ⓘ Agata Yi Sosa

                                     

ⓘ Agata Yi Sosa

Agata Yi Sosa ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake kilichompata kwa kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A-gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A-gi, Ana Pak A-gi, Lusia Pak Hui-sun na Petro Kwon Tugin.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
                                     

3. Viungo vya nje

  • List and brief description of martyrs
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
                                     
  • imani yao kwa siri. Petro Yi Hoyong Protasi Chong Kukbo Magdalena Kim Obi Ana Pak Agi Agata Yi Sosa Agata Kim Agi Augustino Yi Kwanghon Barbara Han Agi
  • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Agata Yi Ndiyo Ndiyo Agata Yi Kannan Ndiyo Ndiyo Agata Yi Kyongi Ndiyo Ndiyo Agata Yi Sosa Ndiyo Ndiyo Agatanjelo