ⓘ Wissam Ben Yedder

                                     

ⓘ Wissam Ben Yedder

Wissam Ben Yedder ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla ya Hispania.

                                     

1. Kazi ya Klabu

Toulouse

Ben Yedder ni mtu wa asili ya Tunisia. Miongoni mwa marafiki wake wa utotoni alikuwEMO Riyad Mahrez.

Ben Yedder alianza kazi yake katika JA Alfortville ya ndani ya Championnat de France Amateur, kabla ya kuhamia Toulouse FC ya Ligue 1 mwaka 2010.

Tarehe 30 Julai 2016, Ben Yedder alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Hispania Sevilla FC.