ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 93

Zanzibar (Jiji)

Jiji la Zanzibar ni mji mkubwa wa kisiwa cha Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Pia ni wilaya katika Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi wa Tanzania. Jiji lina wakazi 206.292 sensa ya mwaka 2002.

Halloween

Halloween ni sherehe inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Oktoba ili kuwakumbuka wafu, watakatifu na waliouawa kwa sababu ya imani yao. Maadhimisho hayo huwa na kuvalia nguo ya kuogofya, kutaniana, kutembelea mahala kuliko makaburi na kusikokaliw ...

Saba Tanzania)

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Sabasaba Saba ni sikukuu katika nchi ya Tanzania inayoadhimishwa tarehe saba, mwezi wa saba 7 Julai ambayo lengo lake ilibadilishwa kutokana na mabadiliko ya historia na siasa.

Siku ya Mandela

Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela ni siku ya kimataifa kwa heshima ya Nelson Mandela, sikukuu ambayo husherehekewa kila mwaka tarehe 18 Julai, siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kutambua mchango wake kwa jamii za Afrika ya Kusini, Afrik ...

Siku ya Matendo Mema

Siku ya Matendo Mema ni siku ya kimataifa ya kujitolea iliyoanza mwaka 2007. Siku hiyo hufanyika kila mwaka katika mwezi wa Machi au Aprili. Lengo ni kuunganisha watu wengi duniani kwa ajili ya kufanya matendo mema kwa wengine na kwa ajili ya dun ...

Siku ya Usafi Duniani

Siku ya Usafi Duniani ni siku ya kimataifa ambayo lengo lake ni kuiepusha dunia na matatizo yanayosababishwa na uchafu, ikiwemo uchafu wa baharini. Siku ya usafi duniani kwa mwaka 2020 ni tarehe 19 Septemba. Siku ya usafi huadhimishwa kwa watu ku ...

Waberberi

Waberberi ni wakazi asilia wa Afrika ya Kaskazini kuanzia Moroko hadi Misri na nchi za Sahara. Wenyewe wanajiita Amazigh yaani "watu huru". Kabila lao mojawapo linalojulikana hasa ni Watuareg wanaokalia maeneo ya jangwa kubwa la Sahara. Leo hii w ...

Christiaan Barnard

Christiaan Neethling Barnard alikuwa daktari mpasuaji nchini Afrika Kusini. Barnard ni maarufu kwa sababu alikuwa daktari wa kwanza aliyehamisha moyo wa mtu kwa mtu mwingine. Christian alizaliwa katika familia maskini ya mhubiri makaburu. Akasoma ...

Wazulu

Wazulu ni kabila kubwa la Afrika Kusini lenye watu milioni 9-10. Makazi yao ni hasa jimbo la KwaZulu-Natal lakini wako katika miji yote ya Afrika Kusini pamoja na vikundi vidogo zaidi katika Zimbabwe, Zambia na Msumbiji. Lugha yao ya Kizulu wanay ...

Waazeri

Waazeri ni watu wanaoongea lugha ya Kiazeri, wakazi hasa wa kaskazini-magharibi mwa Iran na nchi ya Azerbaijan. Idadi yao hukadiriwa kuwa kati ya milioni 25 - 30; wengi wanaishi Iran milioni 15 na Azarbaijan milioni 9. Wachache wako pia Uturuki, ...

Yahya Jammeh

Yahya Abdul-Aziz Jemus Junkung Jammeh alikuwa rais wa nchi ya Gambia hadi tarehe 19 Januari 2017. Alichukua madaraka mwaka 1994 alipokuwa luteni wa jeshi mwenye umri wa miaka 29 na kupindua serikali ya mtangulizi wake Dawda Jawara. Baada ya kutaw ...

John von Neumann

John von Neumann alikuwa mtaalamu wa hisabati nchini Marekani. Alizaliwa Budapest kama mtoto wa familia ya Wahungaria wa Kiyahudi aliyeonekana mapema kuwa na akili bora. Baada ya kumaliza shule alisoma uhandisi Berlin na Zürich akaendelea na msom ...

Larry Abramson

Abramson alizaliwa mwaka 1954 katika Afrika Kusini mnamo mwaka wa 1961, familia yake ilihamia Israel na kuanzisha makazi mjini Yerusalemu. Mnamo Mwaka wa 1970, kama mwandamizi katika shule ya sekondari, yeye alikuwa mmoja wa wale waliotia sahihi ...

Jean-Bedel Bokassa

Jean Bedel Bokassa alikuwa rais na baadaye Kaisari wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au baadaye Milki ya Afrika ya Kati hadi kupinduliwa tar. 21 Septemba 1979.

Frances Ford Seymour

Frances Ford Seymour alikuwa mjamaa wa New York, labda anafahamika zaidi kama mke wa pili wa mwigizaji wa filamu bwana Henry Fonda pia mama wa waigizaji filamu Jane Fonda na Peter Fonda. Frances alikuwa akisumbulia na ugonjwa wa ukichaa na kisha ...

George Miok

George "Gyuri" Miok alikuwa sajenti wa Kikosi cha Ulinzi cha Kanada. Aliuawa akiwa vitani huko nchini Afghanistan mnamo 2009. Alizawadiwa nishani kadhaa na Canadian Peacekeeping Service Medal, NATO Medal for Former Yugoslavia na South-West Asia S ...

Dekha Abdi

Dekha Ibrahim Abdi ni mfanyakazi wa huduma za jamii na amani nchini Kenya aliyepokea Tuzo Mbadala ya Nobel ya 2007. Dekha Abdi ni mwenyeji wa Wajir katika Kenya ya Kaskazini alikozaliwa mw. 1964. Tangu 1992 alijishughulisha na matatizo ya kurudis ...

Geoffrey William Griffin

Dkt Geoffrey William Griffin alikuwa mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe. Alianzisha shule hii mwezi Novemba 1959 kwa msaada wa marehemu Geoffrey Geturo na Joseph Gikubu, Afisa Mwandamizi wa sasa wa mkurugenzi wa shule ...

Koigi Wamwere

Koigi Wamwere ni mwanasiasa, mwanaharakati, na mwandishi kutoka nchi ya Kenya. Koigi alizaliwa mwaka wa 1949 huko Bahati, wilaya ya Nakuru. Koigi anajulikana kwa kujaribu kupindua serikali za Jomo Kenyatta na Daniel arap Moi. Koigi aliwekwa kizui ...

Benn Haidari

Benn Haidari ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko Ngazija visiwa vya Komoro. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua Zanzibar mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na k ...

Al Capone

Al Capone alikuwa mhalifu mashuhuri nchini Marekani. Alizaliwa jijini New York katika ukoo wa wahamiaji kutoka Italia akahamia Chicago ambako aliongoza genge la uhalifu katika enzi ya prohibition ambako pombe ilipigwa marufuku Marekani. Capone al ...

Henry Ford

Henry Martin Ford alikuwa muhandisi na mfanyabiashara nchini Marekani. Alianza kutengeneza magari mawaka 1896 akaunda kampuni ya Ford Motor Company mjini Detroit. Alianzisha mbinu wa kazi ya kiwandani ulioigwa baadaye kote duniani. Alipasua kila ...

Donald "Flash" Gordon

Donald "Flash" Gordon alikuwa rubani shujaa wa vita wa Marekani. Alipiga risasi zaidi ya ndege 7 za Ujapani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Alikuwa rubani wa kivita wa Kikosi cha Wanamaji wa Marekani na alipokea tuzo ya Distinguished Flying Cross.

Steve Jobs

Steve Jobs alikuwa mvumbuzi wa Marekani na mfanyabiashara aliyetambuliwa sana kama mwanzilishi mwenye kipaji cha haiba ya zama za kompyuta ya kibinafsi. Alikuwa mwanzilishi, mwenyekiti, na afisa mtendaji mkuu wa Apple Inc. Awali alikuwa mtendaji ...

Rosa Parks

Rosa Louise McCauley Parks anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika ...

