ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 9

Sulwe

Kisa hiki kinamfuata msichana ambaye anaitwa Sulwe. Sulwe ana wasiwasi kutokana na rangi ya ngozi yake. Rangi ya ngozi yake ni nyeusi zaidi kuliko wanafamilia wao na wanafunzi wenzake. Sulwe anataka rangi ya ngozi yake isiwe nyeusi. Kwa hivyo, ye ...

Makumbusho ya kutokutambua uovu

Katika fasihi ya Kituruki, waandishi wa mashairi mbalimbali wametumia muda wao kutaja sifa na uzuri wa jiji la Istanbul. Kuna waaandishi wengi wa vitabu vya historia, mapenzi na hadithi mbalimbal ambao pia hawakusita kuusifia mji huu wa kimataifa ...

Elias Canetti

Elias Canetti alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Bulgaria. Baadaye aliishi nchini Uingereza. Aliandika riwaya na pia tamthiliya; maandishi yake yote yalikuwa katika lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 1981 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Günter Grass

Günter Wilhelm Grass alikuwa mchoraji, mchongaji na mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa ameandika riwaya na insha, na pia tamthiliya na mashairi. Mwaka wa 1999 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Toni Morrison

Toni Morrison alikuwa mwandishi wa kike nchini Marekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 1993. Alizaliwa kwa jina la Chloe Anthony Wofford tarehe 18 Februari 1931 huko Lorain, Ohio - 2019 kama mtoto wa pili wa familia ya Waamerika w ...

Saint-John Perse

Saint-John Perse alikuwa mwandishi na mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marie-René-Auguste-Aléxis Saint-Léger Léger. Hasa aliandika mashairi. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Salvatore Quasimodo

Salvatore Quasimodo alikuwa mwandishi maarufu kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika mashairi. Pia alitafsiri kwa Kiitalia tamthiliya na mashairi kutoka lugha nyingine. Mwaka 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Frans Eemil Sillanpää

Frans Eemil Sillanpää alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Finland. Anajulikana hasa kwa riwaya zake, k.m. "Urithi Duni" au "Usingizi wa Ujanani". Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Haiku

Haiku ni aina ya shairi ambayo huandikwa hasa katika nchi ya Japani. Matsuo Basho ndiye mwanzilishi wa aina hii ya kipekee ya shairi. Hata hivyo, nchi nyingine mbali na Japani zimeanza kuandika haiku. Malenga toka sehemu nyingi ikitia ndani Kenya ...

Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu

Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu inayojulikana kwa kifupi chake cha ISBN ni namba ya kipekee ya utambulisho wa vitabu viuzwavyo kibiashara. Inasaidia kujua kwa uhakika ni kitabu kipi kinachoagizwa na mteja na kutumwa kutoka wachapishaji kwenda ...

Home on the Range (filamu ya 2004)

Home on the Range ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2004 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures mnamo tar. 2 Aprili 2004, na ilipewa jina la wimbo wa muziki wa country maarufu kama ...

Magnificent Seven

Magnificent Seven ni filamu ya mwaka 1960. Ni moja kati ya filamu za western iliyoongozwa na mwongozaji wa filamu bwana John Sturges. Filamu inazungumzia kundi la watu wanaoenda kukodi wataalamu wa kupambana kwa kutumia silaha kwa lengo la kuwali ...

Once Upon a Time in the West

Once Upon a Time in the West na ikaja kutolewa tena nchini Marekani mnamo mwezi Mei ya mwaka wa 1969. Ni utunzi wa filamu aina ya spaghetti western iliyoongozwa na Sergio Leone.

Return of Sabata

Return of Sabata ni filamu ya Spaghetti Western ya mwaka wa 1971. Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Hii ni filamu ya tatu kutoka katika mfululizo wa filamu za Sabata, inaonyesha kuwa Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina lilelile la Sabata, ...

Sabata

Sabata, ni filamu ya Spaghetti Western iliyotolewa mnamo 1969. Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Ni toleo la kwanza la Mfululizo wa Filamu za Sabata ziilizotengenezwa na Bw. Parolini, na kuchezwa na nyota Lee Van Cleef akiwa kama jina la ...

Trilojia ya filamu za Sabata

Trilojia ya Sabata ni jina la kutaja aina ya mifululizo ya filamu za Spaghetti Western zilizotolewa mnamo mwaka wa 1969 na 1971. Filamu zilioongozwa na Bw. Gianfranco Parolini na kuchezwa na nyota Lee van Cleef katika sehemu ya kwanza ya Sabata, ...

20th Century Fox

20th Century Studios ni kampuni kubwa ya Kimarekani inayo-jishughulisha na masuala ya utengenezaji wa filamu. Studio ipo mjini Century City katika eneo la Los Angeles, California, Marekani, yaani magharibi mwa Beverly Hills. Studio hii ni kampuni ...

3 Idiots

3 Idiots ni filamu ya mwaka 2009 kutoka Uhindi ambayo inahusu vijana watatu ambao ni Farhan, Raju na Ranchoddas ambao walijiunga katika chuo cha uhandisi kiitwacho Imperial College of Engineering kilichopo jijini Delhi. Farhan mwenyewe alitaka ku ...

A Hotel Called Memory

A Hotel Called Memory ni filamu ya Nigeria ya Nollywood ya mwaka 2017 iliyoongozwa na Akin Omotoso. Inajulikana kwa kukosa mazungumzo, ikijulikana zaidi kama filamu ya kwanza ya kinigeria ya kimyakimya. Filamu hii imefanyika sehemu mbalimbali iki ...

Abuja Connection

Abuja Connection ni filamu ya Nollywood ya mwaka 2003 iloongozwa na Michael Ezeanyaeche na kuchezwa na Clarion Chukwura-Abiola. Filamu ina sehemu mbili Abuja Connection sehemu ya kwanza na Abuja Connection sehemu ya pili, zote zikiwa zimeongozwa ...

Ant-Man (filamu)

Ant-Man ni filamu ya Amerika ya Kaskazini iliyotengenezwa na Marvel Studios. Ni filamu ya kumi na mbili kwenye Marvel Cinematic Universe. Filamu hiyo ilielekezwa na Peyton Reed, na picha iliyoonyeshwa na timu za uandishi za Edgar Wright na Joe Co ...

Avengers: Age of Ultron

Avengers: Age of Ultron ni filamu ya Marekani ya mwaka 2015 iliyotengenezwa na kusambazwa na Marvel Studios. Ni safu inayofuata baada ya filamu ya The Avenger ya 2012 ni filamu ya 11 katika Marvel Cinematic Universe. Filamu hiyo iliandikwa na kuo ...

Avengers: Endgame

Avengers: Endgame ni filamu iliyotolewa mnamo mwaka 2019 na kampuni ya kutengeneza filamu ya nchini Marekani iitwayo Marvel studios, huku ikisambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures. Filamu hii imeundwa kulingana na visa vilivyoandikwa kwe ...

Avengers: Infinity War

Avengers: infinity war ni filamu iliyoachiwa mwaka 2018 kama mwendelezo wa filamu za Marvel Studios iliyosambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures. Filamu hii ilisimamiwa na Anthony na Joe Russo, na kuandikwa na Christopher Markus na Stephe ...

Baahubali 2

Baahubali 2 ni filamu ya utendi ya India ya 2017 iliyoongozwa na S. S. Rajamouli na imeandikwa na baba yake K. V. Vijayendra Prasad. Ilitolewa na Shobu Yarlagadda na Prasad Devineni chini ya bendera Arka Media. Imetolewa mnamo 28 Aprili 2017, muh ...

Baahubali The beginning

Baahubali: The beginning ni filamu ya utendi ya India ya mwaka 2015 iliyoongozwa na S. S. Rajamouli. Filamu hiyo ilitengenezwa na Shobu Yarlagadda na Prasad Devineni. Filamu hii pia ilibuniwa katika Kimalayalam na Kihindi. wahusika wakuu wa filam ...

Baal Veer

Baal Veer ni filamu ya India ambayo inaelezea Timnasa na maajenti wake na inamfanya Vivan "Junior Baalveer" mpya. Wote Baalveers, fairies, na Shaurya huvuka vizuizi vyote na kupigana na Timnasa, kwa kukomesha mipango yake kila wakati. Timnasa ali ...

Bang Bang!

Bang Bang! ni filamu ya vichekesho ya kihindi ya mwaka 2014, iliyoongozwa na Siddharth Anand, iliyoandikwa na Abbas Tyrewala na Sujoy Ghosh na iliyotengenezwa na Fox Star Studios. Filamu hiyo ni kumbukumbu rasmi ya filamu ya mwaka wa sita ya Holl ...

Boonie Bears

Boonie Bears ni filamu ya uigizaji ya vichekesho ya familia ya Kichina iliyoongozwa na Ding Liang na Liu Fuyuan. Ilitolewa mwaka 2015. Ingawa ilikosolewa na watazamaji wengine wa China kwa kufanana kwake na Walt Disneys Frozen. kipindi hicho kina ...

Boyz n the Hood

Boyz n the Hood ni filamu ya hood ya mwaka wa 1991, ambayo imetungwa na kuongozwa na John Singleton. Kwenye filamu anacheza nyota Ice Cube, Cuba Gooding, Jr., Morris Chestnut, Nia Long, Angela Bassett, Regina King, na Laurence Fishburne. Filamu i ...

Captain America: Civil War

Captain America: Civil War ni filamu ya superhero ya Amerika ya Kaskazini inayotokana na tabia ya Marvel Comics Nahodha wa Amerika, iliyotengenezwa na Marvel Studios na kusambazwa na Picha za Walt Disney Studios Motion. Ni njia inayofuata ya Naho ...

Chandrashekhar (Tamthilia)

Chandrashekhar ni mchezo wa kuigiza wa kihistoria unaonyesha maisha ya mpigania uhuru wa taifa la India Chandra Shekhar Azad. Ilichezwa kwa mara ya kwanza katika kituo cha runinga cha Star Bharat tarehe 12 Machi 2018, ni tamthilia iliyoandaliwa n ...

Dilwale (2015)

Dilwale ni filamu ya Uhindi ya mwaka 2015 yenye mapenzi na ngumi iliyosimamiwa na Rohit Shetty, ilioandikwa na Yunus Sajawal na Sajid-Farhad, imetolewa na Rohit Shetty na Gauri Khan, chini ya Red Chillies Entertainment na Rohit Shetty productions ...

Doctor Bello

Doctor Bello ni filamu ya mwaka 2013 ya nchini Nigeria iliyoongozwa na Tony Abulu na waigizaji wake wakuu wakiwa ni Isaiah Washington, Vivica A. Fox, Jimmy Jean-Louis, Genevieve Nnaji, Stephanie Okereke, Justus Esiri, Ebbe Bassey na Jon Freda.

Drona (filamu ya 2008)

Drona ni filamu ya kihindi ya mwaka 2008 iliyoongozwa na Goldie Behl. Wahusika wakuu katika filamu hii ni Abhishek Bachchan, Priyanka Chopra, Kay Menon na Jaya Bachchan.

El Chapo

El Chapo ni safu ya runinga ya uhalifu, iliyotayarishwa na Netflix na Univision, juu ya maisha ya Joaquín "El Chapo" Guzmán. Mfululizo ulionyeshwa mnamo Aprili 23, 2017 kwenye Univision kabla ya kurushwa kwenye Netflix ulimwenguni kote. Ni nyota ...

Enter the Dragon

Enter the Dragon) pia inajulikana kama. The Deadly Three, filamu halisi ilkuwa inaitwa Blood and Steel, ni filamu ya mwaka 1973 iliotolewa na kusambazwa na Warner Brothers martial arts film. Filamu ilichezwa na Bruce Lee, John Saxon na Jim Kelly. ...

Filamu za Hood

Filamu za Hood ni aina ya filamu yenye asili ya Marekani hasa mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990. Ndani yake huhusisha hasa mambo ya mjini kama vile muziki wa hip hop, wahuni wa mtaani, ubaguzi wa rangi, umaskini, na matatiz ...

Foolish Age

Foolish Age ni filamu ya Kitanzania iliyotolewa mwaka 2013. Iliandaliwa na Elizabeth Michael. Filamu hii inachanganua ushawishi hasi wanaokutana nao vijana walio katika balehe.

Frozen (filamu ya 2013)

Frozen ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 2013 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures. Hii ni filamu ya 53 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.

Going Bongo

Going Bongo ni filamu ya vichekesho iliongozwa na Dean Matthew Ronalds na kutengenezwa na Brian Ronalds mnamo mwaka 2015. Nyota wa filamu hii ni Ernest Napnoleo akiwashirikisha Emanuela Galliussi, Nyokabi Gethaiga na Ashley Olds. Mandhari ya fila ...

I Am Frankie

I Am Frankie ni kipindi cha televisheni ambacho huonyeshwa kwenye chaneli ya Nickelodeon ambacho kinahusu mwanasayansi mmoja aitwaye Sigourney anayefanya kazi kwenye kampuni ya EGG ambaye amemtengeneza androidi aitwaye Frankie. Lakini muongozaji ...

Iris

Iris ni mfululizo wa maigizo ya televisheni ya Korea ya Kusini ya mwaka 2009. Magwiji wake ni Lee Byung-hun, Kim Tae-hee, Jung Joon-ho, Kim Seung-woo, Kim So-yeon na T.O.P Choi Seung-hyun wa Big Bang. Mpango huo unahusu marafiki wawili bora kutok ...

Iron Man (filamu)

Iron Man ni filamu juu ya shujaa ambaye huvaa suti ya silaha. Aliundwa na Marvel Comics na kuonekana katika vitabu vya comic. Yeye pia ni katika sinema tano katika ulimwengu wa ajabu wa Cinematic, ikiwa ni pamoja na Iron Man, Iron Man 2, The Aven ...

Iwalewa

Iwalewa ni filamu ya mwaka 2006 ya nchini Nigeria iliyotayarishwa na Khabirat Kafidipe na dada yake Aishat Kafidipe, na kuongozwa na Tunde Olaoye. Walioangarisha filamu hiyo ni Remi Abiola na Femi Branch.

Jack Reacher (filamu)

Jack Reacher ni filamu ya kusisimua ya Marekani ya mwaka 2012 iliyoandikwa na kuongozwa na Christopher McQuarrie, kulingana na riwaya ya Lee Childs 2005 Risasi Moja. Nyota wa filamu Tom Cruise kama mhusika mkuu, na Rosamund Pike, David Oyelowo, R ...

Judwaa

Judwaa ni filamu ya vichekesho ya Kihindi ya mwaka 1997, iliyoongozwa na David Dhawan, iliyotayarishwa na Sajid Nadiadwala na muhusika mkuu katika filamu hii ni Salman Khan aliecheza kama Raja na Prem. Filamu hii ilitolewa munamo 7 februari 1997. ...

Judwaa 2

Judwaa 2 ni filamu ya vichekesho ya Kihindi ya mwaka 2017 iliyoongozwa na David Dhawan. muhusika mkuu katika filamu hii ni Varun Dhawan akicheza mapacha Raja na Prem na wengine ni Jacqueline Fernandez akicheza kama Alishka Bakshi, Taapsee Pannu a ...

Kal Ho Naa Ho

, Kal Ho Naa Ho, ni filamu ya Kihindi ya mwaka 2003 iliyoongozwa na Nikkhil Advani. Waigizaji wa filamu hii ni Jaya Bachchan, Shah Rukh Khan, Saif Ali Khan, na Preity Zinta, na Sushma Seth, Reema Lagoo, Lillete Dubey, na Delnaaz Paul katika majuk ...

Kara Sevda

Kara Sevda ni mfululizo wa tamthilia ya Uturuki iliyotengenezwa na Ay Yapım ambayo ilitangulia kwenye Runinga ya Star Oktoba 14, 2015. Msimu wa kwanza una vipindi 35 na finale ya msimu iliyorushwa Juni 15, 2016. Msimu wa pili ulitangulia Septemba ...