ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 95

Bud Spencer

Bud Spencer alikuwa muigizaji maarufu wa filamu za Kiitalia, Anafahamika kwa urefu wake wa cm 194 na pia alicheza katika baadhi ya filamu za Spaghetti Westerns. Spencer alikuwa kimafanikio saana kwa kuwa enzi ya ujana wake alikuwa muogeleaji mzur ...

Lee van Cleef

Lee Van Cleef. Alikuwa muigizaji wa filamu wa marekani, aliyeonekana zaidi katika filamu za western hasa filamu za mapigano. Umbo lake la uso ambamo macho yamezama ndani yamemfanya kiupeo kuwa yeye ni "mtu mbaya" ingawaje mara nyingi alikuwa akic ...

Robin Williams

Robin McLaurin Williams alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Alianza kuwa maarufu kwenye kipindi cha televisheni cha Mork & Mindy.

John Sturges

John Eliot Sturges alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu wa Kimarekani. Alikuwa akifahamika zaidi kama mwasisi wa filamu za bajeti kubwa zilizokuwa zinatengenezwa kati ya mwaka 1950 na 1960. Moja kati ya filamu alizoongoza ni kama ifuatavy ...

Dubai Desert Classic

Dubai Desert Classic ni mchuano wa utaalam wa gofu unaofanyika kila mwaka huko Dubai katika United Arab Emirates. Imekuwa sehemu ya ratiba ya European Tour tangu kuzinduliwa mwaka 1989 na ilikuwa sehemu ya kwanza ya ratiba ya European Tour kufany ...

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti ambayo imepewa jina la utani la the Riverains de la Mer Rouge, ndiyo timu ya taifa la Jibuti. Iko chini ya Shirikisho la Kandanda la Jibuti, Fédération Djiboutienne de Football. Haikuingia katika mijuano ya aku ...

Ubingwa wa WWE

Kigezo:Championship Ubingwa wa World Wrestling Entertainment ni ubingwa wa uzito wa juu wa mchezo wa mieleka duniani unaotambuliwa na World Wrestling Entertainment. Ni kielelezo cha ubingwa wa dunia katika Raw na pia ni miongoni mwa vielelezo vit ...

Antwerpen

Antwerpen ni mji wa bandari katika kaskazini ya Ubelgiji mwenye wakazi 460.000. Ni mji mkubwa wa jimbo la Flandria. Mji umeenea kando la mto Schelde unaoingia katika Bahari ya Kaskazini. Mdomo wake ni mpana wa kuruhusu meli kubwa kuingia ndani na ...

Barcelona

Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania. Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea. Mji upo kati ya Mto Llobregat na Besòs, na kusini upo katika milima ya Pir ...

Beijing

Beijing ni mji mkuu wa China. Iko kaskazini-mashariki mwa nchi. Rundiko la jiji lina wakazi wapitao milioni 15. Tangu karne sita imekuwa kitovu cha utawala wa China. Jina lenyewe lamaanisha "Mji Mkuu wa Kaskazini" kwa sababu China iliwahi kuwa na ...

Berlin

Berlin ni mji mkuu, pia mji mkubwa na jimbo la kujitawala la Ujerumani ikiwa na wakazi 3.8 millioni. Berlin iko mashariki ya Ujerumani, palipo mto unaoitwa Spree. Berlin ilianza kukua kama mji mkuu wa Prussia. Ilikuwa mji mkuu wa Ujerumani tangu ...

Helsinki

Helsinki ni mji mkuu wa Ufini na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni 610.601 na kuna jumla ya milioni moja katika rundiko la mji.

London

Tazama pia East London, Afrika Kusini; London, Ontario na New London, Connecticut London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14. London ni mahali muhim ...

Los Angeles

Los Angeles ni mji wa Kalifornia ya kusini. Ni mji mkubwa kuliko yote ya Kalifornia na mji mkubwa wa pili wa Marekani mwenye wakazi 3.847.400 mjini penyewe na hadi milioni 18 katika rundiko la mji. Mji uko kando la Pasifiki katika tambarare kati ...

Melbourne

Mji uliundwa mwaka 1835 kando ya hori ya Port Phillip Bay ya Pasifiki. Ilikua haraka baada ya kupatikana dhahabu tangu mwaka 1851. Imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo. Katika karne ya 19 ilikuwa mji mkubwa wa Australia na pia mji mkuu ...

Moscow

Iko katika sehemu ya kiulaya ya Urusi kwa 55°75N na 37°62E. Eneo lake ni kwa kimo cha 156 m juu ya UB. Mazingira ni ya vilima vidogo kando la mto Moskva unaobeba maji yake kwa mto Okra unaoishia katika Volga.

München

München ni mji mkubwa wa tatu nchini Ujerumani na mji mkuu wa jimbo la Bavaria lililopo kusini mwa Ujerumani. Uko kando ya mto Isar takriban mita 500 juu ya UB. Milima ya Alpi iko karibu. Idadi ya wakazi ni 1.320.000, lakini rundiko la jiji lina ...

Rio de Janeiro

Rio de Janeiro ni jiji kubwa la pili nchini Brazil baada ya São Paulo. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi tarehe 21 Aprili 1960. Leo ni mji mkuu wa jimbo la shirikisho la Rio de Janeiro. Mwaka 2000 rundiko la jiji lilikuwa na wakazi 5.473.909. Rio de ...

Stockholm

Stockholm ni mji mkuu wa Uswidi na pia mji mkubwa wa nchi hito wenye wakazi 864.324 ambao pamoja na rundiko la mji ni watu milioni 1.3. Mji uko kwenye pwani ya mashariki ya Uswidi ambako ziwa Mälaren lajiunga na Bahari Baltiki. Kitovu cha mji ni ...

Sydney

Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Philli ...

Tokyo

Jiji la Tokyo ni mji mkuu wa Japani. Takriban watu milioni 12 huishi katika jiji hilo ambao ni sawa 10% ya Wajapani wote. Rundiko la mji lina wakazi milioni 35 na ni rundiko kubwa duniani. Tokyo ni kitovu cha Japani upande wa biashara, uchumi na ...

Samia Yusuf Omar

Samia Yusuf Omar au Samiyo Omar alikuwa mwanariadha wa mbio fupi kutoka nchini Somalia. Alikuwa mmoja kati ya Wasomalia wawili walioshiriki kwenye Michezo ya Olimpiki 2008 huko Beijing, China. Baada ya kutishiwa na wanamigambo wakali wa Al-Shabaa ...

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Afrika Kusini

Timu ya kandanda ya kitaifa Afrika Kusini au Bafana ni timu ya kitaifa ya Afrika Kusini na hudhibitiwa na Shrikisho la Kandanda la Afrika Kusini. Walirudi kwenye jukwaa la dunia mwaka wa 1992, baada ya miaka ya kupigwa marufuku kutoka FIFA. Watak ...

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya

Timu ya taifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars, ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya. Haijawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Ujerumani

Timu ya soka ya taifa ya Ujerumani ni timu ya soka au mpira wa miguu ambayo imewakilisha Ujerumani katika mashindano ya kimataifa tangu mwaka 1908. Timu hii inaongozwa na Chama cha Soka cha Ujerumani, kilianzishwa rasmi mwaka 1900. Mwishoni mwa K ...

Mumias Sugar FC

Mumias Sugar FC ilikuwa klabu ya kandanda nchini Kenya iliyoanzishwa mwaka wa 1977 na makao ilikuwa mjini Mumias. Uwanja wake wa nyumbani ulikuwa Mumias Sports Complex. Ilikuwa mwanachama wa zamu wa divisheni ya juu zaidi katika kandanda ya Kenya ...

Cri-Zelda Brits

Cri-Zelda Brits ni mchezaji wa kriketi wa kimataifa kutoka Afrika Kusini akirusha kwa mkono wa kulia. Brits aliingia mara ya kwanza katika timu ya wanawake wa kitaifa ya kriketi kama "bowler" mtupa mpira wa kwanza mwaka 2002. Aliendelea kushika n ...

Dada Kidawa

"Dada Kidawa - Sister Kidawa" ni jina la albamu ya nyimbo mchanganyiko ya muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Albamu imekusanya nyimbo za miaka ya 1960-na-1970 na kuziweka pamoja. Albamu ilitolewa tarehe 15 Agosti, 1995. Jina la albamu ni cha ...

Mwaka Elfu Mbili

Mwaka Elfu Mbili lilikuwa jina lililotolewa kwa ajili ya tamasha lililofanyika mnamo tarehe 9 Mei, 1999 huko jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tamasha hili liliandaliwa na Madunia Foundation na kudhaminiwa na Salama Condoms na msaada wa taarifa zin ...

Swahili Rap from Tanzania

Swahili Rap from Tanzania ni jina la albamu ya nyimbo mchanganyiko za muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Albamu imetoka tarehe 15 Novemba mwaka wa 2004 chini ya kampuni ya Kijerumani maarufu kama Out Here Records. Albamu imetayarishwa ...

The Tanzania Sound

"The Tanzania Sound ni jina la kutaja albamu ya nyimbo mchanganyiko ya muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Albamu imekusanya nyimbo za miaka ya 1950-na-1960 na kuziweka pamoja. Albamu ilitolewa tarehe 6 Aprili, 1995. Nyimbo kali kutoka katika ...

Washkaji Wenye Vipaji

Washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao ni pamoja na Da Jo, Bad Spack, Neck Breakerz, Manyema Family, Gangwe Mobb, XPlasterz, Nigger ...

Diskografia ya single na albamu za Spice Girls

Hii ni orodha kamili ya matoleo rasmi ya albamu za Spice Girls, kundi la muziki wa pop la Kiingereza. Kundi la Spice Girls wametoa albamu tatu, moja ni kompilesheni albamu, single kumi na tatu na miziki ya video kadhaa. Nyimbo zimerekodiwa katika ...

Kibwagizo cha filamu

Kibwagizo cha filamu ni muziki unaopigwa hasa nyuma ya filamu. Istilahi ya kibwagizo cha filamu katika Kiswahili ipo moja tu kwa maana mbili, lakini katika Kiingereza ipo tofauti kidogo. Kwa mfano, istilahi ya neno "soundtrack" haichanganywi na f ...

3 Feet High and Rising

23 Oktoba 2001 Tommy Boy Records reissue wa pamoja na bonus disc: "Skip to My Loop Interlude" – 1:12 "Double Huey" – 3:52 "Whats More From the Soundtrack Hell on 1st Avenue Interlude" – 2:05 "Potholes in My Lawn" 12" version – 3:46 "Aint Hip to b ...

All Hail the Queen

All Hail the Queen ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa hip hop kutoka nchni Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitolewa mnamo tar. 7 Novemba 1989 kupitia studio za Tommy Boy Records. Albamu ilikuwa na mafanikio sio ya kawaida kwa upand ...

Bow Down

Bow Down ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka katika kundi babu-kubwa la West coast hip hop/gangsta rap Westside Connection. Albamu ilitolewa mnamo tar. 22 Oktoba, 1996 kupitia studio ya Ice Cube Lench Mob/Priority Records. Albamu imeshiriki ...

Directo Hasta Arriba

El After Porky La Raja Directo Hasta Arriba Por Alla Los Washo Lirica Onirica Serenata Rap Estilo Malandro Internacional La Vidha Loca ameshirikisha. Sick Jacken Que Buen Fieston Homicidha ameshirikisha. Revel Day, Billy Kent na Alkhol

Enrique Iglesias (albamu)

Enrique Iglesias ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa pop Enrique Iglesias. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilipata mafanikio kwa kiasi kikubwa na kushika nafasi za juu katika chati za Kilatini na pia ilirekodiwa ...

