ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 91

Boga

Boga ni tunda la mboga lenye umbo la kibuyu katika familia Cucurbitaceae. Matunda haya hutoka kwenye spishi mbalimbali katika jenasi Coccinia, Cucurbita na Momordica. Maboga huwa na rangi ya njano au rangi ya machungwa na huwa na mikunjo kuanzia ...

Korosho

Korosho ni mbegu wa mkorosho ni mmea wa jamii ya mimea itoayo maua ya familia ya Anacardiaceae. Korosho yenyewe inakua pamoja na tunda linaloitwa bibo ilhali mbegu unaonekana nje ya bibo. Mmea huu ni wa asili ya kaskazini mashariki mwa Brazili, l ...

Ndimu

Ndimu ni tunda la mndimu, mti wa familia ya michungwa. Umbo lake ni mduara wenye rangi ya kijani mpaka njano, na kipenyo cha sm 3-6. Lina ladha ya uchachu kwa sababu ya asidi ndani yake. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye chakula na ...

Papai

Papai ni tunda la mpapai, mti wa familia Caricaceae. Una asili ya Amerika ya Kusini na ya Kati na unakuzwa huko Meksiko, karne kadhaa kabla ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko Amerika. Ni mti mrefu wenye shina la urefu wa mita 5 mpaka 10, wenye ...

Pera

Kwa maana mengine ya jina hili angalia Pera maana Pera ni tunda la mpera. Kulingana na aina ya mpera, tunda lina urefu wa sentimita 4 hadi 12. Ladha inaweza kufanana kiasi na ganda la limau lakini si kali vile. Ngozi ya tunda inaweza kuwa nene au ...

Zabibu

Zabibu ni tunda la mzabibu. Zabibu moja ni fuu inakua pamoja na fuu nyingine 6 - 300 kwenye mshikano au shazi kama ndizi. Zabibu hupatikana kwa rangi mbalimbali hasa kijani, njano, buluu, nyeusi na namna za nyekundu. Zabibu zinajulikana hasa kama ...

Mgagani

Migagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales. Mgagani wa kawaida, Cleome gynandra, huliwa takriban kila mahali pa Afrika na katika mabara mengine pia. Wanawake wengi wenye mimba au waliozaa h ...

Mlenda

Milenda ni mimea ya jenasi Corchorus katika familia Malvaceae. Majani yao huliwa kama mboga yenye kuleta afya na hupikwa kwa mchanganyiko wa mimea mbalimbali kama bamia, mboga za majani na karanga; pia huliwa kwa ugali.

Mfonio

Mfonio ni aina ya nafaka yenye punje ndogo sana unaopandwa katika sehemu za Afrika ya Magharibi. Kuna spishi mbili: mfonio mweupe na mfonio mweusi. Nafaka hii hupendwa katika maeneo makavu yenye mvua isiyotabirika, kwa sababu inakomaa ndani ya wi ...

Mpunga

Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi. Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida. Mpunga ni chanzo cha chakula kwa watu wengi duniani. Punje mbegu zake ni nafaka na huitwa mc ...

Mpunga wa kiasia

Mpunga wa kiasia ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za mpunga zikisafishwa huitwa mchele na mchele ukipikwa ni chakula cha wali. Wali ni chakula muhimu cha watu katika sehemu nyingi za dunia hasa Asia lak ...

Mtefi

Mtefi ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika milima ya Uhabeshi. Sikuhizi hupandwa sana katika Uhabeshi na Eritrea na kidogo katika Uhindi na Australia. Mbegu zake zinaitwa matefi na hutumika kwa kutengeneza injera.

Muhindi

Muhindi pia: mhindi ni mmea wa familia ya nyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu za mhindi ni mahindi ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia pamoja na Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kusini.

Mwele

Mwele au mlezi ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika Afrika. Sikuhizi hupandwa mahali pengi katika kanda kavu za dunia. Mbegu zake zinaitwa mawele au malezi.

Ngano

Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au ba ...

Oti

Oti ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za oti ni nafaka ambayo ni chakula cha wanyama na pia cha watu katika nchi hasa za Ulaya na pia penginepo nje ya kanda ya tropiki. Tofauti na nafaka nyingi punje zak ...

Shuke

Kwa matumizi ya neno hili kutaja kundinyota angalia Mashuke Shuke pia: suke, ing. ear ni sehemu ya shina ya mmea wa nafaka penye mbegu, kama vile mtama, mpunga au ngano penye mbegu. Kwahiyo ni sehemu yenye zao la nafaka. Shuke inaanza kama fungu ...

Bia

Bia ni kinywaji cha pombe kinachotengenezwa kwa maji, nafaka hasa shayiri, hopi kwa ladha na hamira kama chachu. Kiwango cha alikoholi ndani yake ni kati ya asilimia 2 - 6.

Coca-Cola

Coca-Cola ni carbonated kinywaji laini kuuzwa katika maduka, migahawa, na mashine vending katika nchi zaidi ya 200. Ni zinazozalishwa na Kampuni ya Coca-Cola ya Atlanta, Georgia, na ni mara nyingi inajulikana tu kama Coke. Awali lengo kama dawa p ...

Divai

Divai ni kileo kinachotengenezwa kwa majimaji ya zabibu. Pengine inaitwa pia: mvinyo kutoka Kireno vinho, ingawa jina hilo linaweza kutumika kwa vileo vikali zaidi. Inawezekana kutumia pia majimaji ya matunda mengine ili kupata kinywaji cha kufan ...

Milo (kinywaji)

Milo ni kinywaji kilicho na maziwa, chokoleti na malt, zilizotayarishwa na kampuni ya Nestlé na asili yake ni Australia. Ilitengenezwa mara ya kwanza na Thomas Mayne mwaka 1934. Milo pia inatayarishwa katika nchi nyingine zikiwemo Singapore, Mala ...

Schweppes

Schweppes ni kinywaji kinachoundwa na kuuzwa kote duniani. Inahusu aina mbalimbali kama ya maji yenye kabondayoksaidi na sharubati yenye tangawizi. Kampeni ya mauzo ilitumia sana sauti ya "Schhhh.Schweppes" katika kurekodi kwa televisheni ili kui ...

Ulanzi

Ulanzi ni pombe inayotengenezwa kwa kutumia utomvu wa mianzi midogo aina ya Oxytenanthera abyssinica ambayo haijakomaa. Mianzi inayoanza kukua hukatwa vilele wakati wa majira ya mvua. Utomvu hukusanywa katika chombo. Kiowevu hiki kinaanza kuchach ...

Mtangawizi

Mtangawizi ni mmea wa familia Zingiberaceae katika ngeli ya Monokotiledoni. Mizizi yake yanayoitwa tangawizi hutumika kama kiungo katika chakula na unga wake hutumika katika vinywaji na katika chakula pia.

Bizimu

Bizimu ni mapambo yanayofungwa na watu hasa wanawake kwenye nguo kwa sindano. Kwa kawaida hutengenezwa kwa metali. Mara nyingi ina kazi ya kushika au kufunga nguo. Bizimu zenye thamani zaidi hutengenezwa kwa metali adili kama vile dhahabu au fedh ...

Hereni

Hereni ni mapambo yanayovaliwa masikioni. Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zatengenezwa kwa metali lakini pia kwa kutumia ubao, mfupa au kioo pamoja na vito au lulu. Tamaduni zatofautiana kama hereni huvaliwa zaidi na wanawa ...

Kaharabu

Kaharabu ni rezini ya kisukuku cha miti iliyokua miaka milioni iliyopita. Inaweza kufanana na aina za sandarusi lakini kwa jumla umri wake ni mkubwa na ni mgumu zaidi kuliko sandarusi. Aina bora za kaharabu zinajulikana pia kwa jina la kitaalamu ...

Mkufu

Mkufu ni mapambo yanayovaliwa na watu shingoni. Hutengenezwa mara nyingi kwa metali au kwa kufunga vito, vipande vya kioo cha rangi au lulu kwenye uzi. Mikufu ilivaliwa tangu kale ni kati ya mapambo ya kanza yaliyogunduliwa na wanaakiolojia. Kuna ...

Pete

Pete ni mapambo yanayovaliwa na watu kwenye vidole ya mkono. Kwa kawaida hutengenezwa kwa metali. Pete zenye thamani zaidi hutengenezwa kwa metali adili kama vile dhahabu au fedha. Mara nyingi hupambwa na kito. Pete za arusi zilikuwa desturi ya k ...

Kampuni ya G.R. Kinney

Kampuni ya GR Kinney ilikuwa kampuni ya uzalishaji na uuzaji wa viatu kutoka mwaka wa 1984 hadi mwezi wa 16 Septemba 1998. Alama yake ya KNN katika orodha ya kampuni katika Soko la Hisa la New York ilianza kutumika Machi 1923.

Fathi Hassan

Hassan Fathi ni msanii kutoka Afrika, mzaliwa wa familia ya Misri na Sudan, maarufu sana kwa ajili anayewakilisha kisasa ya sanaa African, anaishi kati ya Marekani na Italia.

Mchoro wa ukutani

Ponnamperuma, Senani 2013. Story of Sigiriya. Melbourne: Panique Pty Ltd. ISBN 9780987345110. Helen Gardner, Art Through the Ages, Harcourt, Brace and World Inc.

Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi

Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917 ambapo iliitwa Tuzo ya Pulitzer ya Riwaya. Tuzo ya Bunilizi humheshimu mwandishi Mwa ...

James Reston

James Barrett Reston alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa Uskoti. Mwaka wa 1945 na tena 1957, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa insha zake katika gazeti la New York Times.

Vermont Royster

Vermont Connecticut Royster alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1953 na tena 1984, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake katika gazeti la Wall Street Journal.

Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya

Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na hutolewa kumheshimu mwandishi Mwarekani aliyeandika tamthiliya hodari katika m ...

Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi

Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1922 lakini kulikuwa na tuzo maalumu kabla ya hapo.

Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu

Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na imetolewa kumheshimu mwandishi Mwarekani aliyeandika wasifu wa mtu hodari katika m ...

Elwyn Brooks White

Elwyn Brooks White alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika insha kwa gazeti la The New Yorker. Mwaka wa 1978, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake kwa jumla.

Mahekalu ya Abu Simbel

Mahekalu ya Abu Simbel ni mahekalu mawili makubwa yaliyojengwa zamani za Misri ya Kale. Yanapatikana upande wa magharibi wa Ziwa Nasser katika Nubia, Misri ya Kusini. Ni maarufu kutokana na uzuri wake na pia kwa sababu yalihamishwa mwaka 1968 kut ...

Djemila

Djemila ni kijiji katika Algeria ya kaskazini penye maghofu ya Curculum uliokuwa mji wa Roma ya Kale katika jimbo la Numidia. Maghofu yamepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia tangu 1982. Curculum iliundwa mnamo mwaka 97 BK kama koloni ya Kir ...

Hifadhi ya Banc dArguin

Hifadhi ya Banc dArguin kwenye Hori ya Arguin iko kwenye pwani ya Mauritania kati ya Nouakchott na Nouadhibou kwenye eneo la kilomita za mraba 12.000. Jina linatokana na Kisiwa cha Arguin kilichopo karibu na pwani hiyo. Hifadhi hiyo imeandikishwa ...

Hifadhi ya Virunga

Hifadhi ya Virunga, iliyoita zamani Albert Park, ni Hifadhi ya Taifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoundwa mwaka 1925 na hivyo ni hifadhi ya kale kabisa katika Afrika. Ina utajiri mkubwa wa wanyama na mimea. Kuwepo kwa Okapi kulithib ...

Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi

Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi ni eneo katika msitu wa Ituri kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na mipaka na Sudan Kusini na Uganda. Eneo lake ni takriban km² 14.000, ikiwa na theluthi moja ya maeneo ya msitu wa Itu ...

Kasubi

Kasubi ni jina la kilima ndani ya mji wa Kampala mji mkuu wa Uganda. Kasubi imejulikana hasa kama mahali pa Makaburi ya Kasubi ya wafalme wa Buganda. Mwaka 1882 ikulu ya Kabaka Mutesa I. ilijengwa kwenye kilima cha Kasubi. Alipokufa ikulu ikawa k ...

Mbanza-Kongo

Mbanza-Kongo ni mji wa Angola ya Kaskazini wenye wakazi 25.000 na pia makao makuu ya mkoa wa Zaire ndani ya Angola. Iko karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenye 6°16′0″S 14°15′0″E. Mbanza-Kongo ilikuwa mji mkuu wa Ufalme wa Kong ...

Memphis, Misri

Memphis ilikuwa mji mkuu wa Misri ya Kaskazini, na baadaye pia ya Misri ya Kale yote kuanzia maungano ya Misri ya Kaskazini na Misri ya Kusini chini ya Farao Menes hadi karibu mwaka 2200 KK. Baadaye ilirudi tena kama mji mkuu wakati wa Ufalme Mpy ...

Msumbiji (kisiwa)

Kisiwa cha Msumbiji ni kisiwa kidogo kilichopo km 3 mbele ya mwambao wa Msumbiji ya kaskazini. Urefu ni km 3 na upana kati ya m 500 hadi 200. Kisiwa ni sehemu ya mkoa wa Nampula. Kisiwa kilikuwa chanzo cha koloni la Kireno la Msumbiji na mji ulik ...

Mto Awash

Mto Awash unapatikana nchini Ethiopia. Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa. Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

Mto Omo

Mto Omo unapatikana nchini Ethiopia na unamwaga maji yake katika ziwa Turkana: ndio mto unaochangia kwa wingi zaidi ziwa hilo lililo kubwa kuliko maziwa yote ya jangwani duniani kote. Pia ndio mto mkubwa zaidi km 760 kati ya ile ya Ethiopia nje y ...