ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 88

Music Box

Music Box ni albamu ya nne, na albamu ya tatu ya studio kutoka kwa mwanamuziki wa nchini Marekani anayeimba miondoko ya R&B, Mariah Carey. Albamu hii ilitolewa na kupitia studio za Columbia records tarehe 32 Agasti 1993, katika Merekani ya ku ...

Phiona Mutesi

Phiona Mutesi ni mchezaji wa sataranji kutoka nchini Uganda. Hakuna uhakika alizaliwa tarehe gani lakini imekadiriwa kuwa mwaka 1993. Phioni ni binti aliyelelewa mjini Kampala katika mtaa wa vibanda wa Katwe. Alipokuwa na umri wa miaka 3 babake a ...

Mwada

Mwada ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27202. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16.139 waishio humo. Wakazi wa Mwada kiuchumi wanajihughulisha ...

Mwanzo (Biblia)

Kitabu cha Mwanzo ni kitabu cha kwanza katika Biblia. Kwa asili kimeandikwa kwa Kiebrania, na katika lugha hiyo kinaitwa בְּרֵאשִׁית, Bereshit, ambalo ni neno lake la kwanza, lenye maana ya" mwanzoni”. Pia ni kitabu cha kwanza cha Torati au: Tora ...

Mwarobaini

Mwarobaini ni mti unaofahamika kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa ya aina mbalimbali. Inaaminika kuwa mti huu umetoka huko India na Burma. Mwarobaini hushamiri zaidi katika nchi za tropiki una uwezo mkubwa wa kuhimili ukame. Jina" mwarobaini” lina ...

Mwasauya

Mwasauya ni kata ya Wilaya ya Singida Vijijini katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43209. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.032 waishio humo, lakini mpaka tarehe 8/9/2016 kata hii ...

Nagasaki

Nagasaki ni mji wa Japani kwenye kisiwa cha Kyushu mwenye wakazi 450.000. Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa tarehe 9 Agosti 1945 na bomu la nyuklia la Kimarekani kama mji wa pili katika historia baada ya Hiroshima. Bomu hilo liliua wat ...

Nairobi

Nairobi ni mji mkuu wa jamhuri ya Kenya na vilevile mojawapo ya kaunti za Kenya. Kulingana na sensa ya mwaka 2009, Nairobi ina wakaaji 3.138.295 katika eneo la km2 696 sq mi 269. Pamoja na vitongoji vyake, Nairobi ni mji wa 12 kwa ukubwa barani A ...

Nakuru

Nakuru ni mji wa Kenya ambao ni makao makuu ya kaunti ya Nakuru. Ukiwa na wakazi 307.990 ni mji mkubwa wa nne nchini Kenya baada ya Nairobi, Mombasa na Kisumu. Uko kwenye kimo cha m 1860 juu ya UB katika mashariki ya Bonde la Ufa la Afrika Mashar ...

Nana

"Nana" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 29 Mei, 2015 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Mr. Flavour kutoka nchini Nigeria. Huu ni wimbo wa 15 kutoka katika albamu ya A Boy From Tan ...

Nansimo

Nansimo ni kata ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31521. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12.714 waishio humo. Wakazi wake hujishughulisha zaidi na kilimo, ufugaji ...

Natasha Sinayobye

Natasha Sinayobye ni mwigizaji, mwanamitindo, mwimbaji na mnenguaji wa Uganda. Alijitokeza kama mwigizaji mkuu wa filamu ya Uganda Bala Sese pamoja na mpenzi wake wa zamani Michael Kasaija. Hivi sasa anacheza jukumu lake la Kaitesi Munyana kwenye ...

Ndembezi

Ndembezi ni kata ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45621. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12.724 waishio humo. Wakazi wengi wa kata hii ni Wanyamwezi na Wasukuma, ...

Kitabu cha Nehemia

Kinasimulia maendeleo na magumu ya Wayahudi katika kujenga upya mji wa Yerusalemu baada ya kurudi toka uhamisho wa Babeli. Kadiri ya wataalamu kadhaa habari hizo zinahusu miaka 12, tangu 445 KK hadi 433 KK, lakini wengine wana mtazamo tofauti. Ka ...

Never Gone

Never Gone ni albamu iliyongojewa kwa hamu iliyotolewa na Backstreet Boys. Ilikuwa itolewe mwaka wa 2004, lakini ikapelekwa mbele na kutolewa mnamo 14 Juni 2005 kwa ajili ya sababu zisizojulikana. Single ya kwanza kwenye albamu hii ilikuwa ni "In ...

