ⓘ Sebastiani Nam Igwan

                                     

ⓘ Sebastiani Nam Igwan

Sebastiani Nam Igwan ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
                                     

3. Viungo vya nje

  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
  • List and brief description of martyrs
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
                                     
  • Gideoni, Senatori wa Albano, Eusebi wa Bologna, Nilo wa Rossano, Sebastiani Nam Igwan na wenzake, Tereza Couderc n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Chastan Paulo Chong Hasang Augustino Yu Chinkil Magdalena Ho Kyeim Sebastiani Nam Igwan Kim Iulitta Agata Chon Kyonghyob Charles Cho Shinchol Ignas Kim Chejun
  • Ndiyo Sava wa Serbia Ndiyo Sebastiani mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Sebastiani Nam Igwan Ndiyo Ndiyo Sebastiani wa Thebe Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo