ⓘ Barbara Kim

                                     

ⓘ Barbara Kim

Barbara Kim ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 27 Mei.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
                                     

3. Viungo vya nje

 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
 • List and brief description of martyrs
                                     
 • Barbara Kim Barbara Yi Rosa Kim Nosa Martha Kim Songim Teresa Yi Maeim Ana Kim Changgum Yohane Mbatizaji Yi Kwangnyol Magdalena Yi Yonghui Lusia Kim Nusia
 • Silistra, Restituti wa Roma, Eutropi wa Orange, Bruno wa Wurzburg, Barbara Kim Barbara Yi, Atanasi Bazzekuketta, Gonzaga Gonza n.k. Wikimedia Commons ina
 • Barbara Han Agi alifariki Seoul, 24 Mei 1839 ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani
 • pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa na Petro
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Lusia Pak Hui - sun na
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun
 • kilichompata kwa kukatwa kichwa pamoja na Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa na Lusia
 • kwa kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun