ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 86

Jimbo la Uchaguzi la Siakago

Siakago ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili yaliyo katika Wilaya ya Mbeere. Jimbo hili lina wodi tano na zote huwachagua madiwani kwa baraza la Mbeere County. Mji wa Siakago ambao ni mji mkuu wa Wilaya ya Mbeere unap ...

Juanes

Juan Esteban Aristizábal Vásquez ni mshindi wa Tuzo ya Grammy. Colombia mwimbaji Juanes ni moja ya pop. Ni kuchukuliwa icon dunia kutokana na mafanikio ya muziki wake katika lugha ya Kihispaniola.

Justified

Justified ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji Justin Timberlake. Albamu hii inawahusisha wanamuziki wengine kama Timbaland, Clipse, Bubba Sparxxx, na Janet Jackson. Albamu hii ilishinda tuzo mbili za Grammy Award kwenye sherehe ya 2004 Grammy ...

Kalebezo

Kalebezo ni kata ya Wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Ni wastani wa Km 10 kufika ziwa Viktoria. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18.960 waishio humo.Msimbo wa posta ni 33308. Kata y ...

Kalinzi

Kalinzi ni jina la kata ya Wilaya ya Kigoma Vijijini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania yenye msimbo wa posta 47206. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 27.426 waishio humo.

Kampuni ya DVS

Kampuni ya viatu ya DVS ilianzishwa katika mwaka wa 1995 na Kevin Dunlap akiwa pamoja na Tim Gavin. DVS huwa na makao yao Torrance, California na inamilikiwa na kampuni ya usambazaji ya Podium Distribution.Neno la ufupisho DVS linasemekana kusima ...

Kampuni ya Red Wing

Viatu vya Red Wing ni kampuni ya viatu iliyokuwa na makao yake mjini Red Wing,Minnesota katika nchi ya Marekani.Ilianzishwa katika mwaka wa 1905 na Charles H Beckman. Baada ya miaka kumi tu ya kuanzishwa kwake,kampuni ya Red Wing ilikuwa inazalis ...

Kanisa la Biblia Tanzania

Kanisa la Biblia Tanzania ni kanisa dogo la Uprotestanti lenye shirika 90 hasa kusini mwa Tanzania, katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma; kuna pia shirika kadhaa katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro. Makao makuu yako Mbesa wila ...

Kansa ya ini

Saratani ya ini ni kansa ambayo huanza katika ini, kinyume na kansa ambayo huanza katika kiungo kingine na kuenea kwenye ini, inayojulikana kama metastasis ya ini. Ili kuelewa kikamilifu kansa ya ini ni muhimu kuwa na ufahamu wa jinsi ya ini lina ...

Eneo Bunge la Kasarani

Eneo Bunge la Kasarani ni eneo bunge le uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nane katika Mkoa wa Nairobi. Linajumuisha maeneo ya kaskazini na kaskazini mashariki ya Nairobi. Eneo Bunge la Kasarani lina mipaka sawia na Taarafa ya Kas ...

Kashashi

Kashashi ni kata ya Wilaya ya Siha katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, yenye msimbo wa posta 25402. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.694 walioishi humo. Kati hiyo inaundwa na vijiji sita: Kirisha, Kye ...

Kasulu

Kasulu ni mji wa Mkoa wa Kigoma magharibi mwa Tanzania yenye msimbo wa posta 47301. Inatawaliwa na halmashauri yake, hivyo huwa na hadhi ya wilaya tangu enzi za ukoloni. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 208.244. Eneo la manispaa ni ...

Kenyamonta

Kenyamonta ni kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31620. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.336 waishio humo Hadi kufikia mwaka 2016, kata hii ilikuwa ikiu ...

KIA (Hai)

KIA ni kata ya Wilaya ya Hai katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.472 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 25311. Jina latokana na kifupi cha Kilimanjaro International A ...

Kibaha (mji)

Kibaha ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61100. Tangu kuwa na halmashauri yake ni Wilaya ya Kibaha Mjini, tofauti na Wilaya ya Kibaha Vijijini. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa ...

Kiboriloni

Kiboriloni ni kata ya Moshi Mjini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania yenye postikodi namba 25113. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9.206 walioishi humo. Wananchi wa kata hii wanajishughulisha na biashar ...

Kidogo

"Kidogo" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 12 Julai 2016 kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akishirikisha kundi la P-Square kutoka nchini Nigeria. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa ...

Kigoma-Ujiji

Kigoma Ujiji ni manispaa katika Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania na makao makuu ya mkoa huo yenye msimbo wa posta 47100. Inaunganisha miji ya kihistoria ya Ujiji na Kigoma. Manispaa hii ilikuwa na wakazi wapatao 215.458 wakati wa sensa ya mwaka 201 ...

Kijiji cha Makumbusho Daressalaam

Kijiji cha makumbusho mjini Daressalaam ni eneo linalohifadhi mifano ya nyumba na vifaa vya tamaduni mbalimbali zinazopatikana katika nchi ya Tanzania. Eneo hilo lipo katika jiji la Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kijiji cha Makumbusho kipo mk ...

Kilakala

Kwa makala ya Kilakala ya Dar es Salaam, tazama: Kilakala Kilakala ni jina la kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye postikodi namba 67110. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao ...

Kilimani (Mbinga)

Kilimani ni jina la kata ya Wilaya ya Mbinga katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania yenye postikodi namba 57402. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.529 waishio humo. Kilimani ina vijiji vifuatavyo: Kilimani ...

Kilwa Kivinje

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kilwa Kilwa Kivinje ni mji mdogo katika Wilaya ya Kilwa ufukoni wa Bahari Hindi. Kiutawala ni sehemu ya kata ya Kivinje Singino. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, mji ulilikuwa na wakazi wapatao ...

Kinampanda

Kinampanda ni jina la kata ya Wilaya ya Iramba katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43302. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14.870 waishio humo.Kinampanda ni mojawapo ya eneo maarufu ...

Kiore

Kiore ni kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31425. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8.020 waishio humo. Kata ya Kiore iligawanywa toka kata ya zamani ya Nyand ...

Kipumbwi

Kipumbwi ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania yenye Postikodi namba 21311. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 3.876 waishio humo. Kata hii ina vitongoji vinne ambavyo ni Serewani, Kipumw ...

Kisii

Kisii ni mji upatikanao Kusini Magharibi mwa Kenya. Huu ndio mji mkubwa wa biashara katika miinuko ya Gusii. Kisii ndio makao makuu ya Kaunti ya Kisii. Awali ulikuwa makao makuu ya Wilaya ya Kisii kwa ujumla kabla ya wilaya hiyo kugawanywa na kuz ...

Kisiju

Kisiju ni kata ya Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61513. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12.113 walioishi humo.

Kisumwa

Kisumwa ni kata ya Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31321. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12.447 waishio humo. Kata ya Kisumwa ina vijiji vitano ambavyo ni: kijiji ...

Kiva

Kiva ni kata ya Wilaya ya Handeni vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 9972 waishio humo. Kata hii inajumuisha jumla ya vijiji vitatu ambavyo ni Zavuza, Kwedibangala na K ...

Kipkalya Kones

Kipkalya Kiprono Kones alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama waziri katika miaka ya 1990 na alikuwa Waziri wa Barabara kwa muda mfupi mwaka wa 2008. Alikuwa mwanachama wa Bunge la Kenya kuanzia mwaka wa 1988 hadi mwaka wa 2008. ...

Korogwe (mji)

Korogwe ni mji upande wa Kaskazini-Mashariki wa Tanzania ambao ni makao makuu ya Wilaya ya Korogwe. Tangu kupata halmashaur yake ni moja kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga kwenye pwani ya Tanzania. Mwaka 2012 mji ulikuwa na wakazi 68.308 walioish ...

Kutoka (Biblia)

Kitabu cha Kutoka ni kitabu cha pili katika Tanakh, na kwa hiyo pia katika Agano la Kale ; kitabu cha kwanza ni Mwanzo. Kwa asili kimeandikwa kwa Kiebrania, na katika lugha hiyo kinaitwa שמות, Shemot, maana yake" majina”, kutokana na neno lake la ...

Kwediyamba

Kwediyamba ni kata ya Handeni mjini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi zaidi ya 5000 waishio humo. Msimbo wa posta ni 21831. Kata ya Kwediyamba inapatikana kusini magharibi mwa mji wa C ...

Kwemashai

Kwemashai ni jina la kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 5.649 waishio humo. Kata ya Kwemashai inapatikana kilomita nne mashariki kwa Lushoto mjini baad ...

LAnimal

"LAnimal" ni jina la albamu ya kwanza kutoka kwa rapa Khalid Kumbuka wa Kwanza Unit Foundation. Albamu ilitolewa mnamo tarehe 26 Julai, 2017. Albamu imetayarishwa na watayarishaji mbalimbali ikiwa ni pamoja na Henry Muoria Jr, Ivan "Odie" Oduol, ...

Laurenti wa Brindisi

Laurenti wa Brindisi ni jina la kitawa la Giulio Cesare Russo, padri na mkuu wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini. Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius VI mwaka 1783, mtakatifu na Papa Leo XIII mwaka 1881, hatimaye mwalimu wa Kanisa na Papa Yoh ...

Lets Talk About Love

Lets Talk About Love ni albamu ya mwimbaji Celine Dion iliyotolewa mnamo 18 Novemba 1997. Ni albamu yake ya tano inayotumia lugha ya Kiingereza, na ya 23 kwa jumla. Lets Talk About Love imeuza zaidi ya albamu milioni 31 kote duniani. Ndni yake, k ...

Lille

Lille ndiyo mji mkuu katika mkoa la Nord-Pas-de-Calais. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 1999, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18-43 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Lindi (mji)

Lindi ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Lindi ikiwa na halmashauri yake ya kujitegemea kama wilaya ya pekee. Msimbo wa posta ni 651. Lindi iko mdomoni wa mto Lukuledi takriban 150 km kaskazini ya Mtwara mwambaoni wa Bahari Hi ...

Liverpool Echo

Liverpool Echo ni gazeti linalochapishwa na kampuni ya Trinity Mirror katika eneo la Merseyside,Uingereza. Linachapishwa katika siku za Jumatatu mpaka Jumamosi, na ni gazeti la jioni la Liverpool na gazeti dada lake, Liverpool Daily Post ni gazet ...

Longido

Longido ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Longido katika Mkoa wa Arusha upande wa kaskazini wa Tanzania wenye postikodi namba 23501. Iko kwenye barabara katikati ya miji ya Arusha na Namanga mpakani mwa Kenya. Wakati wa sensa iliyofanyika ...

Longyearbyen

Longyearbyen ni makao makuu ya utawala wa Norwei kwenye visiwa vya Svalbard. Mji huu mdogo uko kwenye kisiwa cha Spitsbergen. Longyearbyen ni kati ya makazi ya kibinadamu ya kaskazini kabisa duniani. Kwa jumla kuna wakazi 1.800 wengi wao Wanorwei ...

Lushoto (mji)

Lushoto ni mji mdogo uliopo kwa kimo cha mita 1930 juu ya UB kwenye milima ya Usambara ni makao makuu ya wilaya ya Lushoto. Kiutawala ni kata moja tu na kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 28.190 waishio humo. ...

Mabilioni (Same)

Mabilioni ni kata ya Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.570 walioishi humo. Mabilioni iko kwenye bonde la mto Pangani. Mwaka 2015 iliteuliwa kwa "Mradi ...

Magamba Kwalukonge

Majiranukta kwenye ramani: 4.9501°S 38.1689°E  / -4.9501; 38.1689 Magamba Kwalukonge ni jina la kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 6.314 wais ...

Magindu

Magindu ni jina la kata ya Wilaya ya Kibaha Vijijini katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61211. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.991 walioishi humo. Magindu imepakana na Wilaya ya M ...

Magugu (Babati)

Magugu ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27201. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 32.774 waishio humo.

Majek Fashek

Majekodumni Fasheke ambaye jina lake maarufu ni Majek Fashek ni mwanamuziki wa Reggae toka Nigeria. Majek Fashek alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 1980 alipotokea kwenye kipindi cha televisheni nchini Nigeria. Baada ya hapo alifanya z ...

Maji ya Chai

Majiranukta kwenye ramani: 3°20′43.8″S 36°53′52.6″E Maji ya Chai ni kata ya Wilaya ya Meru katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23302. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 29.313 walioishi hu ...

Makambako

Makambako ni mji na wilaya katika Mkoa wa Njombe, Tanzania yenye postikodi namba 59113. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata 8 za Makambako zilikuwa na jumla ya wakazi 93.827 walioishi humo. Makambako ni njiapanda muhimu kusini mwa Ta ...