Get Rich or Die Tryin (album)

Get Rich or Die Tryin ni albamu ya kwanza ya kibiashara ya msanii/rapa kutoka mjini New York City, 50 Cent. Albamu ilitolewa kupitia studio za Interscope Records. Albamu ilitakiwa itoke mnamo tar. 11 Februari 2003, lakini kwa kufuatia kuvuja kwak ...

In My Own Words

In My Own Words ni albamu ya kwanza ya mwimbaji-mtunzi wa R&B Ne-Yo. Albamu ilitoka mnamo tar. 28 Februari 2006. Nyimbo nne zilipata kutolewa katika albamu hii, "Stay", "So Sick", "When Youre Mad", na "Sexy Love". Wimbo wa kwanza kutolewa uli ...

Independent Leaders

Independent Leaders ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa hip hop la Naughty by Nature. Albamu ilitolewa wakiwa wanatumia jina la New Style mnamo 1989 katika studio ya MCA Records. Matayarisho ya albamu yamefanywa na kundi wenyewe.

Machozi

Machozi ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Lady Jay Dee. Albamu imetoka mwaka wa 2000. Albamu imetayarishwa katika studio za Master Jay, jijini Dar es Salaam. Hii ni albamu ya kwanza ya muzik ...

Money Mondays

"Money Monday" ni jina la albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Vanessa Mdee. Albamu imetoka rasmi tarehe 15 Januari, 2018, japo utangazaji wake ulianza tangu Novemba na mnamo tarehe 29 Disemba 2017 ...

Rappa Ternt Sanga

Rappa Ternt Sanga ni albamu ya kwanza ya mtayarishaji/mwimbaji-mtunzi wa nyimbo za hip hop T-Pain, ilitolewa mnamo mwaka wa 2005. Jina la albamu ni lahaja ya matamshi ya rai "rapper turned singer", yaani, "rapa aliyegeuka kuwa mwimbaji". Albamu i ...

Taylor Swift (albamu)

Taylor Swift ni jina la kutaja albamu ya kwanza na jina la msanii mwenyewe wa muziki wa county na pop wa Kimarekani Bi. Taylor Swift. Albamu iltolewa mnamo tar. 24 Oktoba 2006 kwenye studio ya Big Machine Records, na kutumbukiza vibao vikali vita ...

Yo! Bum Rush the Show

"Miuzi Weighs a Ton" - 5:44 "Youre Gonna Get Yours" - 4:04 "Terminator X Speaks With His Hands" - 2:13 "Too Much Posse" - 2:25 "Sophisticated Bitch" featuring Vernon Reid of Living Colour - 4:30 "Megablast" 2:51 "M.P.E." - 3:44 "Timebomb" - 2:54 ...

All World 2

"Rock the Bells" Rubin, Smith 4:02 "Hush" 3:35 "Dear Yvette" Rubin, Smith 4:08 "To da Break of Dawn" Smith, Williams 4:32 "Pink Cookies in a Plastic Bag Getting Crushed by Buildings" Smith, Williams 4:17 "Phenomenon" Lawrence, McKenny 4:05 "Luv U ...

Best of 2Pac

Best of 2Pac ni albamu vibao vikali vilivyotolewa baada ya kufa kwa msanii wa muziki wa hip hop Tupac Shakur. Kompilesheni hii imetolewa katika sehemu mbili: Thug na Life. Albamu zote mbili zilitolewa mnamo tar. 4 Desemba katika mwaka wa 2007 huk ...

Greatest Hits (2Pac)

Greatest Hits ni tole la diski pamoja la albamu za vibao vikali vya rapa marehemu 2Pac, ilitolewa na Death Row Records mnamo mwaka wa 1998. Albamu hii haipo katika mfululizo wa matoleo ya albamu za muziki wa 2Pac; vibao 21 maarufu, baadhi zilihar ...