitamba sana na kibao chao cha 199 ...

Kwanza Unit

Kwanza Unit lilikuwa kundi la mwanzo kabisa la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1990 kwa muunganiko wa makundi kadhaa na wasanii wa rap. Awali walikuwa wanarap kwa Kiingereza, lakini baadaye wakawa wanat ...

Mangwair

Alizaliwa na jina la Albert Keneth Mangwair mnamo tar. 16 Novemba, 1982, Mbeya, Tanzania. Kiasili, ni mtu wa Ruvuma, yaani, ni Mngoni. Lakini alizaliw mjini Mbeya na akiwa na umri wa miaka 5, familia yake ilihamia mjini Morogoro kikazi na hatimay ...

Onyx

Onyx ni kundi la hardcore hip hop kutoka eneo la South Jamaica katika Queens, New York, Marekani. Kundi linaunganishwa na marapa kutoka East Coast Sticky Fingaz na Fredro Starr. Sonny Seeza na hayati Big DS nae vilevile alikuwa mwanachama; Big DS ...

Diskografia ya Tupac Shakur

Hii ni diskografia ya Tupac Shakur, rapa kutoka nchini Marekani. Kumepata kutolewa albamu takriban kumi na moja; nne zilitolewa kabla ya kifo cha Shakur mnamo Septemba 13, 1996 na saba zilitolewa baada ya kifo chake, ya kwanza ikiwa The Don Killu ...

Tupac Shakur

Tupac Amaru Shakur alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza re ...

Madilu System

Jean de Dieu Makiese, alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Madilu System, alikuwa mtunzi na mwimbaji wa muziki wa soukous. Alizaliwa huko mjini Léopoldville, enzi hizo iliitwa Kongo ya Kibelgiji - ambayo leo hii inajulikana kama Kinsha ...

Deplowmatz

Tha De-Plow-Matz lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini huko nchini Tanzania. Kundi linaundwa na Saigon, Dolasoul, Trip Dogg na Storm. Katika familia hii kulikuwa pia na msimamizi wao aliyejulikana kwa jina la ...

Willem Barents

Willem Barents alikuwa baharia na mpelelezi kutoka nchini Uholanzi. Barents anakumbukwa kama mgunduzi wa visiwa vya Spitsbergern Svalbard. Alilenga kukuta njia ya kufika katika Bahari Pasifiki kupitia bahari ya Aktiki. Bahari ya Barents na mji wa ...

Wilma Rudolph

Wilma Rudolph ni mwanariadha wa Marekani. Aliishi Clarksville, Tennessee pamoja na ndugu 11. Alikuwa wa 5. Alipokuwa na umri wa miaka 4, alikuwa na polio. Yeye alinusurika, lakini alipoteza matumizi ya mguu wake wa kushoto. Wazazi wake na ndugu z ...

Xscape

Xscape lilikuwa kundi la waimbaji wa kike wa R&B kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani. Kundi lilipata platinamu tatu mfululizo kwa albamu zao ikiwa ni pamoja na kushika nafasi ya 6 na kuingiza vibao 10 bab-kubwa katika chati za Billboard H ...

A Boy From Tandale

"A Boy From Tandale" ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Diamond Platnumz. Albamu imetoka rasmi mnamo tarehe 14 Machi, 2018, japo utangazaji wake ulianza tangu kwenye mwezi Oktoba-2017 na ...

A Day Without Rain

A Day Without Rain ni albamu ya Enya, iliyotolewa mwaka wa 2000. Ilishinda tuzo la Grammy Award:"Grammy Award for Best New Age Album" mnamo 2002. Inajulikana sana kutokana na wimbo wake "Only Time" ambayo ilifanikiwa zana mnamo 2001 ilipotambulik ...

Adan Haji Yussuf

Adan Haji Yussuf ni mbunge wa Kenya. Alichaguliwa akiwa mgombea wa Economic Freedom Party katika Jimbo la Mandera West, kaunti ya Mandera, kwenye mwaka 2017. Alihitimu shahada ya awali katika ufugaji wanyama kwenye Chuo Kikuu cha Egerton, akaende ...

Akheri

Akheri ni kata ya Wilaya ya Meru katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23306. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13.699 walioishi humo.

Alailelai

Alailelai ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23717. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7.351 walioishi humo.

Ali Mufuruki

Mufuruki alizaliwa mwaka 1958 Bukoba vijijini katika Mkoa wa Kagera. Shule ya sekondari alimaliza vema katika masomo ya sayansi. Katika miaka ya 1980 alijifunza Kijerumani akasomea uhandisi kwenye Chuo cha Uhandisi Reutlingen, Baden-Württemberg, ...

Angela Okorie

Angela Okorie ni mwigizaji wa Nigeria. Mwaka 2015, alishinda City People Entertainment Awards katika nafasi ya Mwigizaji Bora anayeunga Mkono. Pia anatambulika katika kuigiza zaidi ya filamu 100 kati ya mwaka 2009 na 2014.

Arash

Arash ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23707. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7.841 walioishi humo.

Ardanuç

Ardanuç ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Artvin kwenye kanda Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.

Arica

Arica ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Arica na Parinacota katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 200.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Aristoteli

Aristoteli alikuwa mwanafalsafa muhimu wa ustaarabu wa Ugiriki ya Kale. Pamoja na Plato huhesabiwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi katika utamaduni wa magharibi. Aristoteli alikuwa mwalimu wa Aleksander Mkuu kabla huyu hajawa mfalme. Alichangia ...

Arri

Arri ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27220. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14.146 waishio humo.

Arusha (mji)

Arusha ni jiji la kaskazini mwa Tanzania na makao makuu ya Mkoa wa Arusha. Kiutawala eneo la jiji la Arusha ni sawa na eneo la Wilaya ya Arusha Mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416.442 Ina postiko ...

Asante Nyerere

Asante Nyerere ni jina la kata ya Wilaya ya Kasulu Vijijini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania yenye msimbo wa posta 47323. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7.223 waishio humo.

The Austin Chronicle

The Austin Chronicle ni gazeti badala linalochapishwa kila wiki hasa katika siku ya Alhamisi. Mtindo wake wa uchapishaji ni ule wa gazeti la porojo na huchapishwa Austin,Texas Marekani. Gazeti hili husambazwa katika maduka ya magazeti yanayopatik ...

Ayasanda

Ayasanda ni kata ya Wilaya ya Babati Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27216. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.182 waishio humo.

Babati Mjini

Babati ni mji mdogo mwenye halmashauri na hivyo hadhi ya wilaya katika Mkoa wa Manyara nchini Tanzania yenye postikodi namba 27100. Ni pia makao makuu ya Mkoa wa Manyara, takriban kilomita 170 kusini mwa Arusha na kilomita 220 upande wa kaskazini ...

Baga

Baga ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 8.521 waishio humo.

Bagara

Bagara ni kata ya Babati Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27103. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 28.920 waishio humo.

Baila

"Baila" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 12 Julai, 2018 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akiwa na Miri Ben-Ari kutoka nchini Marekani kwenye violin. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Ta ...

Bakoba

Bakoba ni jina la kata ya Manisipaa ya Bukoba katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35101. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17.474 waishio humo.

Baleni

Baleni ni kata ya Wilaya ya Mafia katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61706. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5.870 walioishi humo. Baleni iko kwenye kisiwa cha Mafia chenyewe takriban ka ...

Balıkesir

Balıkesir ni mji uliopo katika mkoa wa Marmara katika nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 649.623 waishio katika mji huo. Ni kituo kikubwa cha kusafirishi bidhaa zao kwa nchi za nje. Ni kituo mashuhuri kwa watalii wenyeji na wageni, ambao wan ...