Leo Africanus

Leo Africanus alikuwa mwandishi Mwarabu kutoka Hispania aliyesafiri katika maeneo ya Sahara na Sudan, kuwa Mkristo baadaye na mwandishi mashuhuri wa Ulaya juu ya habari za Afrika.

Graca Machel

Graça Simbine Machel alikuwa mke wa marehemu Rais wa Msumbiji Samora Machel na tangu 1998 mke wa Nelson Mandela. Alizaliwa tarehe 17 Oktoba 1946 nchini Msumbiji. Akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto sita wa mzee Simbine na bibi Nelly. Baba yak ...

Juan de Salazar

Juan de Salazar y Espinoza alikuwa conquistador yaani mpelelezi na mwanajeshi Mhispania aliyeunda mji wa Asuncion katika Paraguay. Alizaliwa 1508 katika Espinosa de los Monteros kwenye mkoa wa Burgos Hispania. Akajiunga na kikosi cha Wahispania k ...

Ahmad Tejan Kabbah

Alhaji Ahmad Tejan Kabbah alikuwa rais wa Sierra Leone kuanzia 1996 hadi 1997 na kutoka 1998 hadi Septemba 2007. Kabbah alifanya kazi miaka mingi katika Mradi wa Maendelo wa Umoja wa Mataifa UNDP kabla ya kurudi Sierra Leone. Wakati wa vita ya we ...

Ernest Bai Koroma

Ernest Bai Koroma katika kaskazini ya Sierra Leone) amekuwa rais wa Sierra Leone tangu 17 Septemba 2007. Koroma alikuwa mwanabiashara hadi kujiunga na siasa mwaka 2002 alipokuwa mgombea wa urais wa chama cha All Peoples Congress dhidi ya rais Ahm ...

Ali Muhsin al-Barwani

Ali Muhsin Al-Barwani) alikuwa mwanasiasa, mwanadiplomasia, na mshairi kutoka nchi ya Zanzibar chini ya Usultani wa Zanzibar. Alikuwa Waziri wa mambo ya nje wakati wa mamlaka ya Kiarabu baada ya Zanzibar kupata uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza ...

Alinikisa Cheyo

Alinikisa Cheyo ni askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi. Alizaliwa katika kitongoji cha Ndawa kijiji cha Mwembe kilicho katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Mbeya. Alizaliwa katika familia yenye watoto 9 yeye akiwa mtoto wa 6 ...

Moses Kulola

Pia historia hii inapatikana katika Blog ya Tanzania Gospel Network Moses Kulola alizaliwa mwezi Juni 1928 katika familia ya watoto kumi, watano kati yao wakiwa bado hai mwaka 2013. Alisajiliwa kwanza katika shule ya misheni iitwayo Ligsha Sukuma ...

Kutoweka kwa Azory Gwanda

Azory Gwanda ni mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mwananchi jijini Dar es Salaam, Tanzania. Alitoweka kwa kushangaza mwishoni mwa mwaka 2017 kutoka nyumbani kwake karibu na Kibiti, Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani, Tanzania.

Gideon Byamugisha

Alizaliwa Buranga Ndorwa, Wilaya ya Kabale, Uganda wa Magharibi tarehe 29 Agosti 1959 akasomea ualimu kwenye Chuo Kikuu cha Makerere akamaliza kwa digrii mwaka 1985. Akaendelea kusoma digrii ya theolojia huko Nairobi akapokelewa katika utumishi w ...

Mary Leakey

Mary Douglas Nicol Leakey alikuwa mtaalamu wa akiolojia aliyekuwa maarufu kutokana na kukuta ushuhuda juu ya maendeleo ya watu wa kwanza. Alikuta na kutambua fuvu fosili ya kwanza ya sokwe mkubwa kwenye kisiwa cha Rusinga na baadaye pia aina ya s ...

Karl Friedrich Benz

Karl Friedrich Benz alizaliwa tar. 25 Novemba 1844 akiitwa Karl Friedrich Michael Vaillant huko Mühlburg / Karlsruhe Ujerumani wa Kusini Magharibi. Baada ya kumzaa mamake Josephine Vaillant akaolewa na babake Johann Georg Benz. Hivyo akaitwa Karl ...

