ⓘ Yussuf Poulsen

                                     

ⓘ Yussuf Poulsen

Yussuf Yurary Poulsen ni mchezaji wa soka wa Denmark mwenye asili ya Tanzania ambaye anacheza katika klabu ya Ujerumani iitwayo RB Leipzig kama mshambuliaji au winga.

                                     

1. Kazi ya klabu

RB Leipzig

Mafanikio yake yalivutia sana vilabu vingi vya kigeni na hata ndani ya nchi, na tarehe 3 Julai 2013, alisaini mkataba na klabu ya ujerumani iitwayo RB Leipzig. Alimaliza msimu wa 2013-14 na kufunga magoli 10 katika mechi 27.

Yussuf alipanda katika ligi ya Bundesliga mwaka 2014 na mwaka 2016 alikuwa amefunga magoli 12 katika mechi 32 wakati wa msimu wa 2014-15 akifunga magoli saba katika mechi ambazo alicheza ni 32 wakati wa 2015 -16 msimu.

Mechi ya 6 ya msimu wa 2016-17, alifunga goli lake la kwanza la Bundesliga kwa ushindi wa 2-1 nyumbani dhidi ya FC Augsburg. Alimaliza msimu wa 2016-17 na magoli matano katika mechi 30 alizocheza.

                                     
  • 2003 06 Júlio César Leal 2006 Márcio Máximo 2006 10 Jan Poulsen 2010 12 Kim Poulsen 2012 14 Salum Madadi 2014, Msimamizi wa timu Mart Nooij