ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 97

Untouchable

Untouchable ni single iliyotolewa baada ya kufa kwa msanii wa muziki wa hip hop Tupac Shakur. Wimbo umemshirikisha msanii mwingine Krayzie Bone. Wimbo unatoka katika albamu ya Pacs Life. Wimbo ulitengenezewa reamixi yake na Swizz Beatz, ulikuwa w ...

Can We Talk

Can We Talk ni wimbo uliorekodiwa na mwimbaji wa muziki wa R&B Tevin Campbell kutoka nchini Marekani. Wimbo huu ulitungwa na kutarishwa na Babyface. Ulikuwa wimbo wa kwanza kutolewa kama singo kutoka katika albamu yake ya pili yenye platinamu ...

2 of Amerikaz Most Wanted

2 of Amerikaz Most Wanted ni wimbo wa hip hop uliotungwa na 2Pac, Snoop Dogg na Daz Dillinger kwa ajili ya albamu mbili za pamoja za 2Pac, All Eyez on Me. Wimbo umeimbwa na watu wawili ambaye ni 2Pac na Snoop Dogg. "2 of Amerikaz Most Wanted" uli ...

Say Somethin

Say Somethin ni wimbo ulioandikwa na Mariah Carey akishirikiana na Snoop Dogg, Chad Hugo, wakishirikiana na Pharrell Williams kwa ajili ya albamu ya Carey ya kumi iliyoitwa The Emancipation of Mimi iliyotoka mwaka 2005. Mwimbaji Snoop Dogg anatok ...

Buy U a Drank (Shawty Snappin)

Buy U a Drank ni kibao cha mtayarishaji/mtunzi-mwimbaji wa R&B T-Pain. Kibao kilitolewa mnamo tar. 20 Februari 2007. Kibao ni single rasmi ya kwanza kutoka katika albamu ya T-Pain, Epiphany. Kibao pia kimemshirikisha rapa Yung Joc.

Im n Luv (Wit a Stripper)

Im n Luv " au kwa kifupi Im n Luv ") ni kibao kilichoimbwa na msanii wa R&B T-Pain akishirikiana na rapa Mike Jones. Imetolewa mwishoni mwa mwaka wa 2005, na kushika #5 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kukifanya kuwa kibao cha pili cha T ...

U and Dat

U and Dat ni kibao cha pili kutoka katika albamu ya E-40 My Ghetto Report Card. Kibao kimemshirikisha msanii T-Pain na Kandi Burruss. Kibao kilitayarishwa na Lil Jon. Remix yake ilitolewa mwanzoni mwa mwezi wa Agosti na Juelz Santana, Snoop Dogg, ...

Charles-Valentin Alkan

Charles-Valentin Alkan alikuwa mtunzi wa muziki na mpigaji wa kinanda maarufu kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Charles-Valentin Morhange ; wakati wa utoto yeye na ndugu zake wakatumia jina la babao Lakan kama jina la famili ...

Mily Balakirev

Mily Alexanyevich Balakirev alikuwa mtunzi kutoka nchini Urusi aliye maarufu kwa Opera. Mara nyingi alikuwa akitunga nyimbo kwa ajili ya orchestra, kwaya na piano na nyimbo pekee. Vilevile anasifika kwa kutunga nyimbo nyingi zenye kusifia utaifa ...

Franz Berwald

Franz Adolf Berwald alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uswidi. Nae alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera wa karne ya 19. Alizaliwa mjini Stockholm, na huyu hakubahatika kuwa na wapenzi kabisa katika tungo zake. Hivyo ikamgharim ...

Georges Bizet

Georges Bizet alikuwa mtunzi wa Opera na mpiga kinanda mashuhuri kutoka nchini Ufaransa. Anafahamika zaidi kwa tungo yake ya opera Carmen.

Carl Maria von Weber

Carl Maria von Weber alikuwa mtunzi wa Opera muhimu na mashuhuri kutoka nchini Ujerumani. Bwana huyu alitunga opera nyingi tu, na tungo hizo ni kama vile Der Freischütz, Euryanthe na Oberon ambazo ndiyo maarufu. Aliandika ala za muziki wa ajili y ...

Frédéric Chopin

Frédéric Chopin alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda mashuri kutoka nchini Poland. Ni mtunzi muhimu kabisa kwa nchi ya Poland. Ingawaje kuna baadhi ya tungo zake zilikuwa vigumu sana kuzipiga, na zilibahatika kuwa moja kati ya tungo zilizow ...

