ⓘ Barbara Yi

                                     

ⓘ Barbara Yi

Barbara Yi ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
                                     

3. Viungo vya nje

 • List and brief description of martyrs
 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
                                     
 • Barbara Yi Chonghui alifariki Seoul, 3 Septemba 1839 ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili
 • Chang Songjib Barbara Kim Barbara Yi Rosa Kim Nosa Martha Kim Songim Teresa Yi Maeim Ana Kim Changgum Yohane Mbatizaji Yi Kwangnyol Magdalena Yi Yonghui Lusia
 • Silistra, Restituti wa Roma, Eutropi wa Orange, Bruno wa Wurzburg, Barbara Kim, Barbara Yi Atanasi Bazzekuketta, Gonzaga Gonza n.k. Wikimedia Commons ina
 • Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni
 • Barbara Han Agi alifariki Seoul, 24 Mei 1839 ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani
 • kukatwa kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Lusia Pak Hui - sun
 • Barbara Choe Yongi alifariki Seoul, 1 Februari 1840 ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili
 • Yohane Yi Munu alifariki Seoul, 1 Februari 1840 ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na
 • kichwa pamoja na Augustino Yi Kwanghon, Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na