ⓘ Éder Militão

                                     

ⓘ Éder Militão

Eder Gabriel Militão ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza kama beki wa kati au kiungo mkabaji wa klabu ya Real Madrid.

                                     

1. Maisha

Militão alianza kucheza mpira wa miguu na vijana wa São Paulo mwaka 2010.

Alikuwa beki bora katika timu ya kwanza ya 2016 Copa Paulista.

Tarehe 7 Agosti 2018, Militão alisaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa wa Ureno FC Porto. Alicheza mechi ya kwanza na Porto mnamo 2 Septemba, akianza na ushindi wa nyumbani wa 3-0. Yeye alisababisha magoli mawili kwa Héctor Herrera.

Mwaka wa 2019 alinunuliwa na klabu ya Real Madrid.