ⓘ Ana Kim Changgum

                                     

ⓘ Ana Kim Changgum

Ana Kim Changgum ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
                                     

3. Viungo vya nje

  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • List and brief description of martyrs
                                     
  • Barbara Kim Barbara Yi Rosa Kim Nosa Martha Kim Songim Teresa Yi Maeim Ana Kim Changgum Yohane Mbatizaji Yi Kwangnyol Magdalena Yi Yonghui Lusia Kim Nusia
  • Ndiyo Ndiyo Ana Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ana nabii Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ana An Jiaozhi Ndiyo Ana An Xinzhi Ndiyo Ana Kim Changgum Ndiyo