ⓘ Augustino Yi Kwanghon

                                     

ⓘ Augustino Yi Kwanghon

Augustino Yi Kwanghon ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake kilichompata kwa kukatwa kichwa pamoja na Agatha Kim A-gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A-gi, Ana Pak A-gi, Agatha Yi So-sa, Lusia Pak Hui-sun na Petro Kwon Tugin.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
                                     

3. Viungo vya nje

 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
 • List and brief description of martyrs
                                     
 • tarehe ya kifodini chake kilichompata kwa kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara
 • Wafiadini wa Plovdiv, Visenti wa Lerino, Simeoni wa Mnarani Kijana, Augustino Yi Kwanghon na wenzake n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 24 Mei BBC:
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa na Lusia
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun