ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 90

Vitongoji (Chakechake)

Vitongoji ni jina la kata ya Wilaya ya Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania yenye postikodi namba 74212. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 5.916 waishio humo.

Viwandani (Dodoma)

Viwandani ni jina la kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye msimbo wa posta 41102. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4883 waishio humo.

Vuga

Vuga ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 11.128 waishio humo.

Vugiri

Vugiri ni jina la kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 9.772 waishio humo.

Vumilia

Vumilia ni jina la kata ya Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45505. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.258 waishio humo.

Walawi (Biblia)

Kitabu cha Walawi ni kitabu cha tatu katika Biblia ya Kiebrania na katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo, kikifuata kile cha Mwanzo na kile cha Kutoka. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa his ...

Wambaa

Wambaa ni jina la kata ya Wilaya ya Mkoani katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania yenye postikodi namba 74108. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 2.603 waishio humo.

Samuel Wanjiru

Samuel Kamau Wanjiru alikuwa mwanariadha wa Kenya ambaye mbio zake maalumu zilikuwa mbio za masafa marefu akawa bingwa katika umri mdogo na kuvunja rekodi ya dunia ya nusu marathon alipokuwa na umri wa miaka 18. Mwaka 2007, alivunja rekodi ya kuk ...

Wara

Wara ni jina la kata ya Wilaya ya Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzaniayenye postikodi namba 74206. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 5.599 waishio humo.

Wariku

Wariku ni kata ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31510. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9.900 waishio humo.

Wawi

Wawi ni jina la kata ya Wilaya ya Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania yenye postikodi namba 74209. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 6.726 waishio humo.

Wela

Wela ni jina la kata ya Wilaya ya Nzega katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45414. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7.031 waishio humo.

Eneo Bunge la Westlands

Eneo bunge la Westlands ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nane ya Mkoa wa Nairobi. Lipo kwenye sehemu ya magharibi na kaskazini magharibi mwa maeneo ya Nairobi. Eneo bunge la Westlands lina mipaka sawa na Taarafa ya We ...

Wete

Wete ni jina la wilaya katika mkoa wa Kaskazini Pemba uliopo kaskazini ya kisiwa cha Pemba yenye postikodi namba 75100. Ikiwa ina wakazi 107.916 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni mji mkubwa kwa Pemba pia makao makuu ya Mkoa w ...

What About Now

What About Now ni single ya saba kutoka kwa bendi ya Marekani inayoitwa Daughtry. Mashairi ya wimbo huu yaliandikwa na Ben Moody, akishirikiana na David Hodges wate wakiwa wanachama wa Evanescence pamoja na Josh Hartzle ambaye amemuoa Amy Lee mwi ...

When You Tell Me That You Love Me

When You Tell Me That You Love Me ni wimbo uliotoka kama single kwa mwaka 1991 kutoka kwa mwanamuziki wa nchini Marekani anayeitwa Diana Ross. Baadae wimbo huu uliweza kurudiwa kuimbwa na wanamuziki mbalimbali. "When You Tell Me That You Love Me" ...

White Plains, New York

White Plains ni mji wa Marekani katika jimbo la New York. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 53.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 65 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Widal Foundation

Widal Foundation ni msingi wa shirika la umma lililoundwa tangu Septemba 2018 na seneta wa Kongo Guy Loando Mboyo pamoja na mkewe Déborah Linda Loando.

Wiki ya Uhuru wa Maoni

Wiki ya Uhuru wa Maoni ni adhimisho la kitaifa la uhuru wa maoni na wa kujieleza katika nchi ya Marekani. Wiki hiyo huadhimishwa muda wote wa wiki ya tatu ya mwezi Oktoba kila mwaka. Kulingana na waandaaji, malengo ya wiki ya uhuru wa maoni ni ku ...

WikiFundi

WikiFundi ni programu ambayo inatoa mazingira ya kuhariri Wikipedia bila kutumia mtandao wa intaneti. WikiFundi inaruhusu watu kuchangia kuandika makala za Wikipedia hata wakati hakuna mtandao au umeme. Inawezesha watu, makundi na jumuiya kujifun ...

Wilaya ya Arusha Vijijini

Halmashauri ya Arusha ni halmashauri mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23200. Ilianzishwa kwa kutenga maeneo ya wilaya ya Arumeru yanayozugunguka Jiji la Arusha. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa halmashauri ya Arusha ...

Wilaya ya Babati Vijijini

Wilaya ya Babati Vijijini ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27200. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 312.392 waishio humo. Eneo la mji wa Babati limepewa halma ...

Wilaya ya Bagamoyo

Wilaya ya Bagamoyo ni wilaya mojawapo za Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61300. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 230.164, waliongezeka hadi kuwa 311.740 wakati wa sensa wa mwaka 2012. ...

Wilaya ya Buhigwe

Buhigwe ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47500, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Kufuatana na sensa ya 2012 idadi a wakazi ilikuwa watu 254.342. Makao makuu ya wilaya yako Buhigwe.

Wilaya ya Busekelo

Wilaya ya Busekelo ni kati ya wilaya mpya nchini Tanzania zilizoanzishwa kuanzia mwaka 2013. Wilaya hii ilimegwa kutoka kwa Wilaya ya Rungwe ikiwa ni wilaya ya Mkoa wa Mbeya. Wilaya inapakana na Wilaya ya Kyela upande wa kusini, Wilaya ya Rungwe ...

Wilaya ya Chake Chake

Wilaya ya Chake ni wilaya moja ya Mkoa wa Pemba Kusini Tanzania yenye postikodi namba 74200. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 97.249. Makao makuu yapo mjini Chake Chake.

Wilaya ya Chamwino

Kwa maana mengine ya jina hilo angalia Chamwino Chamwino ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Dodoma Tanzania yenye postikodi namba 41400, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2007. Idadi ya wakazi wa wilaya hii ilikuwa watu wapatao 19175 wakati ...

Wilaya ya Hai

Wilaya ya Hai ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hai ilihesabiwa kuwa 210.533. Katika wilaya hiyo wakazi wengi ni Wachaga ambao huzungumza lahaja tofauti, kama Wamachame na Wamasama. WI ...

Wilaya ya Hanang

Wilaya ya Hanang ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara Tanznia yenye postikodi namba 27300. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hanang ilihesabiwa kuwa 275.990 waishio humo. Hanang imepakana na wilaya za Mbulu na Babati upande wa ...

Wilaya ya Handeni Vijijini

Handeni Vijijini ni moja kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika pwani ya Tanzania. Makao makuu ya wilaya yako Handeni mjini. Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 276.646 walioishi katika kata 20 za wilaya. Mwaka 2012 eneo la mji wa Handeni ilitengwa n ...

Wilaya ya Igunga

Wilaya ya Igunga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora yenye postikodi namba 456. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 399.727

Wilaya ya Itigi

Wilaya ya Itigi ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta inayoanza kwa 434. Mnamo mwaka 2015, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikadiriwa kuwa 123.515. Makao makuu yako Itigi mjini. Maeneo ya wilaya hiyo yalitengwa na Wilaya ya Many ...

Wilaya ya Kakonko

Kakonko ni wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47700, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Eneo lake limemegwa kutoka wilaya ya Kibondo na lina ukubwa wa kilomita za mraba 2.209. Idadi ya wakazi ilikuwa watu 167.555 waka ...

Wilaya ya Kalambo

Kalambo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Rukwa yenye postikodi namba 55400, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Makao makuu ya wilaya yako Matai. Mkuu wa wilaya wa kwanza alikuwa Moshi Changa. Wilaya limepokea jina kutoka mto Kalambo ...

Wilaya ya Kaliua

Wilaya ya Kaliua ni moja ya wilaya katika Mkoa wa Tabora, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kutoka maeneo ya wilaya ya Urambo. Postikodi zake huanza kwa namba 457.

Wilaya ya Karatu

Wilaya ya Karatu ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23600. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Karatu ilihesabiwa kuwa 230.166.

Wilaya ya Kasulu

Wilaya ya Kasulu ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma yenye msimbo wa posta 47300. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425.794 Tangu mwaka 2012 eneo lake limegawiwa kati ya wilaya za Kasulu Vijijini na Kas ...

Wilaya ya Kasulu Vijijini

Wilaya ya Kasulu Vijijini ni wilaya ya Mkoa wa Kigoma iliyoanzishwa 2012 kutoka kwa Wilaya ya Kasulu ya awali. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425.794. Eneo lake ni 7.196.12 km² na msongamano wa watu ni ...

Wilaya ya Kati, Unguja

Wilaya ya Kati ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72200 Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 76.346 ambapo 38.538 ni wanaume na 37.808 ni wanawake.

Wilaya ya Kibaha Vijijini

Wilaya ya Kibaha Vijijini ni wilaya katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61200. Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kibaha ya awali. Mwaka 2012 wilaya hii iligawiwa kuwa wilaya mbili za pekee, Kibaha Vijijini pamoja na ile ya Kibaha ...

Wilaya ya Kibiti

Wilaya ya Kibiti ni wilaya mpya katika Mkoa wa Pwani iliyoanzishwa mnamo mwaka 2015 yenye postikodi namba 61800. Maeneo yake yalitengwa na Wilaya ya Rufiji. Kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikadiriwa k ...

Wilaya ya Kibondo

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa Kibondo Wilaya ya Kibondo ni wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47400. Mwaka 2012 maeneo kadhaa yalitangwa na wilaya hii kuunda wilaya ya Kakonko. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi y ...

Wilaya ya Kilindi

Kwa maana mbalimbali ya jina hili tazama hapa Kilindi Wilaya ya Kilindi ni kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye postikodi namba 74208. Imepakana na wilaya ya Handeni upande wa mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro upande wa magharibi ...

Wilaya ya Kilosa

Kwa maana mengine ya jina angalia hapa Kilosa Wilaya ya Kilosa ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 674. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489.513.

Wilaya ya Kisarawe

Wilaya ya Kisarawe ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61400. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 95.614. Makao makuu ya wilaya yapo kwenye mji wa Kisarawe.

Wilaya ya Kisii Kati

Wilaya ya Kisii ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza, Kusini Magharibi mwa Kenya, hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Kisii ambao una wakazi Wakisii. Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kisii.

Wilaya ya Kondoa Vijijini

Wilaya ya Kondoa Vijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma Tanzania yenye postikodi namba 417000. Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa ilihesabiwa kuwa 269.704. Ndani ya w ...

Wilaya ya Kongwa

Wilaya ya Kongwa ni wilaya moja ya Mkoa wa DodomaTanzania yenye postikodi namba 41500. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kongwa ilihesabiwa kuwa 309.973.

Wilaya ya Korogwe Vijijini

Korogwe Vijijini ni moja kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika pwani ya Tanzania. Makao makuu ya wilaya yako Korogwe mjini. Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 242.038 walioishi katika kata 20 za wilaya. Misimbo ya posta ya wilaya hii huanza kwa tar ...

Wilaya ya Kusini, Unguja

Wilaya ya Kusini ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72100. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 39.242 ambapo 19.342 ni wanaume na 19.900 ni wanawake.