César Cui

César Cui alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Urusi. Nae ni mmoja kati ya watunzi watano mashuhuri wa Urusi, ambao walipewa jina la utani la" Moguchaya Kuchka”, watu hao walikuwa Mily Balakirev, Nikolai Rimsky-Korsakov, Modest Mussorgsk ...

Antonín Dvořák

Antonín Dvořák alikuwa mtunzi wa Opera maaruufu kutoka Jamhuri ya watu wa Cheki. Yaaminika kwamba Dvořák, Smetana na Janáček ni watunzi watatu wa Ucheki, ambao walitunga tungo nyingi zenye kuhusu nchi yao.

César Franck

César Franck alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji-Kijerumani aliyekuwa anaishi nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati wa watunzi maarufu wa kipindi cha romantiki. Alikuwa mpigaji kinanda wa Kanisa la Mtakatifu Cl ...

Edvard Grieg

Edvard Hagerup Grieg alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchi Norwei. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi wa Opera kwa kipindi cha Romantiki.

John Field (mtunzi)

John Field alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa kwanza kutunnga nyimbo za kupigwa nyakati za usiku.

Franz Liszt

Franz Liszt alikuwa mtunzi wa Opera na mpigakinanda mashuhuri kutoka nchini Hungaria. Amefahamika sana kwa ujuzi wake wa upigaji kinanda kwa haraka zaidi na kuwa na maarifa ya juu katika fani hiyo. Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoli ...

Gustav Mahler

Gustav Mahler alikuwa mtunzi wa Opera na mwelekezi wa Kibohemia-Kiaustria. Mahler alipata kufahamika sana wakati wa uhai wake kwa kuwa kama mwelekezi wa mabendi yaani conductor ma muziki. Pia akawa mmoja kati ya waliopata kufahamika katika kipind ...

Felix Mendelssohn

Jakob Ludwig Felix Mendelssohn Bartholdy, anafahamika zaidi kama Felix Mendelssohn alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi maarufu kutoka nchini Ujerumani. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi mashuhuri wa kipindi cha Romantic.

Modest Mussorgsky

Modest Petrovitch Mussorgsky alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa maarufu sana kwa opera zake na nyimbo zilizo safi kwa mandhari ya Kirusi.

Nikolai Rimsky-Korsakov

Nikolai Andreyevich Rimsky-Korsakov alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa mtunzi maarufu wa kipindi cha Romantic ana athari kubwa za watunzi wengine wa Opera. Huyu pia ni mmoja kati wa watunzi watano mashuhuri wa Kirusi.

Camille Saint-Saëns

Camille Saint-Saens alikuwa mtunzi wa Opera na mpiga kinanda mashuhuri kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa moja kati watunzi wakubwa wa Opera wa kipindi cha Romantic. Alitunga nyimbo nyingi sana zenye mandhari tofauti na kukubalika katika jamii ya wa ...

Franz Schubert

Franz Schubert alikuwa mtunzi wa Opera wa Kiaustria. Ingawa alifariki dunia akiwa na umri wa maiaka 31 lakini alitunga zaidi ya nyimbo elfu moja. Na inaamika kwamba kazi zake ni miongoni mwa kazi bora ziliwahi kutungwa. Alitunga ala nzuri zenye k ...

Jean Sibelius

Johan Julius Christian "Jean" / "Janne" Sibelius alikuwa mtunzi wa Opera wa Kifinland wa baada ya kipindi cha Romantic na ni mmoja kati watunzi maarufu wa karne ya 19 na mwanzoni mwa karne ya 20.

Richard Strauss

Richard Strauss alikuwa mtunzi wa Opera na mwelekezi mashuhuri kutoka nchini Ujerumani. Huyu alipata bahati ya kuwa mashuhuri tangu yungali bwana mdogo na toni zake zilitumika katika mabendi mbalimbali katika Ulaya nzima. Baada ya 1900 alitumia m ...

Vincenzo Bellini

Vincenzo Bellini alikuwa mtunzi aliyemaarufu kwa Opera kutoka nchi ya Italia. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera kwa karne ya 19. Aliwapatia waimbaji wake ala nzuri za kuimba na huku mwenyewe akiwa anatoa msaada wake wa kibendi.

Hugo Wolf

Hugo Wolf alikuwa mtunzi wa Opera mashuhuri wa Kiaustria-Kislovenia. Nae huyu alikuwa moja kati ya watunzi mashuhuri wa kipindi cha Romantic.

Theodore "T-Bag" Bagwell

Theodore "T-Bag" Bagwell ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Bw. Robert Knepper. Huyu ni mmoja kati ya wahusika wakubwa kabisa katika mfululizo huu. Baada ya ...

