ⓘ Petro Choe Changhub

                                     

ⓘ Petro Choe Changhub

Petro Choe Changhub ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
                                     

3. Viungo vya nje

  • List and brief description of martyrs
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
                                     
  • Kopchu Katerina Yi Magdalena Cho Petro Yu Tae - chol Sesilia Yu Sosa Barbara Cho Chungi Magdalena Han Yongi Petro Choe Changhub Benedikta Hyong Kyongnyon Elizabeti
  • Ndiyo Petro Calungsod Ndiyo Petro Cho Hwaso Ndiyo Ndiyo Petro Choe Changhub Ndiyo Ndiyo Petro Choe Hyong Ndiyo Ndiyo Petro Chong Wonji