ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 99

Morris OBrian

Morris OBrian ni jina la mhusika wa kipindi cha televisheni cha Marekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Carlo Rota. Kama jinsi inavyoonekana katika Siku ya 6 kuanzia saa 11 jioni hadi saa kumi na mbili magharibi, Morris anaonekana anaweza ...

Sherry Palmer

Sherry Palmer ni jina la muhusika wa kipindi cha mfululizo wa televisheni cha Kimarekani cha 24. Uhusika huu ulichezwa na Penny Johnson Jerald. Kiasili ya uhusika huu aliolewa na Seneta wa Maryland na baadaye Rasi wa Marekani Bw. David Palmer. Hu ...

Wayne Palmer

Huyu ni ndugu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. David Palmer, Wayne alikuja kuchukua nafasi ya Mike Novick na alifanya kazi kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu, ni baada ya Palmer kumhondosha Novick kazini mwishoni mwa Msimu wa Pili. Zamani alifa ...

Aaron Pierce

Aaron Pierce ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Glenn Morshower. Pierce ni Kachero Maalum wa Huduma ya Kisiri ya Kikachero ya Marekani, anafanya kazi kama kiongozi wa ulinzi, katika ...

Audrey Raines

Audrey Louise Raines ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Glenn Morshower. Huyu ni binti wa Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. James Heller. Huyu ni kipenzi cha nyota wa mfululizo huu Bw ...

Renee Walker

Renee Walker ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na mwigizaji Annie Wersching. Humu kacheza kama kachero wa FBI, ana ameanza kuonekana kuanzia msimu wa 7 na msimu ujao wa 8. Renee ...

Ryan Chappelle

Ryan Chappelle ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Paul Schulze. Katika mfululizo huu, Chappelle alikuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Los Angeles katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi. Yupo juu ...

Edgar Stiles

Edgar alikuwa na uzoefu kama Mtambuzi na Mnyambuzi wa mashine za CTU na vilevile alikuwa meneja wa uangalizi. Ana digrii ya Computer Science aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha New York. Edgar alifahamika sana kwa kazi yake ya kuhifadhi picha za ma ...

Nadia Yassir

Nadia Yassir ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Marisol Nichols. Alianza kutambulakana katika Msimu wa 6 wa mfululizo huu, na anafanya kazi katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los A ...

Claire Bennet

Claire Bennet ni jina kutaja uhusika mkuu wa kwenye igizo la mfululizo wa ubunifu wa kisayansi wa TV ya NBC, Heroes. Uhusika umechezwa na Hayden Panettiere na ameanza kuonekana kwenye televisheni kwa mara ya kwanza katika sehemu kuu ya kwanza kab ...

Elle Bishop

Eleanor Zoe Bishop, hujulikana zaidi kama Elle, ni jina la kutaja uhusika wa tamthilia kwenye kituo cha TV cha NBC, Heroes. Uhusika umechewa na Kristen Bell. Elle alianza kuonekana akiwa kama muhusika mpya kwenye Msimu wa Pili kwa mujibu wa mkata ...

Monica Dawson

Monica Dawson, imechezwa na Dana Davis, ni jina la uhusika wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi kwenye TV ya NBC, Heroes. Akiwa katika miaka yake ya 20 ya mwanzoni kabisa kutoka mjini New Orleans - anajikuta kuwa na nguvu ya kugezea kitu chochote ...

Simone Deveaux

Wakati Simone Deveaux anatambulishwa katika sehemu ya kwanza, yeye ni mwuza michoro anayeishi mjini New York City ambaye ana-mahusiano ya kimapenzi na msanii Isaac Mendez. Hata hivyo, lakini amekuwa akikerekwa sana uzoezi wa matumizi mabaya ya he ...

D. L. Hawkins

Daniel Lawrence "D. L." Hawkins ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na Leonard Roberts kwenye mufululizo wa kipindi cha TV cha Heroes. Huyu ni baba wa Micah Sanders na mume wa Niki Sanders, ana uwezo wa kupitia katika vitu vigumu, yaani, ukuta n ...

Maya Herrera

Maya Herrera ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha mfululizo wa televisheni wa ubunifu wa kisayansi ambao unarushwa hewani na kituo cha TV cha NBC, Heroes. Uhusika unachezwa na Dania Ramirez. Kuonekana kwake kwa mara ya kwanza katika se ...

Ando Masahashi

Ando Masahashi ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha mfululizo wa televisheni unaorushwa hewani na kituo cha NBC, Heroes. Uhusika umechezwa na James Kyson Lee. Uhusika uliwekwa kama uhusika wa chini wa msimu wa kwanza, na ukaja kupandishwa had ...

Isaac Mendez

Isaac Méndez ni jina la kutaja uhusika wa katika tamthilia ya Heroes ambayo inarushwa hewani na televisheni ya NBC. Uhusika umechezwa na Santiago Cabrera, ana uwezo wa kuchora matukio ya baadaye.

Adam Monroe

Adam Monroe, pia anajulikana kama Takezo Kensei katika Japani yenye mgogoro, ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na David Anders kwenye mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Heroes kinachorushwa hewani na kituo cha TV cha NBC. Muhusika huyu a ...

Hiro Nakamura

Hiro Nakamura ni jina kutaja uhusikai wa tamthilia ya Heroes inayorushwa hewani na televisheni ya NBC. Muhusika huyu na uwezo wa kuchezea wakati. Hii ina maana ya kwamba Hiro ana uwezo wa kubadili mtiririko wa muda. Awali, uwezo wake ulimruhusu a ...

Matt Parkman

Matthew "Matt" Parkman, Sr., ni jina la kutaja uhusika wa tamthilia ya katika kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na TV ya NBC, Heroes. Uhusika umechezwa na Greg Grunberg. Matt ni afisa wa polisi, ambaye anafanya kazi katika LAP ...

Angela Petrelli

Angela Petrelli, imechezwa na Cristine Rose, ni jina la kutaja uhusika wa tamthilia ya Heroes kupitia televisheni ya NBC. Huyu ni mama wa Nathan na Peter Petrelli. Uhusika huu unatokana na uhusika wa Angela Lansbury - Mrs. Iselin katika filamu ya ...

Peter Petrelli

Peter Petrelli, imechezwa na Milo Ventimiglia, ni jina la kutaja uhusika katika mfululizo wa ubunifu wa kisayansi kupitia televisheni ya NBC - maarufu Heroes. Ni mwuguzi wa jumba la watu mahututi ambaye amegeukia udaktari usaidizi akiwa katikati ...

Micah Sanders

Micah Sanders, imechezwa na Noah Gray-Cabey, ni jina la kutaja muhusika wa kipindi cha mfululizo wa maigizo ya ubunifu wa kisayansi cha kwenye televisheni ya NBC, Heroes. Huyu ni mtoto wa Niki Sanders na D.L. Hawkins. Yeye ni mtoto mwenye kipaji ...

Niki Sanders

Nicole "Niki" Sanders ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na mwigizaji Ali Larter kwenye mfululizo wa televisheni wa Heroes. Niki ni mke wa D. L. Hawkins na ni mama wa Micah Sanders. Niki, anasumbuliwa na matatizo ya uwili-uwili, anaonekana kuwa ...

Tracy Strauss

Tracy Strauss, umechezwa na Ali Larter, ni jina la kutaja muhusika wa kipindi maarufu cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ana uwezo wa kugandisha kitu chochote anachogusa. Kadiri mfululizo unavyoendelea, u ...

Cheche Mtungi

Cheche Mtungi ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Juma Rajab Rashid. Cheche ni muhusika mkuu katika tamthilia hii. Anaongoza kwa mikasa ya kila aina. Ijapokuwa ameonekana kuish ...

Cheusi Mtungi

Cheusi Mtungi ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Godliver Gordian. Cheusi ni mke halali wa Cheche Mtungi. Anapitia magumu mengi kwenye ndoa yake lakini anayatatua kwa aina yak ...

Dafu (Siri ya Mtungi)

Dafu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Patrick Masele. Dafu ni mtu mwenye masihara mengi sana kwa rafiki yake wa karibu, Cheche Mtungi. Historia ya urafiki wao wa karibu hauj ...

Duma (Siri ya Mtungi)

Duma ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Daudi Tairo. Duma ni mtoto wa mjini, kazi yake hasa ni u-DJ katika kumbi za muziki na sherehe mbalimbali za vigodoro na mambo mengine. ...

Farida

Farida ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Halima Maulid. Huyu ni mke wa kwanza wa Mzee Kizito. Mama mwenye choyo na kila mja. Hapendi maendeleo ya wenzie na mwingi wa ushiriki ...

Kovu (Siri ya Mtungi)

Kovu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Khalidi Nyanza. Huyu ni kijana mdogo anajiyehusisha na vitendo vya kijambazi na uingizwaji wa mali za magendo kupitia pwani. Awali alio ...

Lulu (Siri ya Mtungi)

Lulu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Yvonne Cherry. Toto la mjini, halishindwi kitu. Fundi wa mipango halali na isiyo halali. Mwenye kujiingiza kwenye kila sekta. Sifa peke ...

Mwanaidi

Mwanaidi ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Betty Kazimbaya. Huyu ni mke wa pili wa Mzee Kizito, baada ya Farida na Vingawaje - kabla ya ujio wa Nusura. Katika tamthilia yote ...

Mzee Kizito

Mzee Kizito ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Nkwabi Nghangasamala. Mzee Kizito ni mtu mwema, mwenye moyo wa huruma kwa kila mja aliyekaribu nae. Ana nyumba tatu. Moja Bi. Fa ...

Mzee Masharubu

Mzee Masharubu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na MacDonald Haule. Huyu ni baba mzazi wa Nusura. Mtu mmoja dhulmati sana. Maisha yake karibia yote ya kunjunga na kuumiza wengi ...

Nusura

Nusura Masharubu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Kitanzania maarufu kama Siri ya Mtungi. Uhusika umechezwa na Hidaya Maeda. Muhusika pekee aliye na huzuni tangu msimu wa kwanza hadi wa pili. Awali katika mahusiano yake na mpenzi wak ...

Sabrina Kizito

Sabrina Kizito ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Patricia Nyamaka. Sabrina ni msichana mpole sana, mwenye kutaka kujua mengi ya dunia iliyomzunguka. Mdadisi, na mwingi wa taa ...

Shoti

Shoti Kizito ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Suleiman Mambo. Shoti ni mtoto wa pili wa Bi. Mwanaidi na Mzee Kizito. Hajazalizwa tumbo moja na Cheusi Mtungi ambaye ni mke wa ...

Steven (Siri ya Mtungi)

Steven ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Yoeri Mpira. Maisha yake ni tabu karibia kila siku. Makuzi ya kuishi geto na kaka yake, bado elimu na mazingira ya uhuni yanayomzungu ...

Tula (Siri ya Mtungi)

Tula ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na Beatrice Taisamo. Tula ni mwanamke shupavu anayeitambua thamani yake. Mwenye uwezo wa kuhoji mambo kwa mapana. Ana mapenzi ya dhati kwa ...

Solomon kaDinuzulu

Solomon kaDinuzulu alikuwa mfalme wa taifa la Wazulu kuanzia mwaka 1913 hadi kifo chake kilipowadia mnamo tarehe 4 Machi ya mwaka wa 1933 mjini Kambi. Solomo alizaliwa katika kisiwa cha St. Helena wakati huo baba yake alikuwa hapo kiuhamishoni. K ...

Ronald Muwenda Mutebi II

Ronald Muwenda Mutebi II. ni mfalme au Kabaka wa Buganda nchini Uganda. Alipokuwa mtoto alikimbia 1966 kwenda Uingereza kwa sababu waziri mkuu Milton Obote alimpindua rais wa Uganda aliyekuwa baba yake Kabaka Mutesa II. Ronald alisoma sheria kwen ...

Baeda Maryam I

Baeda Maryam alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 1468 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Zara Yaqob. Wakati wa utawala wake alifaulu kupata maafikiano ya amani na Muhammad, mwana wa Badlay ibn Sa’ad ad-Din. Alifariki mahali pa Abasi Wera G ...

Bakaffa

Bakaffa alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa ...

Dawit III

Dawit III alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 8 Februari 1716 hadi kifo chake. Alimfuata Yostos. Jina lake la kutawala lilikuwa Adbar Sagad. Chini ya utawala wake sinodi ya kanisa ilifanyika. Punde baada ya sinodi alifariki bila sababu kujuli ...

Egwale Seyon

Egwale Seyon alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia Juni 1801 hadi kifo chake. Alikuwa mwana wa Hezqeyas. Alimfuata Demetros. Utawala wake ulisumbuliwa sana na vita miongoni mwa wana wafalme. Aliyemfuata ni Iyoas II.

Fasilides wa Ethiopia

Fasilides alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia mwaka 1632 hadi kifo chake. Jina lake la kutawala lilikuwa Alam Sagad. Alikuwa ametangazwa kuwa mfalme mkuu mwaka wa 1630 wakati wa uasi wa Sersa Krestos lakini hakuweza kuchukua madaraka mpaka ba ...

Gebre Krestos

Gebre Krestos alikuwa mfalme wa Ethiopia kuanzia tarehe 18 Machi 1832 alipomfuata Iyasu IV, hadi kifo chake tarehe 8 Juni 1832. Aliyemfuata ni mdogo wake, Sahle Dengel.

Gelawdewos

Gelawdewos alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 3 Septemba 1540 hadi kifo chake. Alimfuata Dawit II. Jina lake la kutawala lilikuwa Asnaf Sagad I. Utawala wake ulisumbuliwa hasa na vita. Kwanza alimpigia vita Ahmad ibn Ibrahim al-Ghazi aliyesh ...

Iyasu IV

Iyasu IV alikuwa mfalme wa Ethiopia kuanzia tarehe 18 Juni 1830 alipomfuata Gigar, hadi tarehe 18 Machi 1832 alipoondoshwa madarakani. Alikuwa mwana wa Solomon III. Aliyemfuata ni Gebre Krestos.