ⓘ Yosefu Chang Songjib

                                     

ⓘ Yosefu Chang Songjib

Yosefu Chang Songjib ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 26 Mei.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
                                     

3. Viungo vya nje

  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • List and brief description of martyrs
  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
                                     
  • Prisko wa Auxerre, Desideri wa Vienne, Mariana wa Yesu, Petro Sans, Yosefu Chang Songjib Yohane Doan Trinh Hoan, Mathayo Nguyen Van Phuong, Andrea Kaggwa
  • Han Agi Lusia Pak Huisun Damiani Nam Myonghyok Petro Kwon Tugin Yosefu Chang Songjib Barbara Kim Barbara Yi Rosa Kim Nosa Martha Kim Songim Teresa Yi
  • Ndiyo Yosefu Calasanz Ndiyo Yosefu Canh Luang Hoang Ndiyo Yosefu Chang Chugi Ndiyo Ndiyo Yosefu Chang Songjib Ndiyo Ndiyo Yosefu Cho