ⓘ Yemi Alade

                                     

ⓘ Yemi Alade

Yemi Eberechi Alade ni mwimbaji kutoka nchini Nigeria akifanya muziki wa Afropop na pia ni mwandishi wa nyimbo mbalimbali. Mwanamuziki huyu amekuwa akifahamika kutokana na kibao chake kijulikanacho kama Johnny.

                                     

1. Maisha ya awali

Yemi alade alizaliwa Abia, nchini Nigeria akiwa ni mtoto wa James Alade na Helen Uzoma. Baba yake alikua kamanda wa Jeshi la polisi mwenye asili ya kiyoruba na mama yake alikua pia kamanda wa jeshi la polisi mwenye asili ya Igbo. Yemi Alade ni mtoto wa tano katika familia yenye watoto saba. Elimu yake ya msingi alisoma katika shule iitwayo St. Savior British Primary School na baadae kusoma elimu yake ya sekondari katika shule iliyoitwa Victory Grammar School huko jijini Lagos na baadae alisomea Jiografia katika Chuo kikuu cha Lagos.

                                     
  • ndiye mwanamuziki aliyetoa albamu yenye nyimbo 18 akiwa amewashirikisha Yemi Alade wa Nigeria na albamu hiyo inaitwa Afro East. Harmonize on Apple Music
  • imewashirikisha wasabi nguli kutoka Africa, kama Burna Boy, Morgan Heritage, Yemi Alade na wengine wengi. Abbah Lyrics, Biography and Videos Afrika Lyrics.
  • maarifa ya muhimu kutoka kwa magwiji wa muziki kama vile akina M.I Abaga, Yemi Alade na Bien wa Sauti Sol. Mwaka wa 2017 alitoa kibao cha One Day ambacho kilisukuma