Nevsehir

Nevsehir ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Nevsehir huko nchini Uturuki. Mji huu upo katika Mkoa wa Anatolia ya Kati katika Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi takriban 105.078 ambao wengine 67.864 wa ...

Nkaiti

Nkaiti ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27203. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14.150 waishio humo.

Noah Bennet

Noah Bennet, pia anajulikana kama mtu mwenye miwani ya rimu ya pembe au kwa kifupi Mr. Bennet, ni jina la kutaja muhusika wa kipindi cha maigizo ya ubunifu wa kisayansi wa katika kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Uhusika umechezwa na Jack Co ...

Northamptonshire Evening Telegraph

Northamptonshire Evening Telegraph ama kwa jina lake la utani la ET ni gazeti la mitaa ya upande wa kaskazini wa Northamptonshire likihusisha miji ya Kettering, Corby, Rushden na Wellingborough huko Uingereza. Makao yake yanapatikana katika jumba ...

Ntampata Wapi

Ntapata Wapi ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na Diamond Platnumz ikiwa kama single yake ya tatu kutolewa kwa mwaka wa 2014. Mwaka 2014, Diamond Platnumz amepata kutoa vibao vitatu ambavyo ni: Bumbum, Mdogomdogo na huu wa "Ntampata W ...

Nu-Mixx Klazzics

Nu-Mixx Klazzics ni remix albamu ya hayati 2Pac, ilitolewa mnamo mwaka wa 2003 kupitia studio ya Death Row Records. Albamu lina nyimbo kadhaa kutoka kwenye All Eyez on Me, ikiwa na nyimbo saidizi kadhaa na sauti za wasanii wapya waalikwa kama vil ...

Number One Remix

"Number One Remix" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 6 Januari, 2014 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Davido kutoka nchini Nigeria. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tanda ...

Julius Nyaisangah

Julius Nyaisangah 1 Januari 1960 - 20 Oktoba 2013 alikuwa mtangazaji maarufu wa redio na televisheni kutoka nchini Tanzania. Alifahamika zaidi kwa jina lake la kifupi kama Anko J. Awali alifanyakazi RTD, Radio One, na mwisho kabisa alikuwa mkurug ...

Nyakatende

Nyakatende ni kata ya Wilaya ya Musoma Vijijini katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31203. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19.341 waishio humo. Kata hiyo inaundwa na vijiji vya Kigera ...

Nyambono

Nyambono ni kata ya Wilaya ya Musoma Vijijini katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31216. Kata ya Nyambono inapakana na wilaya ya Bunda kwa upande wa mashariki, kata ya Suguti kwa upande wa kaskazini, Nyamlandilila kwa upande wa ma ...

Nyamtinga

Nyamtinga ni kata ya Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31307. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.203 waishio humo. Kata hii imeundwa na vijiji vinne 4 yaani Nyarombo ...

Nyamwaga

Nyamwaga ni kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31417. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13.917 waishio humo. Katika eneo la kata kuna migodi ya dhahabu ya North Ma ...

Nzega Mjini

Nzega Mjini ni la kata ya Wilaya ya Nzega katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45401. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 34.744 waishio humo. Kata ina kivutio cha bwawa la Uchama ambapo kun ...

Bimbo Odukoya

Abimbola Rosemary "Bimbo" Odukoya alikuwa mchungaji kutoka Nigeria na mhubiri wa runingaambaye alikuwa ameolewa na mwanzilishi wa Kanisa la chemchemi ya uzima, Taiwo Odukoya. Odukoya, mara nyingi aliitwa "Mchungaji Bims," alipokea zaidi ya tuzo 6 ...

Ololosokwan

Ololosokwan ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania, yenye postikodi namba 23709. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.557. Kata hiyo imepakana na jamhuri ya Kenya kwa upande wa kask ...

On the 6

On the 6 ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji-mwandishi Jennifer Lopez, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 1 Juni 1999. Ilkuwa namba 8 kwenye chati ya Billboard 200 mnamo 19 Juni 1999, ikipata mauzo ya nakala 112.000 kwenye wiki ya kwanza. Ilib ...

Oral Fixation Vol. 2

Oral Fixation Vol. 2 ni albamu ya pili ya Kiingereza kuoka kwa muimbaji wa Kolombia aitwaye Shakira, iliyotolewa tarehe 28 Novemba 2005 na Epic Records. Kulingana na tovuti yake na Epic Records, albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni 8 kote du ...

Eneo Bunge la Othaya

Eneo Bunge la Othaya ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Eneo Bunge la Othaya ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo Bunge la Othaya lina jumuisha taarafa ya Othaya ya Wilaya ya Nyeri. Eneo bungehili lilianzishwa kwa ...

Parimatch

Ilianzishwa mnamo 1996, Parimatch ni kampuni kubwa ya kimataifa ya kubashiri inayofanya kazi mtandaoni pamoja na kwenye maduka. Makao yake makuu yapo Limassol, Kupro. Parimatch ina vibali vya kuendesha michezo ya kubashiri kitaifa na kimataifa. P ...

Paschaline Alex Okoli

Paschaline Alex Okoli ni mwigizaji wa Nigeria ambaye anajulikana sana kwa jukumu lake kama Cordelia katika mchezo wa kucheza uliopewa jina Shajara ya Jenifa.

Peace Corps

Peace Corps ni taasisi ya serikali ya Marekani inayotuma kutuma wananchi wa kujitolea katika nchi za nje kusaidia mambo mbalimbali. Wanaojitolea au voluntia wa Peace Corps, ni raia wa Marekani walio tayari kufanya kazi nje ya nchi katika zoezi kw ...

Penguin (Biskuti)

Biskuti ya Penguin ni aina za biskuti zilizopakwa chokoleti ndani na nje. Zinatayarishwa na sehemu ya kampuni ya United Biscuits ya McVities. Biskuti za Tim Tam zilizotayarishwa na Arnotts,Australia ilipikwa kwa njia moja na zile za Australia na ...

Peter Damian

Petro Damiani alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Wabenedikto wakaapweke wa Camaldoli nchini Italia. Mmonaki halisi na mwenye msimamo pengine mkali, alitoa ushuhuda wazi wa umuhimu wa kumpa Mungu nafasi ya kwanza na kulenga utakatifu bila kupatana n ...

Queen Nwokoye

Queen Nwokoye ni mwigizaji wa Nigeria. Anajulikana sana kwa kuigiza kama mhusika katika filamu inayoitwa "Chetanna" mwaka 2014 ambayo ilimpatia uteuzi wa" Mwigizaji Bora "katika Tuzo za 11 za Filamu za Afrika.

Rachael Okonkwo

Rachael Okonkwo anatokea Ukpata huko Uzo Uwani katika jimbo la Enugu, iliyopoto kusini mashariki mwa Nigeria. Alianza kuigiza akiwa mtoto, lakini kutokana na ukosefu wa uhusika katika filamu, alihamia katika uchezaji wa muziki. Alijiunga katika s ...

Sergei Rachmaninoff

Sergei Vasilievich Rachmaninoff alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi mashuhuri kutoka nchini Urusi. Huyu aliwahi kuwa bingwa wa muziki wa clasiki katika Ulaya kwa kipindi cha Romatic.

Rais wa Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali chini ya katiba ya Afrika Kusini. Kuanzia mwaka 1961 hadi 1994, mkuu wa nchi alikuwa anaitwa Rais wa Nchi. Rais anachaguliwa na wabunge wa kitengo cha chini National Assembl ...

Ramadhani (Njombe)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Ramadhani Ramadhani ni jina la kata ndani ya Mji wa Njombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania yenye postikodi namba 59107. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16.3 ...

Rangwi

Rangwi ni jina la kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 14.936 waishio humo.

Rau

Rau ni kata ya Moshi Mjini katika Mkoa wa Kilimanjaro,yenye postikodi namba 25103 Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9.137 walioishi humo.

Santha Rama Rau

Aliolewa na Faubion Bowers1951 na akapata mwana mmmoja,Jai Peter Bowers katika mwaka wa 1952. Akapewa talaka katika mwaka wa 1966. Katika mwaka wa 1970, Rama Rau alifunga ndoa na Gurdon B, hakujifungua watoto. Faubion Bowers alikufa mwezi wa Nove ...

Raymond Rushabiro

Raymond Rushabiro ni mwigizaji wa filamu na pia muigizaji wa jukwaa. Alipata mafanikio kwenye uigizaji wake kupitia jukwaa maarufu la Uganda liitwalo Ebonies na akiwa na Ebonies alionekana kwenye maigizo yao mbalimbali. Pia Rushabiro alionekana k ...

Rhotia

Rhotia ni kata ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23603. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 24.268 walioishi humo.

Rhythm Divine

Rhythm Divine ni jina la kutaja single ya kwanza iliyotolewa na Enrique Iglesias kutoka katika albamu yake ya lugha ya Kiingereza, Enrique. Kibao hiki kilitungwa na kutayarishwa na kikosi kilekile kilichotayarisha kibao chake kikali cha "Bailamos ...

Rick Aviles

Rick Aviles alikuwa mchekesha-wa-wima na mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anakumbukwa sana kwa kucheza kwake uhusika wa Willie Lopez kutoka katika filamu ya Ghost.