Brad Bellick

Bradley "Brad" Bellick lilikuwa jina la kutaja uhusika wa katika tamthiliya ya Kimarekani ya Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Wade Williams. Akiwa kama mmoja kati ya kiongozi wa mfululizo huu wa Prison Break, ameshiriki katika misimu yote m ...

Lincoln "L. J." Burrows Jr.

Lincoln Burrows Jr. ni jina la kutaja mhusika wa mufululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Marshall Allman. LJ mdogo aliokuwa akionyeshwa katika historia ya awali ya maisha yake ilichezwa na N ...

Lincoln Burrows

Lincoln Burrows ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha mfululizo wa televisheni maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Dominic Purcell. Njama kuu za mchezo huu wa Prison Break una mhusisha Lincoln Burrows kwa kuhusika na mauaj ...

Charles "Haywire" Patoshik

Charles Patoshik ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Silas Weir Mitchell. Huyu naye alikuwa mfungwa wa Fox River State Penitentiary. Huyu alikuwa ana mata ...

Veronica Donovan

Veronica Donovan ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robin Tunney. Uhusika wa Veronica mdogo ulichezwa na Annie Yokom, ambamye ameonekana mara moja tu katika mfululizo mzima.

Henry Pope

Henry Pope ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Stacy Keach. Katika mfululizo huu, alicheza kama mkuu wa gereza la Fox River State Penitentiary. Aliamini y ...

Paul Kellerman

Paul Kellerman ni jina la kutaja uhusika wa katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Paul Adelstein. Uhusika huu ulitambulishwa katika sekta ya Huduma ya Siri ya kikachero katika mfululizo ...

William "Bill" Kim

William "Bill" Kim ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Reggie Lee. Uhusika ulianza kuonekana ukiwa kama Ofisa wa Huduma za Siri, aliyeingia makataba na Rais Caroline ...

Alexander Mahone

Alexander Mahone ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na William Fichtner. Uhusika huu ulitambulishwa katika sehemu ya pili ya msimu wa mfululizo huu. Amecheza katika s ...

Maricruz Delgado

Maricruz Delgado ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha mfululizo wa televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Camille Guaty. Mhusika huyu alicheza kama mwanamke wa Fernando Sucre. Alikutana na Sucre miaka mitatu ...

Gretchen Morgan

Gretchen Louise Morgan ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Prison Break. Uhusika huu umechezwa na Jodi Lyn OKeefe. Mhusika huyu alianza kuwa kama mmoja kati ya wahusika wakuu wa mfululizo huu baada ya kufikia katika ms ...

Caroline Reynolds

Caroline Reynolds ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Patricia Wettig. Alianza kuonekana katika sehemu ya pili ya mfululizo akiwa kama mwanamke wa mafumbo ...

Michael Scofield

Michael Scofield ni jina la mhusika mkuu wa tamthilia ya Kimarekani ya Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Wentworth Miller. Mhusika huyu humu kacheza kama ana umri wa miaka 31. Mhusika huyu anaanza kuonekana akiwa kama mtu aliyejaribu kuiibia ...

Donald Self

Donald "Don" Self ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Michael Rapaport. Huyu ameanza kuonekana kuanzia kwenye msimu wa nne wa mfululizo, anajiwakilisha kam ...

Sofia Lugo

Sofia Lugo ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Danay Garcia. Uhusika ulitambulishwa kuwa kama moja kati ya wahusika pale ilipofikia katika msimu wa tatu wa mfululizo huu. Sofia ...

Fernando Sucre

Fernando Sucre ni jina kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Amaury Nolasco. Uhusika huu ulitambulishwa katika sehemu ya pilot ya mfululizo akiwa kama mfungwa mwe ...

Sara Tancredi

Dr. Sara Wayne Tancredi ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu umehezwa na Sarah Wayne Callies. Sehemu yake ya kwanza katika mfululizo alicheza kama daktari wa jela ...

James Whistler

James Whistler ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Chris Vance. Uhusika ulitambulishwa ukiwa kama mmoja kati ya wahusika wakuu ni baada ya kufikia msimu wa tatu wa ...

Allison Taylor

Allison Taylor ni jina la kuita uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika huu unachezwa na Cherry Jones, huyu ni mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Marekani, na amechukua nafasi kutoka kwa Bw. Noah Daniels katika sik ...

Jack Bauer

Jack Bauer ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Kiefer Sutherland. Jack Bauer, amepata mafunzo makali na kufanya kazi katika viwango tofauti akiwa kama kachero wa serikali, ...