ⓘ Katerina Yi

                                     

ⓘ Katerina Yi

Katerina Yi ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Mjane huyo, binti yake Magdalena Cho na wafiadini wenzao 101 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 26 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
                                     

3. Viungo vya nje

 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
 • List and brief description of martyrs
 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
                                     
 • Magdalena Pak Pongson Perpetua Hong Kimju Kolumba Kim Hyoim Lusia Kim Kopchu Katerina Yi Magdalena Cho Petro Yu Tae - chol Sesilia Yu Sosa Barbara Cho Chungi Magdalena
 • 1791 1888. Wanakadiriwa kuwa 8, 000 - 10, 000. Bikira huyo, mama yake Katerina Yi na wafiadini wenzao 100 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu
 • watakatifu Katerina wa Aleksandria, Merkuri wa Kaisarea, Musa wa Roma, Petro I wa Aleksandria, Esiki, Pakomi na Theodori, Markulo wa Numidia, Petro Yi Ho - yong
 • Ndiyo Katerina wa Bologna Ndiyo Ndiyo Katerina wa Genoa Ndiyo Katerina wa Ricci Ndiyo Katerina wa Siena Ndiyo Ndiyo Katerina Yi Ndiyo