Alexander Graham Bell

Alexander Graham Bell alikuwa kati ya wagunduzi wa mawasiliano ya simu. Alizaliwa katika mji wa Edinburgh nchini Uskoti lakini baadaye alihamia nchi za Kanada na Marekani. Baba yake alikuwa mwalimu wa watoto wenye matatizo ya kusikia na kuongea. ...

Wambundu

Wambundu ni kabila la Angola. Wanaishi katika maeneo ya Luanda, mji mkuu wa Angola, Malanje, na Bengo. Wako pia maeneo ya Cuanza Kaskazini na Cuanza Kusini. Lugha yao ni Kimbundu, ambayo ni lugha ya Kibantu. Zamani Wambundu walikuwa wakaazi wa Uf ...

Wagweno

Wagweno ni kabila la watu wenye asili ya Kenya wanaoishi Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini wa Milima ya Ugweno. Lugha yao ni Kigweno.

Waha

Waha ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kigoma, pia mpakani kwa Burundi. Lugha yao ni Kiha Kabila la Waha limetokana na mtawanyiko wa makabila ya Warundi na Wahaya, kipindi cha kuhamahama kwa ajili ya kutafuta masilahi kama vi ...

Wanena

Fülleborn, F. 1906. Das Deutsche Njassa- und Ruwuma-Gebeit, Land und Leute nebst Bemerkungen über du Schire-Länder. Berlin: Dietrich Reimer. Stirnimann, H. 1976. Existenzgrundlagen und Traditionelles Handwerk der Pangwa von SW Tansania. Freiburg: ...

Wasangu (Tanzania)

Wasangu ni kabila kutoka eneo la nyanda za juu kusini-magharibi la nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasangu ilikadiriwa kuwa 75.000, Lugha yao ni Kisangu.

Wanyankole

Wanyankole ni kabila la kusini-magharibi mwa Uganda lililounda zamani Ufalme wa Nkore au Ankole, mashariki kwa Ziwa Edward. Mfalme wao aliitwa Mugabe au Omugabe. Ufalme huo ulikubali ulinzi wa Uingereza tarehe 25 Oktoba 1901. Ulifutwa na rais Mil ...

Basilika kuu la Bikira Maria

Basilika kuu la Bikira Maria katika mtaa wa Esquilino jijini Roma ni kanisa lililojengwa kwanza na Papa Liberius kwa heshima ya Bikira Maria. Kama lilivyo sasa ni kazi hasa ya Papa Sixtus III 432–440 aliyelishughulikia mara baada ya huyo kutangaz ...

Bikira Maria wa Mlima Karmeli

Bikira Maria wa Mlima Karmeli ni jina linalopewa Bikira Maria kama msimamizi wa Wakarmeli. Wa kwanza wao walikuwa wakaapweke walioishi juu ya Mlima Karmeli katika Nchi Takatifu mwishoni mwa karne ya 12 na mwanzoni mwa karne ya 13. Katikati ya mak ...

Lourdes

Lourdes ni mji mdogo chini ya milima ya Pirenei nchini Ufaransa. Inatembelewa na watu zaidi ya milioni 5 kwa mwaka kutoka na njozi za mwaka 1858, ambazo Kanisa Katoliki limethibitisha kwamba kweli Bikira Maria alimtokea msichana Bernadeta Soubiro ...

Antalya

Antalya ni mji uliopo katika pwani ya Mediterranea, kusini-magharibi mwa Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Antalya. Idadi ya wakazi waishio huku ni 775.157 sensa ya mwaka 2007. Na kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2008, idadi ya wakazi wa Antalya ...

Antiokia wa Pisidia

Antiokia wa Pisidia ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia, sasa katika wilaya ya Isparta, nchini Uturuki. Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 1 kaskazini-mashariki kwa Yalvaç. Mwaka 46 Mtume Paulo na Barnaba walifika mara m ...

Athens

Athens ni mji mkuu wa Ugiriki, mji mkubwa wa nchi hiyo, na mojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu ya miaka elfu kadhaa. Siku hizi mji una wakazi milioni 3.