ⓘ Barbara Kwon Hui

                                     

ⓘ Barbara Kwon Hui

Barbara Kwon Hui ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
                                     

3. Viungo vya nje

 • List and brief description of martyrs
 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
                                     
 • Yonghui Lusia Kim Nusia Maria Won Kwiim Maria Pak Kunagi Barbara Kwon Hui Yohane Pak Hujae Barbara Yi Chonghui Maria Yi Yonhui Agnes Kim Hyochu Fransisko
 • Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa na Lusia Pak Hui - sun. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki
 • Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea
 • Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo
 • Agatha Kim A - gi, Damiani Nam Myonghyok, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo
 • Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Agatha Yi So - sa, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo
 • Damiani Nam Myonghyok, Magdalena Kim Obi, Barbara Han A - gi, Ana Pak A - gi, Lusia Pak Hui - sun na Petro Kwon Tugin. Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa