ⓘ Benedikta Hyong Kyongnyon

                                     

ⓘ Benedikta Hyong Kyongnyon

Benedikta Hyong Kyongnyon ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 29 Desemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
                                     

3. Viungo vya nje

  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • List and brief description of martyrs
                                     
  • Sosa Barbara Cho Chungi Magdalena Han Yongi Petro Choe Changhub Benedikta Hyong Kyongnyon Elizabeti Chong Chonghye Barbara Ko Suni Magdalena Yi Yongdok
  • wa Padova Ndiyo Ndiyo Benedikta Cambiagio Frassinello Ndiyo Benedikta Hyong Kyongnyon Ndiyo Ndiyo Benedikta wa Roma Ndiyo Ndiyo Ndiyo